JAY MELODY ; NILIACHA KAZI YANGU NIKAFANYA KAZI YA DIAMOND | JOH MAKINI AMEACHA KUNISAPOTI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 38

  • @sadamalfany1933
    @sadamalfany1933 8 місяців тому +9

    Nakubali sana Jay na kwenye album hii nyimbo yangu pendwa ni 18… from Msumbiji🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @kadito-music
    @kadito-music 8 місяців тому +16

    Nipeni maua ya jay melody kwa njia ya likes

  • @lucykristensen7145
    @lucykristensen7145 8 місяців тому +4

    He makes very good relaxing music for all ages. Mtunzi mzuri sana. Ana kipaji kikubwa sana. Pls read our coments. We love and support you. ❤

  • @SamuBosco-vm5uc
    @SamuBosco-vm5uc 8 місяців тому +5

    Nakukubali sana jay melody 🇺🇬🇺🇬🇺🇬

  • @raphaelMwarigha
    @raphaelMwarigha 8 місяців тому +2

    Na mkubali sana Jay melody baridi to the world 🎉🎉🎉

  • @pizzohb4531
    @pizzohb4531 8 місяців тому +7

    254 Nimewakilisha...kama wakwanza vile

  • @NdayisabaValens-gh7kb
    @NdayisabaValens-gh7kb 8 місяців тому +7

    mimi naita jay mr baridi sababu anapenda kuimba baridi katika nyimbo zake nyingi,mfano:baridi,nakupenda,sielewi,...

    • @GladysMarina-k4v
      @GladysMarina-k4v 2 місяці тому

      "Tamu pipi ya kijiti (ah-han)
      Ukilamba unacheka
      Na kibaridi hiki.." 😂

  • @Aloysmalon
    @Aloysmalon 8 місяців тому +5

    Is mazing answers

  • @bathokriss161
    @bathokriss161 8 місяців тому +2

    Jamaa Ana jua sana

  • @MalkoSeverin
    @MalkoSeverin 8 місяців тому +5

    Bro waambie wimbo wa 18 ni kwa jili ya watoto wa 2000 mashangazi waachie wimbo wao

  • @Kidimoja
    @Kidimoja 8 місяців тому +4

    Tamu sana😊😊😊

  • @stivinshedrack7841
    @stivinshedrack7841 8 місяців тому +3

    Jay melody is fire

  • @mosesthuranira6553
    @mosesthuranira6553 8 місяців тому +2

    Jay yupo juuu miaka mia nane

  • @KewaAsukulu
    @KewaAsukulu 7 місяців тому +1

    Jay Melody Apewe Mauwa Yake

  • @PrincessQueen254
    @PrincessQueen254 7 місяців тому

    Mwambi jay melody nampenda sana ,I love him so much help me to get him guys please 🙏🙏🙏😓

  • @ronnamax238
    @ronnamax238 8 місяців тому +1

    Msafiii nimmoja 🎉

  • @SaidiDanieli
    @SaidiDanieli 6 місяців тому

    Jey ana maamuzi ya kiume ww endelea kutupa ngoma kali

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 8 місяців тому +1

    Nyimbo za jay melody wengine wanapatia ujauzito 😂😂

  • @clementpeter8280
    @clementpeter8280 8 місяців тому +1

    Uyooo jmaaa kaziguwa ana ingiajee gaflaaa hivyoooo😢

  • @igaah_tz
    @igaah_tz 8 місяців тому +1

    Nyamaa aihusiani na nywelee

  • @Theman-dn8vo
    @Theman-dn8vo 8 місяців тому +1

    Boresheni studio zenu bhana ea radio ni gan hapo

  • @zaheedkhamic9448
    @zaheedkhamic9448 7 місяців тому

    Kabisa kaka ng0ma ni kaliiii

  • @Officialjidaa-sn9cs
    @Officialjidaa-sn9cs 5 місяців тому

    Huyo mtangazaji anaitwa nani???
    Ana fanya kaz nzuri sana uyo dogo

  • @chaliblue-ji6et
    @chaliblue-ji6et 7 місяців тому

    ninaweza kuimba kama jay melody

  • @freddybaziraomari
    @freddybaziraomari 8 місяців тому +3

    eti 😂😂wadudu walikasirekaa

  • @KassimuMsabaha-v3q
    @KassimuMsabaha-v3q 8 місяців тому +4

    Jejeje jeje

  • @ibrabobu5217
    @ibrabobu5217 7 місяців тому

    kitendo Cha kumuona tyu jini nimefurahi sana

  • @mwandishimussa6319
    @mwandishimussa6319 8 місяців тому +1

    Hii album imekua yakawaida saana

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 8 місяців тому +2

    Jay we fundi lakini kwa konde ungusi.kaa mbali na mondi atakuchukua nyota na kashaanza kuwa makini