VIFAA MUHIMU JIKONI KWAKO/KITCHEN APPLIANCES YOU NEED

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 16

  • @waltdisney8246
    @waltdisney8246 Рік тому +1

    Nice...keep doing what you've always been doing. You're AMAZING

  • @fraumazula
    @fraumazula Рік тому +1

    Ahsante kwa kipindi kizuri cc,, mm kwakwel nina blenda na jug tu vingine hata sina ila nafanya juu chini mwaka kabla kuisha ninunue😊😊

  • @PinkPetals1
    @PinkPetals1 Рік тому +1

    Nilinunua stand mixer kwa kutamani ku bake zaidi lakini sipati hata mda wa kukitumia. Naendelea kutumia tu hand mixer

  • @nurumwangoka5909
    @nurumwangoka5909 Рік тому +2

    Asante kwa video Ika
    hivi samli huuzwa maduka gan

    • @ikamalle
      @ikamalle  Рік тому

      Supermarkets “ghee” pia kwa wale wanaouza ziungo, wanaweza kua nahizo local

    • @nurumwangoka5909
      @nurumwangoka5909 Рік тому +1

      @@ikamalle sawa Asante

  • @fatu12878
    @fatu12878 Рік тому

    Kabati lako ilo nmelipenda naomba picha tafadhali

  • @dariamama5206
    @dariamama5206 Рік тому

    Mimi natamani kujua bei na kapuni ambayo ni nzuri na ukubwa ambao ni mzuri

  • @consojoseph9165
    @consojoseph9165 Рік тому +2

    Natamani stand mixer ili nichanganye vitu vya kubake na kupondea unga wa chapati au mkate.

  • @Am77-007
    @Am77-007 Рік тому

    Jaribu kuweka English translation kwenye CC ili watu wasiojua Kiswahili waelewe umayofundisha.

  • @scholasticayoram5240
    @scholasticayoram5240 Рік тому

    Asante.ila da ika ck hizi umepunguza video za recipe

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 Рік тому

    Airfyer kwngu muhimu sana in shaa Allah

  • @jamesoscar8911
    @jamesoscar8911 Рік тому +2

    Great content 👍❤️Huna account Instagram??