#live

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 56

  • @sallyeliya5213
    @sallyeliya5213 2 місяці тому +8

    Unajua uchambuzi wa ball,uko vzr🎉🎉🎉🎉🎉

  • @vincentdaud9954
    @vincentdaud9954 2 місяці тому +9

    Huyu jamaa anajua sana

  • @MustaphaBakiri-d8l
    @MustaphaBakiri-d8l 2 місяці тому +1

    Aisee ambokile upo vizr sana

  • @kabujeasukile5462
    @kabujeasukile5462 2 місяці тому

    Uko vizuri kaka

  • @bakarimbatukebakarimbatuke49
    @bakarimbatukebakarimbatuke49 2 місяці тому +5

    Nimekubari ambokile

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 2 місяці тому +4

    Etii jamani wachambuzi wengine maandazi we uko vizuri

  • @bahatichikoko6362
    @bahatichikoko6362 2 місяці тому

    Asante sana Ambukile wewe ni mchambuzi wa kweli Yani unaijua mpira kweli.

  • @joshualukas2123
    @joshualukas2123 2 місяці тому +6

    Saf sana mchambuz ww unaelimisha vzr sana

  • @benjaminnelson4834
    @benjaminnelson4834 2 місяці тому

    Tatizo ambokile anachambua kishabiki sanaanaipenda sana yanga mbona alifungwa na Hiefu na akifungwa

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 2 місяці тому +4

    Safi sana mchambuzi hakika unaongea ukweli ukweli mtupu ila inawauma hao hawajui

  • @VLADDYNDANZI
    @VLADDYNDANZI 2 місяці тому +5

    Ni mchambuzi sahihi

  • @simonIbrahim-hc8vm
    @simonIbrahim-hc8vm 2 місяці тому

    Huna baya Kaka Ambokile ❤❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🪑

  • @maxmillianmarwa5943
    @maxmillianmarwa5943 2 місяці тому

    Uko ok,

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 2 місяці тому +3

    Tatizo la waTz hawajui maana ya ubunifu na hiyo jezi kimataifa itaenda zaidi kuliko ndani ya Tz.
    Kinachotaarishwa na Yanga SC ndugu zangu kikikaa sawa kuna watu hawataleta team.

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 2 місяці тому +7

    Mbona Tp mazembe walikuja kujifunza Kwa Yanga

    • @PaulSengo
      @PaulSengo 2 місяці тому

      Unacho taka kukisema ni nn

  • @meckcassius3983
    @meckcassius3983 2 місяці тому +3

    Wa kwanza like zangu 🎉🎉

  • @geofreyanania1108
    @geofreyanania1108 2 місяці тому +1

    Makolo zingatieni sana icho alisema mwamba hapo mwisho

  • @nassorsharifu9837
    @nassorsharifu9837 2 місяці тому

    kweli kabisa kama yanga walivyomuondoa fei namba sita wakampeleka kumi

  • @haidarykufakunoga8869
    @haidarykufakunoga8869 2 місяці тому

    Samahani sana AMBOKILE " WEWE NI MNYAKYUSA AU MGOSI( WA TANGA) AMBOKILE ( WANYAKYUSA) ILA LAFUDHI YA KIDIGO( TANGA) SINA BAYA🙏🙏🙏

  • @omarisungura-7294
    @omarisungura-7294 2 місяці тому

    Ukovizuli sana

  • @MsuyaMgeta
    @MsuyaMgeta 2 місяці тому +2

    We nae hauna point kwa upandw wa jezi

  • @nurdinmfamau3493
    @nurdinmfamau3493 2 місяці тому +3

    Mfichaficha Maradhi Kilio Kitamfichua. Kitamuumbua

  • @MeckMsea-cx1ct
    @MeckMsea-cx1ct 2 місяці тому +3

    Ww mbona unasifia san yanga

  • @bernardmboma1461
    @bernardmboma1461 2 місяці тому +2

    Huyu nae hana lolote yanga damu

  • @nabiljumaothman5912
    @nabiljumaothman5912 2 місяці тому +4

    We mwandishi acha kumkata mtu akiongea kiherehere

  • @omarisungura-7294
    @omarisungura-7294 2 місяці тому

    Ukovizu sana

  • @ahmedburhan5104
    @ahmedburhan5104 2 місяці тому +4

    Ambagile upo sahihi wanaokuchukia acha wakuchukie ila ongea ukwel kaka

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 2 місяці тому

    Tena ni kuongezee point nyingine ---- kocha wa madunduka,analalamika akiwa anacheza mechi na timu dhaifu,tena game zisizo na presha --- sijui itakuwaje atakapokutana na vipimo vya uhakika ---- Yanga ni MNRI --- kipimo kitakacho onyesha magonjwa yote ya madunduka tar 08/08 " Fadlu Devis,christmas hafiki "

  • @AyoubaSaleh
    @AyoubaSaleh 2 місяці тому +2

    Ambukile usiwaume jamaa wako hali mbaya

  • @reginahechei1978
    @reginahechei1978 2 місяці тому +4

    Kocha hataki asomwe mbinu zake mmusubiri uwanjani
    Si kazi yenu kumpangia mazoezi yake acheni afanye mazoezi sisi tumgonjee kuanzia 3/8/2024

    • @JELSONMAUKI
      @JELSONMAUKI 2 місяці тому +1

      😅😅😅 haya husije kulaumu ww 😅😅😅

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 2 місяці тому

      Sa anaogopa nn mwisho wa siku atacheza uwanjani kila mtu ataona au mechi zake zote zitakuwa in door😂😂 aache woga inacheza miguu sio macho ya watu

    • @abedymtore2707
      @abedymtore2707 2 місяці тому

      Wacha leag ianze af kitaereweka jaman

    • @DullahIweni
      @DullahIweni 2 місяці тому

      Mpira hauchezwi chumbani we kolo

  • @SmilingAirplaneWindow-vl6yk
    @SmilingAirplaneWindow-vl6yk 2 місяці тому

    Tabia ya mtu masikini akipata ni shida

  • @rajabumwarabu9092
    @rajabumwarabu9092 2 місяці тому

    Simba walikuwa na wachezaji wenye ubora mkubwa lakini walikuwa wasaliti ndio walio igharimu

  • @MeckMsea-cx1ct
    @MeckMsea-cx1ct 2 місяці тому +2

    Ww ambokile weka hakiba ya maneno

    • @JohnB-ws3ib
      @JohnB-ws3ib 2 місяці тому +1

      unamakamasi kwenye ubungo wewe kuwa kocha bas

    • @amaniomar1755
      @amaniomar1755 2 місяці тому

      Huyu bwana yuko kwenye uhalisia hajalemea upande mmoja

    • @gersonsakalani2069
      @gersonsakalani2069 2 місяці тому +1

      Sema akiba siyo hakiba

  • @FodiGereji01
    @FodiGereji01 2 місяці тому

    Uyo mchambuzi yanga hakuna kibaya bora ungemwambia achambue mambo ya yanga tuu

  • @gabrielmchau8764
    @gabrielmchau8764 2 місяці тому

    Tanzania mchambuzi akiwa mkweli atalaumiwa ushabiki.

  • @derrickgreevin3299
    @derrickgreevin3299 2 місяці тому

    Hakuna lolote huyu ni Yanga anapingana na vision ya simba hawa wachambuzi kuweni nao makini sana

  • @DENISTMwangomo
    @DENISTMwangomo 2 місяці тому

    Wewe Ambokile unaposema hawa wachezaji ni wazuriila siyo bora umewaona wapi? Simba imesajili na bado hatujaiona. Tusubiri tuione mechi zaidi ya 5 then tutaweza kusema. Siku hizi mtu akiweza kupiga kelele tu basini mchambuzi. Tulieni kwanza then tutaona kilichopo

  • @mustafaluziga5196
    @mustafaluziga5196 2 місяці тому

    Anaongea kishabiki hajiu mpira wachezaji wapya yy kawaona wapi

  • @thobiasmwambeta6990
    @thobiasmwambeta6990 2 місяці тому

    WEWE UNAZUNGUKA KUWA HUNA UPANDE UNAJIONYESHA KABISA KUWA WEWE NI YANGA, WEWE NA MCHOMA SAWA SAWA UNAONGEA YANGA KABISAAA,
    SIMBA HUJAIONA ALAFU UNAPANGA MSIMU WA WEEKI IJAYO KISHABIKI

  • @godfreymuroba7973
    @godfreymuroba7973 2 місяці тому

    huyo mchambuzi ni mshabiki wa yanga mchambuzi anayejielewa hawezi kutabiri matokeo ya ligi kabla match hazijachezwa

  • @thobiasmwambeta6990
    @thobiasmwambeta6990 2 місяці тому

    MCHAMBUZI SAHIHI AEGEMEI UPANDE ALAFU UKITAKA KUJUA NI YANGA ANASAEME HANA UPANDE NI MUONGO KUNA WACHAMBUZI HAPA TUNAWAJUA NA WAMETAJA TIMU ZAO LAKINI WAKICHAMBUA MPIRA UNATAMAA I WASIMALIZE KIPINDI LAKINI HUYU YEYE KILA SIKU TIMU YAKE NI NZURI ,USITULETEE SIASA KWENYE MOIRA

  • @faustinemsanguli1055
    @faustinemsanguli1055 2 місяці тому +1

    Hakuna mchambuz àpa huyo ni mnaz tu wa vyura wachezaj wa simba umewaona wap

    • @Stewart-l6t
      @Stewart-l6t 2 місяці тому

      Ss unazi wake upo wapi?