RAIS DKT. SAMIA ANAZUNGUMZA NA MACHIFU CHAMWINO IKULU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 вер 2024
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Anazungumza na Machifu Chamwino Ikulu Dodoma leo tarehe 20 Julai, 2024.

КОМЕНТАРІ • 6

  • @elishamaginya6827
    @elishamaginya6827 Місяць тому

    Mmmmmmm

  • @EliaoniTerry
    @EliaoniTerry Місяць тому +2

    Kama kweli nyie ni machifu na mnajua machifu waliotangulia mbele za haki walipigania nini... Mwambieni chifu HANGAYA kuuza au kukabidhi Ardhi ya Tanganyika kwa wageni ni kosa lisilosameheka.. Atunze na kulinda raslimali za Tanganyika. Vinginevyo nanyi mtaingie kwenye hukumu na machifu waliowatangulia watainuka.

  • @user-yc1tm4hp4n
    @user-yc1tm4hp4n Місяць тому

    Mimi shida yangu ni kumuona Rais nitapataje fulsa hiyo?

  • @ZawadyKaoneka
    @ZawadyKaoneka 14 днів тому

    Chifu??chifu qiyo!! Kwiyo?

  • @salmanmagwe2612
    @salmanmagwe2612 Місяць тому

    MUHESHIMIWA RAIS UMEONGEA KITU MUHIMU MNO LA WAFUGAJI,HAWA NI WAHARIBIFU MNO NA NI VEMA SERIKALI IKAZIREJEA TENA SHERIA ZA UFUGAJI NA KUHAMA HAMA,WEKENI MIPAKA YA MAPORI YA SERIKALI ILI WASIWEZE KUYAVAMIA

  • @alphoncehanura3255
    @alphoncehanura3255 Місяць тому

    Nape anaporopoka wewe unakas kimys vipi machifu wao.unawataka waseme.!!
    Wizi wa kura kwako harari????