BILONEA MPYA ATANGAZWA ARUSHA! APATA MAWE YA TANZANITE YENYE THAMANI KUBWA, AELEZA ALISOTA MIAKA 15
Вставка
- Опубліковано 22 січ 2025
- BILONEA MPYA ATANGAZWA ARUSHA! APATA MAWE YA TANZANITE YENYE THAMANI YA BILL 2, AELEZA ALISOTA...
Serikali imemtangaza bilionea mwingine mpya wa madini ya Tanzanite, Anselem Kawishe aliyepata mawe mawili yenye uzito wa kilogram 5.22 na thamani ya sh,bilioni 2.25 ambayo yamenunuliwa na serikali.
Katibu mkuu wizara ya Madini, Adolf Nduguru alimtangaza bilionea huyo katika mji mdogo wa Mererani katika hafla ya kumtambulisha bilionea huyo mpya na kununua madini hayo na kusema kuwa atasaidia kuitangaza Tanzania kimataifa na kufanya sekta ya madini hayo kufahamika zaidi duniani.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...
VIVA TANZANIA 🇹🇿🇹🇿💎🇹🇿🇹🇿
Hongera sana bilionea Kavishe
Hataree
Vijana jazi band
Ndo hayo TU mezani yanathamani ya 2bilion au Kuna mengine....
Mungu tubariki Tz
Gram 1 laki 8
Ba mkubwaaa ,,unanikumbukaa mjomba .!!?? ,,mimi Maiko Kawishe ,,😭😭
Baba, MI mwanao ulinitelekeza nakuja sasa
Usitunyime hazi mkoa wetu madini yametoka manyara na si arusha
Masai land all before
Sasa Wana viongozi wa dini wanafanya nini hapo?
Sasa haya madini kwa ukubwa mbona sawa tu na yale ya bilionea Laizer inakuwaje bei yake iko chini hivyo
Ishu sio ukubwa kaka, iishu ni ubora ambao unaangalia mikato, rangi asilimia ya jiwe linalobaki baada ya kukatwa na kuondoa sehemu zilizopitiwa na nyufa wakati wa blast, so brother kuna mambo mengi yakijiomolojia unaangaalia wakati wa uthaminishaji wa bei za madini ya vito. So Weight is a least determinant of price valuation
Uyo mpare Kuna mengine