ASKARI WAWILI WASHAMBULIWA NA WATU 18 AKIWEMO DEREVA NA KONDAKTA MKOANI MARA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 88

  • @raphaelmacha1173
    @raphaelmacha1173 6 годин тому +9

    Huenda walianza kuomba rushwa polisi jichunguzeni upya mambo haya si ya kawaida mjitazame upya kama mnatekeleza wajibu wao kwa weledi mmetulazimisha kufikia hapo kwa lazima

    • @RamadhaniSuru
      @RamadhaniSuru 5 годин тому

      🎉🎉🎉

    • @ngwatujonas2266
      @ngwatujonas2266 4 години тому

      Wewe wapeleke mahakamani ndio itakayotoa hukumu siyo wewe,

  • @AngelMazola
    @AngelMazola 6 годин тому +5

    Tatizo la polis wanajikuta wao ndio watu sana ipo cku watakuja kupigika awa mpaka washangae

  • @FahadAbubakari
    @FahadAbubakari 6 годин тому +19

    Kuna shida iko raia wameshakua na chuki na polisi na kama mtadharau hili mtakuja kuona mengi sana

    • @musafrancis3584
      @musafrancis3584 5 годин тому +2

      Unajiskiaje km jeshi la polisi tukiliondoa kbx na lisiwepo ktk nchi hii je ww utaishi kwel ....

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 5 годин тому

      @@musafrancis3584hizo ni fikra za kihisia ila si za mantiki Nani kasema liondolewe ? Wawe jeshi la polisi lenye kutekeleza wajibu wake kikatiba unadhani hayo wanayoyafanya ni vile wanavyotakiwa? Kwanini watu wasiende kuwazomea manesi au walimu mashuleni Leo wawazomee mapolisi , mbona watu hawajawazomea wanajeshi au magereza kwanini wawazomee polisi

    • @muksinimbaruku1233
      @muksinimbaruku1233 5 годин тому +2

      ​@@musafrancis3584Liondolewe tu

    • @HamisMghuna-fj3vz
      @HamisMghuna-fj3vz 4 години тому

      ​@@musafrancis3584hii y watekaji ndio unasema msaada upi x Aliy kibao x sugu ,na wenzie leo Bonface Geita wamepigw na abiria Dodomaauaji kila cku wamesaidia nn eb comment zenu, Tatizo shule au nn w Tanganyika tumelogw wp,

    • @jonasdaniel1025
      @jonasdaniel1025 2 години тому

      Kwani wewe unaishi Kwa ajili ya ​uwepo wa polisi? Kweli wewe kiazi Tena mbatata@@musafrancis3584

  • @abdallahkassim318
    @abdallahkassim318 5 годин тому +4

    Rushwa pia uongee.. Wewe mama

  • @RamadhaniSuru
    @RamadhaniSuru 5 годин тому +6

    Afande fanya uchunguzu kwanza ucwatete sana polisi utawapa kichwa maana watu kumi18 wote hao hakuna mwema kutakuwa natatizo hapo fanyeni uchunguzi

    • @MusaJastini-po8hm
      @MusaJastini-po8hm 4 години тому

      KUONGEA vzr sema kasimama upande wa askar yaan kazidisha chuki

    • @michaelboniphace3685
      @michaelboniphace3685 4 години тому +1

      Askari wake wamepgwa ulitaka asimame upande gan ??

  • @zunyagapeter4647
    @zunyagapeter4647 5 годин тому +3

    Askar anatusaidia sisi abiria ujue askr hasafir wakati huo utashabikia lkn likitokea utajikuta umevunjik miguu mpk bx askr wakt huo hayupo si ulikuwa unashabiki bx umevunjika au umekufa shabikia Sasa ukiwa umekufa ,ukiona dereva anafanya mabaya toa taarifa Kuna familia zinatutegemea

  • @LuganoMwalwembe
    @LuganoMwalwembe 4 години тому +2

    Dada yangu tatizo c raia tu hata askali zako ni wa ovyo sana kwa nn hamjashituka makofi ya askali ambae alikuwa anampiga raia mwanza je ndo hamyaoni hayo hata huyo askali mchukulieni hatua

  • @ibrahimyahaya9404
    @ibrahimyahaya9404 3 години тому +2

    Mahakama ndo inaweza kuamuru mtu afungwe na sio kauli yako huna mamlaka hayo,wew sema wataenda mahakama then taratibu za kisheria zitafata

  • @JabiriMfaume
    @JabiriMfaume 4 години тому +2

    Ikitokea ajali tunalaumu askari, wakiangalia usalama tunalalamika, watanzania tubadilike co kila kitu ushabiki

  • @leonardAmbokile
    @leonardAmbokile 4 години тому +2

    Acha wapigwe tu

  • @Fatima-v9k6f
    @Fatima-v9k6f 5 годин тому +2

    Tatizo police muko watekaji😂😂

  • @Kibudu
    @Kibudu 4 години тому +1

    Mnashangaza ktk ulimwengu huu wa kiteknologia mbali na kuwa na ajali nyng hamna japo online tv ya kutoa elimu kw raia kuhusu usalama barabaran mmkekaa mnalaumu watu wasio na elimu/uelewa. Na suala la vtoch lilipunguza ajali sijui km lipo au ufanisi umepungua.

  • @AdiliLadislaus
    @AdiliLadislaus 2 години тому +1

    Shida askari hamtulindi sis wananchiii

  • @ChristineElias-bn4dw
    @ChristineElias-bn4dw 4 години тому +1

    Vzr xnaaaa wanachi

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 4 години тому +2

    Na bado

  • @AlphanMbundamila
    @AlphanMbundamila 5 годин тому +1

    Polis kalindeni NDUGU zenu

  • @RayOmar-vk2nn
    @RayOmar-vk2nn 4 години тому

    Askari ni adui samia must go

  • @IsraelUrasa
    @IsraelUrasa 3 години тому

    Embu tusiharibu amani ya nchi yetu askari na raiya turudishe urafiki wetu jamani msiwaone askari kama maadui sisi ni ndugu utendaji wetu wakazi usitutenge wananchi tupendane askari na raia wote ni wananchi wa tanzanià jamani

  • @ChristineElias-bn4dw
    @ChristineElias-bn4dw 4 години тому +1

    Mim nawachukua xnaaaa police Tz ni wauwaji watekaji sas tunawaamini VP acha tu abilia kushanikia mpaka kitaeleweka

    • @imanichacha940
      @imanichacha940 Годину тому

      Una ushaidi? Ukiambiwa upeleke ushaidi mahakamani utaweza? Tuache kushabikia kisa mmelishwa na wanasiasa

  • @amemasudi5735
    @amemasudi5735 5 годин тому +1

    Mshatutosha ndo maana hamna mana pesa 2

  • @mwitajoseph8315
    @mwitajoseph8315 5 годин тому

    Mi nampongeza sana DTO wa sengerema tuliwai kua kwenye coaster moja kutoka mwanza kupitia njia ya kisesa fela kuvukia kigongo ferry dereva akawa ameweka nyimbo za kisukuma sauti juu alafu akawa anaendesha gari vibaya sana tulijaribu kumuonya hasa kwenye kuovertake akawa anaovertake vibaya sana hajali kona wala gari linakuja kutoka upande wa pili kwa bahati nzuri nilikua na namba yake nikampigia nikampa taarifa dereva alikamatwa na akapigwa adhabu yakutosha na safari ikawa ya amani sana nashauri abiria tunapoona mwendo sio salama tutoe taaarifa uhai wetu ni wa mhimu sana

  • @albertmichael4014
    @albertmichael4014 4 години тому +1

    Sasa hakimu hajatoa hukumu wewe umeshahukumu tayari dereva hatoendesha tena, na abilia kifungo kinawasubili, sidhani kma abilia wote waliokuwepo ghafla wawashambulie tu police lazma uchunguzi ufanyike huenda police ndiyo walianza matumizi ya nguvu abilia wakajibu

  • @EvaristPaul-q6c
    @EvaristPaul-q6c 5 годин тому +1

    Nyie polisi bd hamna kazi

  • @Zaynabahmed-ey4zu
    @Zaynabahmed-ey4zu 5 годин тому

    Hao abiria wamekosea sana, hongera afanfe

  • @MusaMkembela-ex6ev
    @MusaMkembela-ex6ev 5 годин тому +2

    Hii chuki wanaitengeneza wenyewe

  • @JoshuaMwanilwa
    @JoshuaMwanilwa 4 години тому +1

    Mnakela

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn 4 години тому +1

    😂😂Watu wamechoka na Polisi wote ni CCM

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 4 години тому +1

    Wacha na wao chamtekuni kichapo,wt wameshaamka,i

  • @user-hp2ix5wp6i
    @user-hp2ix5wp6i 5 годин тому +1

    Tumewachoka askari

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 4 години тому +1

    Waliogopa kutekwa

  • @rajabumtuga7372
    @rajabumtuga7372 2 години тому

    Kwa kifupi sana, mmi nawachukia sana polisi. Hata nikute anaomba maji anywe ili aokoe maishayake nayamwaga chin huku akishuhudia

  • @RomanMwinyi
    @RomanMwinyi 5 годин тому

    Polici weziii mna penda ela sana lushwa m2 mki mkamata akunjee ela ajee pembeni akupe ao sio benkiii

  • @joannoel-g3r
    @joannoel-g3r 3 години тому

    Kunatatizo sehemu embu tujitafakari tena kuna sehemu tunakosea hii hali si sawa

  • @salmanmagwe2612
    @salmanmagwe2612 5 годин тому

    Mwananchi unabebwa kama mbuzi na bado unamzomea askari,ovyo kabisa.kwa kweli mabasi mengi ni shida na wanakimbia ovyo

  • @AhmedAli-x8w9e
    @AhmedAli-x8w9e 5 годин тому +1

    Ww askari kuma kwanini mushukiwe nyinyi kama nani?

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka Годину тому

    Askari pia wazidi issue ya rushwa

  • @raphaelmacha1173
    @raphaelmacha1173 6 годин тому

    Kuna mambo mengine ni ya kuonya au kukumbushia lakini unakuta polisi wao ndio polisi na wanaenda mbali zaidi kuwa mahakimu mimi sijui kazi maalum ya polisi ni nini.

  • @joycefrances4516
    @joycefrances4516 3 години тому

    Ahahahahaaaaa jamani,abiria ,kwakweli wote mushambulie Afande?mngefanya kwa hekima tu,hasira hasara,

  • @ngotosilasi2099
    @ngotosilasi2099 5 годин тому

    Mbona polisi hutuambia kuwa watatupoteza leo wao wamepapaswa tu mmeongeeeea

  • @roberttarimo4956
    @roberttarimo4956 4 години тому +1

    Labda walihisi niwatekaj

  • @glorymiko6830
    @glorymiko6830 43 хвилини тому

    Wewe wacha kuropoka. Nyie police ndio chanzo cha matatizo. Walikosea hao abiria wangewauwa kabisa hao mapolisi.

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 5 годин тому

    Kwa kuomba rushwa ndiyo zao. Raia wamechoka bhana 😅

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 5 годин тому

    Wamezidi kuomba rushwa askari kila kona trafiki wanataka hela

  • @faustinluambano2958
    @faustinluambano2958 4 години тому

    Hawa huwa hawajiheshimu.

  • @AlphanMbundamila
    @AlphanMbundamila 5 годин тому

    Polis vyenyewe ni form four fairs asa waheshimike na nani

  • @SelinaJuma-c7t
    @SelinaJuma-c7t 5 годин тому

    Mimi nshauri police kuweni na weledi

  • @listerkongola6872
    @listerkongola6872 4 години тому

    BUSARA NDOGO TU INATAKIWA: MABASI YAKAGULIWE KABLA HAYAJAENDA STENDI KUPAKIA ABIRIA. HII ITAONDOA USUMBUFU USIO NA LAZIMA KWA ABIRIA. BUSARA NDOGO KABISA.

  • @gymanmoney_makerkidary1977
    @gymanmoney_makerkidary1977 2 години тому

    Hapo bado haya mmeyataka wenyewe acha yawarud.. Watu wanaunganisha dot na mnaenda kutengeneza tanzania yamachafuko ambayo hayakuwepo

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka Годину тому

    Rushwa ndogondogo ni kitendo Cha aibu na fedhea

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 6 годин тому

    Mnyaki mwenzangu 😂😂😂

  • @isamony58
    @isamony58 5 годин тому

    Mnakeraaa ndio njiani kilakona kusimama rushwa tu

  • @MaryMwamwezi-xm3iz
    @MaryMwamwezi-xm3iz 2 години тому

    Wanyoosheni hao wananchi hawana akili. Wafungwe miezi 12 ili wajue sisi ndo serikali

  • @NapeDkilia
    @NapeDkilia 4 години тому

    Kuna maaskari wengine hawana uwezo wa kisheria barabaran

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka Годину тому

    Wananchi wa wamefikia hatua za kuwachukia askari kutokana na vitendo viovu hasa kupokea rushwa pia kitendo Cha askari kusema watu waliokamatwa watafungwa kana kwamba wewe ndia mahakama

  • @MusaMkembela-ex6ev
    @MusaMkembela-ex6ev 5 годин тому

    Askali sidhan kama wanatusaidia humo barabarani

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 5 годин тому

    Yapigwe tu yanatuteka sisi

  • @GeorgeElias-p5o
    @GeorgeElias-p5o 6 годин тому

    Polisi kama binadamu anaweza kukosea. Ila kupigana nae akiwa amevaa sare haikubaliki.!! hata kama mtuhumiwa ni baba yangu mzazi utaozea jela

  • @theson1987
    @theson1987 2 години тому

    bado ujasema hadi usemeee na utasema tu

  • @jameshamzatagalile3146
    @jameshamzatagalile3146 2 години тому

    mbona mwendokasi unajaza kama mahindi kimyaaa

  • @kainimlowe9646
    @kainimlowe9646 4 години тому

    Haka kamama vp

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 5 годин тому

    Hata mimi siwa

  • @Ebro468
    @Ebro468 6 годин тому

    Duu

  • @fatmaally7252
    @fatmaally7252 5 годин тому

    😂😂😂😂 na bado

  • @JofreyNagabona
    @JofreyNagabona 4 години тому

    Ayo ni maelezo yako ila najua wote waliyo kamatwa wanamaelezo yao wakipewa ruhusa ya kuongea kwenye media haiwezekani kufanya ivo kunajambo liliwakera

  • @MagrethMallya-we8ui
    @MagrethMallya-we8ui 4 години тому +1

    Tatizo mnatetea mno maaskari.

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 4 години тому

    Koma

  • @BrotherKaka-j4z
    @BrotherKaka-j4z 3 години тому

    Kwanza hujui kujielezea wewe go back to school police wa mchongo

  • @Nestoemanuel
    @Nestoemanuel 6 годин тому

    Polisi 😂😂😂

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 3 години тому

    Wasweke Wote ndani Wapate Akili....Tena Iwe fundisho kwa Wengine.

  • @SeverinepauloPeter
    @SeverinepauloPeter 5 годин тому

    Acha mkwara wewe

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 5 годин тому

    Kumekucha Tz vutukotu