Kutoka part 1 hadi hapa part 15 nimejifunza mambo kadha. Usaliti inaongoza , pili kukua na maamuzi unayo fanya kua makini sana. Pia tunahitaji kukua na moyo mugumu sana part 16 waiting
Salamwalekyhum ndugu zangu wana familia hakika mimi usingizi ulikosa baada raisi wetu ed kuvamiwa na kundi la scopion___ mazeee hiki kigongo ni kikari asikwambie mtu Asante mtahalamu unkle jey kwa kigongo Kitamu na mulwa
Pole Sana kaka Mahana mambo ni moto hila ukiwa Kama kaka Edd unajali hata ukichiti sijui kwakweli humii kabisa kikubwa ni eshima kwa ni ndio muhimu kwenye ndoa
EDDY has guards..a Washambulia maadui na anaendelea kukaa hapo..who does that..mimi ningekua maria ningekua nahara juu ya uoga😂😂😂😂 mungu wasaidie.madam CAROH SURELY???
Plz eddy,naomba ikiwezekana basi hii simulizi ya x,utuletee baada ya siku moja moja maana kwa sasa unatuletea baadaa ya siku mbili,naomba lkn kama itawezekana
Woow 🎉🎉🎉 tunaendelea na film yetu tamu jaman tusiotaman hii movie iishe gongen like hapa ❤❤❤ thanks anko Jay kwa kutujali wanafamilia wako
Waooh finally sasa bado part 3 iishe😢😢😢 nani hatamani iishe kama mm nipe like tujuane😅❤❤❤
JAMAn nimechewa na Leo tena soon nitawai na me mnipe like zenu lank msininyime kwasababu nimechelewa family ya Anko jay,♥️♥️♥️♥️🌹🔥🔥😘
Tunaotaka x iendelee mpaka 30 tujuane maana ni tamu dda Lisa mwala mbona kimya sana
Jaman humu ndani amlali wapa hongera 🤩😍🥰🥰💖💝💓
❤
Yani anko jay unatufuraisha mashabiki wako Mungu akupe maisha marefu yenye baraka amani na upendo one ❤
Wapili nime wahi leo
❤❤
Woow mjomba jei unajua kutupa kitu ilerohoo inapenda kweli kweli nikiwa qtr najiachia kweli kweli huku headfon masikioni niki enjoy huku nikiosha ukuta zawarabu😂😂😂😂😊
Shukurani sana Ako jei❤❤❤❤
Wakwazaleoooo💃💃Mkuje uku anko jay kaleta kitu kipya🇴🇲🇴🇲🇴🇲
aaaa ha ha ha mnaupendo nyie uuuwiii
Anko jay upo vzr
Duh umetisha Sana
Wow am happy coz Judy she's pregnant 🎉🎉🎉🎉
❤❤
Wa kwnz
Nimewah jaman 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
❤❤❤❤ hatmaye wanafamily wa Ankojay tumekutana tena kwenye movie yetyu pendwa like zenu team Edy & God😅😅😅
❤❤
@@JanethErnest-f8gand tessa 😢😢😢😢😢
@@JanethErnest-f8gand tessa 😢😢😢😢😢
@@JanethErnest-f8gand tessa 😢😢😢😢😢
@@JanethErnest-f8gand tessa 😢😢😢😢😢
Nasikiliza story tamu kutoka uturuki jama tamu sanaa story
Aiseeee leo ni leo ankoj asante xn mungu akubariki twakupenda xn ❤❤❤❤❤
Wow thanks anko j kwa simulizi tamu
Hongera sana anko jay
Ahsanty San anko jey wetu tunakupend mnooo ,, leo siku yetu imeeanz vizur mnooo, 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Mambo poa 👊
Barikiwa Anko no 1
Wow movie y X,asante Anko Jay listening from Kenya much ❤
Leo wakwanza mie
Kutoka part 1 hadi hapa part 15 nimejifunza mambo kadha. Usaliti inaongoza , pili kukua na maamuzi unayo fanya kua makini sana. Pia tunahitaji kukua na moyo mugumu sana part 16 waiting
Ubarikiwe Anko j
I'ts X again 😂😂😂
Asante Ankoo ❤❤❤
My god bless u
❤❤
Amini
Salamwalekyhum ndugu zangu wana familia hakika mimi usingizi ulikosa baada raisi wetu ed kuvamiwa na kundi la scopion___ mazeee hiki kigongo ni kikari asikwambie mtu
Asante mtahalamu unkle jey kwa kigongo Kitamu na mulwa
Thank sana ankol jay mungu akubariki kwa kuleta movie yetu nzuri ❤❤❤❤
aweee kumbe tayar ❣️❣️❣️🤭😘😘🥰🥰❣️❣️ anko jay ♥️🙏 ♥️
One ❤ Anko jay family.leo ni tena kwa muendelezo wa series yetu pendwa
Leo nimewahi like zangu jaman anko asante team gulf tujuwane😂😂😂
❤
❤
Much ❤
Nimewahiiii na mimk
Congratulations 👏👏👏🎇🎇🎇🎉🎉🎉❤❤❤ my wetu kipenzi anko Jay kwa kazi nzuri unatupatia mungu akubariki sana twashukuru sana
Mambo poa tu sana Anko,Ahsante sana kwa muendelezo wa movie,bado tuko pamoya,Ahsante sana Anko Jay.
Asant sana kwa kutulete movie yaX part 15 mungu akubariki na akuongoza
Mambo moto anko,nataman isiishe,❤❤❤❤❤❤
Cathe ana hekima sanaaa
Nimewahii piaaaaà❤❤❤
Imic u uncle j
Asante sana anko j kwa simulizi Tena imekuja wakat muafaka kabisa mungu akubariki sana
Nimewahi ewaaa ❤❤❤ safisana ank j😊😊
Mambo yanaendelea duuuh
Sawa Kaka nakuelewa sana asante
Ahsante Anko jay Mapesa.
Nimewahi na Mimi daaaa😂😂😂😂
Woooooow wakwanzaaaaa
Nmeotea paap nmeikuta❤❤❤pongezi kwako anko jay
Asante sana napenda Sana kufatilia edy
🎉🎉🎉ubarikiw anko j
Pole Sana kaka Mahana mambo ni moto hila ukiwa Kama kaka Edd unajali hata ukichiti sijui kwakweli humii kabisa kikubwa ni eshima kwa ni ndio muhimu kwenye ndoa
Na furaha baada ya kukutana na move ya ujasusi big up anko Jay mwamba😂😂😂😂😂
Thanksankojay allah akubariki sana🎉🎉
Hongera ankoj na mwandishi ❤❤❤❤❤❤❤
Daaah patamu hapo mmh eddy awe makini jamani sababu hajui huyu mzee amejipanga vp asante ankojay nimeinjoy sanaa one❤❤❤bro big up 💪💪💪💪
Asante Anko Kwa kutuletea movie tam
LoLo wakwanza Leo 🎉🎉🎉
Nipo ndani🎉🎉
Jamani jamani kazi si raise hinahitaji moyo na mungu pia bila mungu huwezi kitu asente Sana ANKO JAY
Jmni utmu wazidi kupambna moto ankojey wazidi kunikosha kila sku ❤❤❤
❤❤❤❤❤ movie kiboko sana big up Ankojay. Usicheleweshe sehemu ya 16 tunahamu ya kujua kitakachojil Kwa makamu wa rais na Eddy
Wakwanza leo like zenu
Ahsante Anko jay kwa muendelezo wa movie yetu ya X❤❤
Asante ankoj ubarikiwe sn bado nipo pamoja naww mwanzo mwisho
Waakwanzaa jmn mb'n sipati like za kutosha wadau
❤❤❤❤❤❤❤
Ahsante kaka Jay🎉
Wow kz nzr anko jay❤❤❤❤
Anko jay family hi,
Duuh jamnii hamlali 😮ila asanthe Anko Jay hakika umejuw kuniweka busy na stories zako hadi nimemsahau ex wng😅
Mhhhh Eddyyyyy jamn walia kwauchung Jaman daaaaaah pole San
Kumbe caro balaa❤❤❤❤
Unankosha ankojay penda sana kaka ❤❤❤❤❤❤
Nimechelewa Lakn tuko sambamba my love anko jay ❤
Nimewah jmn❤❤❤🎉🎉🎉
Asante anko Kwa burudisho la simuliz tamu ❤❤❤❤❤
Ehe 😊😊😊hata Madam ngamia anajuana na Anko Jay heko kip3nzi chetu kwa kujulikana mpaka Israel hope wamisri hawakujui 😅😅😅
Waaaaaoh pokea maua yako Ankojay 🎉❤❤
Edy umepata Mke mwema ila hujatulia hadi shemeji mmmmh!
Hata me nimewah jmn leo asante sana Anko jey wetu
❤❤❤❤❤❤🎉 nimewai reo jani
Woyoooooooo kazi iendeleeeeee Asante anko j
❤❤❤❤sana ankojay
Wakwanza mimi leo burundi❤❤towenilayki
❤❤❤❤❤wow
Asante anko jay mungu hakubaliki sana naomba isifike mwisho tamu sana ubalikiwe ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉😂
Anko Ankoo 😂😂
❤❤ love it anko lshallah🙏🙏🙏
Jamani hi historia mbona nikama hi ni congo DRC
EDDY has guards..a
Washambulia maadui na anaendelea kukaa hapo..who does that..mimi ningekua maria ningekua nahara juu ya uoga😂😂😂😂 mungu wasaidie.madam CAROH SURELY???
Eddy jamaa la totoz na kazi😂😂😂😂
Ivi carther style yke ni moja2 yakujihudumia😂😂😂cku zte anakua juu kujipimia waaah😊 Eddy ana haki yakucheat🎉
😮 Jmn so kuwa na style moja ndo chanzo cha eddy kuncheat?
😂😂😂😂😂 yani nyie wenda eddy anapenda ivo
Edy njoo ujibu hili
@@HappynesMagere wanaume wenyewe ni hao wakuzuga afu style moja toka ana mimba pka ashazaa,,kwa Eddy nimjuaye wa anko jay 😂🤣🤣
@@jamilanahimana-wc4nd apana carther ajiongeze kwa kweli 😀
Mhhhhh, yani eddy ,pole yake ,jamn
Wewe anko j punguza kujisifu bwana .utatufanya tuje kukutafuta
Waaaaaoooooo move yetu hiyo 😊❤
Yani hii movie ya x naipenda achatu Yani mzigo mkali❤❤❤❤
Hii ni moto sanaa ankoj.
Shukurn 🙏 Ankojay wetu ❤️
Jay safari hii zawadi ya ushindi inakuhusuuu🎉🎉🎉
Plz eddy,naomba ikiwezekana basi hii simulizi ya x,utuletee baada ya siku moja moja maana kwa sasa unatuletea baadaa ya siku mbili,naomba lkn kama itawezekana
mje taratibu msini 😢😢kanyage
Mimi leo si comment adi move isheee mana nna wasi wasi 😢