AWEZA LYRICS 1. TANGU MWANZO WA UZIMA WANGU, NINA YULE ANAYENISHIGHULIKIA, HAJAWAHI NIACHA HATA SIKU, KILA LEO AKESHA KWA AJILI YANGU EMMANUEL MWANZILISHI WA MAMBO YOTE ALFA OMEGA, RAFIKI YANGU KWAKO NINATULIA 2. NITAISHI MAKUSUDI YAKE, YA WANADAMU KWANGU HAYANA NAFASI, MIMI KICHWA WALA SI MKIA, BABA YANGU NDIYE ANAYETAWALA 3. ANAJUA KILA KITU) (KINACHONISUMBUA MIMI) ANAJIBU NINAPOMUITA (SIKIO LAKE SI LIGUMU KWANGU) YESU ANAJUA KILA KITU KWANGU (KINACHONISUMBUA MIMI) YEYE ANAJIBU NINAPOMUITA YESU (SIKIO LAKE SI LIGUMU KWANGU) 4. YA LEO HAYATANITISHA (NINA MUNGU ALIYE JUU YA YOTE) ALIYOFANYA TANGU MWANZO (ANAWEZA YAFANYA HATA SASA) MAJIRA HAYATANITISHA MIMI, MIMI WAKE (NINA MUNGU ALIYE JUU YA YOTE) ALIYOFANYA NA ABRAHAMU ISAKA NA YAKOBO NINA IMANI (ANAWEZA YAFANYA HATA SASA) (BRIDGE) AWEZA MWOKOZI YESU AWEZA YEYE HASHINDWAGI KITU, BABA (AWEZA MWOKOZI YESU AWEZA) ANAWEZA KUKUTOA MAVUMBINI (AWEZA MWOKOZI YESU AWEZA) KISHA ANAKUKETISHA NA WAFALME YESU (AWEZA MWOKOZI YESU AWEZA) BABA YETU HASHINDWAGI KITU YEYE (AWEZA MWOKOZI YESU AWEZA) YEYE NI MUWEZA YOTE BABA YETU
As always I get blessed listening to Patrick. The guy with saxophone killed the bit plus the base guitar guy👏👏👏👏 Watching from Kenya Wat u wa +254 likes zenu hii side
"Aweza Mwokozi Yesu Aweza" huu ndio wimbo wa haya majira. Nashukuru Mungu maana amejibu kupitia huu wimbo, amenihakikishia kwamba anajua kinachonisumbua
Nitaishi makusudi yake, ya wanadamu kwangu hayana fasi. I love the song. Thank you, Patrick Kubuya and the whole team for this beautiful song. Emmanuel, mwanzilishi wa mambo yote, alpha, omega, rafiki yangu kwako na tuliya. I love you guys!
Haleluya Je Kuna Roho Ambayo Mungu Anagusa Tanzania Ya Leo Amen Umwambie Yesu Anaweza Useme Yesu Anaweza Aa Sijasikia Sema Yesu Anaweza Hapana Sema Nguvu Yesu Anaweza Hapana Yesu Wako Awezage Vile Sema Yesu Anaweza Atujasikia Vile Sema Yesu Anaweza Haleluya Haleluya Mwamwololo mwololo mwololo lo Tangu Mwanzo Wa Uzima Wangu Nina Yule Anae Nishughulikia Hajawahi Niacha Hata Siku Kila Leo Akesha Kwaajili Yangu Emanueli Mwanzilishi Wa Mambo Yote Alfa Omega Rafiki Yangu Kwako Ninatulia Nitaishi Makusudi Yake Ya Wanadamu Kwangu Hayana Fasi Mimi Kichwa Wala Si Mkia Baba Yangu Ndie Anaye Tawala Anajua Kila Kitu Kinacho Nisumbua Mimi Anajibu Ninapomwita Sikio Lake Si Ligumu Kwangu Yesu Yeye Anaitwa Emanuel Mwanzilishi Wa Mambo Yote Alfa Omega Rafiki Yangu Kwako Ninatulia Yaleo Hayata Nitisha Nina Mungu Aliye Juu Ya Yote Aliyofanya Tangu Mwanzo Anaweza Yafanya Hata Sasa Majira Hayatanitisha Mimi Mimi Wake Nina Mungu Aliye Juu Ya Yote Aliyofanya na Ahadi Zake Na Yakobo Na Imani Anaweza Yafanya Hata Sasa Anaweza Anaweza Mwokozi Yesu Anaweza Anaweza Anaweza Mwokozi Yesu Anaweza Yeye Hashindwagi Kitu Anaweza Baba Mwokozi Yesu Anaweza Anaweza Kukutoa Mavumbini Anaweza Yeye Mwokozi Yesu Anaweza Kisha Anakuketisha Na Wafalme Yesu Anaweza Yeye Mwokozi Yesu Anaweza Babayetu Ashindwagi Kitu Anaweza Mwokozi Yesu Anaweza Yeye Ni Muweza Yote Anaweza Mwokozi Yesu Anaweza Babayetu Yesu Anaweza Mwokozi Yesu Anaweza Nitapenda Ugeuze Hii Rumba Kuwa Dorasio Yako Inua Mkono Wako Juu Mwokozi Yesu Anaweza Sema Anaweza Yote Baba Anaweza Mwokozi Yesu Anaweza Anaweza Mwokozi Yesu Anaweza Imba Ukiamini Sema Anaweza Yote Baba Anaweza Ashindwagi Kitu Mwokozi Yesu Anaweza Sijasikia Yule Ambaye Yesu Anaweza Maisha Yake Inua Sauti Anaweza Ni Rahisi Sana Mwokozi Yesu Anaweza Anaweza Anaweza Yote Baba Anaweza Mwokozi Yesu Anaweza Sijaona Kama Yeye Mwokozi Yesu Anaweza Anza Sasa Kumwambia Baba Ninaamini Kwamba Unaweza Ninaamini Kwamba Unaweza Na Hakuna Kigumu Kwako Baba Hakuna Kigumu Kwako Yesu Hakuna Kigumu Kwako Mufalme Hakuna Kigumu Kwako Muumbaji Wa Mbingu Na Nchi Unauweza Wa Kuumba Kipya Ndani Ya Maisha Yetu Unaweza Yote Baba Unaweza Yote Unaweza Yote Unaweza Yote Baba Kile Kinacho Nililisha Hakikulilishe Wewe Kile Kinacho Nishinda Hakikushinde Wewe Kenye Kinatuma Minakua Mwijanzi Hakikuitie Mwijanzi Wewe Unaweza Yote Baba Unaweza Yote Unauwezo Wa Kusema Neno Moja Na Kitu Kinaumbika Ndani Ya Maisha Yangu Unauwezo Wa Kubadilisha Madharau Ya Wanadamu Na Kunipatia Heshima Mbele Za Watu Unaweza Anaweza Yote Baba Aa Mwokozi Yesu Anaweza Ashindagwe Kitu Yeye Ukiamini Atatenda Kwako Leo Anaweza Fungua Moyo Wako Huo Upokee Kitu Leo Mwokozi Yesu Anaweza Ee Anaweza Yote
I render my heart and soul to you my friend and Lover,Jesus Christ you never let me down.My heart is soo full of worship and praise for you.Hallelujah!!!
Kweli Yesu wangu wewe waweza Wewe nimwanzilishi wa Kila kitu maishani mwangu Kweli Yesu wangu kwako mimi ninatulia Am in love with this song I listen to it none stop Be blessed servants of Most High God for allowing God use you to bless us in songs worldwide
I know Pastor Patrick as a humble Minister , This humility Minister is what will make you mount , and move higher and higher , Proud of you mon frere ....”Anajibu ninapomuita, Emmanuel Mwanzilishi wa mambo yote !”
Can't even begin to understand the amount of practice put into bringing out this beautiful piece, the ladies,lead and entire band are clearly showing the outcome, amazing and heavenly
This is how Gospel should be...thank you for uplifting my Spirit...some of our Gospels someone can't categorize to worship or entertainment 🙏🙏🙏🙏God see me through
God is able to make all grace abound towards you, that you, always having all sufficiency in all things, may have an abundance for every good work! I love this God! I'm a testimony to many, because he is able!
From Tz🇹🇿🇹🇿 nakupenda kubuya na team yako
Majira hayatanitisha 🥰🥰🥰
AWEZA LYRICS
1. TANGU MWANZO WA UZIMA WANGU, NINA YULE ANAYENISHIGHULIKIA,
HAJAWAHI NIACHA HATA SIKU, KILA LEO AKESHA KWA AJILI YANGU
EMMANUEL MWANZILISHI WA MAMBO YOTE
ALFA OMEGA, RAFIKI YANGU KWAKO NINATULIA
2. NITAISHI MAKUSUDI YAKE, YA WANADAMU KWANGU HAYANA NAFASI,
MIMI KICHWA WALA SI MKIA, BABA YANGU NDIYE ANAYETAWALA
3. ANAJUA KILA KITU)
(KINACHONISUMBUA MIMI)
ANAJIBU NINAPOMUITA
(SIKIO LAKE SI LIGUMU KWANGU)
YESU ANAJUA KILA KITU KWANGU
(KINACHONISUMBUA MIMI)
YEYE ANAJIBU NINAPOMUITA YESU
(SIKIO LAKE SI LIGUMU KWANGU)
4. YA LEO HAYATANITISHA
(NINA MUNGU ALIYE JUU YA YOTE)
ALIYOFANYA TANGU MWANZO
(ANAWEZA YAFANYA HATA SASA)
MAJIRA HAYATANITISHA MIMI, MIMI WAKE
(NINA MUNGU ALIYE JUU YA YOTE)
ALIYOFANYA NA ABRAHAMU ISAKA NA YAKOBO NINA IMANI
(ANAWEZA YAFANYA HATA SASA)
(BRIDGE)
AWEZA MWOKOZI YESU AWEZA
YEYE HASHINDWAGI KITU, BABA
(AWEZA MWOKOZI YESU AWEZA)
ANAWEZA KUKUTOA MAVUMBINI
(AWEZA MWOKOZI YESU AWEZA)
KISHA ANAKUKETISHA NA WAFALME YESU
(AWEZA MWOKOZI YESU AWEZA)
BABA YETU HASHINDWAGI KITU YEYE
(AWEZA MWOKOZI YESU AWEZA)
YEYE NI MUWEZA YOTE BABA YETU
Anaweza! Watching from Texas 🇺🇲
ubarukiwe sana kaka
@@patrickkubuya unatubariki sana kupitia hii rhumba. Upate na baraka na neema!
@@patrickkubuya 🙏🙏
Amen
Wow Hi Alex?long time,text me
Mokozi yesi aweza🎉
This is powerful, kenya 🇰🇪 has approved
Anaweza 🙌 Mubashara Tanzania 🇹🇿
Mwanzilishi wa mambo yote, hawezi kushindwa maana aelewa kila kitu kinachosumbua Mimi . Roho mtakatifu shughulika, Amen.
As always I get blessed listening to Patrick.
The guy with saxophone killed the bit plus the base guitar guy👏👏👏👏
Watching from Kenya
Wat u wa +254 likes zenu hii side
Indeed a blessing..
"Aweza Mwokozi Yesu Aweza"
huu ndio wimbo wa haya majira.
Nashukuru Mungu maana amejibu kupitia huu wimbo, amenihakikishia kwamba anajua kinachonisumbua
Such an amazing song💯💯💯💯
watching from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Anaweza Mokozi YESU, Aweza
To anyone,reading this right now may God Slap you with Joy In Jesus Name Much Love From Kenya 🇰🇪.
One of the best writers i know 🙌🏻🇹🇿
I'm humbled
Me too
Love from Kenya. I love this genre
Kenya yote inakupenda Kubuya.
Anajua yale unapitia
That's my testimony today, mwokozi yesu aweza 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
ua-cam.com/video/BI4yeRCvxHg/v-deo.html
Anaweza kukutoa mavumbini kisha akukalishe na wafalme. Mwenyezi Mungu wa Abrahamu, Isaka na Yakobo anaweza.🇰🇪
Tamu Sana ,Waimbaji wa bgv wakotamu, na bendi , mtumishi WA Mungu upako unafurika
Mwanzilishi wa mambo yote aku bariki Patrick kubuya, L.D.Maréchal from Bujumbura, congolais
the greatness of the eternal ✌️✌️✌️ Mungu ana weza mambo yangu yoteeee 🙏 mina siema paka aksanti sana 🙌🙌🙌 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Watching from Dubai 🇦🇪 .... Ooh God let your be done🙏🙏🙏......
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
What a beautiful song...
Mokozi Yesu aweza yote🇰🇪
ua-cam.com/video/BI4yeRCvxHg/v-deo.html
am from Kenya 🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️❤️
Mungu aku pandishe tena sana kwa utukufu wake .🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Amen
Kwakweli mwokozi YESU hashindwagi kitu Aweza mambo yote ndio maana lumba inanoga Sana 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰😇😇😇😇😇😇😇
Mbarikiwe sana nyimbo zenu zinanigusa sana.
Nitaishi makusudi yake, ya wanadamu kwangu hayana fasi.
I love the song. Thank you, Patrick Kubuya and the whole team for this beautiful song.
Emmanuel, mwanzilishi wa mambo yote, alpha, omega, rafiki yangu kwako na tuliya.
I love you guys!
Napenda huu wimbo. Baraka.
God is high on everything we praise your name Jesus
watching from nairobi, kenya to GOD be the glory. thank you holy spirit for this moment in time.
Aweza mwokozi Yesu hajawahi kusindwa kitu amen 🙏 🙌
Mubalikiwe na Mungu wa mbinguni tuna wapenda sana hapa🇷🇼🇷🇼
Yesu anaweza yote tukimtumainia yeye kwa haki🙏
Waooo praise rhumba is fire, be blessed all🇹🇿🇹🇿
Wimbo Moto Moto sana. Meokozi Yesu aweza. Hajawahi shindwa. Singing along with lots of ❤️❤️❤️❤️ from Kenya. Barikiwa zaidi.
Amen
ua-cam.com/video/BI4yeRCvxHg/v-deo.html
Very nice nice nice song
God bless you kaka Patrick and your team
🇹🇿 loves your work
God can do impossible possible, what he can't do doesn't exist.
🌍
oooh nice as we kenyans prepare for the elections tunajua ataweza...Inshallah
Cheza kadogo....waoow.anaweza mwokozi yesu anaweza
Haleluya Je Kuna Roho Ambayo Mungu Anagusa Tanzania Ya Leo Amen Umwambie Yesu Anaweza Useme Yesu Anaweza Aa Sijasikia Sema Yesu Anaweza Hapana Sema Nguvu Yesu Anaweza Hapana Yesu Wako Awezage Vile Sema Yesu Anaweza Atujasikia Vile Sema Yesu Anaweza Haleluya Haleluya
Mwamwololo mwololo mwololo lo
Tangu Mwanzo Wa Uzima Wangu Nina Yule Anae Nishughulikia Hajawahi Niacha Hata Siku Kila Leo Akesha Kwaajili Yangu
Emanueli Mwanzilishi Wa Mambo Yote
Alfa Omega Rafiki Yangu Kwako Ninatulia
Nitaishi Makusudi Yake Ya Wanadamu Kwangu Hayana Fasi Mimi Kichwa Wala Si Mkia Baba Yangu Ndie Anaye Tawala
Anajua Kila Kitu Kinacho Nisumbua Mimi Anajibu Ninapomwita Sikio Lake Si Ligumu Kwangu
Yesu
Yeye
Anaitwa Emanuel Mwanzilishi Wa Mambo Yote Alfa Omega Rafiki Yangu Kwako Ninatulia
Yaleo Hayata Nitisha
Nina Mungu Aliye Juu Ya Yote
Aliyofanya Tangu Mwanzo
Anaweza Yafanya Hata Sasa
Majira Hayatanitisha Mimi
Mimi Wake Nina Mungu Aliye Juu Ya Yote
Aliyofanya na Ahadi Zake Na Yakobo Na Imani
Anaweza Yafanya Hata Sasa
Anaweza Anaweza
Mwokozi Yesu Anaweza
Anaweza Anaweza
Mwokozi Yesu Anaweza
Yeye Hashindwagi Kitu
Anaweza Baba Mwokozi Yesu Anaweza
Anaweza Kukutoa Mavumbini
Anaweza Yeye Mwokozi Yesu Anaweza
Kisha Anakuketisha Na Wafalme Yesu
Anaweza Yeye Mwokozi Yesu Anaweza
Babayetu Ashindwagi Kitu
Anaweza Mwokozi Yesu Anaweza
Yeye Ni Muweza Yote
Anaweza Mwokozi Yesu Anaweza
Babayetu Yesu
Anaweza Mwokozi Yesu Anaweza
Nitapenda Ugeuze Hii Rumba Kuwa Dorasio Yako
Inua Mkono Wako Juu
Mwokozi Yesu Anaweza
Sema
Anaweza Yote Baba
Anaweza Mwokozi Yesu Anaweza
Anaweza Mwokozi Yesu Anaweza
Imba Ukiamini Sema Anaweza Yote Baba
Anaweza Ashindwagi Kitu
Mwokozi Yesu Anaweza
Sijasikia Yule Ambaye Yesu Anaweza Maisha Yake
Inua Sauti
Anaweza
Ni Rahisi Sana
Mwokozi Yesu Anaweza
Anaweza Anaweza Yote Baba
Anaweza Mwokozi Yesu Anaweza
Sijaona Kama Yeye
Mwokozi Yesu Anaweza
Anza Sasa Kumwambia Baba Ninaamini Kwamba Unaweza
Ninaamini Kwamba Unaweza
Na Hakuna Kigumu Kwako Baba
Hakuna Kigumu Kwako Yesu
Hakuna Kigumu Kwako Mufalme
Hakuna Kigumu Kwako Muumbaji Wa Mbingu Na Nchi
Unauweza Wa Kuumba Kipya Ndani Ya Maisha Yetu
Unaweza Yote Baba
Unaweza Yote
Unaweza Yote
Unaweza Yote Baba
Kile Kinacho Nililisha
Hakikulilishe Wewe
Kile Kinacho Nishinda
Hakikushinde Wewe
Kenye Kinatuma Minakua Mwijanzi
Hakikuitie Mwijanzi
Wewe Unaweza Yote Baba
Unaweza Yote
Unauwezo Wa Kusema Neno Moja Na Kitu Kinaumbika Ndani Ya Maisha Yangu
Unauwezo Wa Kubadilisha Madharau Ya Wanadamu Na Kunipatia Heshima Mbele Za Watu
Unaweza
Anaweza Yote Baba Aa
Mwokozi Yesu Anaweza
Ashindagwe Kitu Yeye
Ukiamini Atatenda Kwako Leo
Anaweza
Fungua Moyo Wako Huo Upokee Kitu Leo
Mwokozi Yesu Anaweza
Ee
Anaweza Yote
Alfa na Omega,Rafiki yangu kwako ninatulia
Ya Leo hayatanitisha,ninaye Mungu aliye juu ya yote🙏🙏
Mwokozi Yesu anaweza,ata sasa anaweza 🙏🙏🙏👍👍👍
ua-cam.com/video/BI4yeRCvxHg/v-deo.html
Anaweza Yesu KRISTO mubarikiwesan
Aweza yeye mwokozi yesu,aliye umba kila kitu,nini kinachomshinda?HAKUNAAAAAA..
Powerful deep Song double blessings, double Anointing blessed n favoured Choir 🇰🇪🇸🇦🙏🙌💞🎧👏👏👏👏👏
Watching from UK 🇬🇧 Love this worship
I render my heart and soul to you my friend and Lover,Jesus Christ you never let me down.My heart is soo full of worship and praise for you.Hallelujah!!!
🇰🇪worships with you minister@patrickkubuya
Our JESUS is able IAM Peter from Kenya Mombasa
Watching from Burkina Faso, ubarikwe na nyimbo muzuri Kabisa
Watching from Uganda 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Beautiful song 🙏🙏🙏🙏
This is my testimony,,Yesu anaweza Mambo yote ,,,,mbarikiwe sana
Mwokozi yesu anaweezaaa watching from Nairobi we love you kubuya
if you believe this song is big thumb up.
Amen,hakika Yesu anaweza hakuna kinachomshinda🙏🙏🙏 Being blessed 🇰🇪
Since my existence, I have one who takes care of me. Stay forever blessed my beloved ones. Watching from Butembo.
yesu anaweza yote yanayotushinda sisi wanadamu
Unaweza Yote Baba, Hallelujah Glory to God.
YESU ANAWEZA
from Tanzania 🇹🇿
Anaweza, anaweza, anaweza.
Emmanuel mwanzilishi wa mambo yote🙏🇰🇪
Yesu anaweza 😢😢😢 mwanzilishi wa mambo yote
Your songs are preserving souls here in Uganda. Patrick be blessed
ua-cam.com/video/BI4yeRCvxHg/v-deo.html
Kwa hakika ameniwezea hadi hapo nimefika🙏 watching it always from Saudi arabia
Mimi kichwa wala si mkia,Baba yangu ndio anayetawala❤❤❤❤
Mimi ni mukichwa si mukia,,,nitaishi kwa makusudi yake,sikio lake anasikiza mim,YESU ANAWEZA YOTE,watching from East Africa Tanzania
Kweli Yesu wangu wewe waweza
Wewe nimwanzilishi wa Kila kitu maishani mwangu
Kweli Yesu wangu kwako mimi ninatulia
Am in love with this song
I listen to it none stop
Be blessed servants of Most High God for allowing God use you to bless us in songs worldwide
Patrick you're a blessing to souls and you are going far, a wonderful & inspiring worshipper. GOD BLESS YOU ABUNDANTLY.
I know Pastor Patrick as a humble Minister , This humility Minister is what will make you mount , and move higher and higher , Proud of you mon frere ....”Anajibu ninapomuita, Emmanuel Mwanzilishi wa mambo yote !”
ua-cam.com/video/BI4yeRCvxHg/v-deo.html
Dadaangu ahsante kwa ushuhuda wako. May the Lord Jesus helps me to remain in his presence where I take humility and other qualifications
Baraka tele!
Yesu anaweza🇨🇩🇨🇩🇨🇩💖
Tafadhali panga kutembelea nchi ya Kenya. Tunaipenda sana mziki yako. Mungu akubariki.
Your truelly a worshiper..powerfull...watching from Germany...thats going to be my testimony. Amen.
Patrick Kubuya le Grand compositeur, depuis Nairobi naku watch
Soo powerful, my testimony 🇰🇪🇰🇪
Love all Patrick kibuya songs there blessing
Apart from Ambwene mwasongwe and P.clement ..Mr .Kubuya is the other best thing God has given to us🙌🏾🙌🏾God bless you
Can't even begin to understand the amount of practice put into bringing out this beautiful piece, the ladies,lead and entire band are clearly showing the outcome, amazing and heavenly
It must be immense. May the lord bless Kubuya and team.
Anaweza anaweza🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Yesu anaweza yote yanayo shinda mwanadamu...
Amen
I love the song... God bless you minister Patrick Kubuya.🇰🇪
Emmanuel mwanzilishi wa mambo yote ❤️❤️,Aweza hashindwi na jambo lolote.Asante Mungu
Rhumbamongering for Jesus! Kazi nzuri Kaka Patrick
Ur fan from Tanzania, Yesu anaweza
This is a very powerful ministration
ua-cam.com/video/BI4yeRCvxHg/v-deo.html
Wooow... Amen Amen.
Glory to God.
Be blessed team Patrick Kubuya.
The genre is on top
Anaweza Yesu
Anaweza yote mwokozi yesu kristo
Amen Amen notre Dieu peux tous soit loué from Drc kinshasa
I had to check out video the joy in my heart bn smile on my face 🤗🤗😊😊😊😊😊😊😊am blessed.yesu hajawai niacha ata siku😊😊❤❤❤ Amen 🙏💖
Yesu anaweza watching from kenya
Powerful powerful 🙌🙌🙌🙌🙌😥😭😭🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥what a song . I'm so blessed sana.
God bless you kubuya's team,love lead you everyday cause God uses you.
Unaweza Ku pasula giya baharini
Muziki tamu. Nipeeni likes za kuwa among first viewers
Waah!waah..🔥🔥..Nina Mungu aliye juu ya Yote
ua-cam.com/video/BI4yeRCvxHg/v-deo.html
Yesu wangu anaweza siku zote🙏🙏🇹🇿🇹🇿
Hakika yesu anaweza yote,.Much love from TZ
This is how Gospel should be...thank you for uplifting my Spirit...some of our Gospels someone can't categorize to worship or entertainment 🙏🙏🙏🙏God see me through
Watching from Kenya 🇰🇪
God is able to make all grace abound towards you, that you, always having all sufficiency in all things, may have an abundance for every good work! I love this God! I'm a testimony to many, because he is able!
More grace to the entire team am so blessed 🇰🇪