Duniani Leo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 5

  • @HarunaMwaholi-o6p
    @HarunaMwaholi-o6p 4 дні тому +2

    Hutuba ya Haris Kamala imeshiba kakubari kushindwa kwa uharari kabisa na maerezo yaliyojaa hekima matumaini na kuwatia moyo wapiga kura wake ❤

  • @MpokiKayuni
    @MpokiKayuni 6 годин тому

    Waafrika tuige uchaguzi wa marekani

  • @mwema5009
    @mwema5009 5 днів тому

    Afrika ni mauaji tu leo US Kamala alikubali kushindwa lakini Afrika ni ujinga tu😅😅😅

  • @doubletapkama3901
    @doubletapkama3901 5 днів тому

    😅ingekua raila anasema alikua na wafuasi wake agawiwe half bread 🍞

  • @didimeandrewngowi
    @didimeandrewngowi 5 днів тому

    Naomba kuuliza VOA ingawa ni swali la kizushi, ila mimi binafsi nina shaka nalo.
    Swali ni kwamba Amerka Taifa kubwa hivyo pamoja na demokrasia ya taifa hili, swali lenyewe ni hivi huko America hakuna kiongozi yoyote katika vyama vya siasi ambaye angeweza kuchaguliwa kugombea urasi baadala ya Dornad Trump??
    Wamarekani walikwisha kumpa hii nafasi mara ya kwanza, aliyoyafanya wamarekani mnayajua na pia chama chake kinajua mazuri na pua mapungufu yake inakuwaje kumrudisha madarakani tena??
    Au kwa maoni yangu kutawala America sio siasa bali utajiri wako??
    Bado nimekufa moyo.Nilitegemea labda angeweza kushinda mwanamke ambaye alionyesha angefanya mabadiliko makubwa sana.
    Haya ni maoni yangu binafsi.Nipo Africa mashariki Tanzania. Moshi Kilimanjaro.