Dr. Chris Mauki: Mambo 5 ya kufahamu unapokuwa kwenye mgogoro na mpenzi wako

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024
  • Ili kuzuia migogoro yenu kwenye mahusiano na ndoa isiwaletee athari kubwa, haya hapa mambo 5 muhimu sana ya kuyafahamu#DrChrisMauki#Mgogoro#DrChrisMauki#Mpenzi

КОМЕНТАРІ • 22

  • @joelbrown9022
    @joelbrown9022 2 роки тому +2

    Doctor chriss kuna namna unatufikisha sehem aisee nataman kua kama wewe one love doctor

  • @sholastikaHenjewele-rh4gw
    @sholastikaHenjewele-rh4gw 3 місяці тому

    Una tofauti Sana na mpenz wako
    Msilikilizaji
    Jielewe
    Tamaza mambo kwa upande wake pia
    Fahamu kuwa hata ww unakosea

  • @jellynesssemu9406
    @jellynesssemu9406 2 роки тому +2

    Shukran sana Dr. Kwa somo zur sana Mungu akubaliki. Akupe maisha marefu ww na familia yako

  • @careencharles1344
    @careencharles1344 2 роки тому +2

    Mungu akutunze zaidi mwalimu kazi yako ni njema Sana

  • @Irenenassir-ft6if
    @Irenenassir-ft6if 11 місяців тому

    Leo nimejifunza kitu...mungu akubariki

  • @rashidmdaki8934
    @rashidmdaki8934 2 роки тому +1

    Tunajifunza vingi dr mungu akubarki...

  • @monicampokwa441
    @monicampokwa441 2 роки тому +1

    Ni kweli kabisa kabisa.

  • @tulakagine3405
    @tulakagine3405 2 роки тому +1

    Nimeokota kitu, Asante saana

  • @gffghgfdd9004
    @gffghgfdd9004 2 роки тому +1

    Asante🙌🙌🙌🙌🙌

  • @witnessmakasi777
    @witnessmakasi777 Рік тому

    Mungu akubariki. Sana unatufundisha mengi mazuli Mungu akubariki

  • @dancansaka5004
    @dancansaka5004 2 роки тому

    Thanks

  • @magrethboniphas1137
    @magrethboniphas1137 2 роки тому +1

    Dah! Asante sana doctor yaan nlkua na Hal mbaya but baada ya kukusikiliza nimejikuta napata na usingizi 🙏🙏

  • @hammytototundu9292
    @hammytototundu9292 2 роки тому +1

    Good things

  • @purityrehema543
    @purityrehema543 2 роки тому +1

    Asante kw somo lako Dr

  • @eliudtete6404
    @eliudtete6404 2 роки тому +1

    Shukrani sana dokta,Somo lako zuri,naomba namba yako ya Whatsapp,tafadhar.

  • @salimzumamangale9843
    @salimzumamangale9843 2 роки тому +1

    Nzuri sana kwakweli Dr thanks

  • @user-wn2zx4kd2r
    @user-wn2zx4kd2r 9 місяців тому

    Atamm nipo kwenye mgongoro ila nimejitahidi kuomba msamaha ila amenipa mtihani ambao haupo kwenye uwezo wangu napia wamekuwa pamoja namke wangu je nifanyaje

  • @claramrosso2566
    @claramrosso2566 Рік тому

    Pole na kazi dor. samahani naomba namba yako

  • @christinachazy8644
    @christinachazy8644 Рік тому

    Dr Kuna wakati unajua kitu unamuliza mpz wako anakataaa kabic hiii inaumiza San inapelekea mim kuwa na hasira

  • @reginaogiro4845
    @reginaogiro4845 2 роки тому

    Vitabu vyako ni shingp