SPOVAJNET GLOBAL
SPOVAJNET GLOBAL
  • 138
  • 199 419
VIDEO YA MWISHO YA YAHYA SINWAR KIONGOZI WA HAMAS AKIIRUSHIA DRONE FIMBO KABLA YA KUUAWA.
✍️IDf wameonesha video ya mwisho ya Yahya Sinwar kiongozi wa Hamas aliyepanga na kutekeleza mauaji makubwa kwa wayahudi tangu vita ya pili ya Dunia.
✍️Sinwar ambaye alikuwa amejeruhiwa mkono anaonekana AKIIRUSHIA fimbo drone ambayo ilikuwa ikimpiga picha.
Sinwar alikutwa juu kwenye jengo la kawaida na siyo handaki kama ilivyozoeleka akiwa na wenzake watatu inadaiwa baada ya mfumo wa mahandaki "tunnel" ya Hamas kuharibiwa alilazimika kuwa anahamahama huku na kule.
Hiyo ni baada ya mateka 6 aliokuwa anawatumia kama ngao yake kuuawa.
#Hamas
#Netanyahu
#YahyaSinwar
#middleeast
#Lebanon
Переглядів: 678

Відео

UJUMBE WA BENJAMIN NETANYAHU BAADA KUUAWA KWA YAHYA SINWAR KIONGOZI WA HAMAS.
Переглядів 1,3 тис.11 годин тому
UJUMBE WA BENJAMIN NETANYAHU BAADA KUUAWA KWA YAHYA SINWAR KIONGOZI WA HAMAS.
YAHYA SINWAR KIONGOZI WA HAMAS ALIYEONGOZA MASHAMBULIZI YA OCT 7 AUAWA
Переглядів 2,2 тис.16 годин тому
#Hamas #Idf ✍️YAHYA Sinwar ndiye anaaminika kupanga na kuratibu Mashambulizi ya Oct 7 yaliyoua waisrael zaidi ya 1200 , kujaribu Mali, na kuchukua wengine mateka. ✍️Alikuwa kiongozi katili mno na mwenye maamuzi ya ajabu kiasi kwamba hata Hamas wenzake walikuwa wanamwogopa, ✍️Anaaminika kuwatesa hata kuwazika wazi wapalestina waliodhaniwa ni wasaliti na wanashirikiana na Israel. #idf #news #hamas
HEZBOLLAH IMEWAUA WANAJESHI 4 WA ISRAEL NA KUJERUHI ZAIDI YA 60
Переглядів 692 години тому
Shambulizi Hilo limeshangaza wengi kwamba drone hiyo iliwezaje kupenya kwenye ulinzi wa Israel Japo tetesi nyingine zinasema Hezbollah walitumia drone sawa na zinazotumiwa na URUSI huko Ukraine ambazo ni ngumu sana kuzidungua na hata kuziona kwenye rada. Hii inaonesha bado Hezbollah Wanauwezo wa kutishia usalama wa Israel. #Idf #hezbollah #hamas #military
HEZBOLLAH YATOA ONYO KALI KWA ISRAEL
Переглядів 4184 години тому
Kundi la Hezbollah linaloungwa mkono na Iran liketoa ONYO JIPYA kwa Israel kwamba Lina haki ya kulenga eneo lolote ambalo wataona linafaa ndani ya Israel. Kauli iloyotolewa na kiongozi wake msaidizi iliongeza kusema suluhisho la mgogoro huo ni kusitisha mapigano Ili waisrael waliocha makazi Yao kule kaskazini warudi kwenye makazi Yao. Ikumbukwe Hezbollah walianza kumshambulia maeneo ya Israel O...
ISRAEL YAKAMATA SILAHA ZA IRAN HUKO GAZA
Переглядів 4,3 тис.4 години тому
Silaha za maangamizi kwa wayahudi zilizotolewa na Iran kwa Hezbollah nyingi ya silaha hizo zinawekwa kwenye makazi ya raia Ili raia watumike kama kinga kwa magaidi wa hezbollah
MAHANDAKI YA HEZBOLLAH KARIBU NA KAMBI ZA WALINDA AMANI WA UN
Переглядів 6 тис.7 годин тому
#IDF #Hezbollah #Israel Hivi karibuni mgogoro uliopo katika jamii ya kimataifa ni kuhuru waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kuwaambia walinda amani wa Umoja wa mataifa kule Lebanon UNiFIL kuondoka kwenye maeneo ya mapigano huko Israel Sasa hapa IDF wanatuonesha jinsi ambavyo kikosi hicho ambacho kilipaswa kuhakikisha hezbollah hawatishii usalama wa raia Lakini wamewaruhusu Hezbollah kuvuk...
Simba auawa baada ya kumshambulia mtu Kenya
Переглядів 1416 годин тому
#lions #wildlife
Lion killed by bufallo
Переглядів 66716 годин тому
Lion killed by bufallo
ISRAEL ITALIPIZAJE KWA IRAN? WAZIRI WA ULINZI ANAFAFANUA
Переглядів 4316 годин тому
Waziri wa Ulinzi wa Iran Yoav Gallant amesema mashambulizi Yao ya kujibu uchokozi wa Iran yatakuwa hatari, yenye kuua na kwamba Iran HAWATAELEWA NINI kimetokea watayaona tu matokeo
NETANYAHU AWAKA DHIDI YA MACRON| TUTASHINDA HATA BILA MSAADA WAO.
Переглядів 38919 годин тому
Waziri Mkuu wa Israel amepinga vikali maoni ya Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron baada ya Rais huyo kutoa maoni ya kuwekwa vikwazo vya silaha juu ya Israel kwa silaha sitakazotumika Gaza ✍️ Netanyahu upande wake amepinga vikali maoni hayo na KUDAI Israel inapopigana na majeshi ya washenzi Kila nchi iliyostaarabika unapaswa kusimama na Israel ✍️Netanyahu ameongeza kusema kuwa Israel itashinda bil...
clapping 1200 times to remember oct7 victims and 100+ hostages
Переглядів 4521 годину тому
#idf #oct7 #Netanyahu
Mashambulizi mahakamani.
Переглядів 1014 днів тому
Mashambulizi mahakamani.
IRAN YAIMIMINIA MIJI YA ISRAEL MAKOMBORA,
Переглядів 10414 днів тому
✍️wakati huohuo Rais wa Iran ametishia kwamba huo no ujumbe kwa Netanyahu na kwamba Iran haijatumia uwezo wake hata robo Ikumbukwe ni juzi tu Netanyahu alitoa ujumbe kwa watu wa Iran akisema utawala wa Iran unakaribia kufika mwisho Kwa hiyo tunasubiri kuona Israel itajibu nini Nitambariki atakayekubariki
IDF SPOKESPERSON ON LEBANON MILITARY OPERATION
Переглядів 1314 днів тому
IDF SPOKESPERSON ON LEBANON MILITARY OPERATION
HOW A LION AFRICAN KING ENDED
Переглядів 6214 днів тому
HOW A LION AFRICAN KING ENDED
PM SAYS THE IRAN REGIME WILL END SOONER THAN PEOPLE THINK🤔
Переглядів 6714 днів тому
PM SAYS THE IRAN REGIME WILL END SOONER THAN PEOPLE THINK🤔
TUTATUMIA NYUKLIA KWA UCHOKOZI DHIDI YA URUSI NA BELARUS
Переглядів 5614 днів тому
TUTATUMIA NYUKLIA KWA UCHOKOZI DHIDI YA URUSI NA BELARUS
Chameleon surprises snake watch till the end
Переглядів 721 день тому
Chameleon surprises snake watch till the end
Kiswahili: HOTUBA YA BUSH KABLA YA KUINGIA IRAQ KIJESHI
Переглядів 26521 день тому
Kiswahili: HOTUBA YA BUSH KABLA YA KUINGIA IRAQ KIJESHI
KISWAHILI| MAMBO MAGUMU PM AWAONYA VIKALI WALEBANON, JITENGENI NA HEZBOLLAH KWA USALAMA WENU
Переглядів 63021 день тому
KISWAHILI| MAMBO MAGUMU PM AWAONYA VIKALI WALEBANON, JITENGENI NA HEZBOLLAH KWA USALAMA WENU
✍️Jifunze katika video hii kupigana mnaofanana siku zote kutamfaidisha adui yenu..
Переглядів 53221 день тому
✍️Jifunze katika video hii kupigana mnaofanana siku zote kutamfaidisha adui yenu..
NETANYAHU AWATAKIA RAMADHAN KAREEM WAISLAM WA ISRAEL.
Переглядів 86521 день тому
NETANYAHU AWATAKIA RAMADHAN KAREEM WAISLAM WA ISRAEL.
BITI NZURI TENZI TWASOMA NI NJEMA SANA
Переглядів 5921 день тому
BITI NZURI TENZI TWASOMA NI NJEMA SANA
KISWAHILI:HOTUBA YA BALOZI MPYA WA ISRAEL UN| DAMU YA MYAHUDI SIYO CHEAP
Переглядів 1,6 тис.28 днів тому
KISWAHILI:HOTUBA YA BALOZI MPYA WA ISRAEL UN| DAMU YA MYAHUDI SIYO CHEAP
KWAKO MPENDWA MTUMISHI WA MUNGU
Переглядів 32Місяць тому
KWAKO MPENDWA MTUMISHI WA MUNGU
MCHUNGAJI TUMIA NJIA RAHISI KABISA KUFANYA MATANGAZO
Переглядів 48Місяць тому
MCHUNGAJI TUMIA NJIA RAHISI KABISA KUFANYA MATANGAZO
Lions attacks girrafe and her baby
Переглядів 1,5 тис.Місяць тому
Lions attacks girrafe and her baby
Desert Cat vs Big snake brutal fight
Переглядів 2,4 тис.Місяць тому
Desert Cat vs Big snake brutal fight
😭KWA NINI WANATAKA KUMUUA??
Переглядів 122Місяць тому
😭KWA NINI WANATAKA KUMUUA??

КОМЕНТАРІ

  • @woah.africa99
    @woah.africa99 36 хвилин тому

    Gaidi ni ww shoga mtumwa hivyo mikafiri lini walichoma moto wapi wakati hao walitekwa ktk sherehe ya sanamu ushetani hizi vita hazishi hatakua na amani shetani wa kizungu magaidi wakitetea ardhi yao yy anaua vitoto ktk hospitali na mahema alikuja kama kuomba hifadhi ktk phalestina kisha ksnza kua raia na kuwafunga kwa kushirikiana na marecani hao ninwezi ila warabu magaidi watakuja kina haniyeh wengina na yy atakufa tu moto unamsubiri mwizi

    • @EGSiyaga1
      @EGSiyaga1 33 хвилини тому

      Sasa wewe utashangaa unaniambia ni mtu wa dini ya amani kwa kweli Kazi mnayo na mtu anayeweza kuamimi hiyo dini ni wale tu hawatumii akili zao ipasavyo

  • @MichaelKavavila
    @MichaelKavavila Годину тому

    Dini inayokuaminisha uhai Haina thamani....at ukifa pia TU....iyo hapana.hizi nchi zilikuwa majirani na wameoleana sanà.......shida muirani kapandikiza usuni....na itikadi Kali Kwa lengo la kutanua uwezo wake

    • @EGSiyaga1
      @EGSiyaga1 Годину тому

      Ni hatar sana yaani kiongozi wa dini ndo kiongozi wa Kijeshi pia

  • @youthmechanics6167
    @youthmechanics6167 Годину тому

    Kama una uhakika mtangaze,hii Dunia Haina Siri.wao wametsngaza jambo la uhakika " Usibishane na Wayahudi

  • @raydanfrenk
    @raydanfrenk 2 години тому

    Wauoni nampiga picha kwanza 😅😅😅😅

  • @FilbertRobert-e4u
    @FilbertRobert-e4u 2 години тому

    Asante sana mkuu

  • @SuleimanMohamed-o6p
    @SuleimanMohamed-o6p 2 години тому

    Eh kila mnachorushiwa tu nyie kufata upepo hata kujiuliza mtu kama huyo anakuwaje sehemu kama hiyo peke yake bila walinzi wala wapambe duh hii dunia kiboko saiv akili za kuambiwa changamya na zako

    • @EGSiyaga1
      @EGSiyaga1 2 години тому

      Sawasawa

    • @JacobMakwilo-u6e
      @JacobMakwilo-u6e 43 хвилини тому

      Hivi kwa Akili yako tu unadhani alitaka awe Na Nani kila mtu ameuwawa we huoni jengo lenyewe limechakazwa vibaya mno Kuna kitu kitasalia kweli? Hata panya au mjuusi hawezi kukaa sehemu Ile kwa hiyo wengine walishauwawa,pengine wengine walitimua mbio wakamuacha mzee mwenyewe Na kumwambia mzee pambana Na zogo lako ulilianzisha mwenyewe Sisi tunakacha

    • @JacobMakwilo-u6e
      @JacobMakwilo-u6e 39 хвилин тому

      Usiombe ukawa kiongizi wa Hao walaaniwa wakina Hamas,Na Hezbollah Na Hao wajinga wengine nakwambia Mossad hawakuachi

    • @JacobMakwilo-u6e
      @JacobMakwilo-u6e 25 хвилин тому

      Kitu Cha kufanya ndugu Ni kumpokea YESU KRISTO Kuwa BWANA Na mwokozi wa Maisha yako. Haya Yote yalishaandikwa kwenye bibilia hivyo Hayana Budi kutokea

  • @naomikrause1762
    @naomikrause1762 2 години тому

    AMEN🙏🙏🙏🙏🙏

  • @JohnKaliagi
    @JohnKaliagi 2 години тому

    Tunaishi na mashetani. Kweli tumepewa mtihani Duniani.mungu wa israel amshinde mungu wao ameen

    • @EGSiyaga1
      @EGSiyaga1 2 години тому

      Yes Dunia Ina ushindani wa Nuru na giza

    • @woah.africa99
      @woah.africa99 31 хвилина тому

      Mungu yupi ww msenge esrael fake wa marecani mungu wa mbao wait a magaidi ni mungu wa kweli kafiri ww mtumwa tu mama hujijui unalo ongea hv mwenye ardhi akitetea ardhi yake anakua gaidi waje hao wazungu ktk ardhi yako sokwe ww mungu wa waphalestina na warabu ni mungu wa kweli ndio mana mana bee aliwaleta mkawaiba wawe wa kizungu mbona huyo mzungu kwao hana na bee . Na hao waesreael hata huyo yesu ham kubali ila nyiyi ndi wale vitumwa wa kale warabu ni kwao ardhi yao huyo mzungu mwizi mmarecani mnajifanya mna udini tu makafiri nyiyi msie mjua mungu w ukweli mkabudu wazungu

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 3 години тому

    Bado zam yake muongo mkubwa

    • @EGSiyaga1
      @EGSiyaga1 2 години тому

      Uongo upi hapo tatzo nyie hamtaki kukubaliana na kweli

  • @Daudimakaza-s1v
    @Daudimakaza-s1v 3 години тому

    Ee mungu wa israel unatisha

  • @marysanga5310
    @marysanga5310 3 години тому

    makafili waislamu ambao washbikia dini ya waarabu ya ugani nani kawambia Munguanapokea magaidi ufalume Mungu wanao ingia hawana damu za.watu wala kushabikia magaidi Tubuni na kuacha ugaidi ushibiki wa magaidi M uingie mbinguni

  • @JactonKai
    @JactonKai 3 години тому

    good news

  • @IsmailNsengiyumvaa
    @IsmailNsengiyumvaa 4 години тому

    Mbona muku wamajeshi wa israil hamumutangazi

    • @Ibrahimmeshilieki
      @Ibrahimmeshilieki 3 години тому

      Watangaze mtu nani alokuambia kafa mtu ambaye yuko hai buher wa afya huyo Hawes kufa mpaka magaid waseme y imetosha

    • @EGSiyaga1
      @EGSiyaga1 3 години тому

      ua-cam.com/video/y3YZgTOWsk8/v-deo.htmlsi=ptZnKYmcj4cljura Tunatangaza mkuu angalia hiyo link hapo

    • @EGSiyaga1
      @EGSiyaga1 3 години тому

      Mmmmh🤔

    • @EGSiyaga1
      @EGSiyaga1 3 години тому

      Mmmh mkuu wa majeshi yupo zilikuwa rumors

    • @absm8084
      @absm8084 2 години тому

      Wako vitani hata wakifa wanapambania nchi yao kama unapenda nenda Gaza😅😅😅😅

  • @aishasalim9546
    @aishasalim9546 4 години тому

    Wewe hauna dini kwaiyo huna makosa kumsaidiya kafiri .hamas na qasam haitakufa paka kieleweke inshallah

    • @EGSiyaga1
      @EGSiyaga1 4 години тому

      👏👏👏👏👏👏😃😃😃😃😃

    • @Daudimakaza-s1v
      @Daudimakaza-s1v 3 години тому

      Kila mwaka Allah Allah achakuabudu majin ww

  • @aishasalim9546
    @aishasalim9546 4 години тому

    Kwataarifayako msomaji huyu si gaidi gaidi nihu mbwa kafiri naona wewe na huyu mko sawa nahuyu inshallah atauliwa na hamas

    • @EGSiyaga1
      @EGSiyaga1 4 години тому

      Sawa watu wa dini ya amani ila inayoruhusu kutoa maneno machafu

  • @MagangaAbdallah
    @MagangaAbdallah 4 години тому

    Uweni Magaidi wote .Idf kazi Nzuri.

    • @EGSiyaga1
      @EGSiyaga1 4 години тому

      👍👍👍👍

    • @suleimani-k6f
      @suleimani-k6f Годину тому

      Magaidi ni WA isilamu tu ao lashoga wezenu sio magaidi nakuombea ufe kafiri uigie motoni yyi kuhalalisha ushoga sio magaidi

  • @buchomillion4743
    @buchomillion4743 5 годин тому

    Hujui jusimulia

    • @EGSiyaga1
      @EGSiyaga1 5 годин тому

      Nitajitahid kujifunza rafiki😃😃😃👏

  • @VerusWilliam
    @VerusWilliam 5 годин тому

    Nikuwanyoosha wote,magaidi Awana nafasi,hakuna cha Iran Wala urusi au north Korea Wala china,tulinde baba wa Dunia yetu america na Israel the power in the world,hakuna mwingine wachape vya kutosha,

    • @EGSiyaga1
      @EGSiyaga1 5 годин тому

      👏👏👏👏👏

  • @saidisalum-i3i
    @saidisalum-i3i 5 годин тому

    wewe atakuondoa Allah.hipo siku nyau utaona mashimo ya jahanamu,

    • @EGSiyaga1
      @EGSiyaga1 5 годин тому

      Kwa kosa Gani mkuu

    • @michaelmillinga5064
      @michaelmillinga5064 5 годин тому

      Allah wenu wamchongo wewe..

    • @EGSiyaga1
      @EGSiyaga1 5 годин тому

      😃😃😃👏​@@michaelmillinga5064

    • @JohnKaliagi
      @JohnKaliagi 2 години тому

      Allah si mungu wakweli mungu ni jehova,adonai ,mungu wa bwana wetu Yesu mungu wa Ibrahim,isaka.yakobo

  • @mosesjingu6174
    @mosesjingu6174 5 годин тому

    Msomaji wetu nashukuru kwa lakini unatunyima sauti.

    • @EGSiyaga1
      @EGSiyaga1 5 годин тому

      Oooh Wacha nitaongeza sauti

    • @mosesjingu6174
      @mosesjingu6174 5 годин тому

      Msomaji wetu nashukuru kwa habari lakini unatunyima sauti.

  • @ImamAbas-f9b
    @ImamAbas-f9b 5 годин тому

    Huo muongo sana

    • @EGSiyaga1
      @EGSiyaga1 5 годин тому

      Uongo upi hapo sasa mkuu

  • @altamyanfane9850
    @altamyanfane9850 9 годин тому

    Hajafa

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin 13 годин тому

    Walinzi.wa un kule congo ndo wanaoiba madini kuna ndege moja ya un ilikamatwa imejaa madini

  • @SeveriniTemu
    @SeveriniTemu 17 годин тому

    Kwan viwanda vya kitengeneza haya msilahaa ni ya nani wekeni mslaha. Chini. Mzungumzee3 wanauza mpaka msilaha Yale ya vita ya 2 Dunia wanfgia stoo9o bn :damu tunaisha tujitambue

    • @EGSiyaga1
      @EGSiyaga1 17 годин тому

      Ndugu yangu kwa nature ya mwanadamu kuweka silaha chini haitokuja kuwezekana vita zitaendelea hadi mwisho wa Dunia huo ni uhalisia tunaopaswa kuelewa na kukubaliana nao

  • @mwawekomiuda9779
    @mwawekomiuda9779 18 годин тому

    Hawa watu ni wanafiki yaani silaha za iran? Una Akili kweli

  • @Giovanni-f8n
    @Giovanni-f8n День тому

    UN wanaweza kuwa wanafiki

  • @Giovanni-f8n
    @Giovanni-f8n День тому

    Haijawa Siri Tena 😂😂😂 Israel inafunuwa hadi chini ya Uvungu

  • @emanuelpeter2489
    @emanuelpeter2489 День тому

    Watu wa shetani wasingeweza kuona ila MUNGU hafichiki na kuwaonesha wenye haki wake muizrael c mjinga ila wapumbavu ndio wajinga

  • @EmanmanueljMwambungu
    @EmanmanueljMwambungu День тому

    Hiyo Vita siyo ya waislamu na wayahudi kwa maana ndani ya Israeli wapo waalabu wapo wakristo na waislamu pia lkn ndani ya nchi hizo za kialabu pia wapo wayahudi wakristo wanaishi kwa pamoja kwahiyo siyo Vita ya dini

    • @EGSiyaga1
      @EGSiyaga1 День тому

      Ni vita ya nini mkuu wangu

  • @paulvimbamvula9508
    @paulvimbamvula9508 День тому

    Washabiki wa Hizbollah awo ni wa Uslam wengi anakanusha eti ni filamu ,shaaaa ugaidi bwana

  • @Daudimakaza-s1v
    @Daudimakaza-s1v День тому

    Wanata utoe tarifa za uongo cjui watapat nn haw maislam

    • @EGSiyaga1
      @EGSiyaga1 День тому

      Ni changamoto Yao kubwa sana ua awakubali hata ukweli wa wazi

  • @Daudimakaza-s1v
    @Daudimakaza-s1v День тому

    Sema ukwr baba

  • @Daudimakaza-s1v
    @Daudimakaza-s1v День тому

    Asante idf

  • @AbuuAli-nf4fb
    @AbuuAli-nf4fb День тому

    Wapuuzi mukiujua huu na ule hamuwezi

  • @dennisezakiel3380
    @dennisezakiel3380 День тому

    Hao walinda amani , wapo kwaajili ya maslahi yao.UN ni wanafiki

  • @geriokinyunyu1791
    @geriokinyunyu1791 День тому

    Asante kwa tarifa

  • @petrobathorimeo639
    @petrobathorimeo639 День тому

    Wanafik hao hakuna UN Kongo waiharibu wao....!

    • @EGSiyaga1
      @EGSiyaga1 День тому

      Kabisa UN ni useless organization

  • @yahsavechassala1037
    @yahsavechassala1037 День тому

    SANAMU YA MNYAMA HAIWEZI KULINDA NA KUSAIDIA AMANI DUNIANI NI WAPOLAJI WA, DUNIA KUMBE YAWEZEKANA HIVI VIKUNDI VYA KIGAIDI NI UN YA SIRI AU?

  • @f.a6043
    @f.a6043 День тому

    Hao jamaa hezbollah 🐍 🐍 🐍 ni kama panya buku watu wao wanapenda sana kuishi chini ya ardhi kwenye maaeneo muhimu ya watu😂😂😂🤣🤣🤣🇮🇱🇮🇱🇮🇱💪🏽💪🏽💪🏽🔥🔥🔥

  • @Haji-yt8hm
    @Haji-yt8hm День тому

    Twajua Israel ni magwiji wa propaganda

    • @EGSiyaga1
      @EGSiyaga1 День тому

      Siyo Kila kitu ni propaganda

  • @ShannyBrowntz
    @ShannyBrowntz 2 дні тому

    Uyu mwehu sio mzimaaaa ajuwii anachokiongea

    • @EGSiyaga1
      @EGSiyaga1 День тому

      Sawa hongera mwenye akili nyingi

  • @Daudimakaza-s1v
    @Daudimakaza-s1v 2 дні тому

    Amina mtangazaj mungu awe nawe

  • @Daudimakaza-s1v
    @Daudimakaza-s1v 2 дні тому

    Mnaopambn na taifa teule mnatak kuangamia

    • @EGSiyaga1
      @EGSiyaga1 2 дні тому

      Zidi kuombea Israel

    • @jeilanikhamisi
      @jeilanikhamisi День тому

      Kumbe na we mtangazaji ni shoga eti zidi kuiombea Israel au kiharage kina kuwasha?​@@EGSiyaga1

  • @uchulamba3475
    @uchulamba3475 2 дні тому

    Sasa wewe ni mwandishi wa habari,mchambuzi au ninani?mbona hueleweki

  • @MohammedBwanga
    @MohammedBwanga 2 дні тому

    Hakuna taifa la mungu linaloamrisha kuuwa watu kinyama km wafanyavyo hawa wanyama kuuwwa watoto zaidi ya elf20 ivi Mungu gani mwenye taifa km hili?na hayo mahandaki kwani ktk eneo lao hayapo?wao km nani ktk dunia kuwapangia kujenga nyundombinu za ulinzi ktk ardhi za watu?

    • @EGSiyaga1
      @EGSiyaga1 2 дні тому

      Shida siyo mahandaki Sheria inasemaje

  • @SadickMussa-g6h
    @SadickMussa-g6h 2 дні тому

    Umoja wa mataifa wako pamoja na islael ktk kuisaidia na wala siyo hivyo unavyowadanganya watu wajinga kwamba wanaisaidia Hizbullah na makundi mengine

    • @EGSiyaga1
      @EGSiyaga1 2 дні тому

      Ni kwa sababu hufuatilii tu ndiyo maana but UN hawako na Israel kabisa maazimio ya kuilaani Israel ni mengi kuliko nchi zote duniani ukijumuisha

  • @talibali-t5t
    @talibali-t5t 2 дні тому

    Sio ilani ni Iran

  • @AliyuIdrisa-v8w
    @AliyuIdrisa-v8w 2 дні тому

    Unafiki wawa zungu kutengenezea mwislaam aonekane gaidi kwenye dunia ili asiwe nanguvu yakujilinda wao wakishika siraa wazungu eti wana ukombozi eti wapambania uhuru waafrica wengi 😅😅😅😅 na dunia wameamishwa na mzungu kua uwislaam ni ugaidi ndo maana mwenyezi mungu anasema watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa mnahisi mzungu ndo anaweza kujirinda tu mengine wakijilinda magaidi

    • @EGSiyaga1
      @EGSiyaga1 2 дні тому

      Ila ndugu hata wewe tafakari tu utanambia nambie mtu wa dini Gani mwingine ushawahi muona anameza mabomu anaenda kujilipua? Wanaeza kuwepo but wachache sana

  • @AliyuIdrisa-v8w
    @AliyuIdrisa-v8w 2 дні тому

    Wazungu wametengeneza watu wengine wakijilinda eti magaidi wao wakienda kuua raia wasio na hatia nitafa la mungu lina haki kuua raia hovyo

    • @EGSiyaga1
      @EGSiyaga1 2 дні тому

      No uwe mzungu mweusi mwarabu ukimuua mtu bila hatia ni kosa lakini mf mtu akivamia familia yako anataka kuua mke wako na watoto wako na unauwezo wa kujihami lazima ufanye hivo sasa mf Hezbollah Israel hajawachokoza kwa lolote wakaanza kurusha MAKOMBORA eti solidarity na Hamas

    • @creedjey
      @creedjey 2 дні тому

      Sure

  • @alihassan3648
    @alihassan3648 2 дні тому

    Haina ukweli acha kudanganya watu mpuzi mmoja wewe.