Hii ni kwaajili ya wasio jua lugha ya kiswahili,nashauri hivi jifunzeni ili mfurahie utamu wa movie na lugha pia,asanteni.Home sweet home🇹🇿🇹🇿 baby.
Sikuzot Tanzania haikuwahi kushidwa kikwel hii move iko good musiache kuendelea kutoa filam hiz
Tanzania we keep going ,good step guys
Nic
Hii kweli
Wow nimependa sana filam Tanzania
Movie kali sana
Haiseeea move Iko poa sana kazeni ndugu zangu tutafika tu na ijayo natumaini itakuwa zaidi ya hii
Tunafurai sana kwafilamu yenu,sisi niwa congomani tunafwatiliya gam.
❤❤❤👏👏👏👏kaz zury pols
Kwa hakika Ina Wezekana Iko pw sana
Kali sanaaaaaaa
Amazing and action move thanks nimeinjoy
Nzuri Sana wakuu
Ebana mpo vizur sana mmejitaid kwa mlicho kifanya chamsing endelee kuboresha action hii action bongo movie ipo good
Good
Nakubali
Kaz nzur
Tamu
Great one, would love to watch it again pls with English subtitles 🔥✨🔥✨🔥✨
Nzuri Nzuri pongezi wa tanzania hii ni zaidi yawao Tanzania ipojuu
mpo vizuri SISI Vp inaendelea
Tisha Sana blo
nimeamini watanzania na sisi tunaweza cha kuzingatia bidii ya kazi daima tutasonga mbele big up sana kazi nzuriii imesimama kama WAR ya tiger shrof
Bonge la muvi, good sana
Kita master
Nataka kujifunza sana kutoka kwenu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kali Io kenya
Nice one I like this movie so much from Kenya👍👍
hahaha! Bonge La movie 👏👏
Mmejitahidi hivo ndivo inavotakiwa
Movie hii Kali sana
Big up
Movie nzuri sana.. nimekua nikiirudia mara kwa mara
Good African video
Daaah bonge la dude mmejitaidi sana
yes hatua hii sasa , pongezi sana
Salute kwako dah hongera binroyl
Aise safi sana mjitahidi msiishie njiani japo bado kuna mapungufu
Benroyal congratutionns for yo moves
Sisikiii unasemaaa aaaaaaaaaghhhh shabaaaa kuleee 🙌🏿
Kiukweli mnafanya kazi nzuri hongera Sana
ila jamani chonde msitumie mziki wa kiarabu jitahidini kutumia muziki wetu wapeni tenda waimbaji wetu na ili watunge mziki unao hitajika tukuze utamaduni wetu
Asanteni sana
Nawapenda sana munajuwa kucheza🥰🇦🇪🇧🇮
Asee kazi iko vizuli hongereni
Mbwela movie kali sana alafu kwa hii picha umetokea kijeda kweli uko juu
Dah namnajua tena mnajua kweli asante sana boni nakupenda sana BRo💪🤝
Nice nmepend sana love mbeya
Nakubali sana movie zenu
Hata mimi nime wakubali pia
Move kali sana namkubali sana
I like to watch an african action movies esp.these actors.
Movie zenu nzuri kweli nawakubali aisee
Wooow movie tamu kweliii🙏💞
Hongeren sana god job ilove oll of us much love from kenya👏👏👏👏
Mko vzr kasoro ni ndogondogo sana technology pia imechangia
Haishe mumetisha sana good job
Ther best move nimeipenda iyendeleye part nyengine
Thank you thank you we'll done ✅ good job ♥️♥️♥️♥️♥️❤️❤️♥️♥️👍
Very good movie
True action on the ground as depicted in this movie. Congratulations.
Hongera kwa wandishi ubunifu wa hali ya juu na hongera kwa waanda filamu na waigizaji kazi nzuri sana
Kazi nzuri sana ila myafanyie kazi mapungufu pia mjitahid kuongeza ubunifu mungu awabarik sana
Africans got talents too
Tisha Sanaa
Hii movie ni 🔥🔥
Hongereni movie ya viwango sana
yaani fresh kabisa mm nabenda Kasi yenyu paaana
Akika musiache kazi
Movie Kali🥰🥰🥰📌❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯
Well done 👍👌 so much amazing ❤️❤️🙌
Love from burundi big up sana watu wangu
Good work guys
Jmn roho imeniuma utafkr kwl
My favorite already
Nice movie
Mmetisha sana big up kwenu👏👏🙌
Chukueni maua yenu 🎉ila nilitamn mtoa Oda y Dam angetiwa nguvuni ndio ikafika mwisho..🙏
🤝🏽💪🏽
Big up guys keep it up really I like the movie jitahidi muongeze ubunifu wamarekani tuwa vuwe tenda za hollywood
Susyy also watching this video from gulf
Dah kumbe tunaweza hongera kwenu pb
Good 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Nilisha achakuangalia Bongo moves Leo ngoja nione Mimi huwa naangaliaga za mambele uku uongo mwingi sana
We are so blessed
SAFI SANA WATANZANIYA ENDELEENI VIZURI
Lovely bro🔥🔥🔥🦁🦁💪💪👏👏🙌❤️❤️😍😍😍
natamani kupata nafas kama hii
Nice
Ah merci beaucoup à toutes les Afrique ça c'est bien ça swahili
hizi ndizo muvi nzuri
Iko vizur sana na waigizaji baadhi humu niliwaona kwenye filamu zingine wakifanya vzur keep it up
Hizi movie are good Africa is the best
The best movie,keep on giving it a trial guys..mtafika tu
Yinisafi👍💥