ASANTE SERIKALI KWA 'UBAYA HUU'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 209

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 Рік тому +3

    Hongera sana kaka. Uchambuzi huu umepanda viwango vikubwa sana

  • @suleymanmazaila1529
    @suleymanmazaila1529 Рік тому +12

    Hatimae leo nimekuwa wakwanza baada ya kusubiri kwa muda mrefu kupata update mpya.. Nakuelewa sana bro ansbart ngurumo, mungu akuzidishie maarifa na afya njema tuzidi kunufaika na uwepo wako kwakupata maarifa sahihi na tafakuri za kina. Be blessed brother.

  • @EvaKiswaga-j2o
    @EvaKiswaga-j2o Рік тому +12

    Kweli hata mimi sikujua kama kunawimbo huu .polisi wamenisaidia sana.halafu wanasema achaneni na habari za mitandao. Mama unadanganywa.!wanakuzunguka tu. Shauriyako

  • @Abelyjohn-b5l
    @Abelyjohn-b5l Рік тому +8

    Nape acha uongo, hao watu mnawasomba na ma fuso toka sehemu mbali mbali, nani ambaye hajui hilo

  • @nicolausminja689
    @nicolausminja689 Рік тому +10

    Sijasikua huo wimbo ngoja nitafute😊

  • @derickcowly6681
    @derickcowly6681 Рік тому +3

    Wewe kiongozi gani mjinga sana umejaa ujinga sana akupaswa kuwa kiongozi uyo mama ajitafakari sana na wateuzi wake wanamwabisha sana

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 Рік тому +7

    Nimeupata ni mzuri sana

  • @suraiyahhussein3608
    @suraiyahhussein3608 Рік тому +6

    Dahhh umenifanya ni comment Leo mimi mwenyewe ndo nmesikia akiongelewa huyo bint Leo ngoja nikatafute nijue kaimba nini zaidi na nimfahamu vizuri.

  • @EvaKiswaga-j2o
    @EvaKiswaga-j2o Рік тому +5

    Asante mchambuzi wetu. Uko sahihi kabisa.

  • @EvaKiswaga-j2o
    @EvaKiswaga-j2o Рік тому +6

    Anajitambua Sana. Anatengeneza ulaji. Hana lolote. Ndio maana magu alimtema.mapema sana. Mama akawarudisha saafu nzima. Waliotemwa.

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 2 місяці тому

    Uko vizuri kiongoz Kwa ufuatiliaji MUNGU aendelelee kukupa afya njema mtumishi.

  • @ymohammed963
    @ymohammed963 Рік тому +3

    Big up sana mzee

  • @InnocentLuvanda
    @InnocentLuvanda Рік тому +6

    Ulikuwa hujulikani Sasa umejulikana na wazarendo watanzania .

  • @Abelyjohn-b5l
    @Abelyjohn-b5l Рік тому +4

    Wewe nape wananchi wa Jimbo lako mwenyewe hawakupendi

  • @ephrahimjoel6406
    @ephrahimjoel6406 Рік тому +3

    Kweli Nape una akili kweli cc tuko nje mwongope mungu

  • @EvaKiswaga-j2o
    @EvaKiswaga-j2o Рік тому +2

    Mama anapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa. Mama anawaamini tu! Wakati wanatafuta ulaji.unakubali kupambwa. Kusifiwa. Naona wamekusoma uapenda kusifiwa. Ndio maana wote wanapozungumza wanakupamba saaana. Na wewe unasema safi. Pole sana.

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 Рік тому +9

    Binti kasema ukweli tunaonekana nyani Serikali imejaa ukatili kuwaweka ndani wakweli 🙏🙏🙏💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻🙏💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻

  • @LusajoKabuka
    @LusajoKabuka Рік тому +3

    Hee nyii watu hivi kweli huyu ni waziri anayetamka maneno hayo atupuzee watanzaniia here yupo mungu anyaona machozi tutafutwa kwa muda wake

  • @derickcowly6681
    @derickcowly6681 Рік тому +3

    Kweli kabisa wanatuona kama Nyani🙉🙉🙉🙊🙊🙊🙈🙈 kweli ndiyo hiyo kama Nyani

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Рік тому +6

    Ngurumo huyo hajashuka huku chini angeyasikia hawa wananchi maskini Nape hana lolote Samia hajachsguliwa yeye alikuwa Makamu tu mjinga huyo

  • @Abelyjohn-b5l
    @Abelyjohn-b5l Рік тому +4

    Nimeshajuwa ni kwa nini ulitolewa bastola

  • @gracewilly5143
    @gracewilly5143 Рік тому +10

    Nikwel tunautafuta tumeusikia ni mzuri sana

  • @nabimanyafesto5014
    @nabimanyafesto5014 Рік тому +3

    Asante brother kwa akili Mungu amekuzawadia ukaiwakilisha vyama

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 Рік тому +11

    Inauma sama chama changu hakiendi na wakati.Hali ni mbaya nape usidhani hawa watu ni wajinga .Do not take business ych

  • @donaldbenedict5761
    @donaldbenedict5761 Рік тому +6

    Huyu Nape hajitambui ndio maana Magufuli alimtumbua angalia mama huyu jamaa Nape ni nguru mbili watanzania walipiga lkura lini zakumchagua Samia Nape aache propaganda zake watanzania wa leo sio wale subiri 2025 kitakacho wakuta CCM

  • @KevinLwena
    @KevinLwena Рік тому

    Sk Media Mungu akutunze una madini mengi sana

  • @benjaminmtebe5009
    @benjaminmtebe5009 Рік тому +2

    Mwenyezi Mungu ni mwema
    Yaliyosirini ni ya Mungu ya Wanadamu yamefichuliwa wao na Vizazi vyao hata milele
    Kumbukumbu la Torati 29:29

  • @kwasmokweka9598
    @kwasmokweka9598 Рік тому +5

    Darasa lenye wanafunzi 100,wakipiga kelele 16 hakutakalika

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 Рік тому +5

    POLICE WANAHANGAIKA NA BINTI KUMBE WANAMTENGENEZEA USHUJAA

  • @bethkatunx7677
    @bethkatunx7677 Рік тому +1

    Nimekupenda bule

  • @albertkamala6843
    @albertkamala6843 Рік тому +5

    >Kauli ya Waziri wa Habari hapa zinaashiria joto kali la Uchaguzi 2024/2025.
    >Bahati nzr kauli tata za kusifia zimetolewa hadharani...umma umesikia na utaamua wkt utakapowadia!

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 Рік тому

    Ngoja ni share kila mahali kabisa my brother

  • @Abelyjohn-b5l
    @Abelyjohn-b5l Рік тому +5

    Nape ungejuwa maumivu yalivyo ndani ya mioyo ya hao watu waliokuwa hapo, usinge ongea hayo matope, ushukuru polisi waliopo hapo bila hivyo wangepita na wewe, maana unazidi kuwa pandisha hasira

  • @Abelyjohn-b5l
    @Abelyjohn-b5l Рік тому +5

    Mama nape anakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa

  • @bonnyngowo7567
    @bonnyngowo7567 Рік тому +2

    Ansbert Mungu akutie nguvu🙏🙏

  • @adriannebatakanwa6904
    @adriannebatakanwa6904 Рік тому +1

    Kwa kweli akiwa Waziri mwenye dhamana ya Wizara ya habari sikutegemea aongee hivi. Tukiachana hata na hizo nyimbo. Daah! Yaani! Wageni wanatuibia ina maana wameshasoma uwezo tulio nao!!

  • @ParimeloNgarim
    @ParimeloNgarim 4 місяці тому +1

    Vizur san baba daaa unatufundisha sas

  • @robisonikadogo7371
    @robisonikadogo7371 Рік тому +5

    Wautu wekee uo wimbo wengine stujausikia tukaucheze vizuri

  • @Abelyjohn-b5l
    @Abelyjohn-b5l Рік тому +8

    Mama kama hujui magufuli alimtema nape kwa sababu hizi hizi, Moja wapo ni hizo sifa za kijinga

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 Рік тому +4

    Binti amekua hero💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻

  • @egnomsigwa8418
    @egnomsigwa8418 Рік тому +4

    Weee nape wewe nihatari sana mnafiki sana

  • @ZamoMartin-i2e
    @ZamoMartin-i2e Рік тому +5

    nawshukuru sana polisi bila nyie nisinge ujua huu wimbo wakuupata. souz afrca aliitwa salafina. adi leo kumukumbu zake zipo. nasisi apa tanzania tumempata mtoto sifa mtetezi wataifa letu . ahsanteni polisi apo mbeya

    • @valerianmtowe7822
      @valerianmtowe7822 Рік тому

      Police wAmekuwa basata

    • @oam14l
      @oam14l Рік тому

      ua-cam.com/video/nKrdDxIZ_hw/v-deo.htmlsi=fR4mWG9WoJWb46cR

  • @peterdunia8647
    @peterdunia8647 Рік тому +8

    Tumwombe mungu tuseme ukweli mbele za watu nape.watu ni sauti ya mungu

  • @myself4128
    @myself4128 Рік тому +4

    kweli hii nchi imeisha oza!!! Yaani Rais ana Chawa???wanamuongopea hatumpendi wala Hatumtaki wala Hatujamchagua!! ni dikteta na muuzaji halal wa Mali za Nchi hana uwezo wa Kuongoza hata Kijiji

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 Рік тому

      Hujamchagua? Aliyechaguliwa Rais automatically na Makamo wake amechaguliwa na ndio sababu kwenye karatasi ya kura alikuwepo. Hivyo ukichagua chama au mtu umemchagua mgombea.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 8 місяців тому

    Nape ana chawa wa Samia. Anafanya serikali yake ituone kama nyani tu. Endelea kutuona kama nyani, Mungu anatuona kama sawa na kusudi alilotumba. Wewe na mama na serikali yela CCM mtuone kama nyani tu

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Рік тому +3

    Wanatikisika sanaaaa viongozi wote wa juu wa ccm

    • @Abelyjohn-b5l
      @Abelyjohn-b5l Рік тому +1

      Kama nape, Mimi namuona kama nyani tu

  • @francissimwinga-gb2vd
    @francissimwinga-gb2vd Рік тому

    Kweli kabisa kama Rais anaungwa mkono sana na watu ambao hawako mitandaoni Kwa nini mnawapelleka mahakama watu wa mitandao

  • @dismasmtui729
    @dismasmtui729 Рік тому +1

    Asilimia 16% ya Watanzania ni 9.6m!.Sasa ukiwapata hawa wote sio mtaji wa kutosha?!.JPM alishinda kwa kura ngapi?!

  • @Abelyjohn-b5l
    @Abelyjohn-b5l Рік тому +1

    Samia muangalie sana huyo nape, anakudanganya, watanzania walio wengine Hawa kuungi mkono

  • @HENRYMUNDI
    @HENRYMUNDI Рік тому +3

    Kazi ipo du

  • @AnsbertNgurumo
    @AnsbertNgurumo  Рік тому +6

    UWONGO WA TAKWIMU ZA NAPE HUU HAPA:
    Rais Samia Suluhu unawezaje kukubali kudanganywa na ‘muhuni’ kama Nape Nnauye mbele yako?
    Taarifa ya utendaji wa Sekta ya Mawasiliano kwa robo ya kwanza ya mwaka 2022/2023 imefafanua (tazama kielelezo)
    Ripoti hii ya utendaji wa kisekta iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inaonyesha mambo yafuatayo.
    Watumiaji wa intaneti wameongezeka kutoka 29,169,958 Juni 2022 hadi 31,122,163 Septemba 2022 sawa na ongezeko la 6.7%
    Mwelekeo wa ongezeko la watumiaji wa intaneti kuna ukuaji wa 17% kila mwaka, katika kipindi cha miaka mitano (5)
    Mwaka 2017 kulikuwa na watumiaji 16,106,636 na Desenba 2021 waliongezeka hadi kufika 29,103,482. Ongezeko la 12,996,846
    Matumizi ya intaneti yameongezeka kutoka wastani wa MB 6,037 kwa mtumiaji Machi 2022 hadi MB 6,626 kwa mtumiajia Septemba 2022
    Takwimu za Ripoti ya utendaji wa sekta ya mawasiliano zinabainisha Mitandao mitano (5) ya kijamii inayotumiwa zaidi nchini Tanzania
    Walipima kwa kiwango cha matumizi ya data kwa kipimo cha Gigabyte (GB) - unit of data storage capacity that is roughly equivalent to 1 billion bytes.
    Facebook bilioni 2.59gb, UA-cam bilioni 1.91gb, WhatsApp bilioni 1.58gb, TikTok gb999 milioni. Hizi ni takwimu za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)
    Leo katika mkutano wako Lindi na Mtwara, Nape Nnauye anasema watumiajia wa mitandao Tanzania ni 16% tu na kwamba 40% wapo nje ya nchi (diaspora)
    Takwimu za June 2023 Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inaeleza watumiaji wa intaneti wamefika 33,967,699. Hii ni zaidi ya 50% ya idadi yote ya watanzania.
    Idadi ya Watanzania wote ni 61,741,120. Hivyo ukitoa idadi ya watanzania wanaotumia intaneti (33,967,699) unapata ni watanzania 27,773,421 hawatumii intaneti.
    Asilimia 40 ya watu 33,967,699 ni watu 13,587,079. Lakini sishangai kabisa, Nape hakusoma hesabu, na hata somo la uraia (civics) aliokota mswaki wake mzuri tu.
    Rais Samia Suluhu taarifa ya utendaji wa Sekta ya Mawasiliano kwa robo ya kwanza ya mwaka 2022/2023 imeandaliwa na TCRA @Nnauye_Nape akiwa Waziri.
    Je, Waziri na Mamlaka ya Mawasiliano walitudanganya watanzania kwa takwimu zao au leo Waziri wa Mawasiliano ndiyo amekudanganya wewe na watanzania?
    Rais Samia Suluhu kama utashindwa kuonyesha hasira yako ya dhati kabisa kwa ‘muhuni’ huyu muongo wananchi tutakwazika sana. Akanywe kwa vitendo. Amekupotosha.
    Rais lazima ujiulize, Kwanini Waziri wako anakudanganya mbele ya umma? Lengo lake ni lipi? Kwanini amechagua hadhara ndiyo akupotoshe bosi wake? Waziri wako atakuwa anakudharau parefu. Muonyee!
    MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha Рік тому +3

    Unaongelea huyu kihiyo na mwana dynasty? Ama kweli chawa wako wengi tena wengine wana vyeo. Bila kusifia atakula mafi yake? Samia hoyee kwa kusifiwaaaaaa. Kwani hao watanzania anaoongelea wako nje si watanzania au ni kwa vile alisomea India ambako hakuna fursa? Nani alimchagua rais? Samia alichaguliwa na kifo ila si uchaguzi. Kama allichaguliwa akiwa na Magufuli, awamu yake ilishazikwa zamani. Nape is trying to fool both himself and Samia

  • @leahsangawe9609
    @leahsangawe9609 Рік тому +1

    Nami nasema ni kweli kabisaa "WANATUONA NYANI TUU"

  • @ulomirabiel6980
    @ulomirabiel6980 Рік тому +1

    Asilimia 16 ndio nyani haswa. Lakini hao ndio waliokwenda shule. Aslimia 84 wasiosoma pengine hao watakuwa nyani mikia miwili.

  • @kambanimwanyulu7570
    @kambanimwanyulu7570 Рік тому +1

    16% tu ndio wapo kwenye mitandao, na katika hao 16 %, 40% wako nje ya nchi.....
    Hesabu sijaielewa kabisaa

  • @MbwamboMbwambo-qy4yh
    @MbwamboMbwambo-qy4yh Рік тому

    Mimi nimemdharau nape, hajielewi, mmi nipo hapa Tanzania lakini katu siwezi kuipa ccm kura,

  • @LusajoMwajeka-tf1nj
    @LusajoMwajeka-tf1nj Рік тому +1

    Kweli mzee ongea ukweli mtandaoni tupo aslimia 95 leo wanasema hatupo mitandaoni tumesikia wazili huyu,,,,,

  • @mamakoku5123
    @mamakoku5123 Рік тому +4

    nashindwa kuelewa nini maana ya Haki jinai na lengo lake nchin

  • @emilysanga7662
    @emilysanga7662 Рік тому +1

    Huyu mwamba natamanisana kuonana nae

  • @allanmbilinyi4826
    @allanmbilinyi4826 11 місяців тому

    SAMIA HOOOOI NAPE ANABEMBEKA KAZI NANI KAMCHAGUA SAMIA.

  • @josephbanda2896
    @josephbanda2896 Рік тому +1

    Kiukweli huyo nijambazi aliye changanyikiwa hajui alitendao sasa sisi wanaichi tunamuahidi nape kuwa 2025 ccm watake wasitake watang'oka sisi wanaichi ndiyo tunaosema hivyo ama kweli huyo nape nimwenda wazimu mkumbwa.

  • @justusndyamukama4808
    @justusndyamukama4808 Рік тому +2

    Binti yuko vizuri

  • @stevenmrema237
    @stevenmrema237 Рік тому +1

    Wape vidonge vyao baba

  • @Abelyjohn-b5l
    @Abelyjohn-b5l Рік тому +2

    Naona nape jinsi anavyo tengeneza mazingira ya wizi wa kura

  • @hemedchuma9-cq4nh
    @hemedchuma9-cq4nh Рік тому +1

    Nape ayeee

  • @gregoryRukiza
    @gregoryRukiza 6 місяців тому

    Mnawie hajawahi kuwa na hekima.😢😢😢 Kuendelea kumzungumzia jitu jinga kama hilo ni kupoteza mda. Jitu limejaa Uroho, fisadi, Malaya. Debe tupu haliachi kutika. Mlamba matapishi.

  • @alexanderjey257
    @alexanderjey257 Рік тому +2

    nape ni chawa kama chawa wengine tyuu hana jipya ni mnafiki sana

  • @fadhilimwaitete3692
    @fadhilimwaitete3692 Рік тому +1

    Ohoo nape mama samia akuchaguliwa mbona unatupotosha hizi sifa zote ujuwe unajizalilisha nakuliza uchagizi wa kumchagua raisi samia ulifanyika linini na wapi wewe nape acha poropo ganda kumbe kweli nape unatuona sisi ninyani kweli nimeamini

  • @OrastoMgaya-rg2ck
    @OrastoMgaya-rg2ck Рік тому +1

    VIONGOZI WENGINE BANA ZERO KABISA

  • @Abelyjohn-b5l
    @Abelyjohn-b5l Рік тому +2

    CCM tunawaona kama manyani tu

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 Рік тому +2

    Mpaka wamevunja sheria na katiba kisa mnatuona nyani.mama fukuza mijitu mijinga hii

  • @xaixaiobrigado4846
    @xaixaiobrigado4846 Рік тому +1

    Kwamba watZ wamemchagua yy chf H?, Lini walimchagua?

  • @MurunguwetoshaDeheaven
    @MurunguwetoshaDeheaven Рік тому +1

    Mimi natamani hata kumuoa binti huyu😅

  • @erastomapunda1444
    @erastomapunda1444 Рік тому +9

    akili ndogo nguvu nyingi hawa tusha wadharau na wamempaisha bila kujuwa

  • @Abelyjohn-b5l
    @Abelyjohn-b5l Рік тому +4

    Ni kichaa peke yake ndiyo atakae ichagua sisiem

  • @mfwimiekayuki8692
    @mfwimiekayuki8692 Рік тому +1

    Samia lini kachaguliwa kuwa rais wa TANZANIA Nape Acha za kuleta.Usimdanye eti 16% ok.

  • @GabrieliKitindi
    @GabrieliKitindi Рік тому

    Hii nchi jamani angalieni wachungaji wameanzakupewa au kununuliwa gari nawabunge eti anapongezwa kwakustafu kweli wakati wanatuzunguka kuhusu kauli yakupoteza msimamo wakusitisha mkataba wabandari hii nchi hiiiiii mungu wabariki watanganyika nauwatetee kwa wakati wako nakuwapoteza wanaoingia mikataba yahovyo nakutaka kuwasahaulisha watanganyika hawatosahau kamwe.

  • @mwakalikuhossana3942
    @mwakalikuhossana3942 Рік тому +1

    Ni kweli kabisa

  • @mmewaswida
    @mmewaswida Рік тому +1

    Boasting ya kijana huyu imepitiliza.
    Alisema kabla hajapewa nafasi hii kwamba ccm ina wenyewe.

  • @robisonikadogo7371
    @robisonikadogo7371 Рік тому +2

    Wanatuvarisha nguo za bruu kwa kitukido Kisha wanamdanganya mama,ira naisi mama ameisha wajuwa

  • @fadhilimoshi5754
    @fadhilimoshi5754 Рік тому +1

    Wee ni mbwa kabisa kula kulala Samia amechaguliwa kwa kura ipi hujui hata kama kateuliwa mmekula nchi tangia utoto hata hushibi? Kuna siku utakula udongo Uza robo tatu ya ulivyo navyo ununue Hekima.

  • @Abelyjohn-b5l
    @Abelyjohn-b5l Рік тому +1

    Nape huna lolote, unajipendekeza tu, unashinda kwenye ofisi ya kiyoyozi tu, hebu pita mitaani uone jinsi watu walivyomchoka mama na Hilo li sisiem lake

  • @henrymassawe699
    @henrymassawe699 Рік тому +1

    the first one

  • @Abelyjohn-b5l
    @Abelyjohn-b5l Рік тому +3

    Acha kumdanganya Samia wewe

  • @Frank-b2d6u
    @Frank-b2d6u Рік тому +2

    Acha upumbavu nape Samia nani kamchagua huna akili

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 Рік тому +1

    LISINGEĶUSUMBUA HIZO ASIMILIA16 🤔🤔🤔

  • @osodowilberforce2321
    @osodowilberforce2321 Рік тому +2

    Sasa huu ndio upumbavu wa hali ya juu kweli.Nape Nawie?Ni yeye Kweli?

  • @josephmusagasa5566
    @josephmusagasa5566 Рік тому

    Asilimia 16 wapo mitandaoni, hujatuambia ni asilimia ngapi hawapo kwenye mitandao na wasiounga mkono hii serikali?

  • @SaleheKassim-h7m
    @SaleheKassim-h7m Рік тому +1

    Kwann uyo jamaa anatudharau kiasi hiki

  • @dassustephen731
    @dassustephen731 Рік тому +1

    Unajua jinsi Nape Mnauye anavyoongea anadhani anaongea na hadhira ya wapumbavu.Mungu amrehemu

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 Рік тому +1

    Na mimi Ngoja nikautafute kwenye you tube niusikulize .

  • @InnocentLuvanda
    @InnocentLuvanda Рік тому +1

    Hongela wewe Binti,wa Mby,

  • @OdiloMagungu-uf5is
    @OdiloMagungu-uf5is Рік тому +1

    Nape kweli hamna kitu

  • @isacktesha6659
    @isacktesha6659 Рік тому +1

    Tutawaonyedha keshokutwa ,watajua hawajui chochote

  • @samuelmuthui4699
    @samuelmuthui4699 Рік тому

    Wewe ni njaa ndio inakusumbua

  • @alijuma8009
    @alijuma8009 Рік тому +1

    Rais nakupenda ila wazir anakudanganya

    • @AdamShaban-f8e
      @AdamShaban-f8e Рік тому

      Nape kumbuka MLI msisifu maguli Mara mka muuwa

  • @peterkalimba1507
    @peterkalimba1507 Рік тому +1

    Rais tunampenda lakini maisha yamekuwa magumu atunusuru!

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 8 місяців тому

    Alichaguliwa samia lini?

  • @josephmwita6012
    @josephmwita6012 Рік тому +1

    mzee wewe hakika wewe ni msomi wa siasa

  • @ezekielmabwai482
    @ezekielmabwai482 Рік тому +1

    He is Pregnant, his deliverly date is few days to come.