Very nice nyimbo nzuli sana Amen mungu azidi kukuinua na akuongezee nguvu na vingine ambavyo huna tuko pamoja my brother tunakupenda sana ❤️❤️❤️🥰🥰🥰🥰🌹🇺🇸
Mungu akubariki sana mtumishi wa bwana huu wimbo imenikumbusha mapito yangu yote na jinsi bado ningali hai nimahamuzi ya MUNGU TU ubarikiwe sana pia amuongezee neema Nakufuata kutoka USA
Hongera sana Bryson, video ni nzuri, very quality en unique,ubunifu na akili kubwa imetumika kizuri zaidi wote wamevaa uhusika kama ilivyotakiwa tunamtukuza YESU kwaajili yako,YESU azidi kuvusha viwango Hadi viwango
Aloooo weeee ni hatar na nusu....go go go mdogo angu Bry....nimebarikiwa Sana Kwa kweli yaan Leo kazin ilikua ndio mwanzo mwisho.....yaan imekonga nyoyo za watu....big up mdogo wangu.
I bless the Lord that this video is finally out. Kenyans are famous for supporting anything good and blessed, and I know that they will do the same with this song.
0:11- 0:20 😂😂wameigiza Vizuri sana uyo dada mwenye nyeupe " ey nyie bryson uyo apo" kaka Akaitika " Mungu wanguuu" aisee such a professional scene kama hawaigizi vile "Reality" 💯 Hongera Bryson na Team yote MUNGU NI MWEMA
Oooouh Glory to our Mighty God ....this is a big tune...wakenya wacheni likes apa tukisonga mbele ☺️☺️
tunawakilisha apa kwa sana❤️❤️
Acha Mungu akuinue kupitia huu wimbo🙏
Nakupendaga Brayson unajua sana kuimba mdogo wangu
💕💕💕💕
Amazing tumefika kuwakilisha
Wimbo huu una Nguvu ya Ubunifu, Kibali na UJUMBE mzito. Kama unamkubali Bryson gonga Like twende SAWA
Nahitaji audio inapatikanaje
From TikTok piga like tukisonga
Waaaw my 2024 favorite song,I went through a lot lakini Mungu aliniokota bado nasonga mbele tu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏wapi likes za Brayson
❤
Hongeraaaa sana mdogo wangu wimbo wa mwaka huo2024
Inanibariki hapo kwa mapito na vita ya maneno nasonga mbele mimi
Hakika tunasonga mbele ❤ Mungu akiwa upande wetu ni nani aliye juu yetu🙏
Kaka ubarikiwe sanaa kaka bado tunasonga mkuu
Nyimbo nzur san kk umeweza umeweza umeweza mpaka umeweza tena kk chukuwa mauwa yako🎉🎉🎉🎉❤
God bless you Bryan,,, lazima tusonge mbele.thanks for encouranging my heart
Mungu azidi kukutimia utunzi huu umenibariki mno naurudia kila mara tu wimbo unabariki mno mno
Mungu wetu anatupa kusonga mbele..... Amen Mtumishi.
Ubarikiwe sana mwanangu.
Nimebarikiwa sana na wimbo huu kuhani wa Yesu, uzidi kuinuliwa na Yesu
Wimbo mzuri sanaa umebeba ujumbe mkubwa
Nyimbo nzuri sana hongera brayson
Wooooooow nzuriiiii sana bro barikiwa zaidi🙏🙏🙏🙏🙏
Saf kaz nzur kbs mtumishi wa Mungu
Daah huu wimbo umenibariki piah umenigusa sanaa naurudia kila mda piah unanipa nguvu ya kuinuka upya mungu awe pamoja nawe ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Amina kubwa kaka yetu wa ngomeni mungu akupe maisha marefu
🔥🔥🔥
Hongera sana mdogo angu wimbo huu unakosha sana mioyo ya watu
Congratulations mtumishi wa MUNGU kristo akuinue sana
Unatisha sanaaa bro nakuogopa sana
Very nice nyimbo nzuli sana Amen mungu azidi kukuinua na akuongezee nguvu na vingine ambavyo huna tuko pamoja my brother tunakupenda sana ❤️❤️❤️🥰🥰🥰🥰🌹🇺🇸
Waooooo brother yangu amen😘😘😘😘😘
Respect sanaa ✨ 5:53
Hakika mpendwa umenibaliki Kwa wimbo huu niktakiepo uzima mungu akuzidishie Baraka nyingi tu Asante
Eeeiii neema ikubebe
Kwa kweli japo wingi wa Mapito Mungu ametuwezesha kusonga mbele kwa Neema...ujumbe wenye nguvu kuu sana, Mwanangu wewe ni wa Baraka.❤
Mungu akubariki sana mtumishi wa bwana huu wimbo imenikumbusha mapito yangu yote na jinsi bado ningali hai nimahamuzi ya MUNGU TU ubarikiwe sana pia amuongezee neema
Nakufuata kutoka USA
Woohoo nice congratulations, powerful song ♥️👍
Well done bro mungu ainue kipaji chako Amina barikiwa cna 🙏🙏🙏🙏
Amen Ameeeeen wametusema sanaaa.. Lani tunashonga
Very Nice!!!!!
Hongera sana Bryson, video ni nzuri, very quality en unique,ubunifu na akili kubwa imetumika kizuri zaidi wote wamevaa uhusika kama ilivyotakiwa tunamtukuza YESU kwaajili yako,YESU azidi kuvusha viwango Hadi viwango
This song😭has touched me so much,,saw it in TikTok and came here running 🙏..May God Continue Restoring Us So we may Stand firm😢🙌
This song is in another level 🎚️ may God continue to reveal to you more song let me finish to cry God is a promise keeper 🙏😢 be blessed
Aloooo weeee ni hatar na nusu....go go go mdogo angu Bry....nimebarikiwa Sana Kwa kweli yaan Leo kazin ilikua ndio mwanzo mwisho.....yaan imekonga nyoyo za watu....big up mdogo wangu.
Huu ni wimbo kwel❤❤❤❤
Nyimbo nzur san kk umeweza umeweza umeweza mpaka umeweza tena🎉🎉🎉❤
Imenibidi tu niendee kuuuimba huu wimbo una bariki sana,,,tumepitia mengi ambayo tumevushwa na mungu na bado tunaendelea
Powerful and encouraging song🔥🔥God keep using you brother🙏🙏
kweli mungu amekuinua bray,ulikuwa unaimba mianzini kwakucheza nyimbo za waimbaji leo mungu amekuinuaaa❤
woow nyimbo tamu sana na imenitia moyo kwa yale nimeyapitia shalom
One of the favourite song
Bravoooo🎉🎉🎉
My new favorite 🎶 song 🎶. Nimepita Mapito bado nasonga mbele tu 👏🏾👏🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
🔥🔥🔥🔥🔥🔥 umeua mwanangu hongera sanaaa
🙌🙌🙌🙌🙌🙌 #TUNASONGA MBELE
Wowwh what a great song Barikiwa mtumishi 🙌🏾🙌🏾
Mtumishi ktk bwana ukumbukwe Kwa wimbo huu mana ktk mapito yangu hakika umenigusa Kwa asirimia 1000›
I bless the Lord that this video is finally out. Kenyans are famous for supporting anything good and blessed, and I know that they will do the same with this song.
Bwana Yesu , Amuinue zaidi nyota yake ing'are zaidi na zaidi .
Very nice, encouraging, colourful song🎉🎉
🙏🙏🙏❤❤ be blessed Boss,, nakuon mbali sana
Nyimbo nzuri sana,, usipocoment duu Utakuwa una wivu sana😂😂
Video director alifeli,the whole video looks luxury,
Barikiwa sana kaka 😂
barikiwa sana mtumishi mungu ni mwema kwetu still tunasonga mbele
Hongera sana Braison bwana Yesu azidi kubariki kazi za mikono yako songa mbele mwanangu ❤
More grace#Bring more songs in Jesus name no one will hinder you from singing.
Unaimba kaka kama unaniimbia ase kweli Mungu nikuu hongera sana
Nimebarikiwa sana
Mungu akubariki sana hakika bado tunasonga mbele
Hawajui mungu tunaye mwabudu ako upande wetu,barikiwa kaka n more grace
Waooo kazi nzuri sana kaka brayson mungu akubariki sana 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
Hongera kwa wimbo mzuri
My song barikiwa sana kaka
Barikiwa ongezeka unuka from SUMBAWANGA nakuombea tuendelee zaidi
Daaaaah, natamani huu wimbo ungekuwa wa kwangu kabisaa maana ni bonge ya ngoma.
Hongera sana Bryson
Badoo tunasonga mbeleee tu
Waooooooooooh hongera sana MUNGU aendelee kukutumia kwa utukufu wake bonge LA song nabarikiwa hapa
Glory the first tyme kusikia huu wimbo niliuskia kwa matanga ya mtoto wangu ukiimbwa na wana praise was Pentecostal reedimed ministry ❤❤❤❤❤
Ndugu yangu kabisa, Mungu azidi kukubariki saaana kaka🙌🏻🙌🏻🙌🏻🔥🔥🔥🔥🔥#badotunasongambele🔥
Hongera sana ,kazi nzuri, nyimbo Ina uguso ,nimebarikiwa
Ubarikiwe sana
Hongera sana wimbo ni mkali sana
Beay❤❤❤❤ umefunika video hii unaenda kimataifa sasa mtumishi.safi sana uje uchikue zawadi .
Mdogo wangu umenigusa Sana bariki Sana watu wengi hatukujui vzur lakini tunakukubali Sana Mungu akuepushe Na vishawishi.❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🥰🥰🥰🙏🏽🙏🏽🙏🙏
Glory to God. Powerful message
Tunasonga mbele kwa neema yake mungu hallelujah 🙏🙏🙏 powerful song be blessed mightily
Fire sana
Nimebarikiwa mnooooo!! Mungu akubariki kwa viwango vya juu zaidi
So piwerful🎉🎉🎉👏👏👏more grace watumishi
Hunaga Kazi mbovu Kaka B Yesu azidi kukuinua
The song humbles me God bless you man of God
0:11- 0:20 😂😂wameigiza Vizuri sana uyo dada mwenye nyeupe " ey nyie bryson uyo apo" kaka Akaitika " Mungu wanguuu" aisee such a professional scene kama hawaigizi vile "Reality" 💯 Hongera Bryson na Team yote MUNGU NI MWEMA
Hongera sana mtumishi yesu azidi kukuinua kwa viwangi vya juu.
Umenibariki sn naupenda huu wibo jaman mungu akufaye uwe wa viwango vya juu
🎉 Mdowangu hiii nikubwa kuliko kazi nzuri saaaana Go Go Gooooooo Bry
Imetulia babaa💥🎉
❤❤❤❤❤❤❤❤ Tunasonga mbele tuuuuuuuuuuuiiii🎉🎉🎉🎉
Huu wimbo mbona umeniliza sana jmn umenigusa sana😢😢
hii wimbo imenikuza ubarikiwe sana 🙏🙏🙏🙏🙏❤️
Mungu akuinue zaidi Mtumishi Brayson Kijana mwenye Hekima na Busara mingi sana🙏🙏🙏💪
🔥🔥🔥🔥🔥
Mtumishi google. Haipatikani. Nahitaji audio na video yake. Napataje
Congratulations 👏, this song encourage me so much, bado tunasonga mbele
Neema ya mungu imetosha, Bado nashonga Mbele
Umeuwa kaka ume shafika mjini na sisi tunakuja
Huu wimbo unanibariki sana🙏🙏🙏