CVC

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 вер 2024
  • Usisahau kusubscribe channel yetu na bonyeza alama ya kengele ili usipitwe na nyimbo pamoja na vipindi mbali mbali kutoka kwa CVC

КОМЕНТАРІ • 6

  • @kibibiproductszanzibar9085
    @kibibiproductszanzibar9085 10 місяців тому +2

    Nawasubiri

  • @kibakamzoefusr6775
    @kibakamzoefusr6775 Рік тому

    Mbona mmefuta video za ibada ya pasaka pale buzuruga? Nilikuwa napenda sana kuangalia wimbo wa eloim na tumetumwa na Mungu.

    • @AICTChangombeChoir_
      @AICTChangombeChoir_  Рік тому +1

      Hazijafutwa mtumishi! Ila kwa sasa Channel ya Ibada na vipindi imebadilishwa na link ni hii youtube.com/@cvctvlive ibada za buzuruga tutaziupload huko pia Amen Pole kwa usumbufu wowote

    • @kibakamzoefusr6775
      @kibakamzoefusr6775 Рік тому

      @@AICTChangombeChoir_ Sawa mtumishi, ila fanyeni haraka make Eloem ndo wimbo ninaotaka kuingilia kwenye Harusi yangu Tarehe 30 mwezi huu na sijaupata sehemu yoyote zaidi ya records za ibada ya pasaka pale buzuruga.

  • @stephenkyalo6222
    @stephenkyalo6222 3 роки тому

    nk

  • @stephenkyalo6222
    @stephenkyalo6222 3 роки тому

    j