"MSIGWA NI MSALITI WA CHADEMA" MARTIN MASESE ATEMA CHECHE Balaa!!! //ALISALITI CHADEMA MUDA SANA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 чер 2024

КОМЕНТАРІ • 10

  • @ignatiomatimba3554
    @ignatiomatimba3554 2 дні тому

    Jamani eeh kujiunga na Chama Cha siasa ni sawa na kuhama Klabu za mpira Msigwa si msaliti

  • @StevenMtambo
    @StevenMtambo 2 дні тому

    Nilimheshimu sana kumbe ni jinga kiasi hiki duuuu aise

  • @severinimkini4116
    @severinimkini4116 2 дні тому

    Akina Yuda Eskarioti wako wengi. ( Tena huyo anajiita Mchungaji ) Tangu lini Mchungaji akatumikia mabwana wawili ! Ni msaliti tu, tena yule mbaya kuliko ilivyo tegemewa.

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 2 дні тому

    Matapeli wako kwenye siasa nimeona makubwa pesaaaa

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 дні тому

    Mbona Lowasa Sumaye walikwenda Chadema muache akale ridhiki mantashalla Siasa mchezo mchafu

  • @clarencelazaro9600
    @clarencelazaro9600 3 дні тому

    Yuda sakaliyote

  • @FadhiliMwaitete-ls2li
    @FadhiliMwaitete-ls2li 2 дні тому

    Msukima alisema haya ya msigwa alikuwa anapewa pesa na miccm je msukuma alidanganya Leo kipo wapi msigwa alikuwa mvurugaji mungu kamumbuwa Toka nenda zako ukaungane na mashetani wewe ni shetani mkubwa

  • @georgemwaikusa4451
    @georgemwaikusa4451 2 дні тому +1

    Kunguru hafugiki muda utaongea.

  • @evelina9621
    @evelina9621 3 дні тому

    Siasa.ni.zuri.ujue.haki.chedema.inawatu.wengi.wa,zuri