Tusifanye ya hivi, tufanye ile ya ku slide.....!!! Daaaah we jamaa wewe!! Kweli ndo comedian wangu ulie baki aisee haaaaaaaaahaaaaaaaaa!! Nakukubali sana
Nimecheka Sahani ya mwisho kashangaa mpaka kakaa chini. Wachekeshaji joti, Kuna yule Electronic kitambo wa serious fun comed na mwisho, Mau fundi machizi haswaa
Kama unampenda joti gonga like hapa twende sawa
Joti nimependa unavoimba,kucheza na hizo nguo,dah umetisha bro
Yaani joti wewe kweli chizi🤣🤣🤣🤣 l like
Tukubali tukatae joti bongo bahati mbaya uyu angekuw ulaya angekuw zaidi ya Charlie Chaplin
haaaa kucheka kama kote mbele ya joti hpana chezea nakubali sana kazi zako brother
Iyokweli
Jully Kamonga kwaiyo tz awezi kuwa jot atabaki kuwa jot awezi akawa mtu mwingine
Wapi wa congo we zangu nipeni like zenu basi kwa joti 😂👌
Joti we ni shida nyingine😂😂😂😂😂
Jamani wa kwanza ku comment naomba like zenu kama tuko pamoja
Like za nni ww km mtt wa kke
This man is the cure , even if you like fuked up the moment you watch his comedy you'll find yoself cryin' from laughter.
Roho ya korosho ibaki mtwara😁😁😁😁😁😁joti we n shidaaaaaa
Daah umetisha Joti c kwa ukivisereresha hiyo sahan
Yni mm nakereka na watu wanaoomba like utafikiri kzi wamefanya wao
😂😂😂😂 vibe vipi? Ahahaha....Joti the Greatest
Kalii
Hahahahaaaaaaaa daaaah!!! you made my day kwakweli
Team Uganda who love joti...give me some liles
Asha Basha.... just like ur name
ua-cam.com/video/ldbw9z_YMXU/v-deo.html
Miuno ya sotojo...joti Hatari sana daah
Lazi.a vyombo viuzwe mapacha watafutiwe maziwa joti juuuuu nakupendaga
😂😂😂😂😂😂😂Daaaah joti msengeee sanaaaaa
Tusifanye ya hivi, tufanye ile ya ku slide.....!!! Daaaah we jamaa wewe!! Kweli ndo comedian wangu ulie baki aisee haaaaaaaaahaaaaaaaaa!! Nakukubali sana
😁😁
Gonga like kwa
Baba Wa 2
mmmmhhh umetishaa.....😊😊😊😊😊😊
Joti ni funny man Tanzania kama umeon joti viatu vikubw kwake like here
Natengeneza vibes kwanza 😅😅😅😅🧝♀️🧝♀️🧝♀️🧝♀️🧝♀️🧝♀️🧝♀️
Awa wa Kaka wawili muncheza vizuli sana
😀😁😁😂😂😁😁😁umeniacha hoi uchawi upo
Unaomb like kwa kaz gan ulofanya ka! Mnaboa hasa!
Roho ya korosho acha Mtwara😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hahahhaahaa dah you made my day Joti.
Madini ya Chuma!!! 😂😂😂😂😂😂
Joti comedy king of Africa...baba chezo usichzea.......
haaaaaahaaaahaaa tufanye ile ya kuslide
Budaaa balaaa sana joti upo vizuri
We joti nimshenzi sijawahi ona aiseeee😂😂😂
Du! Wee joti ni noma yaani unafanya wenzako tunachekaaaa
joti nomaaa
Joti n fundiii... weka like twende sawa
Eti roho ya korosho ipo mtwara😎😎😎
Haha joti ww noma dah hii saani yamwisho
😂😂😂semaa mmmetshaa saana aiseee
Na mimi wa mwisho leo like pleas twende sawa
😁🤣🤣kuna sahan ya udongo origino haivunjiki jaman
Sopa jembe timu fisssssi nunua uweke ofisini pale ili tutesti kwa kulusha kwenye udabwidabwi mungu awape maisha malefu yenye upendo, amani,
Roho ya KOROSHO ibaki MTWARA hahahahahahh
😀😀😀 joti we fala kweli. 😀
Wachache sana wataelewa fumbo la comedy ya Leo
#vibe #mchezo_husiuchezee #nyegezi
Umetsha xn #Joti
Your very brilliant bro
Pwaaaaaaaaaaa jibebe bebe
😁😂😂😁😁😀😀😀😀😁😁😁😁roho yakorosho iache ntwara
The ending part😂😂😂😂😂
Probably the best part
bbe njo njo njo i like duuhh joti bwana 🤣🤣
😂😂😂😂😂😂
Alivyoshangaa
Hiyo ya mwisho ya chuma kweli 🤣🤣🤣🤣
Nimecheka Sahani ya mwisho kashangaa mpaka kakaa chini. Wachekeshaji joti, Kuna yule Electronic kitambo wa serious fun comed na mwisho, Mau fundi machizi haswaa
😂araikee🤣😂
😂😂😂😂😂joti bana et uchaw upo
we mshenz unajua sanaaaaa
😂😂😂😂Jotiii i love you
hahahah pasua Kama kweli ni madin
ahahahahaaaaaaaa, I like it.
Jamani izo sahani hazna kazi
🤣🤣🤣 eti kweli uchawi upo
joti. jamani. hakuwezi. mtu. wewe. 😂😂😂😂
Today is sofa nakukubali sofa u are so talented
Km umecheka sana kwenye sahan ya tatu gonga like tujuane😂😂😂😂😂😂😂
Love from kenya joti,
Amazing Sana
Sipotezi bundle langu hapa kwa joti ananpa rahaa saan
Jot huend mbinguni ujue🤣🤣🤣
Uko juu jot
Jotiii we ni kiboko mbavu zangu zote mochwari😄😄😄😄😄
😂😂😂😂😂😂😂😂waomba like hamjambo 🏃🏃🏃🏃
Joti hizo surual unazipatiaga wapi? Daah we jamaa mrithi wa Majuto
😂😂😂😂😂😂😂pasua zote baba boss wako akakunywee chai ,
Jamani hz like mnapeleka wapi kwani
😂mchezo usiuchezee huu🤣
Et tufanye kama ile ya Neyma chaaaa😁😁😁😊
Roho ya korosho iache mtwara 😂😂😂😂
Umetisha
Jamani huyo jamaa wa short y blue anaitwa na nani? Nimempenda kishenzii naomba unitongozeee❤️❤️❤️❤️Joti nisaidie nimpate, siku nyingi2 namtaka
Uko vizur
🤣🤣🤣🤣🤣🤣ila joti akili zako
Leo umenichekesha sana
😂😂😂 joti we noma
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂joti nyoko sana
😂😂😂😂Ela oenye
😂😂😂😂😂Joti chizi sana
Utaniua nishai🤣🤣🤣
Baba nyie noma
huwezi ukachomoka katika hii biashara ha ha haaaa
roho ya korosho ibaki mtwara teh teh teh.
Roho y korosho ibaki mtwara 😂😂😂
Joti uko vzr
Ila joti jamani sasa ndo nini kujitia hasara😂😂😂
Nishai dio my favourite character
Nilikua nasubiria kilio mwishoni hahahahaha
hahaaaa daaaah nimecheka sana
Uno la sotojo😁😁😁
Nimechekaa sanaa
Mh joti hahah
Noma🔥🔥🔥
Umebaki ww na maizumo tu katika comedy hakuna mwingine.....
Hahhaaa jotiiiii ni shidaaaa
Hatari😂😂😂😂😂
Dah noma promotion