CMSA: TUPO KUTOA ELIMU KUHUSU MITAJI, HISA NA DHAMANA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лип 2023
  • Moja kati ya mambo ya msingi yanayo endelea katika viwanja vya mwalimu nyerere kilwa road jiji Dar es salaam ni utoaji wa elimu wa masuala mbalimbali
    moja ya taasisi hizo ni CMSA ambao wamekuwa wakitoa elimu ya masuala ya fedha mitaji na dhamana tangia maounyesho yalipo anza
    akifafanua majukumu yanayo tolewa na CMSA afisa Habari na uhusiano wa mamlaka hiyo bi stella Anastaz amesema kutoa elimu ni moja ya majukumu yao na wamekuwa wakifanya hivyo kila wanapo pata nafasi

КОМЕНТАРІ •