WAZIRI VIKOSI MOTO WA KUOTEA MBALI NDANI YA BARAZA UCHAGUZI UNAKARIBIA ACHENI SIASA CHAFU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024
  • TOA MAONI YAKO KWA KUTUMA SMS AMA KUPIGA KWA KUTUMIA SIMU NAMBA 0773 95 35 31 AU 0777 94 54 74 AU 0777 37 37 87 FACEBOOK PAGE TIFU TV ZANZIBAR ,TIFU TV KIJAMII ZAID.
    #Tifutv #zanzibar #kijamiizaidi

КОМЕНТАРІ • 79

  • @mchagagaspar6649
    @mchagagaspar6649 3 місяці тому +2

    WEWE WAZIRI ZUNGUMZIA HAKI ZA CHI JEE MNAYOHAKI KUA NYINYI NI NCHI KAMILI ,KUA MKWELI SIMAMIA HAKI DUNIA UTAIYACHA WEWE ...

  • @jombadulla
    @jombadulla 3 місяці тому +1

    ahsante askar we uhamiaji

  • @smilevideocreatorsznz
    @smilevideocreatorsznz 3 місяці тому +1

    Kuna vijana wa chama fulani ni wataalamu wa kutukana viongozi sijui itakuwaje😂😂😂😂

  • @axmedcali5097
    @axmedcali5097 3 місяці тому

    Tatizo lenu ccm ni kuiba kura tu kama kutakuwa hakuna wizi wa kura basi hakuna atakaye mtomads

  • @Aisha-lj8bu
    @Aisha-lj8bu 3 місяці тому +2

    Mmnaweza ila Allah anaweza zaidi yenu kazi yenu kuuwa nakuiba kura vidole tutavinyoosha Ila Allah atawanyoosheeni zaidi msipotenda haki

  • @ZahorSalum-h9q
    @ZahorSalum-h9q 3 місяці тому +4

    Masuud tuuwe bwana weka mikakati mizuri yakutuua lkn tu kumbuka ww km kweli nimtu waole bc niamini pia unajua naww utakufa napesa unazozitafuta utaziaacha.

  • @amriyyahamad3946
    @amriyyahamad3946 3 місяці тому +1

    Sasa haki gani unaongea upuuzi mtupu mbona hio haki ya uchaguzi hamuapi vitambulisho kachaguliwa katiba ya ccm USITISHE WATU WAZANZIABAR YOTE SIO MAGENI KWAO YOTE YAMETOKEA KM UBAYA UBAYA TU TUPO TAYARI

  • @HumoudSalim-ct1tz
    @HumoudSalim-ct1tz 3 місяці тому

    Lakini mnavyouwa lakini amini usiamini nanyinyi mtakufa

  • @HumoudSalim-ct1tz
    @HumoudSalim-ct1tz 3 місяці тому

    Basi msipige kura wahinganyinyi

  • @MohammedabdallahHaji-qt7qh
    @MohammedabdallahHaji-qt7qh 3 місяці тому +1

    tupo tayr kwalolote muhanga tushajitowa

  • @ommarallyhamad7435
    @ommarallyhamad7435 3 місяці тому +2

    KWELI INAUMA,
    FANYENI UADILIFU ILI MSISEMEE VIBAYA,
    WAPENI WAZNZ HAKI YAO YA VITAMBULISHO KWA WAKATI BILA UCHAMA ,MSIOGOPE KUWENI WAKWELI

  • @ommarallyhamad7435
    @ommarallyhamad7435 3 місяці тому +1

    Wananchi sio wewe peke yako

  • @ramzsule7678
    @ramzsule7678 3 місяці тому +2

    Mbona Allah anatukanwa kila siku hujasema kitu

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 3 місяці тому +2

    Ahhhh Zanzibar kuna problem kubwa sana sana nusu ya Wananchi hawana nidhamu. Kwa mfano mdogo tuu pale Forodhani ni pahala pa kustarehe Wananchi na Wageni wote wanopenda kwenda Sasa ndio imekuwa pahala pachafu kuna watu wanakula wanawacha sahani za karatasi na mataka kata kwenye sehemu za watu wanokaa na kila pahala tunaiyomba Serikali isimamiye sehemu kama hizi.

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 3 місяці тому +2

    Kupiga kura ni kitu kizuri sana lakini kuwe na haki bila ya kupendelea upande mmoja na aloshinda kweli basi apewe ushindi bila ya kuwauwa Wana Wanchi, inakuwa furaha kwenye Nchi kheri na baraka inazidi. Viongozi wa Zanzibar kuogopeni Mwenyezi Mungu. Kuchukuwa kitu siyo haki yako na kusherehekea na unajuwa haki haikutendeka hapo ni jukumu kubwa mnalibeba kwenye maisha yenu na vizazi vyenu.

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 3 місяці тому +1

    Hata kama hukulaumiwa au kuhukumiwa hapa duniani lakini kwa Mungu huna salama hata kidogo. Damu za waislamu hazitokuacha katu.
    Kwanza kazi za kutuliza ghasia na vurugu ni za polisi, elewa hilo, hao wanaokutuma hawatokusaidia kutu. Duniani tunapita tu.

  • @Abdul-oc1ul
    @Abdul-oc1ul 2 місяці тому +1

    Www wch kiburi ww mbwa dunia utaiwacha

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 3 місяці тому +3

    MUDA MFUPI WA UHAI, LAKINI UTAKUHARIMU SIKU YA MAUTI!

  • @ZanzibarTrltrusttours
    @ZanzibarTrltrusttours 2 місяці тому

    Maoni yangu Mimi ni kuwa:- Namuona muheshiwa aliyezungunza hapo anakasea kwamba anaugakika Rais wajawo WA Zanzibar na Tanzania ndo hawo aliwowataja kwasababu uchaguzi haijafika na wapigaji kura ni wengi kama hakutatokea uchafuzi Jana uke WA 2020 hawezi kuwa kwamba nani wananchi wengi watamcgaguwa. Isitoshe ikiwa mzungumzaji ni Muislamu na ni muumini WA kweli WA Allah anapoeleza MAELEZO yake mwisho,mwanzo au katikati aseme inshallah kwasababu yeye ni kiumbe hajuwi lini aliyemuumba atamuhitaji. Nawaombeni mufanye uchafuzi WA guru na WA haki mukifanya Ivo mtadumisha Amani ya milele. Nawatakieni mawajibiko mema

  • @ZanzibarTrltrusttours
    @ZanzibarTrltrusttours 2 місяці тому

    Maoni yangu Mimi ni kuwa:- Namuona muheshiwa aliyezungunza hapo anakasea kwamba anaugakika Rais wajawo WA Zanzibar na Tanzania ndo hawo aliwowataja kwasababu uchaguzi haijafika na wapigaji kura ni wengi kama hakutatokea uchafuzi Jana uke WA 2020 hawezi kuwa kwamba nani wananchi wengi watamcgaguwa. Isitoshe ikiwa mzungumzaji ni Muislamu na ni muumini WA kweli WA Allah anapoeleza MAELEZO yake mwisho,mwanzo au katikati aseme inshallah kwasababu yeye ni kiumbe hajuwi lini aliyemuumba atamuhitaji. Nawaombeni mufanye uchafuzi WA guru na WA haki mukifanya Ivo mtadumisha Amani ya milele. Nawatakieni mawajibiko mema

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 3 місяці тому

    Huyo alosema Rais atakuwa Mwinyi Mhhhh ya kesho hatuyajuwi 😂😂😂😂 Magufuli alisema ndio kishafika Subhana Allah yuko wapi??? sidhani kama Dr. Hussein anakubali kuendelea kuwa Rais hapo Zanzibar ikiwa Wana Wanchi hawajamchaguwa achukuwe kwa kuiba kura na kuuwa watu Kama miaka yote, sijuwi ya Mungu mengi.

  • @NassorRashid-g9y
    @NassorRashid-g9y 3 місяці тому

    Kashajua harudi tena kuwa wazir na hata akihamishia vikos vyote Ole uwakilishi atausikia tu.
    Mwache abwabwaje.
    Kwanza hatukuichagua Ccm,tuliichagua Act na kama tuliichagua Ccm niambie kura zilihesabiwa kituo gani.
    Na kama ni rais wa wote mbona hatuoni akitoa haki kwa wote?
    Rais wa wote anathubutu vipi kusema nikitoa kazi nileteeni walionichagua.
    Waliokuchagua ni nani ?
    Ilivyokuwa mna vyombo vyenye mabunduki uweni na mkifika kwa mungu pia ilivyokuwa mna mabunduki wakati wa kudomewa kesi zenu nae pia muuweni.

  • @ashahamad-mq3iz
    @ashahamad-mq3iz 3 місяці тому +6

    Hodari sana wa kusema sisi tunajua kuwa nyinyi ni wababe muna uchaguzi muna uchafuzi hapa Tanzania hakuna uchaguzi labda ufisadi uongo uuwaji na wizi wa kura tusubiri kuuliwa ndugu zetu Wapemba

  • @HassanSalmin-u7r
    @HassanSalmin-u7r 3 місяці тому

    Mnatoa namba mpigiwe kisha mna wapa wakezenu mna waambia waseme si waziri uliempigia

  • @AbdallaJuma-tx5ck
    @AbdallaJuma-tx5ck 3 місяці тому

    Sasa maendeleo ni masoko.acheni mambo ya zamani.CCM.mmeishiwa

  • @KhamisBakar-ge4sp
    @KhamisBakar-ge4sp 3 місяці тому +1

    Ila CCM amani hawaitaki, Hawawezi kukaa madarakan mpaka wamwage damu.
    Uchaguzi wa 2015 hakupigwa mtu walipoona wameshindwa wakafuta Uchaguzi , kisha wakaanda Uchaguzi mpya huku wakileta Vifaru Nchi mzima kama kwamba hii Nchi ina vita ilhali Uchaguzi hule wameachiwa wafanye wao CCM tu,
    Inasikitisha Masoud kusema maneno hayo huku ukiwa unajuwa kuwa umekaa hapo kwa dhulma tu ya watu wa Ole😂😂😂😂

  • @zahiribrahim8319
    @zahiribrahim8319 3 місяці тому +1

    I don't understand swahili language, it is a very nice language amazing 😅 because, let's me gives you an example 😉 when you speak whatever you say it's gives you an answer! For myself it's complicated 😂 that's funny! I don't get it lol 😂 can anyone translate this please 🙏 😭, Zanzibar beautiful Islands of Africa. 🎉 baba uko vizuri mitano tena Mwinyi na Mama Samia ❤ Shughuli si ndogo hii wanyooshe na mapemaaa! Isije ikatokea balaa hapa! 😮

  • @mubajoti743
    @mubajoti743 3 місяці тому

    Hamn lolote nyiny ni njaa tu zinawapeleksh ila mung yupo

  • @AllyOmarHamad
    @AllyOmarHamad 3 місяці тому

    Wachauongo wewe hakukaa kwamujibu wakatuba wacha usengewewe

  • @HassanSalmin-u7r
    @HassanSalmin-u7r 3 місяці тому

    Askari wa SMZ wana shida ham zitatui hauna mpango

  • @saidal-hind5338
    @saidal-hind5338 3 місяці тому +3

    Mbona nyinyi ni wezi sasa

  • @Rukaiya-lt3hm
    @Rukaiya-lt3hm 2 місяці тому

    Mh wangu lazima uelewe bila ya haki hakuna amani

  • @AllyOmarHamad
    @AllyOmarHamad 3 місяці тому

    Hamna lolo nyinyi ccm munaongopa uchaguzi

  • @MULPHATAMOUR-v1e
    @MULPHATAMOUR-v1e 3 місяці тому

    Sikuzote Amani haipatikani bila ya haki

  • @Rukaiya-lt3hm
    @Rukaiya-lt3hm 2 місяці тому

    Kama kweli mnataka amani tendeni haki

  • @AishaMohd-zh4ig
    @AishaMohd-zh4ig 3 місяці тому +1

    Mzee umetisha

  • @KhamisBakar-ge4sp
    @KhamisBakar-ge4sp 3 місяці тому +4

    Hii Nchi sio yako wala babako , Huawezi kukaa madarakan kwa njia za haramu kisha ukatarajia Nchi iwe na Aman, hilo sahau.😂😂😂

  • @RamadhaniMussa-xs5uk
    @RamadhaniMussa-xs5uk 3 місяці тому +5

    Ukiwa ameshinda Kwa njia ya Haki mbona hakuna shida

  • @jombadulla
    @jombadulla 3 місяці тому +1

    mim namjua huyu ni askar wa uhamiaji, lkn wengi hamumjui, nilikutana nae moja kat ya mkoa flani tz bara,nilienda kumrembelea akiwa amevaa uniform za uhamiaj, kwa hyo huyu ni askar asa,

    • @abdulkadirmbarouk5634
      @abdulkadirmbarouk5634 3 місяці тому

      Ila sasa ni kiongozi imara hata Dr mwinyi alikuwa waziri Wa ulinzi mpaka kawa raisi Mashllah

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 3 місяці тому +1

    Mkuu umeeleweka mkuu asie kuelewa analake

  • @Aisha-lj8bu
    @Aisha-lj8bu 3 місяці тому +2

    Msenge huyo hayomadaraka unayojivunia nenda nayo ukajivunie mbele ya Allah nendeni tu mkauwe maana mmeshazowea kuuwa mafala Nyinyi hata kama hamtakiwi mnalazimsha mtakiwe hata kama hampendwi mnalazimsha upendo wakati Nyinyi hamna upendo maisha mbovu sana mnajali matumbo yenu tu

  • @akaumbo9433
    @akaumbo9433 3 місяці тому

    Mnatakaa muendelee kuuwa watu tu,mnapenda sana amani ila hampendi sana haki

  • @MuhamadikhatibMalili
    @MuhamadikhatibMalili 3 місяці тому +1

    Kazi yenu pumba tu humo

  • @alijumes3580
    @alijumes3580 3 місяці тому +1

    Aanze mwinyi kutekelezau uçtutishe

  • @rushydahmed9179
    @rushydahmed9179 3 місяці тому +3

    ammali ya viongozi wa ccm ni kutisha watu kwa kisingizo kuwa wameshika mpini, serikali inaongizwa kwa vitisho wee togwa?

  • @aboudinternational1819
    @aboudinternational1819 3 місяці тому

    AMANI AMANI. Kuna Zanzibar upande mmoja kama mtoto yatima, na kuna wazazi upande mwengine wanakombana. Nini kitatokea, ni mtoto yatima kuachwa bila malezi

  • @mahmoudally6044
    @mahmoudally6044 3 місяці тому

    Anatengeneza ajira yake2025 mbona haongelei upande wa pili au wao tu ndio wenye haki

  • @hassanmakame4382
    @hassanmakame4382 3 місяці тому +2

    Ww mbwa pitia hizi coment uone km hamkubaliki ila mnatumia mabavu,hakuna alecoment kkusuport

  • @HumoudSalim-ct1tz
    @HumoudSalim-ct1tz 3 місяці тому

    Nyinyi niwauwaji jiandaeni kuouwa

  • @ommarallyhamad7435
    @ommarallyhamad7435 3 місяці тому

    Ajenda ya nchi hii ni kukubali kuendelea kuwa vitimbakwiri wa tanganyika kwa kushibisha matumbo yenu,
    MMEKUWA MAVUNJA JUNGU !!!

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 3 місяці тому

      Hao tanganyika nao washaanza kutotaka huo muungano haswaa wananchi ni suala la muda tu

    • @lusakaone7782
      @lusakaone7782 3 місяці тому

      Ila ushirikishwaji katika jamii ni muhimu sana, na ndio maana katika project mradi wowote unahitaji ushirikishwaji.

    • @lusakaone7782
      @lusakaone7782 3 місяці тому +1

      Mh. nilikuwa nakuamini sana ila umepoteza mvuto, akiondoka Dr. HUSSEIN Mwinyi haupati nafasi tena ya uongozi. Labda ubadilike wapende ndugu zako usijipendekeze, kuwa kama sura yako ilivyo unaonekana mtu nzuri walaakin..

    • @NassorRashid-g9y
      @NassorRashid-g9y 3 місяці тому

      Kama ni Rais wa wote mbona mnatubaguwa ?
      Vitambulisho vya mzanzibar mbona hamvitowi?
      Kazi mbona hamtowi hadi uwe na kadi ya ccm?
      Halafu unachoongea hukijui,unatukanwa na ccm mwenzako halafu umekaa tu humo huthubutu kusema chochote.

  • @musr931
    @musr931 3 місяці тому +2

    Watu wa Jimbo la Ole hata hawajuwi kama wewe ni Mwakilishi wao 😂😂😂

  • @MuhammedSubeit
    @MuhammedSubeit 3 місяці тому

    Sawa

  • @adamyussuf1678
    @adamyussuf1678 3 місяці тому

    Mwinyi kaletwa wazanzibari chungu nzima hatukumchagua sisi tulikuwa na mtu wetu naye ni marehemu Maalim SEIF tuuu

  • @mohammedlaabry5799
    @mohammedlaabry5799 3 місяці тому

    Pumbavu huyu wacha tuone kma hawatatumia mgavu na mauwaji na yeye wizara yake ndio itakayo fanya mauwaji na unyanyasaji

  • @NoufelSalim
    @NoufelSalim 3 місяці тому +1

    Dhulma ndo yenu.km unaweza Fanya tuu ,kazi yenu ni kuongea upuuzi mtu mzima.

  • @Aisha-lj8bu
    @Aisha-lj8bu 3 місяці тому +1

    Mkihisi mnatukanwa mjjwe kama nanyinyi mnatukanwa tena ndio Nyinyi ndio magwiji wakubwa

  • @MuhammedSubeit
    @MuhammedSubeit 3 місяці тому

    Ndy

  • @amriyyahamad3946
    @amriyyahamad3946 3 місяці тому +1

    Huyu jamaa mpuuzi kupitiliza uchaguzi ccm hawauwezi na haitotokea wauweze

  • @adamyussuf1678
    @adamyussuf1678 3 місяці тому

    CCM munauogopa uchaguzi sababu munajua hamshimdiiiii muhidiiiiii

  • @YussufJuma-z5u
    @YussufJuma-z5u 3 місяці тому +1

    Na Wala uchaguzi c ubabe Ili mkabaki madarakani 😅😅😅😅😅😅

  • @mohamedjuma1331
    @mohamedjuma1331 3 місяці тому

    Acha kutisha watu wewe kagombanie jimbo huko kwenu ole ushinde

  • @jombadulla
    @jombadulla 3 місяці тому

    kupitia mafunzo ya mazur tu ya jeshi

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 3 місяці тому +1

    Wacha kampeni ndani ya baraza.

  • @suleiman6552
    @suleiman6552 3 місяці тому

    Asa mbona unapiga promo

  • @HalimaYuffuf
    @HalimaYuffuf 3 місяці тому +1

    Kwanza futeni uchaguzi kufanyika cku mbili kama nyinyi c wanafiki

  • @hafidhhemed1514
    @hafidhhemed1514 3 місяці тому

    Mwenye dhamana ya ulizi anasema kua raisi atakua ni Mwinyi, basi hakuna haja kwenda kwenye uchaguzi.. baraza sio sehemu ya kampeni

  • @JumaSalum-j6b
    @JumaSalum-j6b 3 місяці тому

    Ccm ndio wauaji mshajipanga kuua watu kwasababu ccm hawahishimu mtu

  • @yasserahmed9420
    @yasserahmed9420 3 місяці тому

    Kampeni zimeanza ndani ya baraza naonaaa😂😂😂😂

  • @AbdallahSalim-is3db
    @AbdallahSalim-is3db 3 місяці тому

    Kumbe kuuwa watu pia ni katika utukufu ?

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 3 місяці тому

      KAMA KARUME HUKO HAI
      KUSINGEKUWA NA
      CHAMA CHA MAPINDUZI
      @AbdallahSalim-is3db. Sio Siri tena kuuwa Waislam wa Zanzibar ni Catholic Crusade Movement (CCM)
      kwa Ukombozi wa Chama Cha Makanisa (CCM) na Nyerere awe Mtakatifu ni Mapinduzi Matukufu✝️