Nyimbo ya sisi sote inanikumbusha miaka ya 1977 .79 tukiimba hiyo asamble nikiwa ktk skuli ya kombeni mjini magharib malim kuu miaka hiyo akiwa Malim Abofu
kwan wewe mzanzibar au mpemba maana wapemba wote mnaona kila kitu sicho hao majeshi unaosema wewe wanapiga wanzazibar wapo wajeshii ambao wazezaliwa pemba na unguja pia kwa hyo km tunapigwa na majeshi tunapigwa na jamaa zetu zote watanzania hakuna raia mgeni ambae anaekuja kipiga wazanzibar acha ushamba
Nanga huyo huja ona ana amrisha eti kofia begani weka harafu wakati huo huo Bado siraha zipo begani sema aliwahi kujiongeza chapu kwa haraka aka badili maamuzi chapu kwa haraka 🙌🏿😃😃😃🙆
Hakuna sherehe za mapinduzi znz isipokuwa ni uvamizi kutoka bara na wazanzibar wachache wajinga. Hakuna mtu aliepigana znz mtasemaje mapinduzii?? Watu wa karne hii sio wajinga tena wa kudanganywa.
Uovu hata ufichwe vipi ipo siku utajuilikana tu. Historia mbovu sana tuliosomeshwa shule kuhusu zanzibar. Na imetungwa na wayahudi ili kupotosha na kuharibu fisa za wengine.
Raia hawaelewi wanachojua nikulaumu chungeni midomo askari ni mtu mwingine katika inchii yoyote heshimuni mtakuja kujua kazi yao siku Moja,,,,,,
Awalinde viongozi wetu Rais dkt Mwinyi an Rais wetu Mama dkt Samia Suluhu❤
Mzee wangu hamadi mtunza nidhamu kihangaiko RTS
Ni RSM wa msata huyu????
Ndio@@mswaki_newstz
Sir meja Hamad hamad
Hii kazi sio ya chezo mwamba alikosea 😅
Veru well co ordinated and ❤ from 🇰🇪
Extraodinary! Good
Good
Tunaukaribisha sana
Ambao hawajapitia sheji hawawezi fahamu utamu wa kwata 😅
Kweli hasa apo kwenye kofia mbele weka😂😂😂😂.
Ww umefahamu?'
Kweliii
Safii mzeee wetu
Safi kbs.
Safikabisa
Una una
Jamaa ana unaa sana
❤
Baba umeuwa
SS cha kutrend nn wkt ndo wajibu uwoo😂😂🎉🎉
Hapo atakama nicheo apewe amefikia mwisho!!!!!!!!!! sijui apewe cheo gani tena!!!
Cheo anacho hapo anachotekelezaa ni majukumu yake
Samia yuko bize na kusoma
Tano zako pokea baba
Unaa mwingi
Usichokijua huyo father ni wa huko huko wala sio bara
Yaani kweli huyo akazoee taka
😮😮😢😢
Ameiva
Safisana
Akitoka hapo Ale Mayai Mabichi😢😢😢
Mzee hana unaa tu bali amekwiva
Lugha ya mzee huyo ni kichina.
Lakini anakimaiki kafungwa nacho😂😂
Apo mpemba awez iyo kazi
Ataanza mie mechoka😂😅
Asiweze Kwa nn wapo wangap wanaongoza kama hivy huyooo ana myki anajikamua vyote hivyo
Afande alienda mchomo pale kofia kbl hajashusha slaha
machof piaaaa
😢😢😢😢😢
Is it a chinese language
Abdy
🇹🇿💚
Jamani mimi sijaelewa. Sasa ametrend kitu gani hapo? Wakat ndio kazi yao hiyo?
Huwezi elewa kama hujawah kuwa kuruta
Nguvu zote hizo,Ila wenye kula pesa za nchi wako hapo wala jasho hali wavuji
Dunia nzima ipo hivyo.pumzika.
❤
@@hijazhija316wajinga dunia nzima wapo hivo
Nafurahi sana majibu mazuri yaani mtu asifanye kazi atangaze umaskini kwa wote@@hijazhija316
Heshimu kazi za watu kula kunya tulia acha watu wafanye kazi zao
Nyimbo ya sisi sote inanikumbusha miaka ya 1977 .79 tukiimba hiyo asamble nikiwa ktk skuli ya kombeni mjini magharib malim kuu miaka hiyo akiwa Malim Abofu
Shikamoo mjomba😂😂😂
Mimi yanikumbusha shule ya Msingi ya jeshi, tulikuwa tukiuimba sana huo wimbo
Uyu anaongeya ki china😅😅
Anavo vuta maneno
mimi nnachowapongeza askari ni nidham ya hali ya juu walonayo ingawa wao wenyewe siwapendi hata chembe kwa vitendo vyao.
Askalii awatak u uwapende wenyewe kaz yao nikusimamia sheriq tu kam uwapend sio majukum yqo wew uwapende chukua iyo itakusaidia
Sasa vitendo na nizamu sindio vinaenda sambamba?
Wenyew hawakupnd pia watu wako busy na kazi zao we endlea kuumia ukiwa umevua na nguo zako zote shwaiiiniiii😅😅
RSM
Huyo ni officer ki protocol na sio askari
officer kilimo au😢😢
Akimaliza kinyesi kimemtoka maakini
Huyo sio Shoga Kama ww
@@faumahona5769 mtoto mzuri kama kamanda wake
Daah umemjibu vzr sana
@@faumahona5769jibu nimekipenda Kwa wajinga na mizaa kwenye usiliasi
Kuna jeshi naliona kama la wjapani hasa hao ffu❤❤
Hawa maaskari ndio wanaowatesa WAZANZIBARI wakati wa Uchaguzi, wameuwa sana WAZANZIBARI , DIKTETA ameshaondoka je mtaendeleza mauwaji?.
kwan wewe mzanzibar au mpemba maana wapemba wote mnaona kila kitu sicho hao majeshi unaosema wewe wanapiga wanzazibar wapo wajeshii ambao wazezaliwa pemba na unguja pia kwa hyo km tunapigwa na majeshi tunapigwa na jamaa zetu zote watanzania hakuna raia mgeni ambae anaekuja kipiga wazanzibar acha ushamba
@@hbtv4169karudi tena skuli japo Anza lamsingi
@@hbtv4169safi umemjibu vizuri mjinga huyo
Gumzo ilo liko wap hashuo tu
Huja ona apo alipo kosea huyo pared kamanda eti kofia begani weka wakati siraha Bado zipo begani 🙆🙌😃😃
Umeonaeee 😂😂😂
Sasa azua gumzo gani
Ndiyo nashangaa hata mimi
Mapinduzi *Matukufu*....????
Kweli kuna dini 5000 Duniani....
Ila unayoamini wewe ndio Bora....
Huyu kamanda ana sauti ya kikamanda alaf ana uhakika navitendo vyake
Sifa ya RSM hiyo
Nanga huyo huja ona ana amrisha eti kofia begani weka harafu wakati huo huo Bado siraha zipo begani sema aliwahi kujiongeza chapu kwa haraka aka badili maamuzi chapu kwa haraka 🙌🏿😃😃😃🙆
@@MwigaKatumpula-mi3zt aliyebugi ni paredi commender na si RSM
Hizi ni chanel mchwara
Koo jamani
😂😂
Is it just me who find this tanzanian functions boring.its like they woke up and went for a function without rehearsals
Very boring.
Alichapia bhana aliposema kofia wakati kitendo kilikuwa cha silaha
Hahaha kama hujapita Jessica huwezi ona hilo. Kuna mananga nimewaona
This Tananian functions are boring as hell
Hakuna sherehe za mapinduzi znz isipokuwa ni uvamizi kutoka bara na wazanzibar wachache wajinga. Hakuna mtu aliepigana znz mtasemaje mapinduzii?? Watu wa karne hii sio wajinga tena wa kudanganywa.
Acha uchochezi unafikir unavyochochea amani ikikosekan utaandika hicho unachokiandika au utakua unakimbia uku na kule
Si Kila anaecoment yupo okey
@@emmanuelgrayson3276 huo ni ukweli wa mambo na sio kuchochea. Hajaambiwa mtu aingie barabarani.
@@MuhidiniNassor na wajinga bado wapo duniani.
Uovu hata ufichwe vipi ipo siku utajuilikana tu. Historia mbovu sana tuliosomeshwa shule kuhusu zanzibar. Na imetungwa na wayahudi ili kupotosha na kuharibu fisa za wengine.
What kind of nonsense is this
😢😢😢😢😢
Good