Mama Rwakatare" Mwanaume ni bidhaa Adimu | Nilimpenda Mume wangu, nilihakikisha namfurahisha.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • #CloudsMedia ipo mubashara kutoka studio za Clouds Fm ambapo Mchungaji Getrude Rwakatare yupo akizungumza.
    #Clouds20 #MapenziShataShata

КОМЕНТАРІ • 146

  • @dayocha1855
    @dayocha1855 4 роки тому +15

    Soma mithali utajifunza kitu pale bwana alipowambia mkewe "hakika mabinti wengi wamefanya mema ila wewe umewazjdi wote" kwaiyo mwanamke ukifanya kazi inatia falaja kiukweli

  • @saidomar6806
    @saidomar6806 4 роки тому +10

    Mola amlaze mahala pema. Mtetezi wawanaume ktk ndoa

  • @azizamajidi6161
    @azizamajidi6161 4 роки тому +10

    Mama siamini jamani😧 ntakumiss sina raha kabisa mm😢

  • @janetalfred7716
    @janetalfred7716 4 роки тому +4

    Nimecheka kwwenye ki Bibi jaman mpaka mbavu znauma aaaha!we mama ntakumic sana aise

  • @joss.nkilio.3537
    @joss.nkilio.3537 4 роки тому +11

    Tutakumis Mama,ulikuwa mwalimu wa wote.

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 4 роки тому +6

    R.I.P mama nakose neno Mungu akulaze mahali pazuri ume tumika mama tutakukubuka kwa ushahuru wako

  • @blandinamnyinga8318
    @blandinamnyinga8318 4 роки тому +9

    Akina mama tufanye kazi,biashara,ili mradi uwe na chochote cha kukubeba kiuchumi maana dunia ya Sasa hivi wanaume wenyewe wanataka kupewa hatari tupu.

    • @beautyibrahim8428
      @beautyibrahim8428 4 роки тому +4

      Hahaha umenifurahisha wanaume wanakwepa majukum yao wanataka kulelewaa

    • @blandinamnyinga8318
      @blandinamnyinga8318 4 роки тому +2

      @@beautyibrahim8428 mama majanga matupu huwa nawaambia watu kuwa na mume upate uzao wa baba mmoja,wale wakununua Madera siku hizi hawapo wengi wao wanataka kununuliwa Hadi boxer.

    • @salmaalbarwani2618
      @salmaalbarwani2618 4 роки тому +3

      Msiwasaidie WANAUME kabisaaa

    • @dayocha1855
      @dayocha1855 4 роки тому +1

      Soma mithali utajifunza kitu pale bwana alipowambia mkewe "hakika mabinti wengi wamefanya mema ila wewe umewazjdi wote" kwaiyo mwanamke ukifanya kazi inatia falaja kiukweli

    • @vevo3130
      @vevo3130 4 роки тому +3

      @@dayocha1855 inamtia faraja yule anaekua na yeye anachapa kazi dada hapa anaongelea hawa wanaume wengine wa siku hizi ambao akikuona unafanya kazi basi na yeye anabweteka au zake zinakua za bata tu wewe ndio utakoma na majukumu yote...natamani wenye akili kama wewe waanze kuongea na wanaume wenzao na tatizo kubwa wanawake wanaongea na kufunguka wanaume wanakaa kimya...wanaachwa hapo sie twasonga

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 4 роки тому +10

    🤣🤣🤣Rest in Peace momy wakisulisuli tuta kumiss sana kwa maneno mazuri 😭😭😭

    • @pamelatimoth635
      @pamelatimoth635 4 роки тому

      Kwakweli tutammiss. Busara zake, problem solver tena smoothly solving

    • @fransiskamkalawa6745
      @fransiskamkalawa6745 4 роки тому

      Hivi mnaelewa maana ya Askofu?

    • @fransiskamkalawa6745
      @fransiskamkalawa6745 4 роки тому

      Mwanamke hawezi kuwa Askofu

    • @sheryphamwenevalley6124
      @sheryphamwenevalley6124 4 роки тому

      @@fransiskamkalawa6745 acha ujinga ww ni nani anayejua siri ya Mungu? Awe asiwe ndio ishakua, hata ww unajua maana ya baba toa ushetani wako hapa

    • @sheryphamwenevalley6124
      @sheryphamwenevalley6124 4 роки тому

      @@fransiskamkalawa6745 ss baba yako mbina hakua? Wacha wivu na mtu ambaye keshatangulia mbele ya haki, huu unaouandika hapa ni ujinga aluyekwambia mwanamke awezi ni nani kaweza kukuzaa ww ashindwe kitu cha kujifunza mjinga sana ww jamaa heshimu marehemu wa watu sio kucomment ujinga hv uoni hata aibu🤑🤑

  • @marianamontoedi2333
    @marianamontoedi2333 4 роки тому +8

    We will miss you our greatest mama

  • @tausingomeni2568
    @tausingomeni2568 4 роки тому +5

    Nimechek jmn🤣🤣🤣et kibibi ila wamezid Haw ukuta hat huy bibi akija atambaka tu

  • @GODisable7573
    @GODisable7573 4 роки тому +5

    Pumzika kwa amani Mama hakika ni pengo umeliacha

  • @wambukidstv2987
    @wambukidstv2987 4 роки тому +1

    Mimi Ni Kenyans nilipenda huyu mama Sana Sana rest in peace

  • @fatumaasikye4767
    @fatumaasikye4767 4 роки тому +5

    Raha ya milele umpe ee Bwana mama Rwakate apumzike kwa amani

  • @lidyamathayo8343
    @lidyamathayo8343 4 роки тому +2

    ,RIP mom,najuta sikukujua kabla,Mwanga was milele uangaziwe

  • @venahsithole6463
    @venahsithole6463 4 роки тому +4

    Mama tutakukumbuka daima

  • @YudaMatesie80
    @YudaMatesie80 4 роки тому +5

    Pumzika kwa Aman mama yetu

  • @tinaagustino9516
    @tinaagustino9516 4 роки тому +3

    Saf sana mama

  • @siliviamgisha1933
    @siliviamgisha1933 4 роки тому +4

    Ubarikiwe Bishop wa Mlima wa Moto assemblies

  • @laylasuliman5805
    @laylasuliman5805 4 роки тому +4

    Mtangazi upo vzr

  • @venahsithole6463
    @venahsithole6463 4 роки тому +3

    Mama tutakukumbuka daima

  • @umpump8472
    @umpump8472 4 роки тому +3

    Kweli dadangu mwanaume ni adhimu na umepewa na na mola ume nena👍😁😍

  • @anthonmakusilo1507
    @anthonmakusilo1507 4 роки тому +4

    Nakupenda sana mama,ntamani sana siku moja nisali mlima wa Moto

  • @maryr4033
    @maryr4033 4 роки тому +6

    Rest in Peace Woman of God.

  • @aminaasia-jl8fk
    @aminaasia-jl8fk Рік тому

    MUNNGU nikwema

  • @janegeogre3234
    @janegeogre3234 2 роки тому

    hahahaaaaaaa yan nmecheka kwa sautiii kubwaaa...eti dawa kuleta bibi kizee!

  • @baudouinecikwanine4690
    @baudouinecikwanine4690 4 роки тому +1

    Tanzanie inapoteza mutu Na maman rip

  • @esterrhobi2824
    @esterrhobi2824 4 роки тому +3

    Rip

  • @fettymussa2828
    @fettymussa2828 4 роки тому +3

    Upumzike kwa Amani Mama

  • @aisharamadhan5257
    @aisharamadhan5257 4 роки тому +4

    Nimecheka balaa etii,, alete bibi mfanyakazi haaaa nimepata somo

  • @JeremiahMutuaOfficial
    @JeremiahMutuaOfficial 4 роки тому +1

    SAFIRI SALAMA MAMA...KUTOKA KENYA TULIKUPENDA SANA

  • @allymbwanamsagati1176
    @allymbwanamsagati1176 4 роки тому +4

    R.i.p mama Rwakatale

  • @dorisjoel3502
    @dorisjoel3502 4 роки тому +4

    R.I.P mama

  • @felistashayo7686
    @felistashayo7686 4 роки тому +3

    Nakupenda sana

  • @bintimohamed2646
    @bintimohamed2646 4 роки тому +1

    Oh my GOD 🙏🏽🙏🏽. RIP mama 😭😭😭. It’s very much true what later mama was talking about men and women Tanzania people they will missed you a lot really. 😭😭😭😭😭💔💔💔

  • @vanessastafford5120
    @vanessastafford5120 4 роки тому +2

    Hapo Ndio mama mpendwa alikuwa na mapungufu, mtu mzima anatembea na watoto wa ndugu.,hafai mwanaume kama huyo, mwisho atakuletea magonjwa na kuteketeza familia yote kama Mambo ya Bukoba miaka ya 80

  • @Bintimrembo-y1v
    @Bintimrembo-y1v 4 роки тому +3

    Rip

  • @magrethpeter5973
    @magrethpeter5973 4 роки тому +4

    R.l.P

  • @genousclever3895
    @genousclever3895 4 роки тому +2

    You made my day Harris with mama. God had a good plan for mama and you to have this conversation. USA we are together ❤

  • @richardmsisiri1346
    @richardmsisiri1346 4 роки тому +3

    Mungu akupe nguvu

  • @_Dr.Nyamohanga_Nega_PhD
    @_Dr.Nyamohanga_Nega_PhD 4 роки тому +2

    Very inspiring mother, Rest In Peace mom

  • @nelsonkazaura6954
    @nelsonkazaura6954 4 роки тому +5

    Mnamuonea Hiyo, Mtamuulizaje Hiyo Maswala Ya Ndoa Ikiwa Yeye Yuko Nje Ya Ndoa?

    • @vevo3130
      @vevo3130 4 роки тому

      sikiliza vizuri weweee! mume alikua nae na kwa mapenzi ya Mungu alifariki so experience ya ndoa anaijua vizuri sana...usikurupuke kujudge

    • @mariammariam6307
      @mariammariam6307 4 роки тому

      Nelson Kazaura si alikua nandoa

    • @astaricomchuma8773
      @astaricomchuma8773 4 роки тому

      Pumzika kwa amani. Mama. Mchunga. Kondoo. Wa mungu

  • @dorkasjohn688
    @dorkasjohn688 3 роки тому

    R.I.P Woman of God

  • @vanessastafford5120
    @vanessastafford5120 4 роки тому +1

    Malaya ni malaya hata bibi atalala nae, Kamwe huu ushauri ni mbaya.

    • @jenniferlukambuzi356
      @jenniferlukambuzi356 4 роки тому

      Vanessa Stafford agreed. Akianza kulala na vitoto kweli anything is possible

  • @mwajumabakari3730
    @mwajumabakari3730 4 роки тому +1

    Pumzika mama gettuda ulikua jembe Sana

  • @yeyothegreat8277
    @yeyothegreat8277 4 роки тому +1

    Hahaha Eti kimama kimenenepa wanaume amekondaaaa

  • @zakarialovelyofficial6806
    @zakarialovelyofficial6806 3 роки тому

    Ni mwanamke mjasiri mwanamke mwenywe anajiamini tunamuombea mungu amlaze mahali pema peponi

  • @kikz2358
    @kikz2358 4 роки тому

    Maskini, anakimbia kwa sababu ya vitoto!!? Amletee bibi😅😅 hatoki mtu hapa🤣🤣🤣🤣

  • @agreementmwalongo6036
    @agreementmwalongo6036 3 роки тому

    hakika

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 4 роки тому +1

    Maneno mazur sana mamaa pumzka kwa aman😢

  • @hamisijohn1526
    @hamisijohn1526 3 роки тому

    n

  • @Alexkibali
    @Alexkibali 4 роки тому +3

    R.I.P mama,...

  • @onesmokway5731
    @onesmokway5731 4 роки тому +2

    Apana mama kusema mwanamke na mwanaume nisawa apana Apo nakataaa kabisa,

    • @vevo3130
      @vevo3130 4 роки тому +4

      Kabisa maana mwanamke amezidi...anauwezo mkubwa Zaidi kiakili mpaka kimsimamo, tena wa siku hizi hata kiakili na kiuchumi….siwezi kuwa sawa na mwanaume hasa hawa wa siku hizi...NO WAY!

  • @jeremixxofficial7643
    @jeremixxofficial7643 4 роки тому +3

    Rip mama

  • @ججوي-س4ي
    @ججوي-س4ي 4 роки тому +3

    R.I.P

  • @angelamwandunga2456
    @angelamwandunga2456 4 роки тому

    Kweli mama utakumbukwa kwa mengi mema uliyoyafanya kwa jamii hata kama hukunitendea mimi lakini wale uliyowatendea ulinitendea mimi,Mungu akupunzishe kwa Aman mama yetu.

  • @aquilineanthony1115
    @aquilineanthony1115 4 роки тому

    you are really a woman. utakumbukwa na wengi Hakika nimejifunza.

  • @sakinamsambala7443
    @sakinamsambala7443 4 роки тому +2

    R .l.P mama

    • @fatumaasikye4767
      @fatumaasikye4767 4 роки тому

      Raha ya milele umpe ee Bwana marehemu wote wapumzike kwa amani

  • @barnabastaniford7924
    @barnabastaniford7924 4 роки тому

    R,I,P MAMA umetangulia mungu ailaze mahala pema peponi roho yako mh doctor gretrude pangalile lwakatale

  • @abuuabdala2751
    @abuuabdala2751 4 роки тому +2

    R i p

  • @mwanakhamiskhamis3115
    @mwanakhamiskhamis3115 4 роки тому +1

    Dr natamani na mimi nianzishe shule Nisaidie please

  • @gililwise
    @gililwise 4 роки тому +2

    Hakika Mungu alikupa hekima na maarifa.Kazi umemaliza imani umeilinda Mungu na akuvike taji ya ushindi.pumzuka kwa amani

  • @edithmwasulama7005
    @edithmwasulama7005 4 роки тому

    Tutakumis mama ahsante kwa mafundisho yako mazuri. Mungu asikunyime Mbingu mama

  • @cesarinebahati1832
    @cesarinebahati1832 4 роки тому

    Huyu mama alikuwa shuja Sana na mashauri mazuri Mungu akupokeye mom wetu

  • @milkamugeni7940
    @milkamugeni7940 4 роки тому

    Lala salama mama wetu mwenye Mungu akupunguzie adhabu za kaburi

  • @eliachahofu951
    @eliachahofu951 4 роки тому

    Ukweli Mimi mpaka muda huu siamini kama mchungaji umeiaga dunia mungu aiweke mahari pema peponi

  • @jonisiamgaya9883
    @jonisiamgaya9883 4 роки тому

    Kweli mungu amechukua kilichochake

  • @brightonshakila6406
    @brightonshakila6406 4 роки тому +1

    Hah mbibii RIP

  • @suzanasteven3440
    @suzanasteven3440 4 роки тому

    Tutakumiss mama yetu jaman sikuamini masikio yangu niliposikia msiba wako

  • @joshualwelu7302
    @joshualwelu7302 4 роки тому +2

    RIP mama

  • @neemdamas5457
    @neemdamas5457 4 роки тому

    R.I.P Mama yangu uende mahala panapo stairi

  • @uledihassan6065
    @uledihassan6065 4 роки тому +4

    Mola ametoa na mola ametwaa

  • @siyamyovela4356
    @siyamyovela4356 4 роки тому

    Nenda mama yetu kipenzi kafanye kazi ya Mungu mbinguni naiman maraika wamekupokea kwa shangwe mtumishi wa Mungu

  • @nuruatiliomgaya9016
    @nuruatiliomgaya9016 4 роки тому +5

    Rest in peace our mom

  • @annajohn9063
    @annajohn9063 4 роки тому +1

    RIP

  • @dominikmichael4839
    @dominikmichael4839 4 роки тому

    Mama tutakukumbuka daima

  • @esthersimbeye6896
    @esthersimbeye6896 4 роки тому +1

    Rest in piece my beloved mom

  • @janethdavidsanga5999
    @janethdavidsanga5999 4 роки тому

    Haha alete bibi kwakweli nimecheka sana'safir salama mama

  • @shamimuabubakari3508
    @shamimuabubakari3508 4 роки тому +3

    😃🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣amletee bibi 😂😂😂😂😂😂mwanaume walivyo walaf ataacha kumla huyo bibi

    • @zachariasjeromy5693
      @zachariasjeromy5693 4 роки тому

      teh eti bbi..

    • @umpump8472
      @umpump8472 4 роки тому

      Mwanaume msharati ni msharati kuna wacishana njee pia hawapiti mbeleake

    • @vevo3130
      @vevo3130 4 роки тому +1

      @@umpump8472 na ndio maana mwanaume muasherati hana maendeleo na wengi hawa akili...hili ni kweli kabisa….na wengi hata akifanikiwa lazima aharibu pia....lakini pia ndio maana wanawake wanapiga kazi wanaachana na hvo vikitu vinajiona viasherati...napenda spidi ya wamama siku hizi...

    • @lucykanuti6138
      @lucykanuti6138 4 роки тому

      R.IP Mama Tulikupenda Mungu kakupenda zaidi

    • @lucykanuti6138
      @lucykanuti6138 4 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌😭😭

  • @aquilineanthony1115
    @aquilineanthony1115 4 роки тому

    nimejifunza kitu

  • @HarleenKaur-ge7uo
    @HarleenKaur-ge7uo 4 роки тому

    Rest in peace mom kwa kweli me bado hata siamini

  • @renatuslugendo4877
    @renatuslugendo4877 4 роки тому

    Amina mama

  • @penuelchurchoftanzania8427
    @penuelchurchoftanzania8427 4 роки тому

    Pore

  • @neemamanumba7265
    @neemamanumba7265 4 роки тому

    Tutakumi miss pumuzika kwa Amani

  • @edithkovary3654
    @edithkovary3654 4 роки тому +2

    With fact she was a Dr and Bishop. I am wondering the way she was decorate her nails as born again. But will every thing for God he is the Judge. May the lord help us.

    • @yeyothegreat8277
      @yeyothegreat8277 4 роки тому

      Ni mrembo kwahiyo ukiwa bishop usipendeze

    • @edithkovary3654
      @edithkovary3654 4 роки тому

      @@yeyothegreat8277 I did not know painting nails makes some one beautifully. The beauty of a person is on the eyes of the be holder.

    • @jenniferlukambuzi356
      @jenniferlukambuzi356 4 роки тому

      God looks at our hearts not the physical appearances. As long as you are not walking around half naked or fixing your nails, hair, eyes, etc., with evil intentions, you are okay in the eyes of the Lord.
      There are so many wolves walking around in sheep’s clothing and we are enabling them by focusing on the exterior. Let’s leave the judgement call to the Lord.
      May she Rest In Peace.

  • @eliabenjamin5949
    @eliabenjamin5949 4 роки тому

    Pumzika salama Mama

  • @sharifachacha6682
    @sharifachacha6682 4 роки тому

    😂😂😂😂atanioaaa

  • @bonnysureolkokolaboy4342
    @bonnysureolkokolaboy4342 4 роки тому

    R i p

  • @presseg.6362
    @presseg.6362 4 роки тому

    Jamani naomba nisaidieni majb, hivi huyu mama mume wake yupo!?

    • @makamevuai6132
      @makamevuai6132 4 роки тому

      presse G. MUME WAKE ALIFARIKI ZAMANI NA PIA MUME WAKE ALIKUWA MBUNGE WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MH:ALFRED RWAKATARE.

    • @presseg.6362
      @presseg.6362 4 роки тому

      Nashukuru kunifahamisha, ahsante Sana

    • @makamevuai6132
      @makamevuai6132 4 роки тому

      presse G. OK KIONGOZI

  • @محمدعلي-م4ص3ش
    @محمدعلي-م4ص3ش 4 роки тому

    Mungu amrehem

  • @dicksonlucas9812
    @dicksonlucas9812 4 роки тому

    🤔🤔

  • @zainafonga4706
    @zainafonga4706 4 роки тому

    Thank u mum...rest easy...

  • @majaboytz2491
    @majaboytz2491 4 роки тому

    RIP Bishop

  • @lucaswilliams5761
    @lucaswilliams5761 4 роки тому +2

    Napenda tu mama akiongea

  • @bintimohamed2646
    @bintimohamed2646 4 роки тому

    Oh my GOD. 😭😭😭😭😭😭😭

  • @rahmambwesso9767
    @rahmambwesso9767 4 роки тому +3

    R.I. P . Nimecheka eti alete mzee mbibi akaenae. Dah chini vinaenda vitu . Mungu akupunguzie adhabu ya kabri mama.

  • @hadijaangura6572
    @hadijaangura6572 4 роки тому

    RIP MUM

  • @teddykaeni45
    @teddykaeni45 4 роки тому

    R.i.p mama

  • @brightonshakila6406
    @brightonshakila6406 4 роки тому

    Rip mom

  • @wankyosogorya8115
    @wankyosogorya8115 4 роки тому

    Hahahaaaa Bibi kizee pumzika kwa amani mama

  • @bintimohamed2646
    @bintimohamed2646 4 роки тому

    It’s true mama. 😭😭😭🙏🏽🙏🏽