КОМЕНТАРІ •

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 12 годин тому

    Mungu atatunusuru na kila balaa na kila mwenye nia mbaya na nchi hii mungu amnakamishe

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 2 дні тому +2

    Wakiristo bana hahahahaha
    Nimeota nimeota Jinga

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 12 годин тому

    Tunajua kunawatu nia zao mbaya uzuri wake tumewajua na hatuwaungi mkono na myngu atuletee salama ndani ya nchi ya tanzania nakila adui mungu amshinde

  • @user-ct6se7ed2v
    @user-ct6se7ed2v День тому +1

    Yawezekana kuna jambo wakristo mnataka kulifanya Sasa ndio mnaandaa mazingira ya kuyatenda..
    Upuuzi mtupu,,, hamtatoboa biidhinilah..

  • @salimanasser5466
    @salimanasser5466 2 дні тому +1

    Acheni urongo wa masheTani ubanguzi wa rangi na kabila😂😂😂😂

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 День тому

    Watanzania tuwe waagarifu sana.

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 3 дні тому +1

    Bwana Yuko kazini kuliko tuombavyo na tuwazavyo Ktk Jina la Yesu Kristo Aliyehai Kazi ya Msalaba na Damu ya Yesu Bado inatenda mema. Na ijulikane Kwamba yupo Mungu Tanzania

  • @billmike8441
    @billmike8441 3 дні тому +1

    Mungu akubariki sana na aendelee kukutumia

  • @user-qy7he6cl8w
    @user-qy7he6cl8w День тому

    Manabii wA Leo wanatabiri kwa kuhisi mpaka waone dalili

  • @abelubamba7409
    @abelubamba7409 3 дні тому +2

    Hiyo ndoto inakuhusu wewe sisi Watanzania tupo na mama SSH,tumetulia na watoto wetu tukiijenga nchi yetu. HATUTAKI MAANDAMANO.

  • @NixonJohnson-zn8nk
    @NixonJohnson-zn8nk 3 дні тому +7

    Tunayahitaji sana

    • @MonicaBeni
      @MonicaBeni 3 дні тому +1

      Alafu wewe unajitambua yani tunayatamani kama nyama yakuchoma

  • @SubiragaKabango
    @SubiragaKabango День тому

    Wenye haki wanaaishi kwa Imani!( Biblia,kitabu cha Waebrania 10:38 Kwa jina la yesu kristo wa Nazareth) Tanzania ni nchi ya Amani,utulivu na mshikamano! Shetani ushindwe kwa jina la yesu kristo!

  • @warrenmgode1837
    @warrenmgode1837 2 дні тому

    Hizo ndoto hizo,bas Mimi nitaota

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 12 годин тому

    Kazi yenu unafiki tena wanafiki jini toka lini anasiasa msimsikilize huyo anatafuta umaarufu

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 День тому

    Tanzania tusikubali ujinga huo

  • @nabiimgongolwa8728
    @nabiimgongolwa8728 3 дні тому +2

    MANABII WALIISHA MANABII WA LEO WOTE NI WA UONGO

  • @emmiemmi3861
    @emmiemmi3861 2 дні тому

    Siuimbe lisitokee

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 День тому

    Tuache ujinga wa kufuata mkumbo.Hatuna sababu

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 3 дні тому

    Hayo hayana mamlaka kwa jina la YESU KRISTO MWOKOZI. Amen. Vunja maandamano hayo kwa Mamlaka ya Roho Mtakatifu. Amen. 2022 sauti tanzania ipo giza. 2024 mwezi wa 3 watanzania wapo utumwani kama wana wa Israel walipokuaa misiri. Yote tumwamini Mungu mkuu. Amen.

  • @kasimkassam9565
    @kasimkassam9565 3 дні тому +1

    WAKRISTO WALAINI SANAA MAJI MARA MOJA TU MARAGE YA MBEYA

  • @nabiimgongolwa8728
    @nabiimgongolwa8728 3 дні тому +1

    HAHAHAHA MANABII WA UONGO WANAFUHISHA SAAAANA "VERY GOOD COMEDIANS"

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 3 дні тому

    Hiyo SI ndoto.,..NAMI nikusimulie yangu.....

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 3 дні тому +1

    Mzee naona umechelewa kuota mara hii maandamano yameshapita ya chadema au unaongelea kenya acha ujinga

  • @rahmasalum1317
    @rahmasalum1317 17 годин тому

    Apo anakusudia uislam huyu jamaa

  • @MasterPetro-oj1fd
    @MasterPetro-oj1fd 3 дні тому

    Wewesematu kwamba aislam

  • @user-gn8zs4qx2y
    @user-gn8zs4qx2y 2 дні тому

    Unahusisha udini ulaaniwe

  • @JumaJuma-i2g
    @JumaJuma-i2g День тому

    huenda amechukulia sheitwaan

  • @JacksonFrances
    @JacksonFrances 2 дні тому +1

    HAKI HUINUA TAIFA, na HAKI ISIPOPATIKANA KWA MAZUNGUMZO (MEZANI) HUWA INAPATIKANA KWA (MAANDAMANO) na HAKI ISIPOPATIKANA KW MAANDAMANO HUWA INAPATKANA KW (VURUGU) na HAKI ISIPOPATKANA KW VURUGU HUWA INAPATKANA KW ?(VITA). HEKIMA YA HALI YA JUU INATAKIWA SANA TO SOLVE THIS TO ESCAPE CONSEQUENCES. Katiba Mpya,, Tume Huru,, Vitu kupanda Bei,, Michango iliyokithiri,, Ufisadi na Rushwa,, Dharau za Watawala,, Kutawaliwa na Chama Kimoja Kimabavu,, Elimu Mbovu,, Huduma za Afya Mbovu,, Ukosefu Wa Ajira,, Utitili wa Kodi ktk Mazao na pembejeo Za Wakulima na Ufugaji na Mundombinu Duni"

  • @allymohamed2724
    @allymohamed2724 9 годин тому

    HIVI HIZI DINI ZA SASA, NI KUMJUA MUNGU AU SIASA.
    USILOJUA NI USIKU WA KIZA.
    KASKAZINI MWA AFRIKA WAARABU WAKRISTO PIA WAPO WENGI TU.
    TUMBEA UONE KIJANA DUNIA TAMBARA BOVU

  • @wemamwaikambo2848
    @wemamwaikambo2848 3 дні тому

    Ulisema kuhusu Mboye, tena ulimuonya sana, sasa yametokea kama ulivyosema Mboye akiendelea kushupaza shingo yajayo yanafurahisha.

  • @KudraWanguvu-em1xw
    @KudraWanguvu-em1xw 3 дні тому +1

    wakristo nirahisi sana kudanganyika unasema maneno ya kubuni

  • @sabahiaboud654
    @sabahiaboud654 День тому

    MIE SASA NAIWEKA WAZO HIO MAJID. ..NI NINI. HIO MAJID NI ZANZIBAR. ..

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 3 дні тому +1

    ASANTE SANA MTU WA MUNGU

  • @anyosisyenjobelo5442
    @anyosisyenjobelo5442 2 дні тому

    Duuuuuuuh
    Hii kali kabisa kama kuna ukweli wa ndoto hii.

  • @user-wh9zj7kf7h
    @user-wh9zj7kf7h 2 дні тому

    Pumbavu

  • @user-gv7sd4oi6q
    @user-gv7sd4oi6q 3 дні тому +1

    Nabii mtaabishaji

  • @BernadetteKiwelu-kg6fv
    @BernadetteKiwelu-kg6fv 3 дні тому

    Jamani nisameheni kama ni mimi mwenyewe kweli sikumwelewa hata kidogo
    Nachojua Nabil akiwa na ujumbe toka kwa bwana Kwanza Kuna mstari WA kuusimamia .halafu huyu anasema et ameambia asitutafsirie jamani manabiii manabiii kuweni Makini na maujumbe yenu

  • @deogratiasrugangila3100
    @deogratiasrugangila3100 2 дні тому

    Acha kumaliza mb zetu kaa na ndoto zako

  • @victorkisenha5933
    @victorkisenha5933 День тому

    Maandamano LINI?

  • @user-ih1pk1vs4q
    @user-ih1pk1vs4q 3 дні тому

    Maandamano hayo sababu yke na dhuruma dhidi ya Yusuf manji hawa ni wahindi

  • @songoroalamin3376
    @songoroalamin3376 3 дні тому

    NYIE MAKAFIRI MNASHIDA KWELI TABIRINI NAUSHOGA HUKUONA TOA UNABII

  • @user-gn8zs4qx2y
    @user-gn8zs4qx2y 2 дні тому

    Faras ww

  • @OS-pf6op
    @OS-pf6op 3 дні тому

    Acha yawepo ili umaskini utoweshwe kwa watanzania. Viongozi wawatumikie wananchi inavyostahili na si kinyume chake!

  • @alexandernkwamah5905
    @alexandernkwamah5905 3 дні тому

    Aliyeko ndani yetu ni mkuu kuliko hao nje yetu. 1 Yoh 4:4. Usilete utumwa huo.

  • @ramadhanikimweri1240
    @ramadhanikimweri1240 3 дні тому

    Wewe mpigaramli wpigaramli siku hizi wako kwenye makanisa nawasemauwongopia wako kwenye makanisa wachukuaviungo vyaalibino pia wapo kwenye makanisa wewe nimpigaramlitu hakuna Mungu wakukuonyesa umemfanyianinimungu wewe mpigaramli mpungapepo

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 3 дні тому

    Haya ni maono yake yasingiliwe ila dalili zipo na maono ya mtu siku hizi huitwa ramli chonganishi. " Chamsingi yasibezwe".

  • @ernestwegga6557
    @ernestwegga6557 3 дні тому

    Siyo Tanzania. Hizo ni ndoto

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 3 дні тому

    Dini ya kiarabu inafananaje we mchunga kondoo wauongo

  • @ImamFarid-we9pl
    @ImamFarid-we9pl 3 дні тому

    Acha urongo

  • @luciadominik1626
    @luciadominik1626 3 дні тому

    Nimeelewa wanalasimishwa kuwa wakatoliki

  • @elishampoki8751
    @elishampoki8751 3 дні тому

    Ndoto Tena , mwee ,
    Tanzania ni nchi ya ujamaa na kujitegemea , Atakae anzisha virugu huyo atavugulikiwa mwenyewe,.

  • @Ambeniwatano
    @Ambeniwatano 2 дні тому

    Jaribu kuweka sawa hapo sio wenye dini ya kiaarabu sema hiv waislamu uislamu sio wa waarabu isipokuwa umeshuka tu kwa waarbu kama yesu na injili kwa wayahudi lakini si ya wayahudi ila ulimwengun kote upo hapo nabii

  • @KudraWanguvu-em1xw
    @KudraWanguvu-em1xw 3 дні тому

    Mchochezi na mshirikina mkubwa bwana unae msema jini shetani wacha ujinga

  • @mohdbesta
    @mohdbesta 2 дні тому

    Prophet of doom

  • @abdallahidrisa710
    @abdallahidrisa710 3 дні тому

    Ulikuwa mkojo unakuuma brother ndo maana uliota mauza uza. Acha kutia taharuki nchi. Nchi haiongozwi kwa ndoto.Umechelewa Waislam hawatoandamana tena Tz. Mmezoea kuona Waislam wanamwaga damu. Poleni sana brother acha uchonganishi.

  • @MonicaBeni
    @MonicaBeni 3 дні тому

    Kwaiyo nawewe kumbe ulikuwepo maana umesema uliwafunguli mlango kwaiyo wewe ndyo chanzo

  • @SmartMC-bp9yg
    @SmartMC-bp9yg 3 дні тому

    Africa nzima yanaweza yakatokea si unaona kenya yalizuka tu bila mtu yeyote kuota bwana mchungaji.

    • @reginas1832
      @reginas1832 3 дні тому

      Kenya walipata unabii karibu ya nwaka.

    • @julietngassa2353
      @julietngassa2353 3 дні тому

      Nani Sasa wasiingilie hayo maandamano?

  • @listerwami6825
    @listerwami6825 3 дні тому

    Acha kutafuta maneno

  • @user-ew9cp4jh9e
    @user-ew9cp4jh9e 3 дні тому

    Hiyo ndoto ni ya kishetani pamoja na wewe ni wakala wake 10:52

  • @annaezra2344
    @annaezra2344 3 дні тому

    Amen, jipe moyo mtumishi

  • @nabiimgongolwa8728
    @nabiimgongolwa8728 3 дні тому

    HIZO NI NDOTO ZA KUFIKIRIKA .....MBONA KILA MTU HUOTA NDOTO. PLEASE TUSIDANGANYANE, ETI BWANA AMENITUMA....SASA MIMI SIJAOTESHWA LAKINI NAKUHAKIKISHIA MAANDAMO HAKUNA.

  • @Leeeeeeee-96
    @Leeeeeeee-96 3 дні тому +2

    mnao mubeza nabiiiii kwani mumelazimishwa kufwatilia 😂😂

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 3 дні тому +1

      Unajuwa maana ya nabii wewe hakuna nabii hapo taperi nabii wa mwisho ni mtume Muhammad swalallah aley wassalaam

    • @TunauzaSimu-fn2ff
      @TunauzaSimu-fn2ff 3 дні тому

      @@fatmafatu1128 Hakika Muhammad ndio wa mwisho

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 3 дні тому

    Ngoja nikwambie we kenge maneno yako hayatuogopeshi na kawambie wanaokutuma tuko na samia mpaka 2035. Ubaguzi wako haututishi mbwa wewe.

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 3 дні тому

    Huna lolote muongo

  • @1961nungwi
    @1961nungwi 3 дні тому

    Nonsense!

  • @julietngassa2353
    @julietngassa2353 3 дні тому

    Sio unabii si umeota ndoto wewe?

  • @saidkhatib9146
    @saidkhatib9146 3 дні тому +1

    Nabii wa mwisho ni Muhammad (s.a.w) acha tamaa kijana

  • @JacksonFrances
    @JacksonFrances 2 дні тому

    HAKI HUINUA TAIFA, na HAKI ISIPOPATIKANA KWA MAZUNGUMZO (MEZANI) HUWA INAPATIKANA KWA (MAANDAMANO) na HAKI ISIPOPATIKANA KW MAANDAMANO HUWA INAPATKANA KW (VURUGU) na HAKI ISIPOPATKANA KW VURUGU HUWA INAPATKANA KW ?(VITA). HEKIMA YA HALI YA JUU INATAKIWA SANA TO SOLVE THIS TO ESCAPE CONSEQUENCES. Katiba Mpya,, Tume Huru,, Vitu kupanda Bei,, Michango iliyokithiri,, Ufisadi na Rushwa,, Dharau za Watawala,, Kutawaliwa na Chama Kimoja Kimabavu,, Elimu Mbovu,, Huduma za Afya Mbovu,, Ukosefu Wa Ajira,, Utitili wa Kodi ktk Mazao na pembejeo Za Wakulima na Ufugaji na Mundombinu Duni"

  • @rahmasalum1317
    @rahmasalum1317 17 годин тому

    Ukirsto wana kila vtuko wallah lkn uadui wako utakurudia mwenyew mana taifa la tz lina waislam na wakirsto nawote ni wao kwa wao acha fitna wewe