Very nice song.... Msonge mbele... Kumbe midundo mingi huwa inaharibu Radha eee? Huu wimbo unasikia Radha Ile yenyewe vizuriiiiiii kabisa bila kuzibwa na midundo mingiiiii na beat yenye keleleee.. Big Up🎉
I wish all choirs were singing like this.. Very calm, thoughtful music. Very good for spiritual meditation Nawapenda sana advent celestials- Bwana azidi kuwatumia
Haijalishi ni lipi na kwa wakati upi ila NAINUKA KWA UJASIRI NA KUKAZA MWENDO MAANA KIONGOZI WANGU NI YESU😇 AMEN blessings
Amen, ubarikiwe
KAZI nzur sana
Asante..Utukufu kwa BWANA
Be blessed kwa wimbo mzuri unaoamusha roho ya matumaini
Nice song
Mi nawapenda bure ❤️ be blessed friends
Amen, tunakupenda pia.
@@adventcelestialtz5861 ❤️🙏
Nawapenda Mungu aendelee kuwabariki na kuwainua kwa viwango vya juu zaidi❤️🙏
Amen.
Nabarikiwa sana na huu wimbo mbarikiwe waimbaji
Isee ninyi watu hii wimbo ni taam khaa
Nainuka kwa ujasiri🙏🙏
Amen
The power of almighty.. Super voice.. Mfike mbali watu wa baba. Safari NI yetu
Amen
My fav Song... Mungu awabariki sana... keep on doing eunique items more and more
Amen, we're humbled.
So blessed with good voices appreciate may GOD bless you
Mungu awatunzee na kuwabariki... Wimbo mzuri.
Amen our Elder.
Mbarikiwe kwa kazi ya MUNGU
Aaaaaaaame
Amen
Amina❤
We are waiting 😍
Mungu aendelee kuwainua Zaid na zaidi kazi nzuri sana🔥🔥🔥Alto💯🔥🔥🔥🔥
Amen our dear Angel .
Yes, we'll done Advent Celestial. Endeleeni kumtukuza Mungu kwa karama zenu.... Mbarkiwe.
Amen
Mbarikiwe saaana wapendwa🙌😊🥰
Amen.
My favorite song ...unanibariki sana 🙏
Mungu akubariki sana
One of my favorite 🙌🏻
I have learn something
be blessed
Amen mwenyezi Mungu awabariki sana kwa kazi nzuri
Amen
Very nice song.... Msonge mbele...
Kumbe midundo mingi huwa inaharibu Radha eee?
Huu wimbo unasikia Radha Ile yenyewe vizuriiiiiii kabisa bila kuzibwa na midundo mingiiiii na beat yenye keleleee..
Big Up🎉
What a song, just love you guys, keep up the good work. JESUS LOVES YOU
Amen. Love you too sister.
What heavenly music. Love this.Nainuka kwa nujasiri nakaza mwendo. Happy Sabbath!
happy day brother
A nice song with well organised voices, may God bless you
Amen, be blessed.
What s song
Wimbo mutamu sana kama maji jangwani
Amen
MUNGU Azidi Kutimiza Ndoto Zenu Za Kumtumikia Kwa Utukufu Wake.
Mbarikiwe Sana Na Ninawapenda Sana.
Amen
Mnaimba vizuri mbarikiwe sana
Amen, Bwana asifiwe
👏👏👏
My good song,God bless uu
Heavenly voices
Aiseeeeeeeeeeeeeeee mnajua
Bwana atukuzwe
Be blessed alot guys nice song 🤝🙏
Amen. Thank you.
🙏Wonderful song...be blessed
Amen
Family ❤️❤️❤️
Mbarikiwe
Amen, ubarikiwe pia.
Be Blessed🙌🙌❤
Amen
🙌🙌
I wish all choirs were singing like this..
Very calm, thoughtful music. Very good for spiritual meditation
Nawapenda sana advent celestials- Bwana azidi kuwatumia
Amen, we're humbled
It's my song lovely. Nainuka kwa ujasiri ninakaza mwendo huku nikujua kiongozi ni Yesu
🙏🏼🙏🏼
nainuka kwa ujasiri💪love this😘
be blessed.
Amen
Be blessed you guys
Amen
May God bless you abundantly
Amen
Such a Sweet Cake...
Be blessed.
Amen
❤❤