Hofu ya Vita yatanda Mashariki ya Kati

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 жов 2024
  • JARIDA LA WIKIENDI linaangazia mzozo wa Mashariki ya Kati, vita kati ya Israel na Wanamgambo wa Hezbollah, Hamas, wa wahouthi wanaorusha makombora kutoka Yemen, wakati Iran pia inayorusha makombora ya masafa marefu kuelekea Israel.
    VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi.
    Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
    Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000.
    Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru.
    Jiunge na VOA Swahili:
    » Tembelea Tovuti Yetu: bit.ly/3PtyNWc
    »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: bit.ly/3TNTiiI
    »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : bit.ly/VOAPlus
    »Download VOA+ katika vifaa vya Android bit.ly/3KykriI
    »Tembelea Tovuti yetu: www.voaswahili...
    »Upende ukurasa wetu wa Facebook: / voaswahili
    »Tufuatilie katika Instagram: / voaswahili
    »Tufuatilie katika X: / voaswahili
    »Tufuatilie katika UA-cam: / @voaswahili

КОМЕНТАРІ • 23

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 2 години тому +4

    Ibrahimu shukrani kwakuwa mkweli na mwazi kwa hao wafuasi wa Israel. Uko vizuri kwakweli

  • @kafwimbimilambo8556
    @kafwimbimilambo8556 Годину тому

    Ongereni

  • @lifardKombolela
    @lifardKombolela 2 години тому +7

    mimi nipo tayali kupgana kwajili yawapalestina

  • @GodenBMDaniel
    @GodenBMDaniel Годину тому

    Walipigwa sawa sawa na Iran

  • @alisalimo2861
    @alisalimo2861 Годину тому +1

    wacha unazi ww profesa hapo An apigana mmarekan

  • @FilbertRobert-e4u
    @FilbertRobert-e4u Годину тому

    Yetu machooo😂

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 2 години тому +1

    Israel haiwezi kuyakabili

  • @abuukajembe-to6sd
    @abuukajembe-to6sd 45 хвилин тому

    Mwisho wenu umefika uraaaaaa

  • @AnociathaChuwa-cb5nk
    @AnociathaChuwa-cb5nk 41 хвилина тому

    HAWA WAARABU NI WABAYA SANA
    WANAPENDA VITA NA KUMWAGA DAMU SIJUI KWA NINI
    WANAJUA KABISA ISRAEL NI TAIFA LA MUNGU LKN WANAZIDI KUSHINDANA NAO!!!

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji Хвилина тому

      MBONA MUNGU HALILINDI 😢😢😢😢😢MASHOGA NDIO WANALILINDA MWISHO WAKE UNAKARIBIA

  • @abdallahalwardi588
    @abdallahalwardi588 2 години тому

    ●msimuonyeshe dhalimu😢😮

  • @abuukajembe-to6sd
    @abuukajembe-to6sd 21 хвилина тому

    Ha ha haa mmechemka Ibrahim kawashida

  • @abuukajembe-to6sd
    @abuukajembe-to6sd 30 хвилин тому

    Mda utaongea 2 tunawasubili mjib

  • @AggreyLugano
    @AggreyLugano Годину тому

    Indeed israel is a tough country. As small state as it is being attacked by countries and big economies surrounding it but they unable to defeat it.

  • @KassimKhalaid
    @KassimKhalaid 2 години тому +1

    Zipigwe tu kwani vp kila mtu atakufa ata uyo netanyahu atakufa tu siku moja so vita iendelee tu

  • @AnociathaChuwa-cb5nk
    @AnociathaChuwa-cb5nk 39 хвилин тому

    EE MUNGU ENDELEA KUIPIGANIA ISRAEL

  • @IbrahimOmary-d5f
    @IbrahimOmary-d5f Годину тому

    Hakuna mtu yeyote atakaye wafumba kinywa Israel maana hawajui wanachokifanya lait wangejua wanacho kifanya wangeomba msamaha Kwa Israeli ,maana ukimgusa Israel umemgusa MUNGU ayewaumba kumbuka taifa lakwanza kutengeneza makombora ni Israel kutafuta ushindi zidi ya Israel nikutafuta AIBU.