NEEMA SWAI APEKECHA HUMO HUMO
Вставка
- Опубліковано 2 жов 2024
- Tazama Full Episodes mpya za BSS SEASON 13 kwa wakati kwenye ST Swahili kila Jumapili saa 3 usiku, kupitia dikoda ya Startimes au App ya Startimes ON
:Vionjo vipya (BSS EXTRA) ni kila jumatatu, jumatano na Ijumaa saa 2:30 usiku ndani ya StarTimes Swahili Channel
Bongo Star Search
Follow Our Pages
Facebook: / bongostarsearch
Twitter: / bongostarsearch
Instagram: / bongostarsearch
SnapChat: BongoStarSearch
TikTok: bongostarsearch
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz
Neema swai wewe ni nomaaaaaa Sana Kama umeangalia zaidi ya mara moja Kama Mimi gonga like hapa.
❤ yaani hadi n leo bado naangalia
Baada ya ndoto hii ndio ngoma yangu ya pili best mi namkubali
Kuna UNANDI Fulani ivi nipeni Tu izo like za Swai wangu🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Sio unandi tuu na rubby yaan Yuko vizur
Vzr san
Nice
Humo umo Neema Swai 💃👯👯🥀
Kama umependa basi nipe like yangu
Uyu dada kaweza❤❤❤ nyimbo tamu mashaAllah
Nilichompendea huyu Dada alikubali hajui kuandika na hii nyimbo kaandikiwa ukizingatia Yogo beat zake ni kubwa sana kwa kiwango chake amejitahidi sana kiukweli big up
Neema kauaaa..👌
Nomaaaaa sana
Hizi beats za Yogo anaziwezeaga Kiba na Nandy tu, sjui Kama nimegundua peke yangu. Inahitaji msanii mwenye kipaji Sana kuzitendea haki
True 👍
100% it's a yess
Unawaza kamamm
Kwel
Kabisa
Na
Tomm
Flavor
huyu neema kajitahid Sana sema inahitaji sauti yenye note ya juu
Anajua,,, she have so confidence
Neema your beauty for Artist but
Ktk kuimba not yet
Halafu hio beat haiko Quality haijashiba imesababisha Mpaka humuhumo imeonekana kama imepwaya hivi
By the way kama utafanya mazoezi na mwonekano hukauweka pembeni nakuona zaidi ya zuchu,Nakulinganisha na Ruby,Vannesa,Nandi na Mwasiti
Ongeza juhudi.
Uyu dada simujuwi lakini nimemkubali ❤
Mwaka wowo nitashiriki nioneshe kipaji changu
I like combination yaani team ya waandish humohumoo
Nakubali sana my cct watu tujaji mashindano na sio yalio pita leo kafanya vizur alipaswa kutolewa alie haribu na kupewa chance ya kurudia mashindano ni fist ukibug hakuna second sijapenda aiseeee
Hii ngoma aitoe imepita neema swai
U do good so unique 🔥🔥🔥🔥💯
SAFI SANAA
❤❤❤
Kwani lazima muimbe matusi kimafumbo ndio nyimbo itoke?
Adam😊😊
very nice ney
Humo❤❤ nema swai ilyke ur song❤
Hizi biti akipewa konde anauwaaaaa
Huyu mdada ni mzito mno duh
Hyo Ngoma ikosaw bt hukuifamyia haki kabisa haujachangamka n bet
Humo humo hatariiiiiiiiii penda sana
Hii mgoma kali sana kama pia angekaa rapa kama lunya
Kuna muda nimefeel kama anaingia lunya😀
Huyu ban kuimba ajuh
🤣🤣🤣🤣🤣umo umo hadi kenya huku weeee noma
Ila mchovu ni chokooo😂😂😂
huyu hata anachoimba simuelewagi bora mngemuacha Agnes tu
Umeongea ukweli maan kwanza Nashangaa ilikuweje ,,
Namuona mrithi wa nandy hapa, yuko vzr
acha ndoto..
@@Officalnaph 😂
@@Officalnaph 😅😅😅
Ila #masterJ ni Fundi Sana, nataman awe mlezi wangu kwenye Sanaa
Humo humo nice song😛
Alotengeneza hii beat lolote baya limkute ako
Beat kali ila limemzidi
Nimelike for mchomvu 🤣
Huyu bado anafanya Nini kwenye haya mashindano
🔥🔥🔥🔥
Neema anajua kwanza mistar kameza yote anajua
Ila Mchomvu dadeq 🤣🤣🤣
HUYU NDIO KAIMBA KAMA UNDERGROUND KABISA, LAKINI PIA BEAT BAYA SANA TENA SANA
Hujui mziki beat Kali but msanii Aja tembea kwenye bar za io beat mskilizie nandy
Beat za Yogo ni kubwa sana Kwa underground ni ngumu kuzivaa
Hakuna kitu Apo go home
Umetishaa
Yuko fiti huyu dem