Kwa kuongezea kiongozi ni muhimu kutafuta kilicho sahihi kwako na kwa yote uyafanyayo na yote uyatakay Me pia nashkur kwa kufaham na kuzid kujifunza mungu atubarikh na tuzid kuwa na maendele zaid. Amiin
Nilikuwa nabiashara yang....lkn mausiano yamenilia miaka yangu mitatu(bil biashara)..lkn Kaka Joel toka nakufatilia nimekataa maisha yote mabov yanayonihalibia ndoto zangu❤.
Mostly miaka inapotea kwa uzito wa kufanya maamuzi ya kujinasua kwenye hizo hali ulizozielezea.Mungu atufungue kwanza kutokubali hali ya kucheleweshwa kimaendeleo na atubariki the best exit strategies. Amen
Naaam kweli kabisa mwaka juzi 2022 nilikua nina uwezo wa kutunza pesa kwa kiwango kikubwa mpaka napanga vizuri mambo yangu lakini miaka miwili tu pesa inapotea ata kabla sijamaliza shida ndogo ndogo!! Nikweli kaka tujikumbuke kabla jua halijazama kukipambazuka tutajishangaa sana tuwe makini ndugu zang!! Mingu akusaidie nazidi kusema kwenye ndoto zangu kubwa ni kukutana nawewe nauka na nina imani kaka asante🙏❤
Kiukweli Kuna watu Wanakuja kabisa maishani intentionally kukuharibia sabubu kubwa pia huwa ni wivu wa maendeleo, uwezo binafsi na hata vipawa ulivyonavyo. Mungu atupe jicho la ziada kuwagundua watu hawa mapema
Kwa kuongezea kiongozi ni muhimu kutafuta kilicho sahihi kwako na kwa yote uyafanyayo na yote uyatakay
Me pia nashkur kwa kufaham na kuzid kujifunza mungu atubarikh na tuzid kuwa na maendele zaid. Amiin
Nilikuwa nabiashara yang....lkn mausiano yamenilia miaka yangu mitatu(bil biashara)..lkn Kaka Joel toka nakufatilia nimekataa maisha yote mabov yanayonihalibia ndoto zangu❤.
Mungu akusaidie, see you at the top
❤
Nikwer kabisa kaka aangu,Mungu akubariki sanaa Mtumishi wa Mungu 🙏🙏
Mostly miaka inapotea kwa uzito wa kufanya maamuzi ya kujinasua kwenye hizo hali ulizozielezea.Mungu atufungue kwanza kutokubali hali ya kucheleweshwa kimaendeleo na atubariki the best exit strategies. Amen
Yeah yeah really really well done Mr joel
Asante sana bro❤❤
Vizuri sana brother
Joel mungu akubaliki sana akutunze na kukulinda siku zote.
Mungu akubariki sana sana sana natamani siku moja nikuone ninamengi ya kukuelezea huenda ukanisaidia we ni baraka sana
Ubarikiwe sana mkuu wangu nakufuatulia Kwa karibu Sana mentar wangu
Ahsante sana kwa kweli Mungu atusaidie tuweze kujinasua kwenye vitu vinavyokula Miaka yetu
Naaam kweli kabisa mwaka juzi 2022 nilikua nina uwezo wa kutunza pesa kwa kiwango kikubwa mpaka napanga vizuri mambo yangu lakini miaka miwili tu pesa inapotea ata kabla sijamaliza shida ndogo ndogo!! Nikweli kaka tujikumbuke kabla jua halijazama kukipambazuka tutajishangaa sana tuwe makini ndugu zang!! Mingu akusaidie nazidi kusema kwenye ndoto zangu kubwa ni kukutana nawewe nauka na nina imani kaka asante🙏❤
Vizuri sana brother
Kiukweli Kuna watu Wanakuja kabisa maishani intentionally kukuharibia sabubu kubwa pia huwa ni wivu wa maendeleo, uwezo binafsi na hata vipawa ulivyonavyo. Mungu atupe jicho la ziada kuwagundua watu hawa mapema
Amen
Kweli kabsa brother
Hasante kaka kwa mafundisho yako
Good brother i love you
Ubarikiwe 🤝
Akhsante sana bro ubarikiwe sana✊🙏🏽💯
Ni ukweli kabisa mimi nimepoteza elim yangu kumthamini mtu asiyekua na thamani kwangu na nimepoteza mwelekeo adi na leo .. daaah im so sad😭😭😭
Asante Mugu nimepita hapa
Shukran joel❤❤❤
Thanks alot my mentor
Thanks so much brother Joel..,Fact ❤❤
Amakweli wewe ni genius kaka hili wazo umelipata wapi umenigusa sanaaa👍🔥🔥
Sio genius ....anasoma vitabu vingi vya personal development na saikolojia ya mwanadamu.
Exactly 🤝
True 🤔🤔
Well say.
🙏🙏
Breakfast 😋😋👌🏽
Samahan hivi ile ofa ya Eid imeisha? Natamani niipate@Joel nanauka.
❤❤❤❤
Kenya
See you At The Top
Wale tuliofanikiwa kuchomoka kwenye toxic relationships zinazonyonya kipato chako tuna like wapi?
Kama. Herufi zilnaendana Yani. Mfono. Wa. KA. Lakini. Mambo. Hayaendi vizuri. Je?
Ni kwer kaka nimepoteza muda yani siwez kuongea lkn kuazia nimeaza kukufutalia nimekuw mpya
🙏🙏