Ubarikiwe sana doctor kwa kweli tunajifunza mengi kwa sisi tulio na utayari.Swali langu ni hili umesema kila mwanamke ametoka ubavun mwa mwanaume hvyo Mume/mke yupo Je mtu aliye na utayari wa kuoa/kuolewa utamutambuaje huyo Mme/mke pasipo kumuomba Mungu anayefahamu ulitoka katika ubavu upi? na bible imecma Mke mwema mwenye busara hutoka kwa Mungu.Maana wengi waliokuwa na utayari wa kuolewa/kuoa walifanikiwa na baadhi yaoo wanajihisi wamekosea kutokana na changamoto/majaribu wanayopata.Hili linakaaje doctor.
Hongereni brother jimmy, sam sasali na Dr ellie .Swali Naomba kujua tofauti kati ya zaka,fungu la kumi na sadaka . Swali la nyiongeza nina shida katika kufanya maamuzi katika maisha naomba kujua kanuni zozote za kufanya maamuzi sahihi.Naitwa Ndoza pateli kutoka kijitonyama dar es salaam
Ahsante,team chomoza kwa mafundisho yenu yamekuwa ya baraka kwangu ,Baazi yetu tunaofautiria mafundisho haya hatupo kwwnye mahusiano,ila tunategemea kuwepo siku sinyingi .Maombi yangu kwwnda kwenu tafadhari Dr atuandalie soma sisis ambao litakuwa daraja kwetu kuelekea kwenye ndoa iliyo bora zaidi.ahaswa pale eneo unapotafuta mchumba ambae baaadae ndiye anakuwa mke wako. Changamoto ya sasa ,nikwamba mm ni MTU Wa kagera alafu nimekutana na MTU Wa mosh labda je. Hapo nawwza kufanye I'll nirrizike kuhusiana na tabia yake familia yake na mambo mengine mengine ili niweze kuwa Hutu katika ndoa yangu.Onesmo kutoka Arusha.
Thanks so much y'all....me ni kijana wa miaka 20 kutoka mbeya city.... napenda sana kujifunza kutoka kwenu ili niweze kujiandaa ipasavyo na ulimwengu....na ningependa kujua zaidi maana ya PURPoSE(kusudi) la kuwepo duniani??!!
Mimi Nina tabia ambazo naweza nikaziacha kwa siku kadhaa ila ikifika muda najikuta nimezirudia Tena na baada ya kurudia naumia Sana moyoni natamani niweze kuziacha je? Nifanyeje kuweza kushinda tabia zangu ili niweze kuwa mtu mpya naomba mnisaidie jamani
Dr kasema Mungu nanampa mwenye utayari kujliko mwenye kuomba swal je??unajijuaje kuwa ww unautayari au la ama unakuwaje na utayariii naomba ancle Jimmy umuulize Dr maana natatitwa sana nahilo swal
Na kama kusudi langu halitakutana na hitaji la Dunia ni kwamba kusudi langu halijafikiwa. Swali langu ni kwamba, nikiwa ninaishi, kuna mahali kusudi langu litafikiwa au inawezekana, nikafa kabla sijafikia kusudi langu.
Dr Ellie anasega kuwa baba ndio mlezi sahihi swali je??Kama mume wako kafa nahujapata mwanaume mpaka Sasa inawezekana mtt akawa natabia za kimama au msaada
Hi,PDG Elie kikawaida ninajua kiuhalisia mwanamke mmoja hamtoshi mwanaume ila tunafunzwa mke mmoja, Mfalme Suleiman,Daudi nk walioa zaidi ya mke mmoja hata viumbe mfano jogoo miteea 10 , swala majike 40nk sasa kialisia zaidi michepuko mingi ktk ndoa inadhibitisha hilo wanaume mke mmoja mtihani je kibiblia ni right au sio right kua na wanawake wengi?
i really love this doctor and the whole crew, the way they teach, laugh, kidding etc. Awesome.
Hongereni sana
DR umenyoa umependeza kweli, ubarikiwe kwa mafunzo unayotupa.
Ubarikiwe sana doctor kwa kweli tunajifunza mengi kwa sisi tulio na utayari.Swali langu ni hili umesema kila mwanamke ametoka ubavun mwa mwanaume hvyo Mume/mke yupo Je mtu aliye na utayari wa kuoa/kuolewa utamutambuaje huyo Mme/mke pasipo kumuomba Mungu anayefahamu ulitoka katika ubavu upi? na bible imecma Mke mwema mwenye busara hutoka kwa Mungu.Maana wengi waliokuwa na utayari wa kuolewa/kuoa walifanikiwa na baadhi yaoo wanajihisi wamekosea kutokana na changamoto/majaribu wanayopata.Hili linakaaje doctor.
Asanteh kwa kunisaidia kuuliza
Dr your something Else OmG thanks so much for these videos I’m learning a lot 🇬🇧🇬🇧🇬🇧❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏. Genius
Hongereni brother jimmy, sam sasali na Dr ellie .Swali Naomba kujua tofauti kati ya zaka,fungu la kumi na sadaka . Swali la nyiongeza nina shida katika kufanya maamuzi katika maisha naomba kujua kanuni zozote za kufanya maamuzi sahihi.Naitwa Ndoza pateli kutoka kijitonyama dar es salaam
asante sana nimekuelewa sana Dr Ellie mungu akubariki ssna
Asanteni sana team chomoza kazi yenu ni njema,binafsi ninawapenda sana na ninawaombea maisha marefu.Mungu awabariki mno.
Thanks for nice msg, ubarikiwe
mungu awabariki timu chomoza Dr Elie Nina maswali mengi Sana lakini Moja tu kuhusu kitabu kinatoka lini na tuliombali tunapataje
Nawapenda nyote....God bless y'all
Mungu awabariki Nyote
Ahxante sn Dr Elie, I love u 😙😙
Ahsante,team chomoza kwa mafundisho yenu yamekuwa ya baraka kwangu ,Baazi yetu tunaofautiria mafundisho haya hatupo kwwnye mahusiano,ila tunategemea kuwepo siku sinyingi .Maombi yangu kwwnda kwenu tafadhari Dr atuandalie soma sisis ambao litakuwa daraja kwetu kuelekea kwenye ndoa iliyo bora zaidi.ahaswa pale eneo unapotafuta mchumba ambae baaadae ndiye anakuwa mke wako. Changamoto ya sasa ,nikwamba mm ni MTU Wa kagera alafu nimekutana na MTU Wa mosh labda je. Hapo nawwza kufanye I'll nirrizike kuhusiana na tabia yake familia yake na mambo mengine mengine ili niweze kuwa Hutu katika ndoa yangu.Onesmo kutoka Arusha.
Asanteni sana chomoza
Thanks so much y'all....me ni kijana wa miaka 20 kutoka mbeya city.... napenda sana kujifunza kutoka kwenu ili niweze kujiandaa ipasavyo na ulimwengu....na ningependa kujua zaidi maana ya PURPoSE(kusudi) la kuwepo duniani??!!
Nenda kwenye mafundisho ya dr myles munroe youtube kama unajua English utajifunza pia somo linaloitwa the PURPOSE OF LIFE.......
Thanks much
asante sana DK.
Jimmy, Jimmy please muda uongeze unatubana sana
Pamoja Sana chomoza kipindi kizur tumeinjoy Sana bariliwa
Mimi Nina tabia ambazo naweza nikaziacha kwa siku kadhaa ila ikifika muda najikuta nimezirudia Tena na baada ya kurudia naumia Sana moyoni natamani niweze kuziacha je? Nifanyeje kuweza kushinda tabia zangu ili niweze kuwa mtu mpya naomba mnisaidie jamani
Kwa mini Yesu Kristo uokoke atakuja uweza wa kushinda hizo tabia usizozipenda. Hakika utaacha. Thankx
Mungu akubariki Dr ila napenda kuuliza juu ya vitabu kwamba vimeshatoka au laa?
Asanteni sana, Nilimpenda nikamwambia kabla sijachunguza chochote nifanyeje?
Sawa
Watu wengi hapa tz wana hii tabia ya kupenda kufuatilia maisha ya watu wengine.
nawashukuruni Xana chomoza mnatufanya watu tuache unafik unaotunyima fursa za mafanikio yetu mungu awabariki
Dr kasema Mungu nanampa mwenye utayari kujliko mwenye kuomba swal je??unajijuaje kuwa ww unautayari au la ama unakuwaje na utayariii naomba ancle Jimmy umuulize Dr maana natatitwa sana nahilo swal
Na kama kusudi langu halitakutana na hitaji la Dunia ni kwamba kusudi langu halijafikiwa.
Swali langu ni kwamba, nikiwa ninaishi, kuna mahali kusudi langu litafikiwa au inawezekana, nikafa kabla sijafikia kusudi langu.
Sauti n ndogo Sana tu napata shida mmno mpk tuingie n simu mpk Chooni jmn
Utayari ni upii??
#Ukiwa na utayari unakuwaje/unajisikiaje(unajijuwaje na unaonekana vipi utayari kwa mtu).
Asanteeh
Kuna masomo ya nyuma fuatilia utajifunza
Dr Ellie anasega kuwa baba ndio mlezi sahihi swali je??Kama mume wako kafa nahujapata mwanaume mpaka Sasa inawezekana mtt akawa natabia za kimama au msaada
Hahahah eti osha gari mpe aende hautaamini🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🙏🏾
Mimi nakupa 5 distance is important ☺☺☺
Daah dr.anaongea kiswahil kama kingereza ..mambo ni magumu ...yaan kiswahil kwel kigumu ,,yaan kam unatok darasn ,.,,maan usipoconcetrat uelewi😁😁
Hi,PDG Elie kikawaida ninajua kiuhalisia mwanamke mmoja hamtoshi mwanaume ila tunafunzwa mke mmoja, Mfalme Suleiman,Daudi nk walioa zaidi ya mke mmoja hata viumbe mfano jogoo miteea 10 , swala majike 40nk sasa kialisia zaidi michepuko mingi ktk ndoa inadhibitisha hilo wanaume mke mmoja mtihani je kibiblia ni right au sio right kua na wanawake wengi?
!
Doctor Elie wewe ni kabila gani?
😂😂🤣🤣🤣
;
Thanx Dr Ellie kwa somo zuri sana mungu akubark
Naitwa Linda Aron napatikana singida swali langu je ukiona watu wanakuzungumza au kukusengenya nn suluhisho?