Ukiwa na Hela kama za kwake wewe utachanganikiwa sana.Sasa ya nini kumsema inawasaidia Nini?Kwa umri wake namkinali sana.Mimi hela zake nikiwa hata na asilimia kumi navhanganikiwa.So muavhe kumsema Bure.Au mnataka kumzalilisha tu.Mtoto wa Kigoma,hongera zako kwa utajiri wako.
DIAMOND NAE ANATANGATANGA SASA NYUMBA KATUONESHA ANAJENGA HATA HAJANALIZA ANASEMA ANANUNUA CYBER TRUCK. ALAFU KAMA ANA PESA MBONA NYUMBA UNAJENGA NDANIBYA MIEZI 6?

Kweli kbs
Hakiamungu leo Meneja kanichekesha hatry😂😂😂😂😂
Sound Track, SAIDA BLACK😅😅😅
Na jeshii atanunuwa ana pesa 👈🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Hahaha mbavu zangu mie jamaniiii etty saida plag
Sura yenyewe ni ya kiwanga hio 😢
yes you said the truth about diamond platinum🎉🎉🎉🎉🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Tatizo domo anapenda kiki sana but analaana ya babaake abdul
Bruh mbona hiyon gari mm nnayo na ni mfanyakazi wankawaida tuu .
We meneja dingano kaziako kulaumu TU diamond na kupinga maendeleo ya diamond ujue sikupendi sana
Hapingi wala hamchukii ila diamond c msema kweli na si vizuri kuwadanganya mashabiki zako
Gari hiyo ina usukani, tena bonge la usukani....
nani kasikia sound back🤣
Ding'ano Headquarters
HUYU NAE, NANI KASEMA HAINA USUKANI? ALAFU GARI LENYEWE LIKO CHEAP SANA KUSHINA HATA LOL ROYS
Diamond mbona anapenda masifa!? Anaboa
DIAMOND NAE ANATANGATANGA SASA NYUMBA KATUONESHA ANAJENGA HATA HAJANALIZA ANASEMA ANANUNUA CYBER TRUCK. ALAFU KAMA ANA PESA MBONA NYUMBA UNAJENGA NDANIBYA MIEZI 6?