Mahamri | Maandazi | Jinsi yakutengeneza mahamri / maandazi ya nazi laini sana na mambo yakuzingatia
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- Website:rukiaskitchen.com
Instagram: rukias _kitchen
Facebook: Rukias kitchen
Cookpad: Rukias kitchen
For more swahili videos follow ➡️ / @mapishiyazanzibar - Навчання та стиль
If you would like to watch this recipe in English press the link ➡️ua-cam.com/video/IwKwztK8Yow/v-deo.html
Assalam alaikum dada, mie nikifanya mandazi wakati wa kuchoma yanaingia mafuta naomba nambie nakosea wapi mpenz plz
Je unaeza tumia maji badala ya maziwa?
I have been following you for 2 years now, nimejifunza kupika kupitia wewe Asante sana
Delicious
Mashallah yummy yummy 😋
Rukia keep it up, perfect one
Thank you soo much 😘
Mashallah mazuri sana
MashaAllah
Mashallah dada mapishi yako mazuri😋😋
Asante sana
Delicious 😋
Waau naipenda
Me ni mgeni lkni nimejua ntajifunza mengi
Mashaallah mashaallah mamii!😘😘
I wish ungekuwa my sister...jamani mm sijui kupika but nimesoma mengi kutoka kwako
ungekua unatuambia kama unga nusu,ili iwe rahisi kujua..
Hello, naomba mwongozo nimejaribu this recipe sema maamri yamejaa mafuta ndan wapi nitakua nimekosea?
Acha mafuta yachemke vzuri ndio ukaange..kama mafuta hayajachemka mandaz yanajaa mafuta
Yummy
Salàm alekum mashallaah
Please can you write the details in the description box
Visit my website :www.rukiaskitchen.com
Mimi sijakuelewa kwenye hivyo vipimo, so nataka unieleze hivi, kama kilo moja ya unga, vipimo vyake ni vipi, kuanzia amira, sukari, nazi, iliki na maji, please
I measure with cups , and per cup u have to Add everything per tablespoon
@@RukiaLaltia so kikombe ni cha chai na spoon ile ndogo, sio?
Jinsi ya kupika keki kwa njia rahisi uwe na jumapili njema
Kamau
Mbn hujaweka baking powder?
Mahamri sio lazma bakingpowder ikiwa umeweka hamira
Hujaweka yai au silazima mpenz
Rukia natumia hio hamira ya pakmaya lakini. Mahamri zangu hutokea vibaya... Sijui mimi hufanya makosa wapi....
Mimi hutumia saf-instant
Sikuona ukieka baking powder ama ni mimi sikuona uzuri? 🤔
Ametumia hamira/ yeast
nilipika yangu ikapata bubbles.juu
Huwa ni mafuta umetia mingi au ayajafura vizuri
Mimi mahamri yangu ngozi yake inakuwa ngumu sijui nakosea wapi.
Yaan wew ni kama mim sjui hata kwanin
Unga huo sawa na kilo ngap?
Sikupima kill napima na kikombe
Kumbe baking powder sio ya lazima kwenye mahamri
Sio lazima
Naweza Tumia baking powder badala ya yeast
Hyo itakuwa maandazi not mahamri
@@RukiaLaltia what's the difference between mahamri and maandazi?
Delicious
Thank you 😋
Mashallah
So yummy