Sierra Leone Nchi Inayozalisha asilimia kubwa ya madini ya Almasi Ulimwenguni.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • Uchumi wa Nchi ya Sierra Leone inategemea Zao la madini ya Almasi kwenye pato la Nchi hiyo,Nchi hiyo ni moja ya Nchi kumi Duniani kwenye uzalishaji wa Madini hayo.
    Unakila sababu ya kujivunia na kufurahia watu na vitu vilivyo zalishwa Afrika.
    #MadeinAfrica #ZaoLaAfrika

КОМЕНТАРІ • 4

  • @sniperboy7098
    @sniperboy7098 4 роки тому

    Ila nashangaa nchi ya yao maskin sanaaa wazungu wanchukuw almasi cc wanatupa silaha wnyw kwa wnyewe tunauwana

  • @bashitemakonda1540
    @bashitemakonda1540 7 років тому

    Africa is not the intended recipient

  • @abdallaomari7474
    @abdallaomari7474 4 роки тому

    Saf