Mpenja & Mzinga Waongelea Dabi ya Kariakoo I Mpenja Anahabati na Simba na Mzinga Anabahati na Yanga?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 89

  • @ElizaYanga
    @ElizaYanga 6 місяців тому +14

    Yanga na club africain hii mechi sitakaa nihisau jmn Gharibu Mungu akubariki sana mdg wng

    • @LUKASNGOMBANIZA
      @LUKASNGOMBANIZA 2 місяці тому

      Huo ni utoto ifike mahala tukaheshim kazi zawatu. Performance nzuri yatimu inaletwa najuhudi zawachezaji wenyewe kutokana namaelezo yamazoezini kupitia walim wao.

  • @WinnieMbotwa
    @WinnieMbotwa 6 місяців тому +6

    Mi mwana yanga nakupenda mpenja unavyo tangaza

  • @johnleonard3738
    @johnleonard3738 6 місяців тому +7

    Kaka mm mwanauyanga Mpenja tangaza unajua sana sauti yako safi sana

  • @Jean-marieNiyonzima-f3e
    @Jean-marieNiyonzima-f3e Місяць тому

    mpenja hongera sana unaweza sana🎉

  • @lameckkategile8657
    @lameckkategile8657 6 місяців тому +5

    Piga kazi Baraka mpenja

  • @shukurumgaya5950
    @shukurumgaya5950 6 місяців тому +3

    Wote mko vizuri

  • @ElishaMbagwa
    @ElishaMbagwa 5 місяців тому

    Sema wew galib mim nakupenda wew unatangaza kama muchambuz

  • @MaendeleoMohammed
    @MaendeleoMohammed 6 місяців тому +3

    Mpenja hao washamba nakukubali sana yoyote akifungwa toa udambwi udambwi haijalishi timu yangu

  • @UNCLEWHONCHING
    @UNCLEWHONCHING 6 місяців тому +1

    Dada uko sawa

  • @willeyclever8591
    @willeyclever8591 6 місяців тому +1

    Full interview bs plz!!!!

  • @princemesha9611
    @princemesha9611 6 місяців тому +4

    Hakuna Kama mpenja Tanzania hii mpenja no one.

  • @michaelmkoma
    @michaelmkoma 6 місяців тому +6

    Mwamba wa umalima na kilwa finest wote nawakubali from all the way back. Hapa ndo tutaona Nan anaupepo baina ya hizi mechi

  • @davismwape7500
    @davismwape7500 6 місяців тому +2

    My self nimefurahi kumuona peter na Jon champion katika truck moja

  • @ChristopherCharles-ft4wk
    @ChristopherCharles-ft4wk 6 місяців тому

    Kak mim ni shambiki wa yanga ira unapo tangaza mchi ya Simba na yang mim Huwa nainjoi sn mngu akupe maisha maref

  • @anastahiliutawala3879
    @anastahiliutawala3879 6 місяців тому +4

    Kwani watangazaji ndo wanafunga, Atangaze mzinga au Mpenja wachezaji wakicheza mpira wanafunga

  • @abdulhamis9825
    @abdulhamis9825 6 місяців тому +4

    Mpenja Ni Mtu Wa Maana Kabsa

  • @jameschali6023
    @jameschali6023 6 місяців тому +2

    Siamini kama mna studio mbaya hivyo😂😂😂😂😂😂

  • @SalimMohammed-dg3kt
    @SalimMohammed-dg3kt 6 місяців тому

    Mpenja awo wanapenda kuj proud waxhambasan yangahawo

  • @vailethmsigwa1987
    @vailethmsigwa1987 6 місяців тому +1

    Mimi nawakubali sana watu wangu wa nguvu

  • @nipashekambwili7289
    @nipashekambwili7289 6 місяців тому

    Mzinga ni Bora sana kwa dabi

  • @zakariaandrew1314
    @zakariaandrew1314 6 місяців тому

    Wote nawapendaa Mungu wa mbinguni awaongeze cku. Kwakooo James Samweli

  • @OmmiBanda
    @OmmiBanda 6 місяців тому +2

    Mwambiy mpenj ajianday kumpa jina gued akifung jumamos

  • @RashidAdamu-k3u
    @RashidAdamu-k3u 2 місяці тому

    mzinga anasaut mzur sana ya kutangaza

  • @josephmwise3177
    @josephmwise3177 6 місяців тому +1

    Sauti ya radi hiyo ni ya mtu mmoja.

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 6 місяців тому +1

    Safi sana mie napenda hiyo nyie muwe nyote itakuwa ni bul bul

  • @KelvinKassian-yd7vi
    @KelvinKassian-yd7vi 4 місяці тому

    Kwel kaka

  • @AndrewMbwilo
    @AndrewMbwilo 6 місяців тому +2

    Issue uyu jamaa ni simba

  • @JoakimBayyo
    @JoakimBayyo 6 місяців тому

    Mprnja kupamba mechi unaweza

  • @Asamtz360
    @Asamtz360 6 місяців тому

    Anayechukua video hapo studio anatumia simu ya infinix hot 8 dadek

  • @RichardJonathan-on4ql
    @RichardJonathan-on4ql 6 місяців тому +1

    Mpenja uko p sana

  • @EliaEligius
    @EliaEligius 6 місяців тому +1

    Hapo sio upepo ni dhana ya usimba na uyanga mpenja anasadikika ni simba kindakindaki

  • @MOHAMEDKasheshela
    @MOHAMEDKasheshela 6 місяців тому

    Mzinga ndio tunamtaka leo ndan ya yanga na Simba kariakoo dabi

  • @josephmwanda5901
    @josephmwanda5901 6 місяців тому

    Hahahaha kaka umejibu vzur

  • @SaiddyHusein
    @SaiddyHusein 6 місяців тому +2

    Mpenja atangaze

  • @johneeybathromeo1068
    @johneeybathromeo1068 6 місяців тому

    Hakuna kama mpenja watasema sana hakuna wakumkaribia hata robo

  • @kabujeasukile5462
    @kabujeasukile5462 6 місяців тому +1

    Pigeni kazi vijana mashabiki hatuna zuri 🤣🤣🤣

  • @camsher5972
    @camsher5972 6 місяців тому +6

    Akitangaza mzinga kuna gori 5

  • @KisindaKishiwa-k1u
    @KisindaKishiwa-k1u 29 днів тому

    Tunataka gharibu mzinga hayo maporojo Yako asa sisi hatuwez kujua

  • @flavianchuwa4370
    @flavianchuwa4370 6 місяців тому +6

    Mimi ni Yanga ila mashabiki wenzangu wana chuki zao binafsi

  • @JUU-lw2je
    @JUU-lw2je 6 місяців тому

    Mzinga magoli ya yanga utangaze weww

  • @MOHAMEDKasheshela
    @MOHAMEDKasheshela 6 місяців тому

    Mzinga ndio tunamtaka leo

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 6 місяців тому +2

    Manara ni chanzo cha maneno ya wanayanga kwa mpenja.. na shida ya manara ni biashara ya online tv.. mpenja tv inakimbiza..

  • @Masimba-t7u
    @Masimba-t7u 6 місяців тому

    MZINGA anaweza sawa lakini MPENJA mwamba kweli Kweli 🔥🔥🔥

    • @SilivestaKonga
      @SilivestaKonga 6 місяців тому

      mpenja SI kitu Kwa garibu mzinga

    • @Masimba-t7u
      @Masimba-t7u 5 місяців тому

      @@SilivestaKonga MPENJA anajua sana

  • @MwanahawaJumbe-rb3mf
    @MwanahawaJumbe-rb3mf 6 місяців тому

    Wewe nikolo bwana usijitetee

  • @JosephAlex-pm7rp
    @JosephAlex-pm7rp 6 місяців тому

    Mpenja mnyama

  • @IddyNchama
    @IddyNchama 6 місяців тому

    mzinga hyo tulinyongwa hatukupoteza

  • @jumamkoka2267
    @jumamkoka2267 6 місяців тому

    Husna...et MMH😂😂😂😂😂

  • @unclegmihale455
    @unclegmihale455 6 місяців тому

    Hahah Yanga bingwa

  • @VeronicaAdam-lx8yd
    @VeronicaAdam-lx8yd 6 місяців тому

    😂😂😂😂 Young awam hi hatok

  • @sadicksaid4500
    @sadicksaid4500 6 місяців тому

    Kwakweli kipigo ni kipigo tu hao watangazaji wa dabi ni watabaki kama wahoo mwenye timu nzuri ndo mwenyekuamua gemu

  • @josephrama-vp3il
    @josephrama-vp3il 6 місяців тому

    Simba nguvu moja uwaga nimepana Simba magoli yetu uwaga anatangaza na mudi sana

  • @IddyNchama
    @IddyNchama 6 місяців тому

    kwani mpenja yeye yu upande gan?

  • @OmariNzigu-lv1he
    @OmariNzigu-lv1he 6 місяців тому

    Mimi ni shabiki wa yanga ila wanaompanda Baraka mpenja mwamba wa umarila huo ni muono wao huwezi kuwazuia ila na mkubali sana Mwamba wa umarila

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 6 місяців тому

    Mpenja akitangaza Simba dhidi ya Yanga inakuwa poa sana ila Azam dhidi ya Yanga Aaaah nakubali hapo Mzinga lazima sherehe ifane

  • @jamesntangana1785
    @jamesntangana1785 6 місяців тому

    Hamna ukwel wowote hapo, kwan watangazaji wanaingia uwanjani, acheni ushamba

  • @alfonceanton2273
    @alfonceanton2273 6 місяців тому

    😂😂 hauna gundu Mwamba wa Umalila 🔥

  • @dayanikitambi2085
    @dayanikitambi2085 6 місяців тому

    Mimi ni yanga damu na ninapenda vile unatangaza nakukubali achana na hao wenye mawazo mabovu

  • @WASHAMSIKULA
    @WASHAMSIKULA 6 місяців тому +5

    Kama , mpenja ndo comitator one yanga hatuna chetu

  • @DottoKinabo
    @DottoKinabo 6 місяців тому

    Kilwa finest gharib mzinga nakukubal sana ww ndo ushikilie maiki derby day

  • @jumakasim8784
    @jumakasim8784 6 місяців тому

    Azam wenyewe wamesha ingia kwenye huo mtego wa nan anaenda na mechi

  • @JohnAbeli-c6w
    @JohnAbeli-c6w 6 місяців тому

    Wenye uhakika na mpira wao hawawezi shoboka na mtangazaji kwani yeye ndo anaefunga magoli nakuwlewa kaka we tangaza mechi

  • @Ligobatov
    @Ligobatov 6 місяців тому

    Kumfikisha mwanadamu nisafari isiyo fikwa

  • @daudmoshi6623
    @daudmoshi6623 6 місяців тому

    Darby ya kesho kutwa iwe ya pekeee xana aanzie mmoja labda aanze first half mpenja au aanze mzinga afu amalizie mwingine ila wore watangaze waweke historia dunian

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 6 місяців тому

    Kiukweli yeyote atangaze mie Niko tayari nyote mnaweza na sauti zenu ni burudani

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 6 місяців тому +1

    Mpira wetu utafika mbali kwa kuondoa fikra duni za eti fulani akitangaza eti timu inashinda ni ushamba tu labda mawazo binafsi sometimes aaah mm sioni ni upuuzi

  • @josephrama-vp3il
    @josephrama-vp3il 6 місяців тому

    Mpenja kubali ilo goli lasimba uwatangaza kwamudi

  • @imaniabubakari6351
    @imaniabubakari6351 6 місяців тому +1

    mpenja ajawai kuipamba yanga wandewa tumepigwaaa

  • @nyanzayakobo9705
    @nyanzayakobo9705 6 місяців тому

    Hamna mpenja ni simba hana lolote gharib mzinga huyo hajulikani ni bora gharib mzinga mpenja huwa ana tibia ya kutotenda haki

  • @modestusndunguru7183
    @modestusndunguru7183 6 місяців тому

    Watu wamelishwa matango pori na manara....watangazaji hawahusiki kwemye ushindi..ni ujinga tuuuu

  • @severinantunuligwa4598
    @severinantunuligwa4598 6 місяців тому

    Mimi ni shabiki na mwanachama wa yanga lkn kiukweli Kuna wanayanga wanaroho mbaya sana kwanini mmeamua kumdhofisha mpenja? Ninyi niwatu wabaya sana acheni roho mbaya !!

    • @NasriSalim-gc4bs
      @NasriSalim-gc4bs 6 місяців тому

      Wengine sio roho mbaya xhida mpenja kajionexha wazwaz kua yeye ni simba dam

  • @kingriharasuworldwide9403
    @kingriharasuworldwide9403 6 місяців тому

    Mimi natamani mechi moja waje watangaze wote mwingine kipindi cha kwanza mwingine cha pilli au watangaze wote

  • @alexmzumbwe1328
    @alexmzumbwe1328 6 місяців тому

    Toto la kimalila

  • @IdrisaNasor
    @IdrisaNasor 6 місяців тому

    Gharibu atangazee io mechiii

  • @ChristopherCharles-ft4wk
    @ChristopherCharles-ft4wk 6 місяців тому

    Kaka mubenja kakukubar sn sarut

  • @shukurumgaya5950
    @shukurumgaya5950 6 місяців тому

    USIWAKATIE TAMAA WANANCHI

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 6 місяців тому +1

    Mpenja ni bonge la dunduka --- kuna kipindi hapa alipotea,aliporudi ametangaza game NNE mfululizo --- lakini namna anavyoipamba Simba haina uhalisia --- inapitiliza, mfano " ukuta wa Yeriko" CHE MARONE FONDO,ni ukuta kweli wa yeriko huo --- hakuna uhalisia.

  • @SalimMohammed-dg3kt
    @SalimMohammed-dg3kt 6 місяців тому

    Asha uboya wewe. Magoli yayanga atangaze galib mznga anaecheza uwanjan😊

  • @ashrafadam4629
    @ashrafadam4629 6 місяців тому

    Wachezaji walijituma usitupange mtangazaj hauna mchango wwte kupata matokeooooooo yyte !

  • @KalikaweNkuba
    @KalikaweNkuba 6 місяців тому

    Mpenja hajui wachezaji

  • @alleyissaramadhan6068
    @alleyissaramadhan6068 6 місяців тому

    No to me Gharib ni commentator wa boli na Mpenja ni noise maker

  • @LUKASNGOMBANIZA
    @LUKASNGOMBANIZA 2 місяці тому

    Tangaza bori kaka achana nahao wanaosema vitu hovyo mim niyanga naikubali sana kazi yako, bila wew burudani hainog hakika sauti yako nikivutio tosha kwakila mpenda football. Simama wew tarehe nane tuenjoy maneno matam ya mwanzo wa msimu.

  • @alphoncembassa6401
    @alphoncembassa6401 6 місяців тому

    Ujinga mkubwa sana kwani mtangazaji anasaidia nini timu ishinde au ifungwe?
    Tusajiri na tuwekeze basi watangazaji hawachangii chochote