[Eng sub] Best African Action Movie 2024 | Operation Red Sea - Beast of no nation | Netflix

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • The Minister of the interior is captured while in an unofficial Trip, the Minister's office decides to send a secret force to rescue the Minister to hide the shame, the force is called OPERATION M22 Written & directed by Benroyal
    This is Channel is for action movies based on African Movies in English and Swahili HD movies don't forget to subscribe @BenroyalMovies
    Operation Red Sea 2018
    Operation M22
    Genre: Action
    Written & Directed by: Bernard Edson (Benroyal)
    Year of Production: 2022
    Country: Tanzania
    Original Language: Swahili
    Synopsis
    Operation M22 is the name of the operation given to five soldiers who went to rescue the minister who was kidnapped by the gang of thieves.
    Cast
    Peter Mwasomola
    Sebastian Gwakisa
    Ally Siwila
    -Lazima utoe machozi ukitazama Filamu hii
    -Benroyal movie iliyoshinda tuzo
    -Awards winning movie
    -African war Movies
    -Operation red sea
    -Operation M22
    -Bongo movie ya kivita
    -Dj Mack
    -Dj Afro
    #zuchu #juakaliseries #chekatu #benroyalpicturesmovies

КОМЕНТАРІ • 329

  • @mwenieliasa6517
    @mwenieliasa6517 Рік тому +54

    Alhamdulillah wa kwanza kukomenti like kuangalia naombeni like zenu maana nilikuwa naisubiria kwa hamu💞💕

    • @joancalling3837
      @joancalling3837 Рік тому

      Noma sana hii move Yani naipenda mpaka basi

    • @mwenieliasa6517
      @mwenieliasa6517 Рік тому

      @@joancalling3837 mi Kila mda nilikuwa nairudia mara mbili mbili

    • @khalidially4751
      @khalidially4751 Рік тому

      Niwap hongera wote walio shiriki kwenye mov hiii mumefany vizur San hongelen machalii nimeipend hiy hongel sn joj kwa kaz nzuri

  • @Benroyalmovies
    @Benroyalmovies  Рік тому +7

    Karibuni sana kutazama Filamu ya Operation M22 iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa

    • @MBANGA_NAME
      @MBANGA_NAME Рік тому +1

      Nakubali kaka

    • @leahchangas335
      @leahchangas335 Рік тому +1

      Tupo kijana wetu we tena

    • @C.Ltv1
      @C.Ltv1 15 днів тому

      @@Benroyalmovies naomba niseme... Katika movie ambazo nafsi yang imekubali mmecheza hiii Ni kali ... Movie zen zote nazfuatilia ila hii mmeiweka kwenye ubora. Kusema kweli bas mna weza kabsa mkaendeleza Kaz yenu ikwa international sana Hongeren nawakubali kila mmoja kwenye sehem yake anajua kuicheza. Ila kuna bwana mdogo mmoja alie cheza na Starling pale mwshon wanapokutana wawili skmbuki alcheza kama nani Kit kama gwakisa aongeze seriusness yan awe serious
      Ila bigup sana

  • @erickfredrick299
    @erickfredrick299 Рік тому +7

    Dah we jamaa ni Noma sana, Movie iko vizuri sana na inapaswa kwenda NETFLIX

  • @zclassichb9614
    @zclassichb9614 Рік тому +11

    Kigongo cha maana nilisubiria sana usiku na mchana ,, sasa ngoja nikae mkao kuangalia dude letu lilobeba tuzo 🇹🇿👏 Benroyal the great💪

  • @hashimrweabula9
    @hashimrweabula9 7 місяців тому +2

    Yeyeyeyooooooooo💪💪💪 bongee la kazii sarout sana team mzima dadeki hii kaz nzury sana nikama naangalia mission impossible 💪💪

  • @Dj_anaetumia_kanda_AloyceG
    @Dj_anaetumia_kanda_AloyceG Рік тому +6

    Kazi nzuri sanaaaaa, sema Bongo bahati Mbaya kiwango cha Kimataifa 🙌🏻🙌🏻🙌🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻

  • @mbogoidentity
    @mbogoidentity Рік тому +3

    kudadeq 💥💥💥💯🙌 noma sana hiiii

  • @allyabdul6013
    @allyabdul6013 Рік тому +9

    Karibuni kuitazama movie yetu pendwa OPERATION M22. Inspector BANZO hapa super power 🔥🔥

  • @raiszongo4136
    @raiszongo4136 Рік тому +5

    Nyie nyie TANZANIA tunatisha sana acheni masihara mzigo wa Hollywood 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @hangaabdulrahman1255
    @hangaabdulrahman1255 Рік тому +3

    Director pongezi nyingi saaaaanah!kwa kazi nzuri.Home sweet home baby🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @japhethokoyo1573
    @japhethokoyo1573 Рік тому +6

    Big up napenda movie zenu sana zimeesha shule zikaiva

  • @joseboy1149
    @joseboy1149 Рік тому +8

    Kazi imenyoka sana bigapu family 🎉🎉

  • @emmanuelmmasi7283
    @emmanuelmmasi7283 Рік тому +2

    Best dana

  • @daressalaampost5785
    @daressalaampost5785 Рік тому +8

    Aiseee nawakubali sana, Tanzania pia tumeanza kufanya vizuri sana kwenye movie za namna hii. Big sana

  • @theakimario2586
    @theakimario2586 Рік тому +5

    Bon wangu jamani nakupenda sana🤩🤩🤩

  • @StevenMatimba-e6h
    @StevenMatimba-e6h Рік тому

    Duuuu!!!mmetishaa

  • @kisiroti3250
    @kisiroti3250 Рік тому +2

    Ni 🔥

  • @johnrichard5482
    @johnrichard5482 Рік тому +10

    KAZI NZURI SANA... BiG UP SANA TEAM NZIMA YA #BENROYAL_PICTURES 🙌🙌🙌🎥🎬💥💥💥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @abdulzaidi6043
    @abdulzaidi6043 Рік тому +8

    Daaahhhhh nyie viumbe ni shida,mnajua hadi mnakera,big up kwenu mungu aendelee kuwapa afya njema mzidi kufanya mazuri zaidi na zaidi,na pia awajaalie muweze kutimiza malengo yenu ya kimaisha inshaallah,salute sana kwa wanangu CHUI NA DUBU

  • @kleinlee7303
    @kleinlee7303 Рік тому +8

    Nawapenda Sana benroyal much love from Kenya 🇰🇪

  • @hangaabdulrahman1255
    @hangaabdulrahman1255 Рік тому +2

    Actress wapo hot Saaaanaah!heshima kwenu.Home sweet home baby 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @mwogeramwimeti9902
    @mwogeramwimeti9902 Рік тому +6

    Hii movie n zaidi ya action walai tena wajeshi wangu from 254 IAM here to congratulate bongo movie

  • @youtube.mwosatv
    @youtube.mwosatv Рік тому +1

    Big up

  • @tryphonefriday6010
    @tryphonefriday6010 Рік тому +3

    Nilishaweka notification on hamjawahi kuniamgusha makamanda wangu wa Green city❤❤❤❤

  • @mrmaconnection8674
    @mrmaconnection8674 Рік тому +4

    Endelea kutupa mambo nawapenda sana kazi nzuri

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 Рік тому +2

    Dah hamna wapinzani. Mpo vizuri sana nyieeeeeeee. Nawakubali sanaaaa

  • @sallyshedafa596
    @sallyshedafa596 Рік тому +8

    Hii movie imekubali sio poah....🔥🔥🔥🔥🔥🔥Salute benroyal 👏👏

  • @patrickwetaa64
    @patrickwetaa64 Рік тому +5

    Maze hii ni bonge la movie nawapata nikiwa🇰🇪🇰🇪Kenya wanangu

  • @Amina-xc8tl
    @Amina-xc8tl Рік тому +3

    Mashallah movie nzr mno asanteni

  • @Cambarada
    @Cambarada Рік тому +4

    Yapo makosa madogo madogo ila big up, mmeua hongereni.

  • @kyelaonlinetv2
    @kyelaonlinetv2 Рік тому +2

    Pamoja tunaweza

  • @Funnyclip2321
    @Funnyclip2321 Рік тому +3

    Benroyal u are the best
    .. bongo NZIMA hakuna kama ninyi🙏🏿♥️💪🏆

  • @dannylovemramazing6255
    @dannylovemramazing6255 Рік тому +2

    Saaafiii

  • @joslinebaraka7580
    @joslinebaraka7580 Рік тому +3

    Mimi leo wa pili na omba likes zangu

  • @NtoneDlamini
    @NtoneDlamini 7 місяців тому +3

    What a movie watching from South Africa

  • @BigBenk
    @BigBenk Рік тому +2

    Kali sanaaaaa

  • @janethkamwela
    @janethkamwela Рік тому +3

    Kamwe team boni hajawah kunilet down appreciate you benroyal team ni fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @alphamwaihola1790
    @alphamwaihola1790 Рік тому +3

    Dude ilo wow amaizing story amazing act great work GREEN CITY BOYS

  • @dottocharles9645
    @dottocharles9645 Рік тому +3

    you guys you are the best

  • @mballaJR25
    @mballaJR25 Рік тому +4

    muvi Kali Mzee🙏🙏🙏💥

  • @sokanavitabusokavi8322
    @sokanavitabusokavi8322 Рік тому +2

    Dah BenRoyal , nimewakubali

  • @hadidjahassan7305
    @hadidjahassan7305 Рік тому

    Move zurisan ❤❤❤

  • @maxmarickylezile
    @maxmarickylezile Рік тому +2

    Nc mambo ni 🔥🔥

  • @manjomhmohammad51
    @manjomhmohammad51 Рік тому +3

    Nlikua naisubir kwa hamu Sana kazi nzr

  • @gracerehema5070
    @gracerehema5070 Рік тому +6

    👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾💯❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪ONE love from kenya

  • @goffboy8919
    @goffboy8919 Рік тому +3

    Love from Dodoma mmetish snaa wakubwa ongela kwakila hatua kikubwa kazeni kufika mnapo taka kwenda 💫💫💫💥💥💥💥💥💥💥💥💣💣💣💣💣

  • @michaelmkoma
    @michaelmkoma Рік тому +11

    Nilikuwa naisubiri hii movie Kwa muda mrefu baada ya kuona trela yake mwaka jana na hatimaye.
    Mbeya city to the world

  • @architecturedesingphillip8966
    @architecturedesingphillip8966 Рік тому +2

    safi zaidi nilikuwa naisubili sana hii

  • @ofmae-thebrainstech3501
    @ofmae-thebrainstech3501 Рік тому +2

    Kazi nzuri akways nyie jamaa hamnaga kazi mbovu, nawakubali sana aisee

  • @shirackudessi3882
    @shirackudessi3882 Рік тому +1

    Gig up

  • @rishysimba157
    @rishysimba157 Рік тому +2

    Ni Noma bas💥💥⁦🇹🇿⁩

  • @salummkumbe5694
    @salummkumbe5694 Рік тому +2

    Jamaa munaweza sana haiseeeee

  • @johnantony7178
    @johnantony7178 Рік тому +3

    Salurt kwenu akika kazi zenu nazikubari

  • @sarahjudahsarah1263
    @sarahjudahsarah1263 Рік тому +2

    Kazi nzuriiiii sana nawapenda ❤️

  • @gsakson1951
    @gsakson1951 Рік тому +5

    MBEYA CITY I LOVE YOU FOREVER ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @graysongingo4046
    @graysongingo4046 Рік тому +2

    Siwapingi 💪💪💪💪💪💪💪🥰

  • @karimnguvumali1594
    @karimnguvumali1594 Рік тому +2

    gooood job very very step

  • @bihogorakaroli9691
    @bihogorakaroli9691 Рік тому

    kaz nzuri sana

  • @THUGBOY_TZ
    @THUGBOY_TZ Рік тому +1

    Movie kaliii unyama mwingi2 🎉

  • @adammodesto6626
    @adammodesto6626 Рік тому +2

    Mnajua. Move kariii

  • @dariaYohana
    @dariaYohana 7 місяців тому +1

    Tume subili san movies nzuri hatimaye mungu amejib

  • @yusuphmohmedy9534
    @yusuphmohmedy9534 Рік тому +2

    iko poa sana

  • @martinbarasa6658
    @martinbarasa6658 Рік тому +2

    Iko poa sana

  • @NelsonMunyai-m2j
    @NelsonMunyai-m2j Рік тому +1

    This is nice bring more and more full movie 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @frankditram1732
    @frankditram1732 Рік тому +3

    da nyie jamaa safi sana mnaleta changes kubwa sana kwenye bongo industry ya action movies

  • @emmanuelmuhabi7130
    @emmanuelmuhabi7130 Рік тому +6

    Movie zenu ziko poa. Hakika mmetuaminisha hata watanzania tunaweza kufanya kazi nzuri

  • @chongerayassini978
    @chongerayassini978 Рік тому +18

    Hii movie inastahili kurushwa NETFLIX appriciatiate on you people you deserve reward.

  • @sadithebest9582
    @sadithebest9582 Рік тому +2

    🔥🔥🔥

  • @ogmpango7606
    @ogmpango7606 Рік тому +2

    Heshima Yenu sanaaa

  • @sultanathuman-st8op
    @sultanathuman-st8op Рік тому +1

    Benroyal hana kazi mbovu yani ni bonge la director...alafu mm nasema mbeya kuna watu wana vipaji ni vile tu sio dar lakini hawa jamaa hatari

  • @HamzambwanaAli
    @HamzambwanaAli 2 місяці тому

    Aisay Mungu awabaarik inshllah awape uwezo zaidi inshllah ❤

  • @jeremiahmungete732
    @jeremiahmungete732 Рік тому +8

    Asanteni kwa kazi nzuri sana,mmetufanya kupenda kazi zetu wenyewe.Mmetubadilisha mtazamo wetu maana Kila kukicha ni simulizi za mapenzi kulikua hamana kazi tofauti ila kwenu tunapata radha tofauti.Kazi njema kwenu

  • @shamsahasan2748
    @shamsahasan2748 Рік тому +2

    Eehh jamani nzuri sanaaaa,ila vipande vyakupigana mm naogopa

  • @nelxonpkkieo2753
    @nelxonpkkieo2753 Рік тому +1

    Good jobu

  • @JonChifuijii
    @JonChifuijii 4 місяці тому +1

    Nayipenda sana this movie, nothing 4rom Angola 🇦🇴

  • @chizenboyka8976
    @chizenboyka8976 Рік тому +2

    Nyi jamaa mko ju Sana napenda kufatia movie zenu mi natokea Kenya mombasa

  • @taichirkpegouni5152
    @taichirkpegouni5152 Рік тому

    Togolaise in Kurdistan . Love you gayssss.

  • @mohamedidarus2322
    @mohamedidarus2322 Рік тому +2

    Nimefurahi kuona kuna tunzo mbili kazi nzuri #BENROYAL#

  • @DayanaSamuel
    @DayanaSamuel 6 місяців тому +1

    Nasemaga Benroyal ni mmoja tu ❤❤❤

  • @amonygeofrey3201
    @amonygeofrey3201 Рік тому +1

    kaZi nzuliii

  • @otengstarstv
    @otengstarstv 8 місяців тому

    Nice movie

  • @roshanbevah2730
    @roshanbevah2730 Рік тому +3

    nazipenda filamu zenu natazama nikiwa dammam😍😍😍😍

  • @MBANGA_NAME
    @MBANGA_NAME Рік тому +3

    Naanza na comment hii
    Eb niingie ndan sasa

  • @SimonPaskal-eh9hz
    @SimonPaskal-eh9hz Рік тому

    Peter mwasomola yuko vizur namkubali mwamba wangu pambana dogo tuko nyuma yako

  • @chriskgs0130
    @chriskgs0130 Рік тому +4

    Amjawahi kuniangusha Hata siku moja!! Mume weza Sana

  • @boythenuru4125
    @boythenuru4125 9 місяців тому +1

    Daaaaaah hongereni Sana kwa kazi nzuri na mungu awazidishie mfanye zaidi ya hapa kwa maana nimefurahi kwakua hiki ndio kitu nilichokua natamani kukiona Sasa katika bongo move ya leo

  • @abrahamnzeyimana5312
    @abrahamnzeyimana5312 Рік тому +2

    Kazi poa xana kbs love mi

  • @theakimario2586
    @theakimario2586 Рік тому +3

    Abrahamu akinyoa anakaa smart,,,

  • @nalamzalendoo
    @nalamzalendoo Рік тому +26

    OPERATION M22.🔥🔥💪💪 Big up sana Director wangu na Wanangu wotee kwa kazi yetu Bora kabisa🙌🙌🙌🙌

    • @Benroyalmovies
      @Benroyalmovies  Рік тому +1

      Pamoja sana Royal invester

    • @blesssabbath1575
      @blesssabbath1575 Рік тому

      😂😂😂😂Wawekezaji wa mchongo

    • @ishaniramadhani8710
      @ishaniramadhani8710 Рік тому

      Sema Nala kwenye movie Kuna muda unatia huruma sana nakukubali sana

    • @raymondedson2488
      @raymondedson2488 Рік тому

      Ila kwenye mtu Inabidi tuitafute ata Chanel 10 maana najua Hawana tamthilia Kali kama zenu

  • @bahatiomar5297
    @bahatiomar5297 3 місяці тому +1

    Benroyal nawapenda sana ❤ kutoka Kenya

  • @Maddog-g4d
    @Maddog-g4d 8 місяців тому +3

    Who watched today🙈🙈🙈🙈🙈nice movie interesting much love from kenya

  • @calvinpaulo2598
    @calvinpaulo2598 Рік тому +1

    nimeipenda

  • @paulonsulwa991
    @paulonsulwa991 Рік тому +2

    Mungu awasaidie

  • @princebarclay9939
    @princebarclay9939 Рік тому +4

    I,m watching this movie form liberia 🇱🇷 keep the good work okay.

  • @styco_Tz
    @styco_Tz Рік тому +3

    Film nzuli sana mungu akujalieni mufanye nzuli zaid

  • @kingdastotv1892
    @kingdastotv1892 Рік тому +2

    benroyar kiukweli umetisha sana hii movie ni kari vibaya mno,ubunifu ,editing za kisasa kabisa wewe ni TANZANIA ONE wa action movies kama hizi hakuna mwingine mwamba

  • @JaphethKalakile-gy3wo
    @JaphethKalakile-gy3wo 11 місяців тому +1

    God bless 🙏
    Ni kali htr I can't imagine!!

  • @mashafestusmramba7577
    @mashafestusmramba7577 Рік тому +2

    Kazi dzuri kabisa

  • @fihimmohd5432
    @fihimmohd5432 Рік тому +1

    Hongereni Sana

  • @DayanaSamuel
    @DayanaSamuel 6 місяців тому +3

    Tunaorudia rudia movie hii 2024 tujuane jaman inabidi mkazane kutupatia vitu now mnachelewa sana jaman hadi tunarudia vya kale 😂😂