КОМЕНТАРІ •

  • @jannyrose5367
    @jannyrose5367 3 роки тому +42

    Shetani hana cha bure.....Bora kindogo kina Amani..,
    Heri upande wa Mungu 🙏🙏🇰🇪🇰🇪

    • @kalssambaboo9932
      @kalssambaboo9932 3 роки тому +1

      Afuu sheytwan mshenzi hana kusamee

    • @allanothuman2941
      @allanothuman2941 3 роки тому +1

      Aminjii

    • @anthonysindabaha7517
      @anthonysindabaha7517 3 роки тому

      Amina

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 роки тому

      😅

    • @kalssambaboo9932
      @kalssambaboo9932 3 роки тому

      @@gosbertmuta5421 umefurai me nilicheka pale alipo zinguliwa nayule mkaka kwa zainati akamueka kipolo usiku anaingia kuvaa nguo zakazi akamshughulikie kakuta vitendea kazi hakuna ikabidi awe mnyonge jamaa akapona

  • @carrenchigulu5712
    @carrenchigulu5712 3 роки тому +22

    Mali za shetani hurudi kwa shetani so wadau tujifunze kutoka kwa hii stori ya mzee wa bakora tusitake vya bure vinamalipo

  • @neutrineanzilimi9798
    @neutrineanzilimi9798 3 роки тому +3

    Huyu jamaa namkubali sana we hongera sana kaka Davister ubarikiwe na kazi nzuri sana ♥️♥️♥️♥️♥️👍👍👍👍👍👍💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖😘😘😘

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 3 роки тому +5

    Pole sana inasikitisha sana doh heri kuishi na umaskini wako

    • @heritier5119
      @heritier5119 3 роки тому

      Upo utajiri wa Mungu kihalali kabisa bila kafara

  • @shepherd1x84
    @shepherd1x84 3 роки тому +6

    Dunia hii ..shetani ameiteka kweli kweli.Heri kumtumainia mola. 🇺🇸

  • @juniorlaban2078
    @juniorlaban2078 3 роки тому +6

    Davis hi I'm scared of this episode 😭😭😭 Kwa yesu kuna Raha Tele bula mashariti please karibu kurusha kipindi Kwa haraka.

  • @kalssambaboo9932
    @kalssambaboo9932 3 роки тому +7

    Mmh mdada wawatu embu tuambie ndg wayule dada wakazi hawakumtafuta

  • @amandasaloon1652
    @amandasaloon1652 3 роки тому +5

    Sita wai kuwa kijakazi wa SHETANI nitangangana na YESU

  • @kisurangusa554
    @kisurangusa554 3 роки тому +1

    Haise mzee wa bakora za mikakati, inauma mtu kuwa tajiri, leo masikini pole sana, nimejifunza kitu hapa, ee mungu naomba utusaidie tusiwe na tamaa na utajiri wa mashariti,

  • @swamweliteobady4496
    @swamweliteobady4496 3 роки тому +7

    Haaaaa hyo Kali umekataa milioni 11 mwisho ukapokea milioni 9 pole Sana stoli yako nzuli nainafundisha

  • @thewomanofsteel3970
    @thewomanofsteel3970 3 роки тому +7

    Hasante kwa mwendelezo DM.Pesa zimeanza kurudi kwa mwenyenazo ,,Nadhan bakora itaanza kupumua kidogo😂😂

  • @macamezunguzungu5697
    @macamezunguzungu5697 3 роки тому +6

    Dav inabidi utuoneshe hizo apartment tuzione ombi langu

  • @heritier5119
    @heritier5119 3 роки тому +2

    Hela ya shetani tamu Sana lakini chungu Sana mwishoni

  • @johnassilvester1600
    @johnassilvester1600 3 роки тому +1

    Pole sana mzee wabakora zakimkakati

  • @januaryachieng1067
    @januaryachieng1067 2 роки тому +1

    Baraka za bwana utajirisha na Wala Haina uzuni.

  • @benadethafrancis5223
    @benadethafrancis5223 3 роки тому +3

    Wewe unamkataa shetani unataka Mali zake. Ukimkataa shetani unatakiwa umkatae na Mali zake zote. Sheria ya shetani lazima urudi ulipokuwa kwenye nyumba ya kupanga,coz alikukuta huna kitu so Mali zote ni za kwao na malkia alishakwambia.

    • @dianaisack9202
      @dianaisack9202 3 роки тому

      Hii story imenifanya ninunue bando bila kupenda

  • @samaboy2592
    @samaboy2592 3 роки тому +3

    Ohooo! Umeishiwa pesa bro nenda kalime

  • @heritier5119
    @heritier5119 3 роки тому +1

    Ajali zote zipo youtube alizosababisha mzee wa bakora. Amshike Sana Yesu, wengi wanaojitoa kwa shetani au freemason ni lzm wafe. Salama pekee ni kuishi na Yesu. Tafuta wokovu wa kweli achana na makanisa makanisa mengi ni mahekalu ya freemason. Wachungaji wengi ni mawakala.

  • @axad6672
    @axad6672 3 роки тому +2

    Mr. Bakora unahurumisha Tena kishenzi Hakuna mikakati 😲

  • @godelivamuswahili2988
    @godelivamuswahili2988 3 роки тому +3

    Uruma sana The Devil is the liar😱😳🤦‍♀️🙆‍♀️

  • @pili3750
    @pili3750 3 роки тому +3

    Shati la lwanda magere litaongea maan lipo hoi😂😂😂❤

    • @kisurangusa554
      @kisurangusa554 3 роки тому

      Umeona

    • @pili3750
      @pili3750 3 роки тому

      @@kisurangusa554 sana😁😁😀

    • @kisurangusa554
      @kisurangusa554 3 роки тому

      @@pili3750 makini

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @pili3750
      @pili3750 3 роки тому +2

      @@pilimusa7770 kusema kweli shetan sio kiumbe kizuri khaa yaan leo hii lwanda magere wakuvaa shati1 mwezi mzima kweli wakati alishawahi kumilik majumba na magari ya kifahari na kubadili totoz za kimataifa aisee wacha tupambane na hali zetu kwa kweli

  • @aishasaid6749
    @aishasaid6749 3 роки тому +1

    Aisee pole sana mali za kishetani huzichukua wenyew

  • @salisali3738
    @salisali3738 3 роки тому +3

    Ina tukhusu tujifunze sana maana shetani mh si kiumbe kizuri 😭😭

  • @r.kassimtoutautre3432
    @r.kassimtoutautre3432 3 роки тому

    Hela hızı noma, 🇧🇮Who lives 🇹🇷

  • @shamilakalinga437
    @shamilakalinga437 3 роки тому +3

    Mr everything 🔥🔥🔥🔥

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 3 роки тому

    Pole sana

  • @macamezunguzungu5697
    @macamezunguzungu5697 3 роки тому +2

    Pamoja dav ulipo nami nipo 🙏🇹🇿 💪

  • @suzansimon5296
    @suzansimon5296 3 роки тому +4

    Duh ndo tujue Mali zakishirikina hazidumu😭

  • @sagaboymsouth
    @sagaboymsouth 3 роки тому +4

    Kazi nzuri mr fact🤝

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 3 роки тому +5

    Watu wngu njooooon mambo tayar huko❤❤❤❤🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭

  • @jeremiahrop2703
    @jeremiahrop2703 3 роки тому +1

    Vipi leo aisee...#37 hakuna???

  • @an6808
    @an6808 2 роки тому

    Mwisho wa Siku ni hasara tupu, unapoteza ndugu na watoto, na mwisho unapoteza kila kitu, bora kidogo kutoka kwa Mungu kuliko kikubwa chenye masharti.

  • @anthonysindabaha7517
    @anthonysindabaha7517 3 роки тому

    Hyooo njia unayosema inakona nyingi
    Sio njia bali ni mlima huwooo unaitwa mlima magara...inatokea arusha kwenda manyara..

  • @dorrinahlutaa7458
    @dorrinahlutaa7458 3 роки тому +2

    Davistar mukimalizana na huyo mtu wa shetani umuitea polisi atewa mbarori kwa kuuwa watu sababu yeye mwenyewe ana ushaidi wa kutosha vile alivokuwa akiuwa watu mimi na 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @ziadasalumu1176
      @ziadasalumu1176 3 роки тому +1

      Dah kwel jamaa kauwa saaana

    • @FFL-X1D
      @FFL-X1D 3 роки тому

      @@ziadasalumu1176 sana😭😭😭

    • @sheikhanasser4714
      @sheikhanasser4714 3 роки тому

      👍👏🏼👏🏼

    • @bentesha
      @bentesha 2 роки тому

      Serikali haiamini mambo ya kichawi

  • @benadethafrancis5223
    @benadethafrancis5223 3 роки тому +3

    Watoto aliozaaa na mme wake wa ndoa wote wawili uliwaua. Mtoto uliezaa nae ulimpa malkia. Yani dada wa watu kaondoka duniani hajaacha kumbukumbu yoyote.

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 роки тому

      Yani huyo malkia me ningemsaka popote namkata mapanga arejeshe wanangu

  • @peterpendaeli3989
    @peterpendaeli3989 3 роки тому

    Wa shetn naye da MUNGU atusaidiye sisi wanao mana bado sana shetan yuko kwenye kampeni mm nitoye wazo tusifraiye kuskia lakini tujifunze na kumtafta MUNGU kwa nguvu sana tena sana mana naye mungu huwashika wampendao

  • @priscillahkimani2098
    @priscillahkimani2098 2 роки тому

    Mwendelezo iko

  • @mikarubisha3331
    @mikarubisha3331 3 роки тому +1

    Daaah kweli hakuna marefu yasiyo na ncha ..hatimae mambo yanafika ukingoni...

  • @nancygeorge3749
    @nancygeorge3749 3 роки тому +3

    Nimewaiiiii🤗🤗🤗🤗

  • @allylibaku5233
    @allylibaku5233 3 роки тому +3

    tupo live mkuu ata usipoona coment tupo live 🙏 tupo darasani

  • @zahirrajabumgonza1174
    @zahirrajabumgonza1174 3 роки тому

    Huyo fala alikuwa limbukeni wawwnawake sanaaaa mwanamke akufnyee uuuze nyumba mjinga uyooo

  • @hurremjudith6043
    @hurremjudith6043 3 роки тому +2

    Story inaendelea👏🏽

  • @oscarlemamaringo8081
    @oscarlemamaringo8081 3 роки тому

    Jack pub siyo nzuri Ila kuna sparrow iko poa,hapo kwenye kona ni kilimatembo

  • @florencerose859
    @florencerose859 3 роки тому +2

    Jee wakati ulihamia kwingine ulibebana na nyumba yako hiyo ya mauti?

  • @mercykariithi7919
    @mercykariithi7919 3 роки тому

    Davistar part 37 kwani haimo leo?

  • @fatmaalrshdii7615
    @fatmaalrshdii7615 3 роки тому +6

    Mtu makini katika ubora wako pamoja Sana Ka Ka angu wa ukweli endelea kutufundisha wanafunzi wako tunaelewa bila ya kutuchapa viboko

  • @rikekikonyo2265
    @rikekikonyo2265 3 роки тому +1

    Part 37 iko wapi???

  • @heritier5119
    @heritier5119 3 роки тому +3

    Shetani hana huruma anakupa pesa huku anakufirisi ndugu zako. Anakupa raha za mda lakini majuto ni milele hana huruma kabisa

  • @hancymachibbula4355
    @hancymachibbula4355 3 роки тому +3

    Nyumba za 150M zinauzwa kwa 20M mi ningeziacha tu ziwe hata Magofu.

  • @heritier5119
    @heritier5119 3 роки тому +1

    Mimi naogopa Sana kununua nyumba nyingi zina mazingira, ni heri ujenge nyumba. Mali za ibilisi zote zina chata zao, na wanunuaji wake lazima wawe watu wao.

  • @livefilms4468
    @livefilms4468 3 роки тому

    mbona part 37 umetoa

  • @charlesb.mwaipeta8415
    @charlesb.mwaipeta8415 3 роки тому +5

    bado namsikiliza mwamba ila ka' namuonea huruma tena

  • @butondodavid2105
    @butondodavid2105 3 роки тому

    We jamaa pole utaweza shindia miogo kweli,ushazoea pesa ya damu

  • @dodoted5033
    @dodoted5033 3 роки тому

    Part 37 iwapi Davistar?

  • @angelageofrey9756
    @angelageofrey9756 3 роки тому +2

    Bravi chap chap nilikua nasubiri

  • @ramadhangona9085
    @ramadhangona9085 3 роки тому +3

    Niko hapa baada ya kuanza episode 1last Friday...sasa bado kuhangaika kungoja matoleo yajayo

    • @shenjamamzingi7950
      @shenjamamzingi7950 3 роки тому

      Baada ya kufuatilia Mlolongo mzima wa Kisa hiki,je kwa sasa ukimuona mtu anaishi Maisha Mazuri sana,unapatwa na mawazo gan?

    • @ramadhangona9085
      @ramadhangona9085 3 роки тому +1

      @@shenjamamzingi7950 yani noma ....haya mambo magumu sana......

  • @ballycolette5660
    @ballycolette5660 3 роки тому

    Moja kwa moja naelewa kwa nini shati la mzee wa bakora alibadilishwi kumbe kafulia kweli kweli

  • @jennjaja1586
    @jennjaja1586 3 роки тому +3

    Kenya 🇺🇸 mpooo

  • @swamweliteobady4496
    @swamweliteobady4496 3 роки тому +3

    Ulipo na sisi tupo Davistar

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 3 роки тому

    Kikubwa zaidi mi chakujifunza kwa hizi simlizi mbali mbali tunazo zifuatilia humu! Ni bora zaidi mtu kuishi kumtegemea mungu pekee tu kwenye ridhiki! Ridhika na ulicho nacho ndugu yangu! Story kama hi ilikuwa na maisha mazuri kabisa! Lakini mwisho wake mbaya, Sasa faida gani!

  • @just_this_way
    @just_this_way 3 роки тому

    Jamaa anakariri maeneo huyoo. 😳 hatari.

  • @kithia100
    @kithia100 3 роки тому +2

    Lwanda mang'ere na mbakora za kishezi , mikakati zimekurundia lol😭😭😲😲😲😲😲

    • @credo7837
      @credo7837 3 роки тому

      😂😂😂

    • @credo7837
      @credo7837 3 роки тому

      😂😂😂

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 роки тому

      Peninah peninah unacheka nn

    • @kithia100
      @kithia100 3 роки тому

      @@gosbertmuta5421 jamaaa na kungungu'ta watu ajali mbele wala nyuma ( kafungua boot za wakaka)

  • @KeivooKeivoo
    @KeivooKeivoo 6 місяців тому

    Singida kweli Kuna Pini

  • @chauligemeka7840
    @chauligemeka7840 3 роки тому +1

    Alihamdulillah nlikuwa naisubli

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 2 роки тому

    Hayo masherti ya shetani ni magumu sana hayawezekani bora ule kidogo ulale mapema.

  • @aiyamhassan1321
    @aiyamhassan1321 3 роки тому +1

    Aya tumefika davista ahsante tunaendelea kujifunza mengi kupitia hizi story...

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 3 роки тому

    Yani zinawekwa story zngne lkn sztak, ila shetani acha walokole wamkung,ute kisawaasawa Hana uungwana kabsaaaaaa loh ila huyo malkia popote alipo huko baharn mungu anamuona arejeshe watt wetu kudadek zake au tumsake atembezewe mapanga kudadek zake

  • @berthamghanga1093
    @berthamghanga1093 3 роки тому

    Yani huyo malkia alivuruga kila kitu,hadi kwenye appertment palikosa wapangaji,lenye mwanzo lina mwisho.

  • @jannyrose5367
    @jannyrose5367 3 роки тому +1

    Kodi kindogo,lkn bokora zilitembea 🤭🤭

  • @menlandmutashobya8377
    @menlandmutashobya8377 3 роки тому

    Leta episode ingine

  • @bonychitanda6410
    @bonychitanda6410 Рік тому

    Jamaa muongo sana

  • @monicasimpilu6257
    @monicasimpilu6257 3 роки тому

    Wapangaji walikuwa wanakimbia bakora za ki mikakati. Shetani anatisha sana.

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +2

    Mkeo kafa kwasababu ya kupeana ufunguu iliroom isafishwe hiyo ndoilikuwa azabu yake sasa ukawa unajimwayaa na mtoto wa mamdogo 😐😐😐😐😐

  • @shantellemwanakombo3703
    @shantellemwanakombo3703 3 роки тому +1

    Mambo ni 💡 bulibuli

  • @moussashamba719
    @moussashamba719 3 роки тому +2

    MALI ILIYOPATIKANA KWA HARAKA ITAPUNGUKA BALI YEYE ACHUMAE KIDOGO KIDOGO HUZIDISHIWA
    METHALI 11:13

  • @optimamarenda7082
    @optimamarenda7082 Рік тому

    Stori hii inaendelea

  • @kahindiwanje90
    @kahindiwanje90 3 роки тому +2

    Safi

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +1

    Ukaazaa kufilisika pole pole mana kafara hutoi yatoka wapi kitu chapili nakibayaa zaidi nauliambiwaa pesa usipeleke bank 😐😐😐😐

    • @FFL-X1D
      @FFL-X1D 3 роки тому

      Hapo sasa🤔🇪🇭🇪🇭

  • @is-hakayussuf9981
    @is-hakayussuf9981 3 роки тому +1

    Acha na mimi ni comment sio nasoma za wenzangu tu

  • @angelageofrey9756
    @angelageofrey9756 3 роки тому +2

    Daa imeshaa haraka

  • @iddypandu4285
    @iddypandu4285 3 роки тому +1

    kila mwanamke mke wako aloo

  • @hamadwaziri121
    @hamadwaziri121 3 роки тому +3

    Nimewah kidgoo

  • @moreenmbatha1147
    @moreenmbatha1147 3 роки тому +1

    mkiona #Pill@ @musa@ muulizeni kutoka ni muwachie number 1 leo ako number ngapi

    • @FFL-X1D
      @FFL-X1D 3 роки тому +1

      😂😂 Noma

    • @moreenmbatha1147
      @moreenmbatha1147 3 роки тому

      @@FFL-X1D 😂😂😂😂😂

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbavu zangu .

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 роки тому

      Nimekuwa 135🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @FFL-X1D
      @FFL-X1D 3 роки тому

      @@pilimusa7770 😂😂😂🤣🤣🤣🤣

  • @philipoluzege3200
    @philipoluzege3200 3 роки тому +2

    Mzee wa bakora za kimkakati

  • @margaretachieng9887
    @margaretachieng9887 3 роки тому

    Nime chelewa lakini diyo na witch Sasa 💯

  • @thebeautifulone7982
    @thebeautifulone7982 2 роки тому

    Kwani there was no one asking themselves why there was so much death surrounding this dude...

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому

    Duu umekataa milion 50 hadi ishirini 🤦🏻‍♂️🤦🏻‍♂️🤦🏻‍♂️🤦🏻‍♂️🤦🏻‍♂️loo kazi ya ibilisii inafanya kaxi kweli waa yani uliaza kuchapa gaflaa

  • @elizanzula8375
    @elizanzula8375 3 роки тому +1

    Na kwakwali Kwa MUNGU kuna raha ata kama huna pesa amani ya MUNGU pekee yatosha vyengine vyote buree kabisaaaaa.

  • @ambassadorkateme5860
    @ambassadorkateme5860 3 роки тому

    Bakora za kimkakati 🔥🔥

  • @kawtharsaleh9229
    @kawtharsaleh9229 3 роки тому +1

    Dooh hatar sana dada wawatu nae kafa

    • @FFL-X1D
      @FFL-X1D 3 роки тому

      Nmekuona wngu ❤❤❤❤🇪🇭🇪🇭

  • @hadijashabani890
    @hadijashabani890 3 роки тому

    Amkeni amkeni jamani kumekucha uku mzee wa bakora kafika uku

  • @neemanihushi7826
    @neemanihushi7826 3 роки тому +2

    Inasikitisha san

  • @doreenchiragwile3424
    @doreenchiragwile3424 3 роки тому +6

    Like zangu jmn wa 13

  • @agnesssanga5327
    @agnesssanga5327 3 роки тому +1

    Ukiwa wakwanza raha sana , unaruka sarakasi, unapiga pushap , una kimbia huku na kule maana uwanja mweupee unajiachia tu

  • @catherinewanjiru7136
    @catherinewanjiru7136 3 роки тому

    🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

  • @msalimsali6989
    @msalimsali6989 3 роки тому

    Kutokan na hz story nimejifynza kwa shetan hakuna vya bule

  • @chrissackland5369
    @chrissackland5369 3 роки тому

    37 Imerudia Habari ya 36 hakunamuendelezo

  • @robertndebate5462
    @robertndebate5462 3 роки тому

    VIP yule mdada wa kazi aliyechukuliwa na malikia hakutafutwa na ndugu zake au?

  • @erickderick608
    @erickderick608 3 роки тому

    Fanya ufanyavyo leo post vipande vinne, viwili tayari bado viwili la sivyo bakora za kimkakati zitakuhusu leo usiku

    • @somoeawadh7774
      @somoeawadh7774 3 роки тому

      😂😂😂

    • @FFL-X1D
      @FFL-X1D 3 роки тому

      @@somoeawadh7774 😂😂😂😂😂

  • @kessyhapecom6293
    @kessyhapecom6293 3 роки тому +2

    We mko makini nilijua nitakuwa wakwanza