#BMGTV
Вставка
- Опубліковано 30 вер 2024
- Tazama hapa • #BMGTV Eunice Ogot, mt... sehemu ya pili.
BMG Online Media- Pamoja Daima!
Tovuti www.bmgblog.co...
Facebook / bmghabari
Twitter / bmghabari
Instagram / bmghabari
#BMGTV #BMGBLOG #BMGHABARI #PamojaDaimaBMG
Wanaohitaji mawasiliano ya mtoto Yunis ua-cam.com/video/qmCohLLxlOA/v-deo.html namba iko kwenye hii video.
Mungu. Yu nawe
@@FkWl-we8te amen
am proud to be a catholic may God bless you baby girl 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen
Usijivunie soma maandiko Catholic imepindua mambo mengi ya Mungu katika Bibilia.katholic imetabiriwa.kama mpinga christo pop kiongozi wa dini zote ndiye shetani mkuu anajifananisha na Mungu n Muasi somen maandiko usijivunie au kutetea dheheb au kiongozi tetea imani yako na Roho yako tetea Mungu aliye juu pekee....
Eunice damu ya yesu ikulinde niombee kwa mama maria Niko Saudi Arabia aniokoe kazi ngumu maisha ngumu nipate kazi nzuri .pia nywele ya kichwa imee na watoto wangu mungu awalinde
Tafuta biblia usome ata kwa simu
Huyu kama mzee wa loliondo alivyosakatonge akasepa.
Huyo mtoto ni malaika wa bwana Mungu wetu aliye mbinguni.
Truly God has seen us through this angel child may she pray for Kenya to have a peaceful election and please take her to visit Moi refferal hospital to save those lives
Someni vizuri malaika na binadam ni vitu viumbe tofauti sana halafu wa msidanganye watu.
Mama bikira maria uliyeamua kujidhihirisha kwa mtoto uyu.jidhihirishe pia ktk nafasi nilizo ziomba ktk chama cha mapinduzi wilaya ya kibaha.mungu kanionekanie kwa nguvu ya bikira maria.kaniinue kila sehemu
Eunice we are praying 🙏 for you and you pray for my family 👪 with mother Mary mother for Jesus
Ujinga gani huo dini hairuhus ni kukufuru NA shirki
UYU MTOTO NI MCHAWI MUNGU AMTUMI MTOTO MDOGO AMBAE AJUWI ATA KUPAMBANUWA MEMA NA MABAYA AWA KWILI NI WAKATOLIKI AWAJAOKOKA ,NA AWANA MAARIFA ,AYO NI MAJINI YA UKOO YANAYO MWONGOZA MTOTO UYO ,AYA MAMBO KWELI NI YA KIKATOLI SIO WOKOVO TUNAOJUWA SISI WALOKOLE
Bikiramarinimamawa de watoto
Watuwanazarausanabikiramaria
Eunice tunakupenda,pia tunaomba tu mungu atufikishe kwako,matizo hapa na pale,Mtoto wangu alinyang'anywa simu kwa wizi wa mababu,naomba tu hio simu iweze kupatikana Iko na vitu zake mingi hata kazi ya shule,Eunice niombee.
Swali kwa WAKATHOLIC.. Bikra Maria alikufa wapi na akazikwa wapi...?Naomba mnielimishe
MUNGU akulinde toto wa uruma na unikumbuke
Amina
poor communication we did, nt understand difficult to comment
Yaani kwa uielewa wangu wa Bible hakika Mungu hafanyi kazi hivi Bali ni pepo la utambuzi ndio ipo ndani ya Eunice maana Mungu hashirikiani na sanamu hata siku moja
Imani yako na ikuponye, wengine nao vivyo hivyo
@@BMGOnlineTV ndugu yangu kama ww ni msomaji wa Bible shetani amejificha ndani ya RC kwa Siri kubwa mnoo,, na huyo mtoto anaongzwa na pepo la utambuzi maana Yesu kristo alikuja kuhubiri uzima wa milele na njia iendayo Mbinguni,, na kingine hakuna sehem hata moja ndani ya Bible alisema tusali Rozali wala Maria hakufanya muujiza wowote,,, iweje Leo hii eti Maria amuagize Eunice akachukue jiwe eti liwekwe sehem Kisha picha ya sanamu iwekwe juu yake,,, wakati ufalme wa Mbinguni wote hukubaliani na ibada ya sanamu,,, kumbuka pia shetani siku zote huja kama Malaika wa nuru ila siku Ile ya mwisho ndipo kutakuwepo kilio cha kusaga meno,,,, nyie mnafuata miujiza ya kishetani huo ndio ukweli
@@petermagoye8324 Hakuna Imani iliyobora kuliko ya mwingine, acha kila mmoja aamini kile anachoamini. Shika sana imani yako na ikuponye, picha achia wengine imani yao. Si jukumu la BMG kusema imani gani bora kuliko nyingine.
Jamani mungu ahimidiwe Kwa mtoto Eunice mama maria atuombee Kwa Mungu tuepuke na janga la coronavirus na atuoneshe njia ya kujikinga zaidi
Jambo wandugu Watanzania mtusaidie sana mutuelekeze namna sisi Wa Kongomani DRC twaweza onana na huyu mtoto mjumbe wa Mungu
Fika hadi Rorya mkoa Mara, Tanzania
Wote wanao mtakia mabaya yunus washindwe kabisa katika Jina La Yesu.Na wafe wenyewe.Mungu azidi kumpa kibali mtoto huyo popote alipo.
Pray for me baby Eunice and my family even those who wants to produce kids
Sifa za mama bikira maria sizambae pote ulimwenguni ninatamani kuja lakini our work permit Expired so pray for us to get then tuone umwambie mama Bikira Maria Utuombee sasa na saa zakufa kwetu Amina
Amen
Tumsifu yesu christo na mama bikra maria kufikia mwana wetu wa Tanzania
Amen
Eunice pray for my family and pray for my health and those who don't believe in Jesus. May my prayers reach our heavenly father through you and mother Mary. Be blessed more and more.
Nguvu ya mungu ni zaidi ya chochote 🙏
NAMIMI PIA MUNISUMIE NO YA SIM PIA TUJUE SEHEMU ANAPOTOKA
Barikiwa
Nahitaji namba ya sim ya wazazi wa yunis au mawasiliano ili nifike nikamsalimie
Tazama ua-cam.com/video/35VutCqF_d8/v-deo.html hiyo link
Mungu amtunze mtoto Tunis kwa kweli Mimi nimepona kupitia hayo maji Asante Mungu
Eunce fungua UA-cam pls
Msaidie kufungua, maana yeye ana miaka mitatu tu.
BMGTV please try to write in English so that we can all understand
Also try to learn Swahili
Paying for healing? Difficulties , Do not fall into any temptation....Mungu huponya hata ukiwa huna pesa...
Some of us need a translation from Kishuahili to English language so that we can benefit from the Extraordinary Miracles
Reply
Pray for me in South Sudan, may the almighty God bless you.
Amen
Mungu akulinde mtoto Yunis,uendelee kusaidia watu
May
God bless the all familys
Eunice Mungu akuongoze kwa kazi jema ya Mungu,niombeee for financial brake thtough
Hallelujah to the powerful of God the son and the holly spirit Amen
Kijana unafanya kazi nzuri sana tuletee upadat nyingi nyingi kila siku
Kila siku?
Na mimi ni mgonjwa wakivimba kunako mshipa ya shingo jina langu ni sista adele miya niko bukavu congo naomba mtoto wetu na mimi aniombee ili ni pone
@@adelemiyabalolwa388 pole sana, katibu Tanzania
Ibealeve this is coming from morther Mary unice pray for me so that I can be healed this sickness in Jesus name
Amen
Mungu akulinde mtoto Yunis uendelee kuwasaidia watu
Leo ni Julai 2, 2023 je, kutoweka Kwa Mtoto na Mama Agnes kuna habari gani? Tunawaombea mema.
Amen in the name of jesus
Asante mungu anajulisha angel yunis. Washindwe ma agents kwa kuzimu na maneno yao ya utabeli na temptation za giza. Mola awalinde na ukuta wa moto. Grace kenya.
People like that doesn't need moa justice they need life prison for the rest of their lives. Just call the police because already you have the proof. God bless you.
Eunice it doesn’t matter,how people trying to do any kind of harm you and you4 parents.. IM TELLING YOU ,,,BECAUSE I TRUST IN JESUS NAME PLUS THE HELP OF HOLY MOTHER MARY,,,ALWAYS PROTECT YOU FROM ALL THOSE EVIL PEOPLE,, AND THERE IS NO ,NO POWER CAN ST@ND LIKE THE POWER OF THE HOLY LORD AND THE ALMIGHTY GOD,IN THE NAME OF JESUS. THE ONLY SON OF GOG AMEN 🙏🙏🦋🦋🙏🙏💞💞💞💞
And i really understand about those kind of people,they are evil ,,i trust in the name of jesus wirh my faith ,that jesus and his HOLY MOTHER MARY ALWAYS ,COVER YOU AND YOUR PARENTS IN THE HOLY BLOOD OF THE LAMB OF GOD.,,,IN THE NAME OF JESUS..AMEN. 🙏🙏🙏💞💞💞💞,,
Tumsifu yesu kristu ndugu wakatoriki twendelee kumuombea mtoto yunis aishi milele na mungu ambariki
Hapa naona Mungu ameamua KUTUAMSHA KIIMANI.
ni mungu
mungu ama Mungu?
It can be better to speak in English
Unapenda waongee lugha yako lakini si wewe kujifunza ama kuongea lugha yao?
Mtoto Eunice uniombeye namimi nipate maisha mazuri minateseka sana siwezi kuchunga jaami yangu wazazi wangu nawatoto wangu kwasababu ya umasikini sijuwi nini sababu kupata pesa kwangu ni hatari kabisa.natena watu wengi uko Zambia wanataka kuja kule kuwaombeya kwamagonjwa yawo yenye kwachana sababu wana tumaini majaabu ya mwezi Mungu kupita kwa mtoto Eunice na tena yinashagaisha watu wengi nakwabudu. nataka kuona jibu.May Almighty God richly bless and protect the child and her blessed family.
Mungu atakusaidia kwa kuwa unaaimani kwa nguvu za mikono yako utabarikiwa jitahidi na kazi Mungu yuko nawe
Asante Yunis kwa kuniombea nipone Demetria
Please give us sahemu 4 BMG TV
Ok
Ni kweli kabisa wakati mwingine vipimo havioneshi Magonjwa ila Imani za Mungu huleta nafuu ila hospital pia ni muhimu
Hakika
God blessed you and your family Amen
Jina la
Mungu atukuzwe
Wacha mungu aitwe mungu .
This is
History of Jesus
When is mom
Teller is disples
Asking for
Water
Change to winners.
Hakika nimeamini mungu ha na upendeleo
Ujinga gani huo dini hairuhus ni shirk thambi isio samehewa milele
Mnisaidie vile naeza pata uyo mtoto anisaidie
mother Mary I love you too pray for us and protect the small Angle Eunice from enemy
Huyu ni malaka
Asante mungu kwa kutuletea mponyaji ambae ameponya wengi katika jina lako. Eunice mtumwa wa yesu tuombee kwa mama Maria mtakatifu ,nasi tupate kuokolewa, Amina. Mungu akulinde maisha Yako yote.
Pray for me baby girl
And my children and my family
Tunashukuru sana kwa huduma yunisi mungu aendelee kukupigania
mungu akuongoze uzidi kutusaidia
God is great
Amen
Amen
Asante Sana sister Yunis Mungu ambariki Sana huyu mtoto, naomba nielekezwe nimpakani wa Kenya upande upi naikiwezekana nijue ningaringani zinazoenda huku please 🙏🙏 Asante amen
Uko wapi?
No weapon formed against Eunice will prosper! I cover her with the blood of Jesus Christ and the family in Jesus Christ name.
Great
Amen
@@BMGOnlineTV how can i get the water
@@BMGOnlineTV can u let me know how to get the water
Mungu mtot unice uendee kusaidia watu wa Mungu
Good bless you baby Eunice
May God always protect you toto🥰
Mimi niombee kwajina layesu mimi najikuna sana unice aniombee jamani mungu amusaidie.
Mtoto unice pray for me and my family
Amen! nasadiki.
Thanks good
May God be with aaaa
Watu wa dunia mutapigwa vikali na mwenyezi mungu,mupe amani kua mtoto yunic
Mungu na si mungu
Mungu awabariki,wote wa familia yunis
Niinci gani
tuwekeen namba
Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa kamwe ni shirk usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda huko
Naomba namba ya Baba WA huyo mtoto nataka kwenda
+255 686 967 279
Naomba number mtumishi wa mungu
+255 686 967 279
Unapatikana wapi
Ni nyakati za mwisho
Jiokoe
BGM TV
BMG
nimwisilam wewe baba maneno yk nimazuri ya huruma mungu amlinde mtt
Ujinga gani huo dini hairuhus ni kukufuru NA shirki
M
Wow Glory to God
Wanaishi tz sehemu gani nataka nije
Kijiji cha Bukama wilayani Rorya
God bless you baby Eunice
Bless you and your family in the name jesus ,the only son of god and the almighty lord jesus. You been bless in Holy Mother too,the Mother of God..
Youve been chosen by Holy Mother Mary to be her help,in the name of jesus the son of God🙏🙏
Baby Eunice the holy mother Mary always kide you and your family too,from the evil people.And i belived there is no evil power and do any thing,because the lord power and Holy Mother Marys Power is so stronger ,,because she is the holy mother of god.. The only one god of all,in the name of Jesus.🙏🙏🦋
Amen
Received in Jesus name
2
Im proud to be a catholic,And my baby brother is going to craduade the end of the year to be come as a Priest
Amen