SHANGWE LA MAALIM SEIF BAADA YA KUTANGAZA KUHAMIA ACT WAZALENDO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 182

  • @charlesmurimi592
    @charlesmurimi592 5 років тому +3

    bigup xn mseif, mungu yu pamoja nawe. ukombozi ni sasa. Tumechoka na hiki chama ccm, ni ufala tu na mabavu.

  • @bernarddaudi9657
    @bernarddaudi9657 5 років тому +1

    Hongera! sana!! baba kwa uamzi wako wa busara.Tulipoona uamzi wa mahakama unapingwa (((unakiukwa!!))) mchana kweupe wapenda amani tuliogopa sana. Lakini wewe hukuona sababu ya kushinda mnavutana.(Kugombania maji ukiwa baharini )Tunawaomba watanzania wapenda amani waone,waelewe kisha wakuunge mkono.DAIMA HAKI ITASHINDA tu.Hongera sana baba umeonyesha umahili wako ki-siasa.

  • @zeanamohamed4072
    @zeanamohamed4072 5 років тому +12

    Maalim seifu mwenyezi mungu yupo pomoja na wewe haki ya wazanzibar ishaall itapatikana.. twende mbele. Aminin

  • @davoo2555
    @davoo2555 5 років тому +7

    nafurahi kusikia kauli ya Mzee Seif ni mtu mzima sana kiukweli lakini bado ni mpigania hakia, na anaonekana bado ana hari yenye nguvu. Hongera sana Maalim Seif uko vizuri sana mzee wetu. Tuko pamoja daima

  • @albahryonlinetv9319
    @albahryonlinetv9319 4 роки тому +1

    Yaaaaan naskiliza mpaka nalia ila tuko pamoja na ww Maalim insha Allah 2020 tlliwalo na liwe

  • @raj2497
    @raj2497 5 років тому +4

    Asante sana maaali seif never give up nakupendajeee mzeee babaaaaaa

  • @yusufmpando922
    @yusufmpando922 5 років тому +1

    Dah kwenye siasa kweli noma yaan mzee kipindi chamapambano alikimbia mapambano yameisha amelud nawatu bado wanamsapot amakweli akilininywele. Maalim pambana mungu anakuona ww sio mnafik

  • @Queen-be1uf
    @Queen-be1uf 5 років тому +13

    Wakati mwengine kheri inatokana na shari basi shari yao hii in sha Allah ndo itakua kheri yetu. Kheri itazaliwa kwa uwezo wa Allah

  • @boniphacenyamhanga9395
    @boniphacenyamhanga9395 5 років тому +1

    Me nakukubali mzee Seif Maalim Mungu akutanguliye

  • @robertlinuma6051
    @robertlinuma6051 5 років тому +1

    Kwa wazanzibar nawakubali kwa misimamo ,lipumba ajiandae kisaikolojia ,umefanya Jambo zur kuepusha marumbano yasokuwa na tija ,

  • @vannyb0y91
    @vannyb0y91 5 років тому +1

    safi sama malim hakika umetizama mbele

  • @abuyaliy3357
    @abuyaliy3357 5 років тому +3

    Ulipo tupooo

  • @josej9888
    @josej9888 5 років тому +12

    Lipumba hawajui vizuri wapemba, atawajua vizuri mwaka huu.

    • @mwombekikatabalo9046
      @mwombekikatabalo9046 5 років тому

      This is a true definition of the word siasa (si asa)

    • @PAZI_TV
      @PAZI_TV 5 років тому

      We mwenyewe mpemba,wapemba hawa jipya

  • @kassimumustapha8806
    @kassimumustapha8806 5 років тому +16

    cuf lipumba anaiuwaaa nami ni ACT eazalendo maalim sefu ulipo nami nipo wamekudhurumu sana

  • @almostgoro564
    @almostgoro564 5 років тому +5

    Safii sanaa Maalim umefanya busara sanaa

  • @ramadhanihassani256
    @ramadhanihassani256 5 років тому +10

    Mzee busara uliyoitumiaa pongezisaaaana najua niwachachesaaana wanaokubali matokeoo ilachaguo ulilolifanya pongeziiiiiiisaaana Mzee tuponyumayakoo

  • @blacksonismael2501
    @blacksonismael2501 5 років тому +4

    Uyu mzee angelikua baba yangu kwa busara hizi nisinge pata kugombana na majirani

  • @hussmuya5246
    @hussmuya5246 5 років тому +4

    Lipumba simpendi hafai mnafiki sana

  • @hafidhnassor444
    @hafidhnassor444 5 років тому +1

    Daaaah Kila nikikuangalia namkumbuka mzee jumbe..daaah seif..haya tutaona ..laana inaendelea

  • @mohdabdi4157
    @mohdabdi4157 5 років тому +5

    ulipo tupo maalim sefu popote ulipo

  • @mwanrigodbless4620
    @mwanrigodbless4620 5 років тому +3

    maamuzi mazuri siku zote hayajutiwi.....nakupongeza malim. umetumia haki yako ya kikatiba. Ongereni

  • @heribertsab4004
    @heribertsab4004 5 років тому +6

    iki chama cha ACT Wazalendo kitakuwa sio mda mrefu na kukipiku chama Fulani ila wanaokipongeza Leo ndio walikiita hiki chama kama CCM B

  • @agent48classified40
    @agent48classified40 5 років тому +4

    Ibrahim Pumba??? Aisee

  • @katarinawilliam9960
    @katarinawilliam9960 5 років тому +2

    Genus. NECK IN NECK....KUDADEKI....LAZIMA WAITE KIKAO CHA DHARURA...FYUUUUU.MAALIM SEIF MUNGI YUPO NAWE

  • @samsonmwankosole375
    @samsonmwankosole375 5 років тому +7

    Safi Maalim

  • @goodhelpnolland9637
    @goodhelpnolland9637 5 років тому +2

    Mamuzi mazuri

  • @britonngale6644
    @britonngale6644 5 років тому +1

    Na hiyo cuf ife kabisa lipumba abaki mwemyewe

  • @salmasalimmohamed4013
    @salmasalimmohamed4013 5 років тому +3

    maalim seif ulipo na sisi tupooo

  • @bintkonga2044
    @bintkonga2044 5 років тому +6

    Bora mm nilivyokuwa cn chama

  • @emmanuelystephano13
    @emmanuelystephano13 5 років тому +1

    Kweli mzeee wangu mm M4C

  • @anisiamedard3775
    @anisiamedard3775 5 років тому +5

    Ni ngumu sana CCM Kuiondoa. Vyama vya Upinzani mnatamaa sana Na Hamna misimamo mweee

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 5 років тому

      Anisia ludelemla
      Wanatia hadi hasira, wanaua democracy then wanailaumu CCM

    • @yohanamwamkili4397
      @yohanamwamkili4397 5 років тому

      Yani waafrica bwana, yan mtu akiwania uongozi akiwa upinzani ana tamaa na uongozi, ila akigombea akiwa cha tawala hana tamaa na uongozi. Aisee aya sawa bi dada.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 5 років тому

      Yohana Mwamkili
      Tatizo langu ni kwa nini wapinzani wanahama hama? Wabunge wanachaguliwa na wananchi baada ya muda wanahama, viongozi wakubwa kama huyu anahama sasa watu kama hawa wanataka nini? Nini kinawafanya wasitulie? Wakipewa nchi itakuwaje?
      Umeona wapi duniani viongozi wanahama hama kama Tanzania?
      Labda unisaidie. Wanaua democracy kwa njaa zao za tamaa. Na hiyo ni kama laana haitawatoka hata huko wanakoenda kama mambo hayatakuwa walivyotaka nako watahama?

    • @namisgiggah1571
      @namisgiggah1571 5 років тому

      @@yohanamwamkili4397 mawazo ya mwanamke yasikumize kichwa bro. Kila kwenye wake kumi tambua ni mmoja tu mwenye mawazo sahihi.

    • @anisiamedard3775
      @anisiamedard3775 5 років тому

      @@namisgiggah1571 Kwa Mtazamo wako uko sahihi na usimwone mwanamke ana mawazo finyu. Huoni hali ya hewa eee

  • @samwelyohana1172
    @samwelyohana1172 5 років тому +5

    Sawa sawa baba,, cuf ndio bai bai tena..

  • @maubarak9831
    @maubarak9831 5 років тому +3

    sio tatizo kuhama nnchi kama haina faida nawewe

  • @mansooronlinetv535
    @mansooronlinetv535 5 років тому +2

    Daah huyu mzee sijamuon mtu anaemchukia

  • @alijey3761
    @alijey3761 5 років тому +6

    ACT inaamini juu ya ujamaa na nyinyi mlikuwa na falsafa ya uliberali

  • @mariamlupatu5907
    @mariamlupatu5907 5 років тому

    Kazi kwenu wana siasi sisi kwetu ni kutizama Tu muendako maana kila mmoja atakufa kula kwa wanae hakuna jipya

  • @mohdseif2459
    @mohdseif2459 5 років тому +2

    Ajabu ya leo alieshindwa anacheka alie shinda analia

  • @sautisamsu2981
    @sautisamsu2981 5 років тому +3

    na mm nahamia wazalendo lipumba ulikuwa utumie akili

  • @oblemongi4195
    @oblemongi4195 5 років тому +3

    Hivi Kwa nini vyombo vikubwa vya Habari huwa havichukui Habari hizi ???

  • @KarimMangenya
    @KarimMangenya 5 років тому

    Mzee umefanya maamuzi magumu ila ungeenda CCM ,ungekua umefanya maamuzi mazuri zaidi tunakuhitaji uje

  • @gabbyhenrgy1157
    @gabbyhenrgy1157 5 років тому +5

    Mzee huyu hua ana busara hapendagi ugomvi hovyo ndio maana kaona itoshe maskini.

  • @mountcholo7039
    @mountcholo7039 5 років тому +15

    Na mm nahamia CHAWACO Chama cha wasoma comment cpendagi ujinga mm

  • @mumybhay4984
    @mumybhay4984 5 років тому +1

    CCM OYEEEE..✊. NA BADO UTATAPATAPA SANAAA WW..MWENZIO KESHARUDI CCM ANAKULA KUKU NA BATA KWA MRIJA..SASA WW NENDA UTAKAKO MWANAKWENDA.MFA MAJI UNATAPATAPA WW..HUKUPATA ASUBUHI UTAPATA JUA.LISHATUA..HUNA JIPYA...TUNASUBIRI TUONE ..KIVURUGE TUSHAKUZOEA.

    • @vinehots3114
      @vinehots3114 5 років тому

      Mtoajı nı Mungu
      Alıowapa waliopo ndıo alıo mnyıma yeye mengıne sababu

    • @mzeebaba3632
      @mzeebaba3632 5 років тому

      Huyu mwanamke ni Malaya loooh
      Anatafuta mwanaume wa kumnanihii

    • @namisgiggah1571
      @namisgiggah1571 5 років тому

      Msibishane au kujenga hoja kwa akili fupi Kama yahuyo mwcheni tu nae ajifurahishe😅.
      Maana kama hao wanakula je yeye anakula Nini kinachotoka kwa anaowapigia debe?

  • @jastinesimon3755
    @jastinesimon3755 5 років тому +2

    Ama kwel siasa ni mchezo usio na refaree

  • @sulaymuallyuthumaniy3061
    @sulaymuallyuthumaniy3061 5 років тому +1

    #MAALIM SEIF KUHAMIA ACT# ALUTA CONTINUA NEVER FAIL #LIFE IS GO ON# BEHiND OF THOSE THERE IS.........#

  • @mohdnasser894
    @mohdnasser894 5 років тому +5

    lipumba sasa ataona mambo vile yatageuka

  • @joshuanyonyi8820
    @joshuanyonyi8820 5 років тому +1

    Lipumba kakufukuza usichezee profesa...
    Safi sana Mwenyekiti Lipumba umetimiza majukumu yako....

  • @aliali-is3co
    @aliali-is3co 5 років тому +4

    MAALIM LOOK BEFORE YOU LEAP MAKAO MAKUU YA CHAMA HICHO YATAKUWA WAPI VIONGOZI WOTE NI WA MUDA ITAKUAJE HAWA WANASIASA WA TANGANYIKA MARA HUSEMA WANAREJEA NYUMBANI UNALIJUA HILO

    • @abdallahsuleiman8409
      @abdallahsuleiman8409 5 років тому

      Fact

    • @shakurkimboka4621
      @shakurkimboka4621 5 років тому

      wewe unafikiri halijui hilo? ndio maana kaenda chama kidogo na cyo chadema kwa kuwa anajua ushawishi wake kule ACT utakuwa mkubwa tofauti na chadema.

  • @hamedhamiar3201
    @hamedhamiar3201 5 років тому +2

    lipumba kaz kwako na Tim yako

  • @husseinkitingi8186
    @husseinkitingi8186 5 років тому +2

    siasa mi siielewi

  • @omarynassor6313
    @omarynassor6313 5 років тому +1

    Yap

  • @salemjamal6762
    @salemjamal6762 5 років тому +1

    Ulipo tupo

  • @zainabuahmed5910
    @zainabuahmed5910 5 років тому +3

    Ajue tu akienda na UKAWA wake muda mfupi na humo watamtimua,Chadema ndio walioimaliza CUF,Sasa nyie kalieni tunafuata mtu na sio chama,mtahama mpaka nchi

    • @fatihiayohana6770
      @fatihiayohana6770 5 років тому

      auna akili

    • @zainabuahmed5910
      @zainabuahmed5910 5 років тому

      @@fatihiayohana6770 Jina lenyewe la kizinifu,sikujibu.
      Andika jina lako viziri,FATIHIA ndio jina gani,msituharibie lafidh

  • @rugonderwaga6128
    @rugonderwaga6128 5 років тому +5

    maamuzi mazuri lipumba sio mpinzani

  • @thegirlfromafrica5726
    @thegirlfromafrica5726 5 років тому +2

    Nami mbona naamia ACT

  • @ismailmashimba3470
    @ismailmashimba3470 5 років тому

    Nyinyi anakuzugeni tu huyo kueni na akili Hugo ni nnge anatafuna mbele na nyuma mwanzo alikudanganyeni anaapishwa Leo yamekua hayo?

  • @yussufally8668
    @yussufally8668 5 років тому +7

    Ulipo tupo baba Ict wazalendo

  • @josephrobert6225
    @josephrobert6225 5 років тому

    Tz bado sana siasa badoooooooo saaaaana kabisaaaaaaa.

  • @fahadkhamis1562
    @fahadkhamis1562 5 років тому +2

    Huyu jamaa dah sijui tunfanye nn asipendwe 😡

  • @cheskomwakipesile6436
    @cheskomwakipesile6436 5 років тому +1

    Saf sana baba

  • @ahmadjuma6083
    @ahmadjuma6083 5 років тому +1

    Safi maalimu tutakufuata hukohuko

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 5 років тому

    Mnaulisha watu tuu baadae hamna lolote oh Mara kesho naapishwa siasa mnazifanya Kama ibaada

  • @rashidgontta7264
    @rashidgontta7264 5 років тому

    Shusha dodoma pandisha dodoma safari iendelee hii ndiyo siasa bongo wanauwana wenyewe kisha utasikia ccm hao

  • @georgegerald2098
    @georgegerald2098 5 років тому +4

    CUF ndo inakufa hivyo Lipumba atashangaa.huyu mzee ni tajiri na ana wafuasi wengi sana bara na visiwani!

    • @georgegerald2098
      @georgegerald2098 5 років тому

      historia kitu gani Lipumba wako kigeu geu huyo!

  • @mdungikhamis2096
    @mdungikhamis2096 5 років тому

    Mtawapambanisha wasio akili tu wenye akili hawatopambanishwa kwa sasa sipakuangalia siasa hivi sasa ni mida wa kuangalia amani tu

  • @exaverymchilo5721
    @exaverymchilo5721 5 років тому +1

    Lipumba kwisha habari

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 5 років тому +3

    Ndo kusema upinzani Zanzibar umekufa? Mbona democracy inakufa? Ama kweli Tanzania upinzani bado sana, CCM utaendelea kuwaburuza. Mtapambanaje na democrasia wakati viongozi/wabunge wapinzani wote mnahama hama hovyo??? Inasikitisha sana.
    Pia viongozi wapewe umri wa kustaafu ili vijana wa take over labda watakuja na democracy ya kweli watatulia kutakuwa hamna kuhama hama. Mungu ibariki Tanzania

    • @josej9888
      @josej9888 5 років тому +1

      Nani alikwambia upinzani unakufa?? Upinzani huwa haufi! Kinachokufa nichama tu.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 5 років тому

      J JOSE
      Watu watakuwa na imani gani na vyama vya upinzani tena. Think about it unamchagua mbunge unayeona anafaa kukuwakilisha Bungeni ghafla kahama chama anarudi kule unakotaka kukutoa madarakani unajisikiaje anyway sijui watu huwa wanapiga kura kuchagua viongozi wakiangalia nini. Nafasi yangu nisinge waamini viongozi kama hao lakini ndo hivyo tunatofautiana

  • @Rugemalilatv1994
    @Rugemalilatv1994 5 років тому +2

    Sawa mzee tup pamoja

  • @mainguburemo5947
    @mainguburemo5947 5 років тому +2

    Wote ni wasaka tonge. Hampenyezi na huyo mkongomani wenu Zito

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 5 років тому +1

    Taratibu atahamia ccm

  • @Muba3304
    @Muba3304 5 років тому +4

    Nipo hapa nyuma yako nakufata fata baba angu

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 5 років тому

    MwIsho utarejea CCM chama chako cha mwanzo. Wewe na lipumba .lowasa mbowe nyote CCM washenzi umeshakula mapesa ya michango uliowachangisha CUF .baadae umewakimbia na huko unakwenda kuwachangisha .tapeli sefu mwanga .ccm wanakutumilieni

  • @ramadhanmahongore7277
    @ramadhanmahongore7277 5 років тому +1

    lipumbu na cuf ccm yake kwishaaaaa

  • @samhaule5281
    @samhaule5281 5 років тому

    Kweli Maalim una matatizo Mbona hukwenda Kwa Mboe? Si jamaa yako yule, mlipanga kumuweka Lowasa pamoja. Au Mboe kaku kataa? Haya 2020 utapambana na Lipumba sio CCM tena.

  • @godfreymbwambo4460
    @godfreymbwambo4460 5 років тому +1

    LAANA YA DR. SLAA YA YAKULIKUBALI FISADI LOWASSA INAENDELEA. FISADI LOWASSA NI NGURUWE UKILISAFISA BADO LITARUDI KWENYE MATOPE!!

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 5 років тому

      godfrey mbwambo
      Somehow nakubaliana na wewe

  • @zakiamseka9698
    @zakiamseka9698 5 років тому +1

    Yetu macho

    • @hafsaali4423
      @hafsaali4423 5 років тому

      Nikiangaliya hizi komedi namkumbuka lowasa mzee amekuwa akalee wajukuu tu siasa imemshinda huyu

  • @maulidyussuf5454
    @maulidyussuf5454 5 років тому +3

    kwa Zito kabwe naona kugumu na ww unataka cheo itakuwaje!!!!

    • @moviesseries9923
      @moviesseries9923 5 років тому +2

      Maulid Yussuf zito labwe yeye yupo bara cc tupo Zanzibar

  • @gililwise
    @gililwise 5 років тому +2

    Heri nusu shari kuliko shari kamili umefanya maamuzi mazuri hamna sababu ya kugombana .nenda salama na Mungu akupe hekima ukaijenge demokrasia huko A CT wewe ni jembe .

  • @mdungikhamis2096
    @mdungikhamis2096 5 років тому

    Mfa maji haachi kutapatapa

  • @zainabuahmed5910
    @zainabuahmed5910 5 років тому +2

    Mtaelewa tu mziki wa Lipumba
    ACT mliita CCM B leo CUF mnaita Ccm B,huku nyie wenyewe mkiwa Ccm A.
    Lipumba ni advantage kwake,kwanza hategemei Zanzibar ndio ibebe chama kama akili tope zinavyowatuma

    • @sir.josephmbeya7017
      @sir.josephmbeya7017 5 років тому

      Zainabu Ahmed Lipumbafu ni jingaaa sanaaa

    • @allybeka8401
      @allybeka8401 5 років тому +1

      Zainabu Ahmed zainabu ww ni mshamba alaf mnafik sasa mtu ajiuzulu alaf arudi ten kwa lengo la kukiuwa chma flani kwa tamaa zake tunasem sisi waznzbr muchukue cuf yenu mliounga kwa kuforce lkn seif ni mpambanaji w2 popote alipo 2po na 2020 lipumba mbunge atapata hko huko bara ila sio visiwan boya kuma nyinyi

  • @mattaromar2624
    @mattaromar2624 5 років тому +1

    Kumamamayo zuberi mohammed msenge we

    • @miladagoabdul-waleed8694
      @miladagoabdul-waleed8694 5 років тому

      Bro Msamehe bure, si vyema kutukanana, samahani kama nami nitakuwa nimekukwaza

  • @bagafresh4209
    @bagafresh4209 5 років тому +2

    Ulipo 2po maalim lipumba msalit tena kumamayo lipumba

  • @dullahkubanga6193
    @dullahkubanga6193 5 років тому +1

    😆😆😆😆😆😆mbavuzangu😆😆😆😆

  • @mainguburemo5947
    @mainguburemo5947 5 років тому +2

    Kwa nini usiunde cha kwako unadandia vya wenzako. Umma ulishashindwa.

    • @abdallahsuleiman8409
      @abdallahsuleiman8409 5 років тому

      Kumepigwa marufuku vyama vipya

    • @godisgreat1845
      @godisgreat1845 5 років тому

      ila zito hakumsoma huyo na hisyoria yake asingeli kubali kirahisi zito avae life jacket kabisa maana lazima atamtoa kama kamuuzia chama sawa awaangalie we nzake akina mapalala Hamad rashid walimkaribisha kwa heshima mwisho akawatimua name ajiandae kwa hilo

    • @abdallahsuleiman8409
      @abdallahsuleiman8409 5 років тому +1

      @@godisgreat1845 Nani alikaribishwa Zito anafaida Zaid ujio wa huyo mzee Cz 2020 atapata wabunge Zaid ya 50 ktk bunge so ruzuku itakuwa juu

  • @SIMBAYETUTV
    @SIMBAYETUTV 5 років тому +1

    Hahaha wa zanzibar wote tupo pamoja na wewe maalim baba wa wazanzibar

  • @frankassey5971
    @frankassey5971 5 років тому +3

    Kwann msijiunge chadema mliofanya nao kampeni 2015 siasa ni upuuzi huu

    • @emiliusfrance8286
      @emiliusfrance8286 5 років тому

      Mkuu huu ni mkakati mzuri tu, fikiria vizuri utaona ni faida kwa act na cdm

  • @komboside2660
    @komboside2660 5 років тому +4

    Tuko pamoja baba uendako tuko nyuma yako

  • @MaryamMaryam-hd7es
    @MaryamMaryam-hd7es 5 років тому +1

    Naona zanzibar kumenoga uko 😅

    • @zainabuahmed5910
      @zainabuahmed5910 5 років тому +1

      Huku Mamu hakuna shangwe lolote,zaidi ya walitengenezwa kushangilia,vijikundi tu.
      Zanzibar sio ile ya miaka chini ya 2010,sasa hivi siasa huku hazina mvuto kabisaaa

  • @zubeirmohammedy6871
    @zubeirmohammedy6871 5 років тому

    Hili babu pia halina ishu

  • @awattifduchi233
    @awattifduchi233 5 років тому

    Ule uraisi cjui kuapishwa bhaas tena au😹😹 naulza tu c kwa ubaya😹

    • @harounali1626
      @harounali1626 5 років тому

      Nitajaribu kuku jibu kwa ufupi tu ule mpango wa kuapishwa ndio ume ishia hapo.
      Na zile figisu figisu za Lipumba ilikuwa ni njia moja wapo ya kumkwamisha Maalim Seif na wame fanikiwa.
      Na ile pressure walio kuwa waki ipata kutoka mataifa ya nje nayo haito kuwepo.

  • @samsonkusupa6809
    @samsonkusupa6809 5 років тому +1

    karbuni nyumban mwenzenu lowasa tayari tunakula naye bata ikuru wewe ndio cuf sasa unahama huko unafikiri kuna nn tena 2020 tunawapiga kama tumesimama vile bila gharama yeyeto

    • @raphaelkubona9417
      @raphaelkubona9417 5 років тому

      Unawaza kijima sana

    • @farajihassan5382
      @farajihassan5382 5 років тому +1

      Sasa. Huko. Wazalendo. Katibu. Mkuu. Atakuwa. Nani. Mwenyekiti. Nani. Haya. Mgombea. uraisi. Nani. Sharifu. Anaitaka. Uraisi. Zitto. Yumo. Huko. Wazalendo. Kuna kilimo. Heka moja. Mazao. Mchanganyiko. Hilo shamba. Kutapandwa. Mazao. Yanayo tambaa. Maboga. Matikiti. Maji. Matango. Viyazi vitamu. Nyanya. Njegere. Matembele. Pembeni. Mwa. Shamba. Watazungushia. Michikichi. Na. Mikarafuu. Twende. Tuone. Maendeleo. Ya. Shamba. Kilimo. Cha mababu. (47) jembe. La mkono.

    • @samsonkusupa6809
      @samsonkusupa6809 5 років тому

      Faraji Hassan yaan full mvurugano

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 5 років тому

    Maalimu Seif huko uendako ukumbuke.kusoma.vizuri katiba ya ACT wazalendo. Na usije ukatufia tena kosa ulilolifanya kwa Lipumba alipokuandikia barua ya kung'atuka. Na hiyo sumu ya serkalu ya mkataba uiache hukooooo👉👉

  • @ngomamustafa6549
    @ngomamustafa6549 5 років тому +1

    Simchezo

  • @dossantoschannel1808
    @dossantoschannel1808 5 років тому +1

    mbona hajajiunga na chadema ???

  • @masatumalima5367
    @masatumalima5367 5 років тому

    Hawa wote wanatafuta shibe tu

  • @muharamseleman1976
    @muharamseleman1976 5 років тому +2

    Maalim unapotea nenda ccm umalize kazi ulipokwenda roho mbaya uko

  • @dianasimba6203
    @dianasimba6203 5 років тому +1

    Haya tuone

  • @maubarak9831
    @maubarak9831 5 років тому +2

    na ndio maana muhamad alihama makka akahamia madina baada.yakuona watu kama lipumba

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 5 років тому +1

      Mau tafadhali heshimu dini, usimfananishe Mtukufu wa darja na mambo yenu ya siasa.

    • @miladagoabdul-waleed8694
      @miladagoabdul-waleed8694 5 років тому

      Una mkusudia Mohammad sharti useme Mohammad(s.a.w)

    • @miladagoabdul-waleed8694
      @miladagoabdul-waleed8694 5 років тому

      Na usihusishe dini na siasa zenu zinazo zingumzia demokrasia, upuuzi wa Siasa sisawa na hekma za dini,

  • @ramadhanmahongore7277
    @ramadhanmahongore7277 5 років тому

    lipumba ni ccm b tutaona sasa kama atapata hata mwenyekiti wa mtaa

    • @danielmcharo6252
      @danielmcharo6252 5 років тому

      Cuf imekufa,na ilikuwa na nguvu sana Zanzibar,CCM daima!

  • @abdulazizseifu1733
    @abdulazizseifu1733 5 років тому +1

    Hahaha muosha huoshwa maalim alikuwa bingwa wa kuwaondoa wana cuf