NEEMA SWAI ACHAMBUA KARANGA KAMA ZOTE JUKWAANI
Вставка
- Опубліковано 2 жов 2024
- Tazama Full Episodes mpya za BSS SEASON 13 kwa wakati kwenye ST Swahili kila Jumapili saa 3 usiku, kupitia dikoda ya Startimes au App ya Startimes ON
:Vionjo vipya (BSS EXTRA) ni kila jumatatu, jumatano na Ijumaa saa 2:30 usiku ndani ya StarTimes Swahili Channel
Bongo Star Search
Follow Our Pages
Facebook: / bongostarsearch
Twitter: / bongostarsearch
Instagram: / bongostarsearch
SnapChat: BongoStarSearch
TikTok: bongostarsearch
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz - Розваги
Mi sielewi
Bss ya mwaka huu ni round ya ngapi jamn🤣🤣
Neema htr anajua mpaka anajua tena
Hata me inanichanganya sana
Unajuwa siku zoote ukichukuwa watu ambao ndo wanajuwa lzima wataharibu2 sehem yyte Ile,mm camin kama Leonard angeweza kuwa mpuuz kiac kile wangefanya kama zaman changamot zinakuwepo nying
Ivi wenzangu mnaielewa BSS ya msimu huuu me adi sahv sielewi Ni nn kinaendelea
Ata me sielewi
Mi ndo sielewi kabisaaaaaa!!!!!
@@mwajumaabel2922 nikajua peke Yangu
Shida tupu
Duuu dada hafiki kwenye note ,back vocals poor kabisa
Tunatk full shoo
Very good pafroms
Mungu akusaidie Neema maana your vocal is down you need to learn more
Huyu Dada apumzike jamani
Me spend kuangalia vipande vipande
Mwanangu anaepiga! Bass👏👏👏
Mungu akusaidie2
BSS YA MWAKA HUU HOVYO TU
Bss ya saivi ata siielewi
Hamna kit hapa
Hamna kitu
gud
haujui kuimba kabisa unabebwa tu na majaji inasikitisha mtu kama majid hayuko kwenye show ilhali kuna muimbaji mbovu kama wewe kwenye top 8
hujui mziki ww😡
Acheni kubana dada kauwa kabisa yani
Na wewe ukajaribu kuimba