MKUU MPYA WA MAJESHI AIBUA JIPYA "TUNAWAPA MIAKA MITATU TUTAWARUDISHA TENA, BADO TUNAWAHITAJI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 134

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 2 роки тому +19

    Tuko salama kwa sababu nchi inalindwa..na Mungu anajalia. Hongereni sana.

  • @roselinemoshi5008
    @roselinemoshi5008 2 роки тому +7

    Mwenye Enzi Mungu akushike mkono na afanye yale aliopanga Mwenye Enzi Mungu tu walahi 🤲🏽

  • @ramsonhudson4013
    @ramsonhudson4013 2 роки тому +36

    Mkubwa kasema nchi ipo salama Mimi ni nani mpaka nibishe?🇹🇿🇹🇿🇹🇿♥️

    • @mwassamwassa7264
      @mwassamwassa7264 2 роки тому +1

      Bwana asipoulinda mji wakeshao wafanya kazi bure

  • @domymerinyo8165
    @domymerinyo8165 2 роки тому +10

    Naomba mh Rais awawezeshe zaidi kwenye technologies ya kisasa kusoma na kutengeneza vifaa vyetu

  • @nyamtigaibrahim530
    @nyamtigaibrahim530 2 роки тому +7

    Ila Mabeyo Anaondoka Lakini Ana Maumivu Makubwa Sana Katika Moyo Wake

    • @shubebunyesi542
      @shubebunyesi542 2 роки тому

      Maumivu ya nn sasa yeye anashukuru coz kazi ya kulinda nchi iwe salama usingizi haupatikani muda mwingi anakua mbali na familia ndugu jamaa na marafiki mi nafikili anastahili kupumzika

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 2 роки тому +6

    Jeshi lipo imara jeshi limetulia.hongera wanajeshi wa nchi yetu.

  • @rubensaitoti6839
    @rubensaitoti6839 2 роки тому +7

    Mungu awalinde Mungu ailinde Tanzania 🇹🇿 yetu

  • @hoseaseif2720
    @hoseaseif2720 2 роки тому

    Hongera cdf Mabeo puumzika kwaamani unapotoka umefanyakazi nzuri KAZI tumeyaona hongerasana

  • @annavicter4326
    @annavicter4326 2 роки тому +12

    Ongera sana kamanda tunaomba mungu ifike iyo miaka umtoe idiamini p2 🙏🙏🙏ongereni sana mnajituma sana mungu awape nguvu

    • @filibetamahindi3021
      @filibetamahindi3021 2 роки тому

      Xhuyu mngoni

    • @zulfaissa7814
      @zulfaissa7814 2 роки тому +1

      Niweli Aman ilarohon hatuna aman kulingana naugum waimaisha ukiangalia bidhaa zimapanda bei haijawahi kutokea

  • @allythabitmakonda6676
    @allythabitmakonda6676 2 роки тому +6

    "Si mnaona nchi ilivyotulia hii ni kwa sababu jeshi liko imara"
    -----
    General Mkunda

  • @kulwankuba2785
    @kulwankuba2785 2 роки тому

    Mungu awabaliki Sana lakini pale uhasibu,huwa nacheka Sana makondakta wa daladala wanavojisahau na kushusha abiria katika lango kuu la jeshi.ila wengi Kwa Sasa wameshajua kumbe si sehemu ya kushushia abiria.inamaana wamejifunza Atari.

  • @shadrackdeogratius6760
    @shadrackdeogratius6760 2 роки тому +33

    Nchi imetulia ila watu hawana amani mioyoni mwao, tupo salama kwa nje ila kwa ndaani tunakufa invisible

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ 2 роки тому +3

      Sio Tanzania tu sasa ni issue ya Kidunia, Marekani walala nje kibao, Uingereza, Australia, Canada homeless kibao maisha yako juu wengine hufikia hadi kujiua, ni issue ya Dunia Nzima kuna sehem tunakosea, South Africa watu sasa wanauana wenyewe kwa wenyewe, wapi hakuna changamoto?

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 2 роки тому +4

      @@ndukulusudikucho_ Acha ujinga...kwa hiyo tuige!!!

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 2 роки тому

      Amani huna wewe na baadhi ya mahasidi wenzako ila wengi wa Tanzania tuna amani kila mahali swala la maisha ni mioangao ya Allah wewe unateseka na Uongozi wa Mh.Mama Samia na Jeshi linamkubali 100% Amiri Jeshi Mkuu wao Samia Suluhu Hassan.

    • @shadrackdeogratius6760
      @shadrackdeogratius6760 2 роки тому +5

      @@abuumuhammad7133 Temea chini usitemee juu yatakuludiaaa, na kwa fikra fupi uliyo nayo hujui kujenga hoja inaonesha unafuata mkumbo tu,

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 2 роки тому +1

      @@shadrackdeogratius6760 wewe ndio unateseka na uongozi wa Mama Samia tena nakupa pole sana utaumia na kinacho kutesa ni imani ya kiongozi aliekuwa madarakani wakati watu wameshatoka huko wanaangalia uongizi bora kama alivyo Mh. Rais Samia Suluhi Hassan Ni Rais bora kabisa kabisa na mfano wake katika bara la Africa.

  • @吕东来
    @吕东来 2 роки тому +3

    Bless Tanzania, love from China

  • @lirastanley390
    @lirastanley390 2 роки тому

    Hahahaha hongera sana general JJK ,,,jeshini hakuna ugeni (quoted)

  • @barikilaizer5574
    @barikilaizer5574 2 роки тому +4

    Kweli kabisa imara kama Simba hamna mchezo hongera Sana mkuu

  • @jimmymbella997
    @jimmymbella997 2 роки тому +1

    Hongera sana CDF mkunda💪

  • @hadithizetu7319
    @hadithizetu7319 2 роки тому +2

    Jipya mmeibua nyinyi, huo ni utaratibu wa kawaida jeshini na hata fani mbalimbali msaafu anaweza kuitwa kukwenda kusaidia

  • @trig5623
    @trig5623 2 роки тому

    Nchi imetulia wapi wamasai wanavamiwa na wasomali huko na waethiopia mnasema nchi imetulia..... watanzania tuache unafiki tuwe wakweli...

  • @erickwilliam6610
    @erickwilliam6610 2 роки тому +2

    Me kama mtanzania mzalendo vp kuhusu mslahi ya nchi naombeni kama mnawe tengenezeni taifa moja so ya walionayo na ya wasionayo tunateseka Sana maskini jesh mna nguvu tumieni basi kuwasaidia wanyonge hakika tunateseka

  • @samwelkalulu1758
    @samwelkalulu1758 2 роки тому

    CDF Mungu akubaliki na Mungu ibaliki Tanzania, amen.

  • @aminaibrahim4148
    @aminaibrahim4148 2 роки тому

    Bless Tanzania. Love from Dubai🇦🇪

  • @aminahassan561
    @aminahassan561 2 роки тому +12

    Hakuna lolote hapo haijatulia hii nchi imetulia hamna kitu wewe unaona imetulia sema watanganyika ni wavumilivu sana

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ 2 роки тому

      Tanganyika +Azania=Tanzania, sorry ni Watanzania sio Watanganyika, ingia Google uliza neno Azania kwa Tanzania ni Nini? Ndio ujue huo Mkoa tu na haupo kwenye neno la Tanzania 🇹🇿

    • @tumainikomba9008
      @tumainikomba9008 2 роки тому

      Uko sahihi hakika

  • @wilbertsanze285
    @wilbertsanze285 2 роки тому +1

    Tunakuombea afya njema hakika iddi amin umtoe hakika hatuna amani ndani ya mioyo yetu ktk taifa letu

  • @ArsihubKimonje
    @ArsihubKimonje 7 днів тому

    Mkuu wa jeshi hatakiw aweanazungumza marakwamara navyombo vya habar kwa Kuna msemaj hivyo jeshi litashuka hadj yke

  • @MargeGodfrey-wc4rl
    @MargeGodfrey-wc4rl Рік тому

    Hongera

  • @catherinemathayobajuta8893
    @catherinemathayobajuta8893 2 роки тому

    Amen hiyo nimeipenda Sana

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 2 роки тому +2

    Kwa hiyo bado wanaendelea kupokea Kodi zetu, kama mishahara Yao sindiyo?😭

    • @nickalreadyknows
      @nickalreadyknows 2 роки тому

      Mmh kwan ulitala wasilipww

    • @graysonpastory1918
      @graysonpastory1918 2 роки тому

      Usilo lijua ni kama usiku wa giza, kaa kimya sio lazima uongee kama hujui lolote

  • @jokhamakame2820
    @jokhamakame2820 2 роки тому

    Mh machoyangu amaa nimeanza kusahau apo nyuma ya general mbona namuona miongoni mwawalinzi wa marehemu magufuli amaa 🙄

  • @wilbertjosephat1118
    @wilbertjosephat1118 2 роки тому +5

    Tatizo la CDF anaonekana ana chembechembe zaki siasa sana hata ongea yake anaongea kichawa nasio kiuongozi

  • @ramadhanimtetu7246
    @ramadhanimtetu7246 2 роки тому +3

    nalipenda sana Jeshi letu JWZT

  • @hamisimatola7106
    @hamisimatola7106 2 роки тому +1

    Tunakutegemea sana lla hapo Angekuwepo baba yetu magufuri

  • @PhilibetLadislaus
    @PhilibetLadislaus 9 місяців тому

    Kuibiwa kwa rasilimali zetu na mikataba ya hovyo nayo inasubili miaka mitatu.

  • @utamutv_
    @utamutv_ Рік тому

    Naomba no zenu plz

  • @FredrickProsper-c2s
    @FredrickProsper-c2s 6 днів тому

    Wakirudi wazee baada ya miaka 3 je sisi vijana tutapata kazi hapo

  • @fadhilimanoni3828
    @fadhilimanoni3828 2 роки тому +3

    Salute

  • @bhtmtk3313
    @bhtmtk3313 2 роки тому +2

    Hongeren kwa kula nchi na msisifu et nchi imetulia kuna aman watanzania wanaish kwashda mioyo yao inateseka wachache ndo mnaiona aman ila mtaan hakuna amani huwez kujsfu kuna aman kwenye nch maskn ilyotawala rushwa wanapeana madaraka na vyeo

    • @mkubwasolo1874
      @mkubwasolo1874 2 роки тому

      Amani nn!?

    • @jambo3751
      @jambo3751 2 роки тому +2

      Nenda UKRAINE kama unaona TANZANIA hakuna amani.

  • @eunicepamagila1353
    @eunicepamagila1353 2 роки тому

    Wiseman rasin

  • @kennywilliam2466
    @kennywilliam2466 2 роки тому

    Hiyo Sera ya ulinzi na amani tangu mwl.nyerere alipo mpiga nduli amin na kutangaza Uhuru bila shaka tulipata Uhuru na salama.Shida kubwa ya Tanzania ya leo sio kuimarisha jeshi imarisheni HAKI na hiyo ndio KIU YA WATANZANIA sio KULETEWA MIJEGEJE KUTOKA NJE

  • @everever2807
    @everever2807 2 роки тому +1

    Nawanao uana.ovyo wanaishi nchi Gani

  • @rogeZ928
    @rogeZ928 2 роки тому +1

    Sasa hao na masuti yao me usi wanafanya nini hapo

  • @maalimjaffar5563
    @maalimjaffar5563 2 роки тому +1

    Mkuu unachekesha kweli,,,hamjawahi kushindwa au hamjawahi kuingia vitani na wanaume wa kweli???

  • @MedronundersonMkuyu
    @MedronundersonMkuyu 8 днів тому

    One day

  • @addymsola4625
    @addymsola4625 2 роки тому +1

    Nawapenda sana mgambo

  • @suzypaul4559
    @suzypaul4559 2 роки тому

    Kazi kazin

  • @mamalamama7010
    @mamalamama7010 2 роки тому +2

    Nchi imetulia lkn watanzania kila siku wanauwawa kama nyoka

    • @sakibuabdul7318
      @sakibuabdul7318 2 роки тому

      Hiyo sio kaz ya mkuu wa majeshi, kila mmoja atafanya kazi kwa mipaka yake

  • @yaatujbkabunda403
    @yaatujbkabunda403 2 роки тому +1

    Nchi imetulia huku wananchi wanalia aaaas?kwalipi

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 2 роки тому

    Nawakubali sana majeneral wote mpka wa Sasa gen mkunda ,Tanzania yetu itakwea sana kimataifa

  • @abubakariali9848
    @abubakariali9848 2 роки тому

    Kwa Rahisi tulienae 😄

  • @shemelaruhinda6113
    @shemelaruhinda6113 2 роки тому +1

    Hadi raha

  • @stevegeraldcc6063
    @stevegeraldcc6063 2 роки тому

    I know you lern from your teacher properly still keep bad men far from your distance,let God drive you as well as MILITARY GENERAL ,&FULL MESS IN ORDER

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 2 роки тому +1

    Safi general

  • @josephmalik7780
    @josephmalik7780 2 роки тому +3

    Pongezi mkuu💥💥💥 uliona na hii 👇👇👇
    ua-cam.com/video/KgvKJ0gI_Js/v-deo.html

  • @bukuruphilibert8658
    @bukuruphilibert8658 2 роки тому

    Big up boss

  • @rezembuses5739
    @rezembuses5739 2 роки тому

    Hatuna cha kukupa shujaa mabeo.

  • @athumanimatitu9274
    @athumanimatitu9274 2 роки тому

    Be that

  • @ellyitete938
    @ellyitete938 2 роки тому +1

    Kwahiyo umri wa nanik ni mdgo

  • @kingevarist6653
    @kingevarist6653 2 роки тому

    Miaka mitatu ikifika wanalud kufanya kama ya idiamini

  • @dintazdintaz7311
    @dintazdintaz7311 2 роки тому

    Ila huyu cdf ni nyororo hajakaza sura kama mabeyo

  • @jamesjohn3973
    @jamesjohn3973 2 роки тому

    Saf kamanda,..

  • @barakakings
    @barakakings 2 роки тому

    viva jwtz viva tpdf

  • @jacksonmars7894
    @jacksonmars7894 2 роки тому

    Nchi haipo salama hii

  • @sadickpius4212
    @sadickpius4212 2 роки тому

    Mirlad

  • @raymondsanga4108
    @raymondsanga4108 2 роки тому +1

    Hyu jamaa havutii kabisa kuwa mku u wamsjesh kwa sisi wa siologia

    • @miltonmachage2462
      @miltonmachage2462 2 роки тому

      Ww mpumbavu nn?siologia itakusaidia ww sio yy alf mnaongeaga tu ukiweka mtu Kati unaanza kulia lia

    • @raymondsanga4108
      @raymondsanga4108 2 роки тому

      @@miltonmachage2462 huo ujasiri wa kumuita Mtu mpambavu umeuchukua wapi ndgu yangu

    • @hassanmpangachuma2715
      @hassanmpangachuma2715 2 роки тому

      Waliomchagua ndiyo wanajua umuhimu wake. Mengineyo tuwaachie wenyewe

    • @johnkiimbila6799
      @johnkiimbila6799 2 роки тому

      Avutie kwani mwanamke?

  • @jumaahmadkebero3
    @jumaahmadkebero3 2 роки тому

    Magufuli

  • @msetikebwasi3264
    @msetikebwasi3264 2 роки тому +1

    Tunataka vijana.

    • @johnkiimbila6799
      @johnkiimbila6799 2 роки тому +1

      Vijana hawaaminiki.

    • @msetikebwasi3264
      @msetikebwasi3264 2 роки тому +1

      @@johnkiimbila6799 tunaaminika sana tu.

    • @johnkiimbila6799
      @johnkiimbila6799 2 роки тому

      @@msetikebwasi3264 vijana bado wana ulimbukeni.

    • @johnkiimbila6799
      @johnkiimbila6799 2 роки тому

      @@msetikebwasi3264 vijana bado wana ulimbukeni.

    • @msetikebwasi3264
      @msetikebwasi3264 2 роки тому +1

      @@johnkiimbila6799 si kweli,mbona wanaongoza familia zao vizuri tu,na kule ulaya na marekani hao vijana ndo masenetor,mf.senetor wa mji wa minisota huko USA ni chini ya miaka 40.

  • @beckasalum2620
    @beckasalum2620 2 роки тому

    Hapa tumelamba dume

  • @Evarlex_Officiel
    @Evarlex_Officiel 2 роки тому

    😂😂😂diamond platnumz la changaa sana baada yaku fika huko ebu jionee yalio mkuta simba 😂😂👇👇😂👇😂👇
    ua-cam.com/video/kBdkjbF2K_4/v-deo.html

  • @emmanueldotto9358
    @emmanueldotto9358 2 роки тому

    Huu

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 роки тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌️.

  • @adamuluoga6541
    @adamuluoga6541 2 роки тому

    J

  • @whitelove_og369
    @whitelove_og369 2 роки тому +1

    #UKIAMBIWA MIAKA MI 3 ELEWA AU JIFUNZE KITU HAPA GUSA HAPAua-cam.com/video/XDQlaMEen-g/v-deo.html