MVUA YA MISUMARI ! MPINA AWAKA BAADA YA KUSIMAMISHWA NA BUNGE "NIMEONEWA SANA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • Nachongewa
    Wanafanya kampeni nitoke CCM niwaache wao,
    Mmenikuta CCM wengine mimi ndio nimewapokea, Mtakuja kuwa na kibarua kigumu sana
    Ni majungu tu rekodi yangu inajulikana
    Nimetumwa na watanzania
    Nimetafakari sana naenda mahakamani

КОМЕНТАРІ • 18

  • @evancemwanasenga8200
    @evancemwanasenga8200 3 місяці тому +3

    Mm nadhan mama angetumia vifaa kama hivi kwa kusikiliza hoja zao na kufanya upembuzi wa maamuzi bas angejitengenezea fun base kubwa na yenye kumfanya apite 2025 bila ukakasi wa aina yoyote.
    Ni mtazamo tu.

  • @LeonardmatiasWiliamu
    @LeonardmatiasWiliamu 3 місяці тому

    Mpina.tunakuombea.kwa.mungu.watanzania.mambo.yako.yaede.vinzuri.mtetezi.wawanyonge.ndiyo.tuko.wegi.wao.wezi.ni.wachache.tu.kwenye.kura.wataona.tu
    .

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema 3 місяці тому +2

    Tukutane Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu wa 2025 sisi Vijana tumeamua hatupigii Kura CCM ili ianguke kama ANC Chama cha Afrika Kusini

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema 3 місяці тому +2

    Serikali imekataa kutoa fursa za Ajira sasa Vijana wengi wapambanaji tumeamua kujikita katika Ujasariamali lakini Serikali mnatupiga Kodi kubwa. Lengo la CCM ni kutengeneza Vijana Maskini na sio Mabilionea

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema 3 місяці тому +2

    Watanzania wengi vijana tunaona mambo yanayoendelea Bungeni kuanzia kutupandishia Kodi na Tozo kubwa mpaka kupelekea Migomo ya Wafanyabiashara nchi nzima

  • @nicholaslikombe4900
    @nicholaslikombe4900 3 місяці тому +1

    Njoo chadema bhana. .....

  • @ChelehaniKamoga
    @ChelehaniKamoga 3 місяці тому +1

    Pili uliambiwa hujitambui

  • @JosephMathias-fi1zz
    @JosephMathias-fi1zz 3 місяці тому

    Mh. upo vzr, tunapenda mbunge mwenye msimamo.

  • @MaduhuSelebeya
    @MaduhuSelebeya 2 місяці тому

    Ningekuwa na uwezo ningemuomba mungu aichome Dunia ili waumbwe wengine

  • @alphoncekahayi8719
    @alphoncekahayi8719 3 місяці тому +1

    Nchi hii hakuna mzalendo , sio wabunge , waziri wala raisi wa nchi , wote ni wasaka tonge tu

  • @petrondunguru6069
    @petrondunguru6069 3 місяці тому +1

    Tunakuunga mkono Mpina. CCM isubiri uchaguzi ujao itaona nini tutaifanyia.

  • @MaduhuSelebeya
    @MaduhuSelebeya 2 місяці тому

    Mpina amekuwa mtetez wa wanyonge ningetaman kuona wabunge wegine wanamuu ga mkono

  • @KulwaZephania-lm5fk
    @KulwaZephania-lm5fk 3 місяці тому +1

    MH Safi Sana mbunge wetu Ila viongozi waliokufa walidai hawawaogopi wakubwa bas naww usiwaogope Mungu mbaliki mpina Mungu ibaliki tanzania

  • @MustafaKingaru
    @MustafaKingaru 3 місяці тому +1

    MWENYEZI MUNGU TUJALIE TUPATE TANGANYIKA YETU KWA AMANI NA BARAKA ZAKO

  • @OmarButotela
    @OmarButotela 3 місяці тому +1

    Tupo tayari watanzania

  • @kilimanjarotv255
    @kilimanjarotv255 3 місяці тому +1

    mungu atusaidie tupate viongozi bora mwakani mfano wa mpina na kina mwambukusi na makonda

  • @douglasmwella2494
    @douglasmwella2494 3 місяці тому +1

    My country!