Kwa wale wanasema, mwanamke akizoea kutoroshwa huko pia atatoroshwa tu, huenda hamjaelewa ujumbe..Huyo mwanamke angekuwa anapata malezi bora kwa mumewe wa kwanza, hange subutu kumkubali huyu wa pili...Kwa hivyo cha msingi,, mwanamke malezi,, usipo tunza mkeo,,ulimwengu utakutunzia..Barikiwa pastor
Somo zur yaan mm stak hata mzaz wake ampe hela mke Wang yaan hela n shetan kabisa na anaekupa hela kila anachosema lazma ukubal.mm stak mkewang apewe hela yaan n kosa la jinai
Wanaume unamuchakaza mkeo mpaka anachuja na mutu kama anasema eti umtunze mkeo hamanishi kwamba wende kaiba ila kama unao uwezo mtunza na endapo umekosa anajua tayari na hiwezi kua shida na nifahari kwako
Ha ha ha ha ha haaa mambo ya Shemeji hayo sasa kama wahusika hawatunzi wa kwao Shemeji anatumiwa kutunza eti.kunabonge la funzo Mwalim Barikiwa na Bwana.
Matunzo yapi hayo yanayozungumzwa hapa? Maana wale mafukara wakioa wasije mjini waishi hukohuko kwa wenye level sawa kimapato maana me naweza mtunza mke wangu kwa level yangu akapita shetani mwenye level ya juu zaidi atataka kumtunza kwa level ya juu yangu atam'beba tu. Hapa naamini shetani ni mwanamke
Ukweli huyo jamaa alichukua mke wa m2 hapo mchungaji unaweza badiri fikira za wanawake huyo jamaa alifaidi Duniani ila kwa mungu Kuna kosa kafanya kubwa Tena sana
sasa baba paroko mbn kama unawapa mawazo waumin wako wa kiume maana naona wngne wameshka Tama maana stor n nzito hyo yaweza kumtokea yoyote daah aisee n funzo
Baba Tufundishe. Tupone. Mana. Wingiwao. Wanawafuja. Wake. Zao. Unions. Watu. Wanaponda mafundisho yako ujue ni mmojawap mungu akutiee nguvu wapeyao wanyooke
Ee Mungu naomba unijalie Mwenzi mwenye Upendo tupendane wote amani na furaha vitawale
Mafundisho mazuri hayo..na mimi bado sijapata mme jameni, naamini mungu siku yangu itafika tu..🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Love you pastor
Bwana ulitoa na bwana umetwaa jina lako libarikiwe Amen
Kwa wale wanasema, mwanamke akizoea kutoroshwa huko pia atatoroshwa tu, huenda hamjaelewa ujumbe..Huyo mwanamke angekuwa anapata malezi bora kwa mumewe wa kwanza, hange subutu kumkubali huyu wa pili...Kwa hivyo cha msingi,, mwanamke malezi,, usipo tunza mkeo,,ulimwengu utakutunzia..Barikiwa pastor
pastor unanivunja mbavu huku za habari za shemeji,nimecheka.be blessed
Thank God for you pastor Mitimingi. Waambie wasiyejua Malesi au kichunga wake wao.
You are wonderful Great Man of God.
kwahii story mzur sana mungu akubaliki sana
Funzo nzuri sana, wanaume watunze bibi zao
Thanks pastor be blessed kwa huo ujumbe.
Mafunzo mazuri sana hata sikutaka yaishe ubarikiwe sana mchungaji
Good teaching pastor mitimingi, God bless you more
Ameen!! Baba MCHUNGAJI ubarikiwe kwa mafundisho
Kumchukua mke wa mtu laana Hilo, kwani alichokiweka pamoja mungu atakayeteganisha amalaaniwa, funzo lingefaa zaidi kama angelikuwa mke wa mtu,
Somo zur yaan mm stak hata mzaz wake ampe hela mke Wang yaan hela n shetan kabisa na anaekupa hela kila anachosema lazma ukubal.mm stak mkewang apewe hela yaan n kosa la jinai
Yaana wanaume mjifunze kutongoza Mara kwa Mara hata kama mmetuoa sisi ni mfano wa Mungu tunapenda sifa
Neno nzuri. Wow wanaume watuzeni mabibi zenu jamani
Unatujenga mwoyo sisi wa mama Asante
Duuuuuh acha Noma sana kwasababu Leo ni siku ya jumapili Njema shemeji Noma
Yaaaàn nakuhakikishia mtumishi nayekukubali sana, huyu shemeji hatujui wanawake vizuri akili zetu kama huniamini wafatilie utaona mwisho wao. Kama kaweza kumuacha mumewe kisa matunzo bac na shemeji ataachwa kisa sio mzuri kitandani.HATUKOSAGI SABABU SISI.
Daaaah story imenigusa kwa kweli
Wababa wa humo kanisani wamenuna hao imepenya baba mchungaji hiyoo.
Asante sana Baba Mungu akubariki sana
Wanaume unamuchakaza mkeo mpaka anachuja na mutu kama anasema eti umtunze mkeo hamanishi kwamba wende kaiba ila kama unao uwezo mtunza na endapo umekosa anajua tayari na hiwezi kua shida na nifahari kwako
Asante sana baba ubarkiwe
Ha ha ha ha ha haaa mambo ya Shemeji hayo sasa kama wahusika hawatunzi wa kwao Shemeji anatumiwa kutunza eti.kunabonge la funzo Mwalim Barikiwa na Bwana.
Mungu awasaidie wanaume popote walipo wajue majukumu yao ktk ndoa zao
shemeji ni hatari nimejifunza kitu barikiwa pastor
Hili ni funzo zuri Sana
Rest in peace Baba.
Ubarikiwe
😁😁 Asante baba mtumishi
Matunzo yapi hayo yanayozungumzwa hapa? Maana wale mafukara wakioa wasije mjini waishi hukohuko kwa wenye level sawa kimapato maana me naweza mtunza mke wangu kwa level yangu akapita shetani mwenye level ya juu zaidi atataka kumtunza kwa level ya juu yangu atam'beba tu. Hapa naamini shetani ni mwanamke
Mitimingi wewe ni mchungaji mzuri sana,yote unayoyanena ni ya ukweli kabisa.ni mawaidha ya kusaidia sana MTU akiyatilia maanani.
Mimi nimebarikiwa mungu akutumie.
Amen
@Gerald Makalala hahahahaha
Amina
Barikiwa sana
Barikiwa mtumish,,ukwel wanaume wengi.awatunz wake zao,,,hat km mwanaum una kipat kidogo tunza mke
Ukweli huyo jamaa alichukua mke wa m2 hapo mchungaji unaweza badiri fikira za wanawake huyo jamaa alifaidi Duniani ila kwa mungu Kuna kosa kafanya kubwa Tena sana
Waambie Mtumishi yan nakuelewag vibay
asant
Mm cwez muuza m2 kwa pesa
Nice
naonaaaa comments za watuuu wasiotunzaaaa wakeee zaoooo wambieeee baba
Midume mibahili itapona Mtumishi
Uko pazuri
Jamani mbona mimi sipati shemeji kama huyo nakutelekezwa huku niliko telekezwa
wanaume wabadilike kisa akikuoa ndio basi,hawajui kuwa tunamvuto huko nje.
Uko sawa da J.
safi sana
Funzo hili latatanisha jamani.
shemeji nae sio mtu mzuri kweli
Nice things
Asante Baba
Ukishindwa kumtunza mkeo ataibiwa baba
Kabisa waambie yaani wanaume Hawa mhhh
Saf sana
Kakosa matunzo kulingana aidha na kipato chake huo utakuwa uonevu kunyanyasa wasio na pesa
sasa baba paroko mbn kama unawapa mawazo waumin wako wa kiume maana naona wngne wameshka Tama maana stor n nzito hyo yaweza kumtokea yoyote daah aisee n funzo
Wambie paster
Kipindi cha Kampeni ndo hela zinatumikaga baada ya uchaguzi Hakuna tena hayo ni bora atafute mwenye malengo wazoee hizo hela wote
Mbona hiyo ni kali..upende ataenda usipende bado ataenda tu,,wuiiiiii!!!!!!!
Aisee kuliko ukose vyote bora uchukue hela.
Kali hiyo jamani
sasa sisi ambao hatuna uwezo tufanye aje?
Kudandia gari uwe unajua liendako, ombeni ni nykt za htr!
Duh! kwa stail hiyo! wanaume wameisha!
kipao mbele chunganji jongeraaaa hapoooo
Napenda mafunzo yako
Jaman na mm namtafuta Huyo wa kunisifiya na kunipetipeti lakn hata simpati maombi jaman
kama hakuna kipato watu wafanye je?
Pasta naipenda haya mafundisho yako jmn naomba nitumie kwa wtsp 0769840371 jmn naomba sana nazingine zote tuma
Chini ya dola 1 ubaki kusifia sifia na kama ni kunguru hatokua njia tuu uo shamba sasa kapona napendaaga stori zako
inawapa kibur hao mtumish
atakuwa alikuwa anakisa na mwanaume
Misizichukui ataizoera sizitaki kabisaa
hahahaha ipo vizur Sana nimefurahi mafundisho yako
KLEOPHAS MTENGA leta wakwako
RIP
nmeipenda
Haaahaaaah hadi raha
Mafunzo yako bado yanaishi.
7:20
mafundisho yako kiukweli yako vizuli kabisa.
huyo shemeji sio
Shemeji
Kwer Mair
Yoote tujifunzee
Baba
Tufundishe. Tupone. Mana. Wingiwao. Wanawafuja. Wake. Zao. Unions. Watu. Wanaponda mafundisho yako ujue ni mmojawap mungu akutiee nguvu wapeyao wanyooke
Ahahahaha shemejiiii
Ati Shemeji hahahaha walai
Kipindi cha Kampeni ndo hela zinatumikaga baada ya uchaguzi Hakuna tena hayo ni bora atafute mwenye malengo wazoee hizo hela wote