Uelewe Ulimwengu Wa Roho Ili Ufanikiwe Katika Ulimwengu Wa Mwili - IV

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • JE UNAJUA NGUVU YA MATAMKO KATIKA ULIMWENGU WA ROHO?
    UNAWEZA KUTUPATA KUPITIA NAMBA YA SIMU +255657173322.

КОМЕНТАРІ • 56

  • @lizzynkifu4179
    @lizzynkifu4179 5 років тому +18

    Unaweza sikia raha ya kumjua Mungu mpaka unasema nilichelewa wap......

    • @husseinchea5524
      @husseinchea5524 2 роки тому +2

      Kweli dada mimi huwa najilaumu hasa kwann sikumjua Kristo mapema 😁

    • @hassanbukambu931
      @hassanbukambu931 Рік тому +1

      Hat Mimi najilaumu Sana hasa Kwa uzinzi nilioufanyaga kipindi Cha nyuma Hadi nikaumwa nilikuja kuokoka Baada ya maombi kuniponya na uzinzi nikaacha kabisa

    • @davidngonyani5599
      @davidngonyani5599 4 місяці тому

      Sana Yani mbaka najisikia huru sana

  • @happynessmjumba6461
    @happynessmjumba6461 Рік тому +3

    MUNGU akubariki sana Mtumishi wa Mungu. Nimejifunza kitu.

  • @yama_virginhairthequeen1065
    @yama_virginhairthequeen1065 Рік тому +3

    One of the best pastor ever nimechelewa kumfahamu but it's never too late

  • @PaulEchangeur-wm1lf
    @PaulEchangeur-wm1lf Рік тому +1

    Jambo wa tumishi wa Mungu .Mungu aongeze mahali ambapo pamepunguka

  • @Erickmahenge-fq1nz
    @Erickmahenge-fq1nz 6 місяців тому +1

    Nashukuru neno lako mi shuhuda pia limenigusa

  • @imaninicholaus3664
    @imaninicholaus3664 5 років тому +10

    aiseee nyie watu! hakika Mungu atowaacha kama mlivyo kuna namna kubwa sana najifunza, natoa tamka sasa nathoofisha silaha zote za giza zilizo kusudiwa dhidi yangu na familia yangu kwa Jina la Yesu Kristo. AMEN

  • @annadaffi1273
    @annadaffi1273 5 років тому +7

    AMEN 🙌
    Somo linazidi kuwa tamu, wapendwa kama vp ongezeni muda
    God bless you man of God 🙏🙏

  • @patrickmunishi2277
    @patrickmunishi2277 Рік тому +1

    UBARIKIWE BABA HAYA MAARIFA NI MAKUBWA

  • @PascalPascual-rn6fx
    @PascalPascual-rn6fx 11 місяців тому

    Mungu akubarikie ukaishi miaka mingi mtumishi wake.

  • @cleopashayo1355
    @cleopashayo1355 Рік тому

    Hakika somo limenibariki sana

  • @farajasiame1053
    @farajasiame1053 5 років тому +5

    Grace to grace

  • @ezrommkambati1554
    @ezrommkambati1554 5 років тому +6

    Hapo sasa kwenye tamko ndo nimekupata kabisa, kazini kwangu niliinukiwa kinyume na uongozi wote hafi wakatamka mimi kesho yake nitapewa barua ya kuachishwa kazi kisa tu nimeomba badiliko la muda wa kazi na likizo ambayo mimi peke yangu ndo sijaenda likizo, badala ya kunisaidia wakainuka kinyume nami na mimi nilikuwa tayari nimeshaanza kuushibisha moyo wangu maarifa nikaenda nyumbani nikakemea nguvu za giza zilizo nyuma ya hilo tatizo kisha nikatamka kinyume na maneno yao nikajitabiria vyema matokeo yake wote wako kimya na hakuna anayenichukia na naendelea kupambana ulimwengu wa roho ila katika mwili sipambani

  • @ZawadiMwaitege
    @ZawadiMwaitege 4 місяці тому

    Mungu akubariki sana

  • @magievuriva4775
    @magievuriva4775 2 роки тому +2

    Sijui kwann miaka yote hii sikukusikiliza. Nisingekua hivi nlivyo leo. Ila leooo sitakubali tena shetani anitese

  • @ZawadiMwaitege
    @ZawadiMwaitege 4 місяці тому

    Asante sana tusaidie kabisa

  • @marinemodest1798
    @marinemodest1798 4 роки тому +1

    kweli na hakika YESU ni mzuri

  • @FredrickSipto
    @FredrickSipto 27 днів тому

    Ameeen mtumishi Huwa nabarikiwa sana sana na ww

  • @mosesadoyo9544
    @mosesadoyo9544 3 роки тому +1

    Nimejifunza sana kutoka kwa hii somo.

  • @eliudmsey7925
    @eliudmsey7925 5 років тому +3

    This is deep

  • @Tino_Official_tz
    @Tino_Official_tz 5 років тому +1

    Mtumishi leo umeongea Neno kubwa sana... ubarikiwe sana 🙏🙏🙏 bado nakufuatilia hadi mwisho wa series

  • @kissamwamunyange1018
    @kissamwamunyange1018 6 місяців тому +1

    Yaani sasa nimeamini kila kitu kina jidhihirisha na kuwa halisi. Kila wakati nikipita mtandaoni namuona huyu mtumishi ila nikawa nampotezea. Yaani naweza pita you tube inakuja chanbel ya huyu mtumishi. Leo nikasema hebu nimsikilize😭😭😭😭😭aiseee nimeshapona. Yaani nimepona hata sijaonana naye. Namtukuza MUNGU 🙏🙏🙏🙏. Kanis lake lipo wapi ndg zangu

  • @nuruduma4954
    @nuruduma4954 4 роки тому

    Aise nilikuwa sijui haya Asante Sana kwa kunifungua Mtumishi wa Mungu.

  • @aisharazak3511
    @aisharazak3511 4 роки тому +1

    I needed this thank you

  • @meshackdieudonner6558
    @meshackdieudonner6558 2 роки тому

    Amen

  • @eliarichard9218
    @eliarichard9218 5 років тому +1

    Amen tunajifunza vzr.

  • @pilimasala4492
    @pilimasala4492 5 років тому +1

    Mungu awabariki nabarikiwa sana

  • @isabellaluhombo2289
    @isabellaluhombo2289 Рік тому

    Nashukuru kwa mafunzo ya kutamka

  • @eliudhajilingasiku5512
    @eliudhajilingasiku5512 5 років тому

    Ameen

  • @salumsamesame1741
    @salumsamesame1741 3 роки тому

    NIMEINGI KITU HAPA , AMINA AMEN

  • @mwinjilisti.wayesu6196
    @mwinjilisti.wayesu6196 5 років тому +1

    Yesu nimwema mno

  • @godartjames8622
    @godartjames8622 2 роки тому

    Mungu awabariki sana watumishi

  • @eliasheaojungu3574
    @eliasheaojungu3574 3 роки тому

    Nimebarikiwa Sana na somo.

  • @hellenmatei4157
    @hellenmatei4157 2 роки тому

    Deep Sana

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 3 роки тому

    Yes yes,fact
    Wengi hawajui hili

  • @rwesimbibicharles8994
    @rwesimbibicharles8994 2 роки тому

    Alléluia

  • @schilasalim
    @schilasalim Рік тому

    Nimebarikiwa na nimejifunza kitu kikubwa ubarikiwe mtumishi

  • @rosyyas1088
    @rosyyas1088 2 роки тому

    Ndoda

  • @lucymhina4510
    @lucymhina4510 4 роки тому

    Nimekuelewa baba ,ndio nakusikia sikukujuaga

  • @granceneema772
    @granceneema772 2 роки тому

    🙏🙏2022

  • @rosyyas1088
    @rosyyas1088 2 роки тому

    Ndoto ya kuendesha gari .anamanisha nn

  • @obedmwakalonge1372
    @obedmwakalonge1372 5 років тому +1

    tunaomba haya mahubiri yalio katika mfuatano(series) muhaweke pamoja ili iwe rahisi kuyatafuta/kuyafikia

    • @MrSunbella
      @MrSunbella 5 років тому +2

      Limeshashughulikiwa

    • @anithabuberwa2253
      @anithabuberwa2253 5 років тому

      Ndio mana kunausafili unamsumbua tangea mwezi wa kumi mwaka jana haufai kumbe umefunga minyololo ahsant sana mana umenifumbua macho sasa number zangu 0676656503

    • @happynessmjumba6461
      @happynessmjumba6461 Рік тому

      Mungu akubariki sana Mtumishi
      Nimejifunza mengi.Mungu akupe maisha marefu na azidi kukuongezea

  • @ZawadiMwaitege
    @ZawadiMwaitege 4 місяці тому

    Asante sana tusaidie kabisa

  • @happynessmjumba6461
    @happynessmjumba6461 Рік тому

    MUNGU akubariki sana Mtumishi wa Mungu. Nimejifunza kitu.