"CHADEMA TUMEMSIFIA WATAMSHUSHA CHEO" KATIBU CHADEMA ASHINDWA KUJIZUIA AMPONGEZA RPC KUZAGA "Ana UTU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 38

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 25 днів тому +3

    Kusaga oyee ustaafu vizuri na uendelee na moyo huo utabarikiwa.

  • @user-xe8xv6so6s
    @user-xe8xv6so6s 23 дні тому

    Kweli ccm hawana sera. Na wanajiharibia nakunidhalilisha wenyewe kweli tusimame barikiwa Sana.

  • @isayamwashibanda5819
    @isayamwashibanda5819 24 дні тому

    ❤❤❤🎉

  • @juliuskitomari3057
    @juliuskitomari3057 23 дні тому

    Nimesikia jina la Sabaya hadi utumbo umetetemeka,Sabaya! Sabaya! Aisee kama akairudi basi hii nchi itakua na shida kubwa sana

  • @aronimanirakiza5655
    @aronimanirakiza5655 25 днів тому +1

    Kiana. Nani I. Niko. Marekani. Nakupenda rizigatia. Halo. Yakisheria. Mungu. Akubariki

  • @timothchidebwe
    @timothchidebwe 24 дні тому

    Mama .Samia .napomba .umshushe .cheo .huyo .anayetumia . Nguvu .kwa .wananchi

  • @NestorSimbi
    @NestorSimbi 25 днів тому +1

    Sawa sawa

  • @JACOBNDASHUKA
    @JACOBNDASHUKA 25 днів тому +1

    Mchukulieni hatua mnasubir nini hamjamfungulie kesi hadi Sasa wanasheria mnao komaeni nae mahakaman hadi kieleweke

  • @HijaSaid-xd7fg
    @HijaSaid-xd7fg 25 днів тому

    Wee chawa mtu wa Mungu Polisi

  • @user-pp1cq9op5y
    @user-pp1cq9op5y 26 днів тому +1

    Wakidhusha cheo tutampa kazi ongine siyo lazima awe polisi ccm

  • @user-pp1cq9op5y
    @user-pp1cq9op5y 26 днів тому +1

    Awadhi na makonds walikuwa wote haeo nimashetani

  • @user-fj4kj8xc5x
    @user-fj4kj8xc5x 25 днів тому +1

    Kuzaga hata akistaafu hata juta nimeona ana busara sana.

  • @hashimyusuf9965
    @hashimyusuf9965 25 днів тому

    Huo ndiyo mjinga wa kumpa mpumbavu madaraka!

  • @JuliusMasondore
    @JuliusMasondore 23 дні тому

    Apewe maua yake

  • @janeshija6638
    @janeshija6638 24 дні тому

    Tatizo huyo kapewa cheo cha UNDUGU. Naamini hii nchi UCHAWA UTATUMALIZA

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 25 днів тому

    Mungu yooote anayaona na atayetekeleza mda si mrefu.

  • @geofreyjonas4901
    @geofreyjonas4901 25 днів тому +1

    RPC KUZAGA NI MKATOLIKI MZURI SANA NA ANA HEKIMA

    • @leahmgunda4154
      @leahmgunda4154 24 дні тому

      Utanitambuaje kama nimeokoka? MATENDO jamani.

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 25 днів тому +1

    Kama hongera sana uko vizuri kuitetea nchi yetu barikiwa sana. POLICE wanatumika vibaya kiangamiza CHADEMA.

  • @raymondsekabigwa5907
    @raymondsekabigwa5907 25 днів тому

    Mmezidi maneno bila vitendo kwani kuna aliyejuu ya Sheria. Mnangojea nini kuchukua hatua na huku chama chenu kina sifa ya kuwa na wanasheria nguli

  • @abelmakalwe
    @abelmakalwe 25 днів тому

    Umenena kweli

  • @FocusmachumuMwizarubi
    @FocusmachumuMwizarubi 25 днів тому

    Huyo hawazi ni nani hapo mbeya kushugulika nae tatizo mumeshindwa kuwa na misimamo nyie na WA Kenya mna tofauti gani

  • @HalidMuhammad-gi9qy
    @HalidMuhammad-gi9qy 25 днів тому

    Haki itendeke kama kweli aliyoyafanya ni kinyume na sheria ni uhuni wake tu alaniwe na achukuliwe hatua

  • @colombanipaulo8953
    @colombanipaulo8953 25 днів тому

    Haya mambo ni mabaya sana.
    Hivi kwann viongozi wa chadema wapigwe?
    Awadhi ashitakiwe mahakama ipi wakati haki haitatendeka?
    Je km mahakama haitatenda haki nn kifanyike?
    Mungu atuongoze watanzania kuamka kudai haki zao.

  • @ericlowasa3097
    @ericlowasa3097 24 дні тому

    Huyo Awadh ndo nani nchii hii .....

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 25 днів тому

    Awadhi utakufa unaliwa makonokono

  • @Abdul-oc1ul
    @Abdul-oc1ul 25 днів тому

    Nyny wtngnyika hch chm chenu cha mapinduzi mmempinduwa nani nyny ni chama kiccho na na uhalali wa usajili

  • @user-yo7sj8fs4h
    @user-yo7sj8fs4h 25 днів тому

    Shetani ni shetani tuh
    Ata akija kwa umbo la binaadamu

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 25 днів тому

    Ninyi ni wauza sura tu

  • @danielkanso
    @danielkanso 25 днів тому

    Mwenda wazimu ukimpa fimbo wewe unafikiri atafanya nini

  • @user-oy5dz5xl8s
    @user-oy5dz5xl8s 25 днів тому

    Awadhi asili yake wapi ?

  • @aronimanirakiza5655
    @aronimanirakiza5655 25 днів тому

    Swags. Life. Kwakitendo. Urichokifanya. Wewe. Numuntu. Gani. Askari. Gani. Ambao. Harsher? Rand. Wewe. Ni Manama ?

  • @HijaSaid-xd7fg
    @HijaSaid-xd7fg 25 днів тому

    Ccm halitosis madarakani huku mnahongwa milioni tank na mnapokea wacha Samia atawale kura yangu kwake sio nyie machawa

    • @JackKanyigo
      @JackKanyigo 24 дні тому

      Unajua maana ya kuhongwa au shule 0

  • @user-bf9xj3nf1o
    @user-bf9xj3nf1o 25 днів тому

    Kwanini samia hapigwi kwakufukaza wamasai why washenzi sana

  • @raymondsekabigwa5907
    @raymondsekabigwa5907 25 днів тому

    Mmezidi maneno bila vitendo kwani kuna aliyejuu ya Sheria. Mnangojea nini kuchukua hatua na huku chama chenu kina sifa ya kuwa na wanasheria nguli

    • @peterjosephat6685
      @peterjosephat6685 25 днів тому +1

      Sauti ya wengi nisauti ya mungu utapata majibu muda si mrefu ukombozi umekaribia ndomaana waovu wanadelea kujionyesha kama mapolice kupiga viongozi wa uponzani na kuwaibia na pia Nape alionyesha wazi kuwa ccm hawategemei kura za halali huwa wanaiba ushindi sasa watu wamewafahamu watakabiliwa kwa nama watakavo kuja