КОМЕНТАРІ •

  • @NextLevel-fg5ph
    @NextLevel-fg5ph 2 місяці тому

    Kutoka south Africa cape Town right now, kiba ndani napajua igombe naijua nime ishi kwa muda wa miaka miwili, polesana broo kwa mitihani

  • @kilogreekachananawatuwasio4054

    Pamoja sana mdogo wangu devisistar mungu Akubariki kwa kutoa elimu muimu kwa vizazi vijavjo na dada yake baba mmoja ???🇹🇿🇹🇿🇬🇷🇬🇷🙏🙏

  • @tahirnephessalum3678
    @tahirnephessalum3678 Рік тому +3

    davista usitoke mwanza pls.. mwanza na mikoa yote ya kisukuma wana story nzuri sana

  • @siamamy9859
    @siamamy9859 Рік тому +4

    Mungu tusaidie

  • @AyubuAbduly
    @AyubuAbduly 11 місяців тому

    Mungu awe nanyinyote mnaofatiria

  • @jonassilvester5910
    @jonassilvester5910 Рік тому +2

    Leo nimewahi mafundisho mazuri sana

  • @bobman2237
    @bobman2237 Рік тому +13

    Kama unakubali kazi za Davistar like hapa twende sawa

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 Рік тому

    Maskn kijana amenisktsha sana apo kwa mamake alivokua akmwamsha kumbe keshakufa

  • @mulazsaid1907
    @mulazsaid1907 Рік тому +2

    Pamoja saana Mr Everything 💪

  • @ireneassey2022
    @ireneassey2022 Рік тому +1

    Pesa za kikinga izo wanakufa then wana fufuka 😂

  • @imagepower3641
    @imagepower3641 Рік тому +2

    Najifunza

  • @annkim2690
    @annkim2690 Рік тому

    Yani ni mtoto huyu jamani

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 Рік тому +1

    Nimefika wakati mwafaka

  • @kendrieckinc
    @kendrieckinc Рік тому

    Tunaomba Epsode 2

  • @kemmymoddest
    @kemmymoddest Рік тому

    Mchoyo hahaaaa

  • @fredricklitunda8870
    @fredricklitunda8870 Рік тому +6

    Nachekaga sana tabia ya huyu mtangazaji au mwandishi yaani interview zake zote yeye anakunywa maji au soda ila anaeongea sana ambaye ndie anakaukiwa na koo hanywi au hapewi hata maji. Haiko sawa jitahidi unaowahoji wape hata vinywaji na wape break ya kunywa chochote.

    • @shurbamsabah9060
      @shurbamsabah9060 Рік тому +5

      changia hela wanywe maji

    • @DavistarMataMediaDM
      @DavistarMataMediaDM Рік тому +10

      Huwa wanayo pembeni

    • @briandeflugel9055
      @briandeflugel9055 Рік тому +2

      @Fredrick Litunda inaonekana wewe ndo unaanza kuangalia interview ya kwanza au ya pili ...hujamfuatilia mda mrefu

    • @avitusmichael5
      @avitusmichael5 Рік тому +2

      @@DavistarMataMediaDM usingemjibu ilitakiwa ucheke tu

    • @rerisamba
      @rerisamba Рік тому

      Huwa Ana wapea hata juice

  • @bobman2237
    @bobman2237 Рік тому +5

    Kama unakubali kazi za Davistar like hapa twende sawa