MASOKO YA MADINI YA RUVUMA YAUZA MADINI YA BILIONI 2.824

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 січ 2020
  • wachimbaji wadogo na serikali vimeanza kunufaika na masoko ya Madini ya Vito na dhahabu katika wilaya za Tunduru na Songea mkoani Ruvuma,baada ya kuuza madini yenye thamani ya shilingi bilioni 2.824 katika kipindi cha miezi Sita.

КОМЕНТАРІ •