JINSI YA KUWAOMBEA WATOTO WAKO(Mzazi ni Nabii wa Mtoto)
Вставка
- Опубліковано 17 чер 2021
- HOW TO PRAY FOR YOUR CHILDREN (Parent is a Child's Prophet)
This is a very important lesson for parents and guardians and those who hope to have children in future. In this lesson Apostle Mtalemwa brings revelation on the important things a parent should consider when praying for a child. He also explains that the first Prophet of a child is his own parent and also no prayer is as powerful for a child as that of his parent.
Please follow all the messages in this video and send to others to benefit from this revelation too.
(swahili)
JINSI YA KUWAOMBEA WATOTO WAKO(Mzazi ni Nabii wa Mtoto)
Hili ni somo muhimu sana kwa wazazi na walezi na wale wanaotazamia baadae kupata watoto.
Katika somo hili Apostle Mtalemwa analeta ufunuo juu ya mambo muhimu mzazi anayopaswa kuyazingatia anapomuombea mtoto.
Pia anaeleza kuwa Nabii wa kwaza wa mtoto ni mzazi wake mwenyewe na pia hakuna maombi yana nguvu kwa mtoto kama ya mzazi wake.
Tafadhali fuatilia ujumbe wote katika video hii na watumie wengine wanufaike na ufunuo huu.
Amina amina.....yaliyonishinda katika hii maisha namwombea mwanangu sammy na wote nitazaa wataweza katika jina la YESU christo baraka juu yako amina🙏🙏🇰🇪
Bless you the man of God 🙏
Hili neno ni dhahabu kwangu, Mungu anisaidie nizidi kuliishi na uzao wa tumbo langu uzidi kubarikiwa
Bless you servant of God. What a blessing you are to me this morning as a parent. I thank God for this wonderful message through you.
Amen...amen, sikuwahi kupokea mafunzo kama haya, Mungu azidi kukubariki Apostle
Natazama kutoka Kenya nimebarikiwa na mafundisho,,amen man of God
Nimebalikiwa na hili somo, nimejifunza mengi pia ni neno ambalo kuanzia Leo limenibadilisha mno... Asante sana mtumishi wa Mungu
Natazama kutoka Kenya barikiwa sana mtumishi kwa somo la Leo
Wow mchungaji am really blessed nitawaombea watoto wangu kila saa na kila siku niko saudi Arabia nabarikiwa pole pole
Ameeeeeen mtumishi umenifungua akil umenifundisha kitu eee Mwenyezi Mungu unisaidie🙏🏼🙏🏼
Ubarikiwe sana baba mafundisho mazuri sana,hakika tumejifunza mengi na watoto wetu wayakuwa baraka
You have really helped my soul man of God I am Christine Buluma from KENYA
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu tuko pamoja nafuatilia sana mahubir yako
Mungu anisaidie kuyaishi
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏mola akubariki milele shukran 🙏🙏🙏🙏
Am really blessed through this preachings,I've learnt alot,may you continue to shine apostle.wacha mungu azidi kukutumia zaidi, maana kweli wengi twapotea kwa kukosa maarifa
Kwa kweli umekua msaada kwa maisha yangu Godbless u soo much
Amen ujumbe mzuri sana,na litimie kila lililojema na la ushindi kwa watoto wangu katika jina la Yesu.
Barikiwa sana mtumishi wa mungu kwa somo nzuri
Ewe Mwenyezi Mungu unisaidie! Asante kwa mafundisho haya.
Asante sana mtumishi wa Mungu kwa masomo yako ya hekima na unabii
Napokea katika jina la Yesu Kristo, nawaombea watoto wangu Jack na Prisca Mungu wakumbuke hata pale niliposhindwa kutimiza wajibu wa kuwaombea. Nawakabidhi mikononi mwako, waepushe na mabaya ya dunia hii. Yale niliposhindwa Mimi ukawainue wayashinde Ameeen
Asante Apostle kw somo zuri. Mungu aendelee kukujalia afya njema
Mungu nisamehe .barikiwa mtenda Kazi wa Yeova
Barikiwa mtumishi wa Mungu kwa mafunzo makuu
Nimekuwa nikikufatilia masomo yako kwa kweli umenifundisha vingi Sana Sana Mungu azidi kukubariki.
Amina napokea. Nawakabidhi watoto wangu mikononi mwa Bwana madhabahuni kwa Jehova weka roho ya utumishi ndani yao. Wakuche wewe. Amina
Glory be to God for this teaching.
I have gained a lot from this sermon God bless you servant of God 🙏🙏
Nashukuru sana mchungaji nimpata kitu sjasikia tangu nizaliwe. asante mngu akujalie sana.
amina mtumishi Mungu akubariki saana mtumishi wake.
Baba nimejifunza kitu kikubwa sana, Mungu akubariki mno.Mungu nisaidie niweke ktk matendo.
Namepata somo zuri kwa wskati mzuri
Be blessed Man of God. Somo limenifunza mengi!!
AMEN, Mtumishi wa Mungu Chief Apostle. Umenibariki na kunifungua. Wanangu hawatashindwa yale niliyoshindwa kuyafanya katika Jina la Yesu. Amen.
Amina mtumishi somo limenibariki
Amina mtumishi.Nimekuelewa zaidi ya kuelewa
Thanks man of God I have learnt alot today and I shall put in practice may you be blessed
Hakika na hilo ndilo neno la Mungu. Kwakweli Mungu wa MAjor1 anakutumia kwa viwango vya juu sana. Ubarikiwe sana Mwana wa MUngu aliye hai. Asante sanaaaaaaaa
Amina; yaliyonishinda wanangu wayaweze.
Mungu naomba unisamehe, i have gone against ur teachings so teach me how to pray Lord n will forever abid in u. Powerful msg pastor n God bless u
Amen amen naomba Mungu unisaidie kuwaombea watoto wangu wasipitie magumu niliyopitia bali wafanye vyema zaidi yangu. Pale niliposhindwa wakaweze kwa Jina la Yesu
AMENI NAPOKEA MTUMISHI NIMEKUELEWA MUNGU ANIPE NEEMA KUBWA. BARIKIWA KWA MAFUNDISHI MAZURI, MUNGU ATUKUZWE MILELE
Nimekuelewa mtumishi
asante mtumishi unanifundisha kitu kizuri sana amen
Asante sana Apostle. Hakika nimekuelewa, Mungu anisaidie kutofanya makosa tena
Amen mtumishi wa Mungu leo siku zote unagusa maisha yangu haki ni maombi ninayomuombeaga mwanangu pamoja na kimuombea awe na utumishi wa Mungu ndani yake nimebarikiwa Sana
Mungu akubariki mtumishi kwa ujumbe mzuri sana Mungu aendelee kukupaka mafuta ya kitume
Very powerful nimehifunza jambo kubwa mno asante
Nimesukumwa sana ndani yangu leo kusikiliza hili somo upya. Umeongea na mimi, umenifundisha kitu kikubwa Apostle. Asante. Mungu nijalie neema yako kuu ya kuweza kuyatendea kazi haya nlojifunza kutoka kwa Mtumishi wako. Uzao wangu umebarikiwa🙌🙌
Amen!!ubarikiwe sana mtumishi
Amen ntamuombea mtoto wangu
Powerful chief Apostle....nimegundua leo
Mwenyezi Mungu akubariki mtumishi umenifunza kitu kizuri
Ubarikiwe kwa ujumbe huu mzito sana
Your word is so clear,nimejifunza Sana tokana na neno hili,my children will grow serving the Lord in Jesus name 🧎😭🤲🙏
Namshukuru Mungu nimepata mambo makubwa ambayo huwezi kuyasikia mahali pengine kwa wingi au kila mara. Mungu akubariki sana mtumishi.
Mungu mbariki mtumishi wako. Amenena ya moyoni mwako. Endelea kumkumbuka daima. I'm really blessed with the teachings.
Nimebarikiwa sana mtumishi
Amina mtumishi ubarikiwe sana
Nashukuru Mtumishi nimepokea Mungu azidi kukubariki
Umenifundisha kitu leo, ntaenda kufanyia kazi. Eeeh Mungu nisaidie 🙏🙏
From kenya kwel umenifungua🙏🏼asante ntatamka baraka kwaajili ya wanangu
Amina mtumishi wa Mungu. Namwombea Mwanangu Neema ayaweze na kuyashinda yale yote niliyoyashinda mimi na ayamalizie yale mema niliyoyawaza ktk maisha yangu.
🙏 Amina kubwa sana Amina mungu atusaidie mwanangu Brighton na wengine wanao kuja aw ato fata maisha niliyo pitia kwa jina la yesu na mkabidhi kwako ee bwana
Amen umenigusa mtumishi hapo pa sogea nikae
Nimejua nicio ya jua God bless you pastor Mgu amekutuma kwangu yote hayo niya kwangu
I didn't know this bt now I know,I will pray for my children every time I pray.Go d bless you man of God 🙏
Asante saaaaana. Mungu akubaliki sana.
Umenena mtumishi wa Mungu
Amen wonderful teaching following from doha Qatar Kuna kitu nimejifunza barikiwa mtu wa Mungu
Ahsante sana Mungu wetu mwema.
Truly blessed by this teaching🙏🙏🙏
Amen my Apostle.. hakika nimejifunza sana na MUNGU azidi kukutumia kwa ajili ya watu wake🙏🏼
Amen
Thanks alot the word has come at the right time when my children 3 boys are in teenage. 2. Wanajikaza kwenda kabisa Thanx to God coz you have opened my eye. Pray 4 my family
Nashukuru baba kwa mafundisho hii kristo yesu aendeleye kukupa neema ya kazi hii ,ila nilifata usipuzi ndoto nika shukuru Mungu kwa mwisho ikaona umeweka marashi nayo ina kwa uduma kuwaponya Watu ? Mungu akubariki
Ni furaha bahaya pa goma.
Thanks alot mtumishi wa Mungu for your teaching. Be blessed
I am a Prophet to my kids
I am a Prophet to my children ❤❣💯🙏 #hizi ni kazi zangu kwa wanangu kabla hajatabiriwa na wengine 🙏🙋♀️
Hallelujah. ubarikiwe mtumishi wa Bwana
The best teachings ever God bless u.
Asante Mtumishi wa Mungu, nakufuata toka DRC, Kinshasa, nimejifunza mengi kutoka kwako, Mungu akubariki na akubebe kwenye viwango vya juu sana.
Amen, mtumishi. Nitaendelea kuwaombea Watoto wangu kila iitwapo leo.....
Umenifunza jambo jipya nashukuru roho wa mungu
Amazing I have learnt alot from this we should really pray for our kids in Jesus mighty name
Mungu akubariki sana Mtumishi
Amen ubarikiwe Apostle mtalemwa nimepokea na kujifunza mengi.
Haya masomo ni hatari.
Hakika ni Chuo kamili.
Am blessed.
Hakika elimu iliyoshiba hii kweli Mungu chombo!
@@faithjoram7455 yes, Mungu ameunda vyombo.
I wish every parent and parents to be can hear this powerful message on parenting.Be blessed man of God.
Hii Ni kweli kabisa mtumishi,Yesterday wamama watu wazama walikuwa bize wanamsema mwanangu wa mwaka na miezi mitatu,,yaan kabla sijaenda kuwakanya nilimlilia Mungu kufuta Yale maneno ,,Mungu atusaidie na hii dunia maana wazazi tusipokuwa manabii wa watoto wetu , surely wataangamia. Every time nikimwangalia mwanangu I just prophesies
AMEN Mungu akubariki Apostle nimejifunza nitalifanyia kazi sijachelewa
I have just subscribed after listening to this teachings.very powerful on how to pray to our children.God help us.
Amen and amen man of God nalibata NENO HILI nikiwa saudi Arabia nitawombea wana wangu kila wakati
Am really blessed by his teaching
Nimebarikiwa sana.
Mungu nakushukuru Kwa Somo hili kwa muda sahihi kwangu🙌🙌
Amina Mungu nikumbuke
Man of God thanks for guard us how to pray for our kids may God bless you
Mungu ninaomba ktk yake niliyoshindwa kuyafanya,ninaomba wanangu Rose na Nuru wakayafanye .Ameen!
Thank God for letting me hear this information,,God bless you Apostle,,I got this at the right time , it's amazing...
Ameen nakusikia Mtumishi
Very true man of God uishi miaka mingi ufanye kazi ya mungu
Asante mutumishi wa mungu
Ehee Mungu Nisaidie kama mzazi niyashike na kuyatendea kazi somo hili ni zaidi ya baraka
Ameni Mtumishi kalibu Sana Bukoba tunakupenda uje utupe mafundisho ya neno la MUNGU
Niko mbali na wanangu nimeumia sana natamani niweke mikono kwa wanangu mungu anisaidie
Nmebarikiwa sanaaa
Nimebarikiwa sana na nimeelewa kuwatabiria wanangu unarikiwe sana mtumishi wa Mungu aliye hai
Ubarikiwe baba