Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

TUNAKUBALI RAIS NDIYE "MWENYE SHAMBA," MWENYE NCHI?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 бер 2022
  • Kauli ya Rais Samia kuwa yeye ndiye "mwenye shamba" imeibua mjadala kuhusu umiliki wa nchi, kati ya rais na wananchi.

КОМЕНТАРІ • 58

  • @dismasmtui729
    @dismasmtui729 2 роки тому +4

    Asante sana kwa elimu nzuri!

  • @nkolemuya9283
    @nkolemuya9283 2 роки тому +6

    Somo muhimu sana 🙏🙏

  • @johakhimu.mgembe.3297
    @johakhimu.mgembe.3297 Місяць тому

    Twashukuru kwa Uchambuzi wa kifalsafa.tunapata darasa la Hekhima ya Maarifa.❤😊😊Z

  • @gasperkimario4703
    @gasperkimario4703 2 роки тому +3

    Hii nchi ndo washafanya shamba

  • @nkolemuya9283
    @nkolemuya9283 2 роки тому +3

    Ni katiba mpya tu yenye kuwapa onyo kali kuwa raia ndio boss wa raisi na siro kabla hawajachukua form kugombea

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 2 роки тому +3

    Duh! Raisi Samia anafikiri yeye ndie mwenye nchi.
    Magufuli alikuwa mnyenyekevu kwa wananchi.

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  2 роки тому

      Magufuli hajawahi kuwa mnyenyekevu. Si kipaji chake hicho. Labda kama unazungumzia matukio machache ya usanii wa kisiasa kanisani na kwenye media. Mtu mnyenyekevu hatishi watu. Eti: "Sijaribiwi, sipangiwi, mimi ni jiwe" Haburuzi Bunge na Mahakama. Mtu mnyenyekevu anatishia kuweka rumande waimbaji wa kwaya na magari yao? Mnyenyekevu? Hahaha aha!

    • @samsonfulgence5553
      @samsonfulgence5553 2 роки тому

      Aliya George, acha basi uongo. Eti Magu alikuwa mnyenyekevu🤔🙆! Tooba!
      Tangu lini mnyenyekevu akapiga marufuku wasimamizi wa uchaguzi kuwatangaza washindi ambao ni wapinzani kwa kisingizio eti yeye ndo aliwateuwa, anawalipa mishahara na kuwapa magari?
      Labda hujui maana ya unyenyekevu.

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 2 роки тому +5

    Mwenye shamba ni Mungu pekee,na sisi na vyote vilivyomo ni Mali yake, shamba lake!. Kiuongozi Rais tumemchagua,na kumuajiri afanye kazi kwa utaratibu tuliojiwekea sisi wenyewe kuanzia kitongoji hadi Taifa! Wajibu tuliompa haumpi kibali cha nchi kuwa yake. Katiba hii ya 1977,na mfumo wa uongozi waliojiwekea wenyewe ndio vinamwaminisha kuwa yuko juu ya vyote, na sisi ni Mali yake, kumbe sote ni sawa, na tunapita tu.

  • @kenedrocky5964
    @kenedrocky5964 2 роки тому +2

    DAHHHH!!!! MWENYEZI MUNGU AKUJAALIE AFYA NA NGUVU ZITOKAZO KWAKE. MH IMEKUA UKINIPA DARASA ZURI SANA. ASANTE NDG YANGU

  • @victoriammari7159
    @victoriammari7159 2 роки тому +3

    SHAMBA ni nchi yet u na kwanini nchi vetu we SHAMBA la rais

  • @nkolemuya9283
    @nkolemuya9283 2 роки тому +4

    She is behaving like a spoiled little girl

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 2 роки тому +2

    Tunaelewa saa nyingine unatufanya watanzania hatujui kitu l

  • @jacobchawala
    @jacobchawala 2 роки тому +2

    Kumbe hiyo instrumental ni ya kwako? Wewe ni mchambuzi na mwanamuziki mzuri sana. Utuletee masomo ya namna ya kupiga piano

  • @zuleyvendor6577
    @zuleyvendor6577 2 роки тому +4

    Mama ana maneno ya kwenye taarabu huyu 😂😂😂😂😂

    • @nkolemuya9283
      @nkolemuya9283 2 роки тому +1

      Km yupo jikoni😃, natamani hata kulia 🙄

    • @chidjosh6056
      @chidjosh6056 2 роки тому +1

      Yaani ya kiswahili, kwa kiongozi hayafai

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 2 роки тому

      @@nkolemuya9283 Raid hawezi kufanyia kazi kile unachoona kifaa we we anao wataalam na washauri ofisini kama unataka jambo lako lisikike unaye diwani na mbunge hudhuria mikutano yao

  • @Juddy1017
    @Juddy1017 2 роки тому +1

    Ni kweli ulivyosema

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 2 роки тому +2

    NGURUMO NAONA KISWAHILI KINAKUSUMBUA
    HAIWEZEKANI YOYOTE YULE KUPANGA MIPANGO INAYOIHUSU NCHI;RAIS LAZIMA AJUE KINACHOPANGWA,RAIS NDIYE YUPO JUU YA WOTE!!
    KUBALI KATAA!!
    HUONI NIJAMBO GANI LIMEKUPELEKA HUKO ULIPO!!

  • @yonabilshan6424
    @yonabilshan6424 Рік тому

    Kwangu mama yupo vizuri tatizo wanaomzunguika mungu ampe maisha mema aokoe vijana wengi wasio na ajira watakao Jenga taifa lijalo, Mnashauri miaka ya utumishi mtumishi akifikisha miaka 50 asitaafu kwa hiari na miaka 55 iwe lazima ili vijana wengine damu changa waijenge nchi

  • @johnedward1351
    @johnedward1351 2 роки тому +1

    Nakupenda tz simpendi samia

  • @yonabilshan6424
    @yonabilshan6424 Рік тому +1

    Mwenye shamba ni wananchi na shamba ni Tanzania , shamba la wananchi so yeyote

  • @mussahuyya7775
    @mussahuyya7775 2 роки тому +4

    Huyu Rais inaonyesha kutoelewa nafasi yake,anafikiri yeye ndiye mwenyewe nchi,na ndicho kinachomfanya kuona mahitaji ya wananchi ya katiba mpya kuwa ni maamuzi yake na wanaomzunguka wanashangilia tu ni unafiki mkubwa haupaswi kupewa nafasi

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 2 роки тому

      Mussa huyo ni kiongozi kama unavyokuwa nyumbani kwako na familia yako

    • @linacedon8492
      @linacedon8492 2 роки тому

      Bdo Mungu anapaswa kufanya jambo kubwa kuliko lililopita

  • @kikariantandi4833
    @kikariantandi4833 2 роки тому

    Well Said

  • @ebitariho9720
    @ebitariho9720 2 роки тому

    Ndio akili za maccm wanafikiri Tanzania ni shamba lao

  • @sebastianmwantuge5597
    @sebastianmwantuge5597 2 роки тому +2

    Wapumbavu hawawezi kukuelewa

  • @user-ni9zc3gx5t
    @user-ni9zc3gx5t Рік тому

    Mwenye kakodisha bandari

  • @johakhimu.mgembe.3297
    @johakhimu.mgembe.3297 Місяць тому

    limekuwa Shamba la bibi.JPM.Alisema.

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 2 роки тому

    Rais ndiye Mwenye Shamba na Wananchi ndio Mimea just so know kama ulikuwa hujui. Yeye ndiye ana uwezo wa kukodisha minazi na mishikshok Kwa niaba ya wananchi. Na kwamba shamba ni nchi na Rais ndio kiongozi anayesimamia shamba hilo kwani wananchi wamempa dhamana ya kusimamia nchi na huwezi kumfanisha Au kufanisha dhamana ya Rais wa nchi na house girl Au mfanyakazi wa nyumba. We Ngurumo mwandishi toka ukimbie nchi akili ziko kama ziliruka kidogo si bure. Sijui ni box humu Au nini ila sasa unaweza kurudi kwani vyombo vya habari viko free sasa.

  • @kiswantatv3817
    @kiswantatv3817 2 роки тому +1

    Katiba mpya muhimu

  • @samsonmwijage1869
    @samsonmwijage1869 2 роки тому

    Mbona umekaa kimya kilichotokea Chadema usiku wa kuamkia alhamis 12/5/2022????!!!!!

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 2 роки тому

    Subhanaallah nyinyi mnaokaa mbali na inchi mnagombanisha WANAINCHI na serikari

    • @MonicaTimotheo
      @MonicaTimotheo 4 дні тому

      Kwani serikali ni nani au ni nini? Kama raia hawatakuwa ndiyo serikali bali vigogo au watawala ndo wawe serikali watanzania tutaendelea kupoteza uelekeo daima

  • @gaudencefrank4314
    @gaudencefrank4314 2 роки тому

    Sijui kwanini mh Raisi anakoseaga Kila anapohutubia tatizo liko wapi

  • @magdalenajohn6564
    @magdalenajohn6564 2 роки тому

    Hapo Kaka sikusikilizi lazimA ajue

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 2 роки тому

    Shida ya Ngurumo ni Kiswahili hujui kwani ni mtu wa Bara. Rais ameongea mashairi ya Taarabu kwakuwa anajua Kiswahili na Tafsiri yake sio ya moja Kwa moja unavyofikiria Au unavyotaka watu watafsiri. Nenda kakifunze Kiswahili kwanza ndio utamwelewa Rais Au kasikilize nyimbo za Taarabu kwanza ili siku nyingine ukisikia misemo ya Rais uielewe kirahisi bila tafsiri. Nikusaidie tuu ni hivi, Rais alimaanisha yeye ndiye mwenye mamlaka ya maamuzi kwenye nchi ya Tanzania kwa dhamana aliyonayo au aliyopewa na wananchi na Katiba.. Next time utafakari kwa mtindo Huu.

    • @bonnyngowo7567
      @bonnyngowo7567 2 роки тому

      Asante Ansbert kwa ufafanuzi.Nimekuwa nikijifunza mengi kutoka kwako

  • @lameckbalekere1962
    @lameckbalekere1962 2 роки тому

    Shamba la bibi

  • @richardbituro7576
    @richardbituro7576 2 роки тому

    😂😂😂😂😂😂

  • @magdalenajohn6564
    @magdalenajohn6564 2 роки тому +1

    Jamani msiwe negative .huo Ni mfano.anamaanisha yeye anamamlaka .watu hawawez fanya Jambo mpk ashirikishwe usimnukuu vibaya

    • @albertkamala6843
      @albertkamala6843 2 роки тому +2

      Hakuna negativity ktk kuhoji kauli tata za viongozi, hii ya Rais kuwa mwenye shamba ikiwa mojawapo! Kwa muktadha wa kikosi kazi kutofanya lolote pasipo kushirikishwa mwenye shamba...hapo tyr kuna mgongano mkubwa wa kimaslahi!! Kikatiba, mwenye shamba ni wananchi, siyo Rais! Sasa kikosi kazi kinamwakilisha nani? Je, kiko huru?

    • @albertkamala6843
      @albertkamala6843 2 роки тому +2

      Rejea kusikiliza somo la elimu ya uraia ktk maswali magumu...upate kuelewa vzr!

    • @richardbituro7576
      @richardbituro7576 2 роки тому +1

      @@albertkamala6843 ✔

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 роки тому

    Utabaki na ngonjera ngurumo wewe kaa huko huko kama lisu na lema

    • @mtaniphinias
      @mtaniphinias 2 роки тому +2

      Sijawahi kuona mwanamke tahira kama wewe, badala ya kusikiliza kinachosemwa kina msingi gani kwa nchi yako na wewe mwenyewe; badala yake unatoa kauli za kejeli. Jinga sana!

    • @kisangageorgethomasi2830
      @kisangageorgethomasi2830 2 роки тому +1

      Nahisi ni wengi wapo gizani kufikiri na upeo ni mdogo sana mmmh! TZ kazi tunayo bado sanaaaa!

    • @felixmsale9244
      @felixmsale9244 2 роки тому +1

      Yaani wewe Sina Jina sahihi la kukupa !!!!

    • @felixmsale9244
      @felixmsale9244 2 роки тому

      Maana unatufungua macho wengi big Up bro

    • @samsonfulgence5553
      @samsonfulgence5553 2 роки тому +2

      Margreth una bahati mbaya sana ya kuwa na uelewa mdoogo sana wa mambo. Na mbaya zaidi kwakuwa huna akili, huoni aibu kuanika ujinga wako kwenye mitandao. Usiwe unachangia chochote kwenye mitandao maana huwa unachangia ugoro tu na kujianika hadharani na kuionyesha dunia usivyojua chochote.