Amina. Hawa ndo watumishi waliohubiria na kufanya miujiza mikuu bila kutumia maji ya upako,wala nn na nn ila kwa jina la Yesu. Hawa wanaotumia maji.... nashindwa kuelewe kuwa ni ukosefu wa imani au watoka kuzimu!!.
Huyu Muhibiri namusikia kwa habari wazazi wangu wakimushudia kwani alifika Butembo DRC nikiwa bado sijazaliwa oooo nafurahi kumusikia na kusikia injili ya nguvu kama hiyi
Muujiza nilioupata Mimi wawokovu ni ajabu kuliko kupona korona Mimi Sasa ni raia wa mbinguni, Sasa vyote ni haki yangu pamoja na uzima wa mwili Amina.
Halelujah Halelujah 🙌
I know one day I will do incredible things for the Kingdom
Nguvu ya injili ya Yesu Kristo 🙏
Amen mtumishi
Mahubiri rahisi kabisa kuelewa na kupokea wokovu ubarikiwe kamanda was yesu Amina,
Mtumishi mwenye injili nyepesi yenye kuelewa, na waliokoka kwenye injili yake mpaka leo wanaendelea,we missed you dear R BONKE
Na hii ndo injili!
Lord this is the gospel I want to preach to your people before my time end ,alleluia amen!
Be it so
Yaani kwa yesu ni raha sana
Mbarikiwe
Mbeya ndio israel ya tanzania kama unaamin gonga like
Yeeees mbeya kiini cha Baraka Tanzania
Very true
@@aimanabdallah9637 hakika
Niubinafsi wako tu huo mungu akusaisie
Kweli kabisaaaaa
Never the less your death but your words are still lively man of God.
Real and we are to preach as they preached
A general of the faith and a great inspiration. Bwana asifiwe!
amen and maybe you are the one to bring that revival
@@EGSiyaga1 Naamini Mungu. I believe it yes.
@@EGSiyaga1 I plan to come 2023 (Revival for Tanzania on another account).
Mungu tu Ndio anawez kubadlixha maixha yangu
Oh God rise other man like this man, Moses to Joshua, Thank you God
Sure ahitajika mtu kama huyu yawezekana akawa mmoja aliyetazama video hii' akapata impartation
@@emmanuelnikodem4302 Amen
GOD BLESS YOU EVANGELIST
Sbarikiwe Sana huduma hii Ni njema Sana Mungu ailaze mahali pema roho ya mtumishi wake
Thanks for making me know Jesus amen
Hallelujah hallelujah hallelujah huyu Yesu wangu mwema nimefurahi Sana kusikia Injiri Hii
Daaaaaa mbeya moja. huyu mkaliman alifanikiwa sana
Than true! 🌞 Sun is more perfect year and year is not a old!
Nina shukuru Mungu sana kwa habari njema ya okovu niko Congo
Powerful God keep touching my life as you touch the life of your Servant in Christ
HALLELLUA HALLELLUA HALLELLUA HALLELLUA HALLELLUA ASANTE SAAANAAA YESU CHRISTO 🎸🎸🎸🎸🎸🎸🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎵🎵🎵🎵🎵📢📢📢📢📢📢📢📢📢
Utukufu kwa MUNGU juu,utakumbukwa daima Bonke
God is the same yesterday today and forever, glory to God
Amina. Hawa ndo watumishi waliohubiria na kufanya miujiza mikuu bila kutumia maji ya upako,wala nn na nn ila kwa jina la Yesu. Hawa wanaotumia maji.... nashindwa kuelewe kuwa ni ukosefu wa imani au watoka kuzimu!!.
Hao ni waganga njaa hawana uchungu na kondoo japo wamejificha kwa macho ya nyama mpaka uwe was kiroho kuwatambua madudu yao
Mungu atusaidie
🤸🤸🏃🤾🏋️🧎👩🦽👩🦼 uko unako kwenda chali yangu unataka vijana wa mwamposa wakutekee🤩🤩😜 sipoo..
I remember your pastor Reinhard bonke
amen Be blessed
Hii ni nzuri sana.
AMEN
Thx!for gud preach
Aksante Sana Ubarikiwe,Nitapataje mahubiri ya mwinj Reinhard Bonke alipo kuja Tanga Tanzania?
Mtumishi angalia channel hii Kuna video zingine
Mungu akubariki sana nabeba mafuta ya kimungu kupitia mt huyu kwa imani katika jina la yesu
Amen ubarikiwe sana
Glory to Jesus christ.sir rein be blessed at the name of Jesus Christ
Amen
Mahubiri ya nguvu Sana.
Yaani tunahitaji wahubiri kama Hawa tena
May God rest his soul pesfuly amen
Blessed man of God
Wahubiri kama hawa wako wapi duniani!!@
I remember you pastor
napenda za bonnke sana
Je suis content pour parole de Dieu
Haleluya haleluya haleluya.
Never remember paster reinhard bonnke R. I. P
Huyu Muhibiri namusikia kwa habari wazazi wangu wakimushudia kwani alifika Butembo DRC nikiwa bado sijazaliwa oooo nafurahi kumusikia na kusikia injili ya nguvu kama hiyi
Powerful gospel
Ubarikiwe ulielirusha mahubili haya kwenye UA-cam
nimependa zingine
Wakalimani wa Leo jifunze ukalimani kupitia huyo mtumishi
Lord to God be blessed man of god
Natamani ningekuepo live
Wonderful message.
Glory to God
amen
Amina
Amen 🔥 alikua mbeya wap
Nzovwe
Ilikua mwaka gani hii
Amen. Glory to GOD
Asante yesu
uwanja wa Furahisha 1994
Praise the Lord
amen
Good one
Jesus is alive
Hakika💪💪💪🔥🔥🔥🔥
Mkalimani Yuko vizurii
Zaman Sana we angalia mkaliman huyu na wa Sasa! Duh uyuu mtuu abarikiwe abarikiwe San@
God bless you!!
amen bless you too
What's the name of pastor translator?
Haleluya
Hallelujah
Ameeni Ameeni
🔥🔥🔥🔥
Kama mwamnza vile 1994
Amee
Where are you now mr bonke
was promoted to glory
L
Amen
Amen
Amen
Amen