HALI YA MCHEKESHAJI ZIMWI SI NZURI/ HARMONIZE APIGIWA SIMU/ WAOMBA MSAADA KWA..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 366

  • @saumukaisi7003
    @saumukaisi7003 Рік тому +33

    Mungu wangu 😭 pole Sanaa ndg yetu Allah akuponye haraka👏

  • @user-xi1pi4zr3b
    @user-xi1pi4zr3b Рік тому +42

    Pole sana zimwi kwa maradhi, mungu atakufanyia wepesi 🤲

  • @ibrahimkulindwa7819
    @ibrahimkulindwa7819 Рік тому +39

    Huyu ni Msemaji Kweli... Ameongea Vizuri Sana

  • @jamesngadaya2791
    @jamesngadaya2791 Рік тому +6

    Kwa jina la yesu kristo wa nazareti uponyanyaji ukafanyike kwa ndugu yetu ZIMWI. na uumbaji ukafanyike upya mwilini mwake AMEN.

  • @brianitunda6051
    @brianitunda6051 Рік тому +45

    Mungu amfanyie wepesi ndugu yetu Zimwi. Naamini atapona na atapata msaada.

  • @user-fq9dd1lx3i
    @user-fq9dd1lx3i Рік тому +9

    Dah pole sana mungu amponye ila ndg zangu wengine kuna kitu cha kujifunza vitambi ni tatizo, mkojan na wenzake pambaneni tunawitaji

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 Рік тому +5

    Dah! Pole sana Zimwi hata mimi nimeguswa kwa hili naahidi kuchangia chochote maana huwa unanifurahisha sana

  • @aminamussahmsumuka6558
    @aminamussahmsumuka6558 Рік тому +5

    Wasanii wetu Wa comedy mwenyezi mungu awapiganie kama kuna shetani mbaya katikati ee mungu uturehemu sote

  • @joycegodson501
    @joycegodson501 Рік тому +10

    Mwenyezi mungu atakusaidia na utapona utaludi kufanya kazizako za sanaa kama zamani🙏

  • @Wanaharakati
    @Wanaharakati Рік тому +14

    Mwenyezi Mungu amfanyie shifaa kweli
    ACTOR BONGO MOVIE

  • @aliyothman371
    @aliyothman371 Рік тому +16

    Mungu akujalie maisha mema 🙏🙏

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 Рік тому +5

    MashaAllah MashaAllah Hongereni sana nimeipenda sana hii umoja ndo kitu kizuri maishani❤❤❤❤

  • @mcdanta6239
    @mcdanta6239 Рік тому +5

    Pole sana aise sema wasanii wetu mjiwekezee ikitokea kamahivi mnajua kujisaidia wenyewe

  • @YahyaMbilikila-dh5kh
    @YahyaMbilikila-dh5kh Рік тому +2

    Pole sana ndugu yangu mwenyezi MUNGU akufanyie wepesi ili uweze pona inshallah 🙏

  • @sikukumangwanzi357
    @sikukumangwanzi357 Рік тому +5

    Kwanza Mungu ampee shufaa ya haraka Inshallah.Pili Serikali ya Tanzania kindly,Wekeni mikakati yenye inawalinda wanasanii wote.Tanzania imeimarika na kutambulika kupitia wasanii wote kwa Jumla kwa ushirikiano upndo.Kindlyz,Gvmnt of Tanzania saidie vitu kama hvyo bila mchngo wala nn hyo Issue sio ya Utani.Quick recover my Brother.

  • @yusuphsaid7965
    @yusuphsaid7965 Рік тому +3

    Pole Sana Kaka Zimwi Mungu akufanyie wepesi ili burudani yako isipotee Kaka.

  • @festopaul7549
    @festopaul7549 Рік тому +3

    Pole sana mkuu mungu akufanyie wepesi utakua sawa

  • @junioremmanuel1695
    @junioremmanuel1695 Рік тому +8

    Mwenyez Mungu akufanyie wepesiii Zimwii

  • @sadathahmada9066
    @sadathahmada9066 Рік тому +4

    Pole sana Mwamba Zimwi.
    Nadhani hili suala ni dogo sana kwa serikali, ni suala la kuagiza tu apelekwe hospitali atibiwe bure.
    Japo nadhani baada ya hili umoja wenu ujikite kwenye kuiomba serikali iwawekee utaratibu mzuri wasanii wa comedi ili muweze kunufaika na kazi zenu. Lakini pia mjitahidi kuwa mnajiwekea akiba na hata ikiwezekana kujitahidi kujiunga na huduma ya bima ya afya. (Msisubili serikali kuwapa BIMA bure) mjipange muingie wenyewe. Bima zinasaidia ndugu zangu wasanii.

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 Рік тому +5

    Uyu Anahitaji Matibabu Nasio Vinginevo Ukweli Jamaa Anaumwa Kwelikweli

  • @saidruto4393
    @saidruto4393 Рік тому +5

    ata serikali ya Kenya ichangie maana sisi ni ma shabiki wenu pia mnatuburudisha sana...asanti

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Рік тому +2

    Mungu amfanyie wepesi,amponye🙏🙏🙏

  • @mbanjenyambega2525
    @mbanjenyambega2525 Рік тому +4

    E mungu mjalie afya njema zimwi aweze kurejea katika hali yake ya kawaida ameen

  • @aishakondo5434
    @aishakondo5434 Рік тому +12

    Mungu akupe ahuweni tunakupenda sana😍😍

  • @rehemaothman2475
    @rehemaothman2475 Рік тому +14

    In sha Allah atapata afueni ya haraka

  • @akhiabdillah26
    @akhiabdillah26 Рік тому +2

    Allah atampa Nusra in sha Allah ndugu yetu zimwi❤

  • @kadito-o3j
    @kadito-o3j Рік тому +189

    NIPENI NUMBER NICHANGIE KIDOGO CHANGU KAMA MSANII MDOGO WA KENYA 🇰🇪 SOTE BINADAM

    • @user-fs7xc2bb5d
      @user-fs7xc2bb5d Рік тому +14

      Namba ameitaja mwishowe alipoambiwa aongee ameitaja namba yake mwenyewe Zimwi

    • @saumukaisi7003
      @saumukaisi7003 Рік тому +7

      Mashallah Allah akuzidishie khery

    • @yyhhoopp9321
      @yyhhoopp9321 Рік тому +7

      Sikiliza hadi mwisho mbon kataja no yake

    • @abdallahally3308
      @abdallahally3308 Рік тому +6

      Ovyooo

    • @Noah-zt5zf
      @Noah-zt5zf Рік тому +6

      Huskizi adi mwisho af unaitisha namba unafki tu msheeeew

  • @mohdykessy5855
    @mohdykessy5855 Рік тому +2

    Safi sana ndungu zangu Kwa mshikamano mvuri M/mungu atawasaidia

  • @hannanommy302
    @hannanommy302 Рік тому +2

    Allah atampa Shifaa yake, wacheni maneno mengi fanyeni vitendo

  • @chinaboyzanzibar5328
    @chinaboyzanzibar5328 Рік тому

    MY BROTHER ZIMWI MY ALLAH WILL GIVE YOU SHIFA INSHALLAH AMEEN AMEEN AMEEN ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 Рік тому +1

    Ufisadi kila kukicha wakati watanzania wanakosa matibabu kisa fedha, pole sana ndugu Mungu akukumbuke.

  • @mohammedrajabumwamba1322
    @mohammedrajabumwamba1322 Рік тому

    Mungu amponye InshaaAllah nduguyetu Zimwi Anaonekana kweli anaumwa maana hakua ivo mungu amponye InshaaAllah Amiin 🙏

  • @BennyJoseph-rx4nx
    @BennyJoseph-rx4nx Рік тому +2

    Pole Sana brother mungu atakujalia utapona

  • @adamblackson3853
    @adamblackson3853 Рік тому +1

    Inshallah mwenyezi Mungu atafanya njia pasipo na njia Zimwi atapona na kurudi kwenye majukumu yake

  • @nasraismail5367
    @nasraismail5367 Рік тому +5

    Allah amfanyie wepes amuhaf Inshallah

  • @halemamoon1782
    @halemamoon1782 Рік тому +3

    Pole sana zimwi Allah atakuondolea inshaa Allah

  • @Silyvesta
    @Silyvesta Рік тому +6

    Mungu atakusimamia ndugu yetu zimwi

  • @abdullatifiddi2582
    @abdullatifiddi2582 Рік тому +5

    Polee sn zimwi Mungu atakupa nafuu inshaallah

  • @yanickjanvier1639
    @yanickjanvier1639 Рік тому

    Mwenyezi mungu tunaomba kwaku nyenyekea mpe afya nzuri zimwi atuna mwingine wakulilia zaidi yako wew ndie msaada wakwanza

  • @mesenaryfleva
    @mesenaryfleva Рік тому +1

    Daah pole sana bro

  • @zkbeto2486
    @zkbeto2486 Рік тому +4

    Mungu yu pamoja naye...Mungu onyesha miujiza Katika hili mfanyie wepesi Kakaetu Zimwi na wengine wenye matatizo pia..AMEN...
    Mi ni mwanamuziki mwana sanaa pia

  • @aminabdalla7824
    @aminabdalla7824 Рік тому +1

    Allah 🤲atampa wepesi in shaa Allah nakuweza kumponyesha maradhi alio nayo

  • @Present.Truth2023
    @Present.Truth2023 Рік тому +1

    Mungu ni mwenye rehema.. naomba kutoa ushauri juu ya matibabu ya ndgu yetu ni.. vyema zaidi mkatumia dawa za asili... Naamini atapona kabisa kwa neema ya Mungu..... 🙏🙏...

    • @kingayzaq8076
      @kingayzaq8076 Рік тому

      Wewe ukiumwa unatumia hizo dawa za Asili au yeye tu ndo unamshauri hivo.?

    • @Present.Truth2023
      @Present.Truth2023 Рік тому

      @@kingayzaq8076 Ndio huwa natumia ndo maaana nkatoa ushauri..

  • @Kobe_254
    @Kobe_254 Рік тому +24

    Mungu amponye.. ila vijana hao wenye vitambi kubwa kubwa waanze mazoezi tusije wachanhia pia, huo sio utajiri, ni maradhi wanaifadhi ila hawatoelewa kabisa!!

    • @karimkassam571
      @karimkassam571 Рік тому +1

      Cha ajabu mbona wanafanya siri NI ugonjwa gani anaumwa....

    • @davidmeshack8132
      @davidmeshack8132 Рік тому +1

      Moyo

    • @lulually5209
      @lulually5209 Рік тому +1

      @@karimkassam571 ana tatizo la moyo hapo labda apelekwe india

    • @jasminemahad
      @jasminemahad Рік тому

      @@karimkassam571 hawatKi kusema

    • @lulually5209
      @lulually5209 Рік тому +1

      @@jasminemahad ni moyo tu unamsumbua ila hajapata matibabu kamilifu huu mwaka wa pili unaingia tokea lianze Hilo tatizo si unamuona mwili wote umeisha moyo sio mchezo

  • @sir_ENOCKMACHA
    @sir_ENOCKMACHA Рік тому +1

    Pole sana brother Mungu ni mwema na akuponye

  • @dismaskamugisha7824
    @dismaskamugisha7824 Рік тому

    Pole sana zimwi, Mwenyezi MUNGU akujalie afya njema ili uweze kuendelea na majukumu Yako.

  • @user-dq5wt6cb6k
    @user-dq5wt6cb6k Рік тому +2

    Pole sana kaka zimwi mungu akufanyie wepesi

  • @ezroneliakimu4908
    @ezroneliakimu4908 Рік тому

    Pole sana Mwenyezi Mungu akupe uwepesi ndugu Zimwi

  • @wiliammzambuli2784
    @wiliammzambuli2784 Рік тому +1

    Mungu atakufanyia wepesi

  • @travellingandadventures2549
    @travellingandadventures2549 Рік тому +3

    Kwan harmonize Mungu wao..watanzania wakawaida watamsaidia

  • @VeronikaJerome-xl3wn
    @VeronikaJerome-xl3wn Рік тому

    Pole sana kaka yangu zimwi Mungu ata kusaidi utapona utarudi kwenye ariyako kama samani

  • @enezermwafrica7443
    @enezermwafrica7443 Рік тому +1

    Upone kaka Zimwi kwa Nguvu za Mungu, Matibabu yatakusaidia uwe na Imani utapona.

  • @GetrudeSharifu-os1vg
    @GetrudeSharifu-os1vg Рік тому

    Pole sana bwana zimwi mungu akufanyie uwepes upone harak

  • @leganmichael6148
    @leganmichael6148 Рік тому

    Duuu pole sana Zimwi Mungu ni.mwema atatuma Malaika wengine kuja na matibabu kamili

  • @wakaliwazanzibartumy
    @wakaliwazanzibartumy Рік тому

    Polesana ndugu allahuma jaalna afya Wal afiya halaa zimwi wajamiaa Tanzania ammmmin

  • @ummySheikh72
    @ummySheikh72 Рік тому +30

    Wampe msamaha basi serikali! Watanzania wako hooooi na kuchangia kila konaaa, wagonjwa wengi vipatato vya wa watanzania sio vizuri kabisaa, hapa serikali isimame na nyie.

    • @maryjonh311
      @maryjonh311 Рік тому +1

      Mi najiuliza si ni ntanzani? Kama hali ya kiuchum awana uwezo si wamtibu tu jamani?

    • @mwanakomborashid7053
      @mwanakomborashid7053 Рік тому

      Wagonjwa matibabu juu ila mpira kila goli milion tanoo

  • @respigndukya903
    @respigndukya903 Рік тому

    Poleni sana ,,,,pia nishauri kitu anzeni na nyinyi kujitoa kwa kutimia Sanaa yenu fanyeni show kiingilio kiende Moja kwa Moja kwa matibabu ,,,

  • @neemalaurent6824
    @neemalaurent6824 Рік тому

    Pole Sana. Zimwi mungu akufanyie wepesi utapona

  • @fatmamrihani6828
    @fatmamrihani6828 Рік тому

    Pole sana ZIMWI mchekeshaji wangu pendwa M/mungu atakuaufuu inshallah

  • @kiluwaselemani4246
    @kiluwaselemani4246 Рік тому +1

    Pole mzee mungu yupo utapona.

  • @rehemakomba6376
    @rehemakomba6376 Рік тому

    Mungu akuponye kufa hautakufa Bali utaishi kwa jina la yesu

  • @wemakatina8538
    @wemakatina8538 Рік тому

    Dozi kubwa ni jina la mungu baba mwenyezi mi nashauri mumpeke kwenye maombi kwa mwamposa atapona kwaimani yake

  • @kamdinindevu5185
    @kamdinindevu5185 Рік тому +1

    Pole kaka mungu ni mwema utapona tu inshalah

  • @elizabethdeus7923
    @elizabethdeus7923 Рік тому +1

    Pole kaka mungu akupe wepesi baba

  • @festomnyalu4833
    @festomnyalu4833 Рік тому +1

    Mungu naungana na mgonjwa ktk maombi yake ya kupona mfanyie miujiza aweze kurudi ktk hali inayo mfaa kama ulio mjalia mwanzo

  • @selemaniselemani7014
    @selemaniselemani7014 Рік тому

    Allah amfanyie wepesi " labasa twahuur in shaa Allah"

  • @ramadhanhamidu-bf1po
    @ramadhanhamidu-bf1po Рік тому

    Allah ampe shifaa inshallah kwa uwezo wake manani atapona

  • @mandevurecordz4106
    @mandevurecordz4106 Рік тому +1

    pole sana Kaka ALLAH atakuafu.

  • @BON357
    @BON357 Рік тому +2

    I'll fuzo waxanii mujue Kuna maisha bada ya xanaa

  • @user-lg7of5pu5u
    @user-lg7of5pu5u Рік тому

    Mkono unabusara Sana na zimwi ALLAH yupo pamoja nawewe inshaallah

  • @StephanoJshadreck-cm7li
    @StephanoJshadreck-cm7li Рік тому

    Polen sana sanaa Wana comedy movies
    Pia mungu nimwema n aweze kumlejeshe nguv yak ka awali

  • @thierrytiti886
    @thierrytiti886 Рік тому +2

    Yanga wakifunga goal moja 5M simba vile vile last time wamefunga bao 5 walipewa 35M sasa pesa wanazo pewa pana watu wengi wana zihitajia

  • @ommywhity1665
    @ommywhity1665 Рік тому

    Utapona inshaAllah kaka kwani sikuzote mungu hakupi jambo usiloliweza na Nina Imani utapona kaka zimwi .....alaah! Iyeeeeeee! Umeonaeeeeee nakutambua sanaaa

  • @Ngoshhofficial
    @Ngoshhofficial Рік тому +3

    Tiny white unanivunjanga mbavu babae iko vizuri

  • @kazzyphilips2165
    @kazzyphilips2165 Рік тому +2

    Not only in Tanzania wekeni number am in Kenya nitachangia

  • @bonventrychevai5183
    @bonventrychevai5183 Рік тому

    Pole sana ndugu yangu, tunakuombea dua upate nafuu ya haraka.

  • @rachelmisana7018
    @rachelmisana7018 Рік тому

    Mungu amponye🙏lkn me nashauri akatiwe bima itapunguza gharama

  • @TsuleymanObarnto-wd1yw
    @TsuleymanObarnto-wd1yw Рік тому +1

    Jambo laweza kuwa zuri ila Mambo madogo madogo yakaharibu,,,sasa kuna haja gan ya kumuonesh mwanzo mwisho wa mazungumzo! Upuuz tu kaz bila maadil

  • @benardmatano142
    @benardmatano142 Рік тому +1

    Mungu amuajalie kheri

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 Рік тому +1

    Naipenda nchi ya Tanzania kwakweli mko n umoja Mungu awazidishie mzidi kupendana ❤pole snà Kaka zimwi Mungu akujalie shifaa ya haraka akupe nguvu n afya njema chochote nilichonacho nitatoa😢

  • @phiniaskashaija
    @phiniaskashaija Рік тому

    Poleni sana aisee tunamwombea sana apone

  • @LJTVFAMILY-wf7en
    @LJTVFAMILY-wf7en Рік тому

    Pole sana mwenyezi
    Mungu akuponye

  • @habibnjowele7751
    @habibnjowele7751 Рік тому

    POLE NDUGU Zimwi mungu akuwepesishie!

  • @husseinmaula4965
    @husseinmaula4965 Рік тому +11

    Mngeandaa tamasha kama comedian ili kumchangia ndugu yetu

  • @user-qq6mv6vh3e
    @user-qq6mv6vh3e Рік тому

    Mwenyezi mungu amuone na jicho la huruma amuponye

  • @jumasaidseif2924
    @jumasaidseif2924 Рік тому

    Pole sana mungu nimwema atakufanyia wepesi

  • @SalimSalim-ec9jo
    @SalimSalim-ec9jo Рік тому

    Pole sana zimwi..mungu akupe afueni ya haraka

  • @onesmomrisho5456
    @onesmomrisho5456 Рік тому

    YESU ANAPONYA MAGONJWA YOTE.
    MWAMINI TU, PAMOJA NA MATIBABU LAZIMA UTOKEE MSAADA WA KIMUNGU.
    JAMBO HILO NI DOGO SANA, BROTHER ZIMWI ATAPONA TU. KARIBU OMEGA MINISTRIES KWA PROPHET SS ROLINGA

  • @mayarashidi2765
    @mayarashidi2765 Рік тому +1

    Mungu akuokoe.zimwi wetu

  • @MwajumaMohamedi-vd7vr
    @MwajumaMohamedi-vd7vr Рік тому

    Pole sana kaka MUNGU atakupa wepesi utapona tu

  • @suzanalucasemanuel7006
    @suzanalucasemanuel7006 Рік тому +3

    Pole sana mungu yu pamoja nawe atakuponya

  • @maylucson001
    @maylucson001 Рік тому

    Mungu ni wetu sote ...utapona kakangu mungu yu pamoja nawe anakujua vyemaa

  • @isaacjibaba9997
    @isaacjibaba9997 Рік тому +3

    From 254,jamani namuombea sana zimwi tungali tunamhitaji apone mapema

    • @alawisoud665
      @alawisoud665 Рік тому

      Tuma na mchango wako namba ndio hiyo umeshaiskia

  • @khalfanmohammed6068
    @khalfanmohammed6068 Рік тому +1

    Mwenyez akufanyie wepesi

  • @officialnjuwila
    @officialnjuwila Рік тому

    Pole sana zimwi utapona kwa uwezo wa araah

  • @selestinsongola2787
    @selestinsongola2787 Рік тому +2

    Mungu amponye kwajina la yesu

  • @user-nk2hb2xh4q
    @user-nk2hb2xh4q Рік тому

    Mungu ampe hafiifu inshallah

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 Рік тому

    Zimwi nenda kanisani kwa KUHANI RICHARD MUSA mbezi temboni utapona❤❤❤❤❤ugonjwa mwingine ni uchawi yaani kulogwa tu Mimi ninaimani utapona nenda utapona ❤❤❤❤

  • @msafirikilongo7429
    @msafirikilongo7429 Рік тому +2

    Duuh marazi haya ni hatari sana,, pia si vibaya akaenda katika maombi Yesu wa Nazareth anaponya

    • @kerosdamusic5521
      @kerosdamusic5521 Рік тому

      Amen hakuna kama YESU KRISTO Bwana na Mwokozi wetu hashindwi na jambo lolote ndugu yangu. Atakuponya, ukiamini tu.

  • @justicegoodluck5118
    @justicegoodluck5118 Рік тому +1

    mungu amfnyie wepesi