KESI YA AFANDE ALIYEWATUMA AKINA NYUNDO INA UNGURUMA MAHAKAMANI, HAKIMU ATUPILIA MBALI KESI YAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 76

  • @PeterAmos-r4u
    @PeterAmos-r4u 21 годину тому +99

    Akamatwe afungwe, wanaotaka afande afungwe wagonge like apa

    • @Aksa-yk1dp
      @Aksa-yk1dp 20 годин тому

      Ushawahi fika gerezan ndg yangu.

    • @KassimHanga-xr7rb
      @KassimHanga-xr7rb 20 годин тому +2

      Haki haipotei haki ifanyike tufuate katiba na Sheria zake ndiyo amani itadumu

    • @irinemmasy8387
      @irinemmasy8387 18 годин тому

      ​@@Aksa-yk1dpUnataka kumaanisha nini?

    • @yousifyousif-p7f
      @yousifyousif-p7f 9 годин тому

      Sio afungwe anyongwe afai kwenye dunia

  • @RoseKimath
    @RoseKimath 18 годин тому +6

    Na hao waliopelekwa mahakamani wakidai wamefungwa kifungo cha maishaa hilo ni chambo tuu tuwapee mwezi mmoja mtawaona uraiani mchana kweupeee

  • @lifeonearth94
    @lifeonearth94 3 години тому +1

    Karibu Tanzania, Nchi ambayo jela ni ya wanyonge tu

  • @yonahizza-o8z
    @yonahizza-o8z 21 годину тому +7

    Duh! Kesi za wakubwa🥺🤔🤔
    Yetu macho na maskio

  • @evamlay8997
    @evamlay8997 20 годин тому +11

    Huyu kama mahakama imeshindwa tumshakie mungu tuone atatojea wapi maana kwa mungu hakuna kubwa atalipa na riba

    • @barakayusuph4617
      @barakayusuph4617 18 годин тому

      oyaah babuu eeh mengine sio yakumuachia mungu..ni sisi kwa sisi na sheria zetu zifanyi kazi😢

    • @husseinhamis1428
      @husseinhamis1428 8 годин тому

      Umalaya wake ndo ulie mpoza uanze kusema unamuachia mungu acha ku promote uzinzi

    • @priscusvenans
      @priscusvenans 8 годин тому

      Kwa Mungu anasema ndoa nahieshimiwe nakila mtu na nenola Mungu linasema kutembe namke amume wa mtu nisawa nakumpalia makaa yamoto kifuani hatatulia hadi akuangamize

  • @mwajumaanthony5470
    @mwajumaanthony5470 7 годин тому +1

    Ndio maana Wana nchi huwa Wana chukua Sheria mikononi wakisema wafate Sheria ndio kama hivi watu Wana achiwa ila nawa shauri Hawa wazazi wasome sana Dua za usiku kwaajili ya mtoto wao najua wao hawana uwezo wa kufanya chochote ila Mwenyezi Mungu ata wasaidia hakuna Mwingine wa kumutegemea zaidi ya Mwenyezi Mungu
    acha wao wazitegemee pesa ila mwisho wata uona

  • @rosemarygeofrey7014
    @rosemarygeofrey7014 17 годин тому +2

    Tena huyu mama msenge kabisa, anaroho ya kichawi kweli, watuachie raia naona police kesi zimewashinda

  • @ZariaAbdullah-r5t
    @ZariaAbdullah-r5t 21 годину тому +6

    Hakuna haki nchi hii lakini alitakiwa na yeye hukumu yakaanza afanyiwe kama yule mtoto mpaka akmbe maji halafu atumikie kifungo miaka 30

  • @princeSamson-vy1ow
    @princeSamson-vy1ow 17 годин тому +3

    #Mamasamia Huyu hakimu mtumbue anazingua so sad

  • @swaumukadidi7124
    @swaumukadidi7124 21 годину тому +5

    Yaani mtu mmoja tu ndo anawasumbua hivyo huyo ni wakufunga tu na yeye

  • @maisaalawy8549
    @maisaalawy8549 2 години тому

    Itakua hakim kalogwa.

  • @HildaChard-vl1jb
    @HildaChard-vl1jb 21 годину тому +8

    Sitaki kuamini sitak kuamin kama Huyu mama analindwa kias hiki mkuma wa mama ake Huyo hakimu

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 20 годин тому

      Jamani umeamua kutukana Tena kwa heluf kubwa 😂😂😂

    • @JoyceRobert-op6kv
      @JoyceRobert-op6kv 20 годин тому

      😂😂😂😂

    • @NyawileAdrian
      @NyawileAdrian 20 годин тому

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @GemlyMalisa
    @GemlyMalisa 3 години тому

    Kwn afande alibak hn hatia bhn kwnz tumeshàsàhàu msitukumbushe bhn

  • @rosemarygeofrey7014
    @rosemarygeofrey7014 17 годин тому +2

    Alafu mtu anasema Tanzania Kuna amani mmmh sio kweli

    • @barbiepixie92
      @barbiepixie92 4 хвилини тому

      Nenda Congo ndo utaelewa kama tz ni mbinguni😂😂😂

  • @KhasondeJnr
    @KhasondeJnr 18 годин тому +1

    Ni Vile tu see more...

  • @stanleymhozi7590
    @stanleymhozi7590 20 годин тому +1

    Hapo ndoutajua hela haishindwi ila mungu yupo afande kajillani vizazivinne

  • @tumainilaizer6517
    @tumainilaizer6517 20 годин тому

    Kila nkiona hizi sura moyowangu unakosa aman kbs😢😢
    Mungu turehemu cc na watoto wetu

  • @fredwambanguru1865
    @fredwambanguru1865 17 годин тому

    Mama samia naomba umfunge uyo afande

  • @princeSamson-vy1ow
    @princeSamson-vy1ow 17 годин тому

    Huyu # Nywambulu tungaraja nae ni wakutumbua anazingua sana a

  • @wabikeog_373
    @wabikeog_373 2 години тому

    😢😢😢😢Mimi naona nikiandika haitoshi nimerekodi voice note👇
    ▶︎•|၊|။||||။၊|။|||။|||။ 03:53

  • @zainabukuku3878
    @zainabukuku3878 16 годин тому

    Safi sana

  • @ramajr3762
    @ramajr3762 20 годин тому

    General never wrong

  • @JamesMwandoje
    @JamesMwandoje 20 годин тому +3

    Safiii...mume mwonea uyooo afande

  • @frankbujiku9496
    @frankbujiku9496 5 годин тому

    Hamza RIP 😢😢

  • @musachimbah6800
    @musachimbah6800 21 годину тому +2

    Inashangaza kwakwelii

  • @dogotwaanails_mafunzo
    @dogotwaanails_mafunzo 21 годину тому +3

    Akamatwe na yeye

  • @alexsimon5576
    @alexsimon5576 20 годин тому +1

    Hata waliohukumiwa hawezi kukaa mjengoni!!

  • @johasaeed391
    @johasaeed391 10 годин тому

    Mungu atahuku na kingine huyo afande ajuwe tu wanainchi wana hasila vibaya mnoo

  • @DanielNyunguti
    @DanielNyunguti 17 годин тому

    Natamani Magufuli arudi wewani

  • @kyejotz1397
    @kyejotz1397 20 годин тому

    Hataree

  • @GamDuel-vr4hp
    @GamDuel-vr4hp 21 годину тому +2

    Mbona sielewi

  • @njuka3515
    @njuka3515 5 годин тому

    Hakimu hakimu malipo hapahapa duniani kumbuka na wewe ni mzazi

  • @priscusvenans
    @priscusvenans 8 годин тому

    Mna muhukumu bure afande wawatu hasira yako sihasira ya Mungu ingekuwawewe ndiyo mtu anatembea na mke wako au mume wako utajisikiaje na yamkini umesha mwonya akakataa kusikia inauma nivile haijakukuta wewe mandiko yanasema kutembe namke wamtu nisawa nakumpalia makaa ya moto kifuani hatatulia hata akuangamize, ingekuwa wew kama unamwamini Mungu ungemwombe mabaya yampate ikiwezekana afe ,anaeamini nguvu zagiza naeangefanya hivyo ndiyo sababu Mungu akasema ndoa nahieshimiwe nakila mtu sikwa nafurahia alichofanyiwa ni dada zetu nainauma kibina damu lakini waache tamaa nikweli hali ya maisha ningumu lakini wafanyekazi nawarizike nakidogo cha halali wanacho kipata jiulize asinge tembea na mume wa mtu walevijana wadogo wange hukumiwa kifungo chamaisha ,wote wamefanya makosa tumwombe Mungu awarehemu pia nasisi tujifunze mamuzi tunayochukua yanaweza husababisha matatizo kwa wengine au jamii zinazo tuzunguka

    • @fridagustaphmwenda6658
      @fridagustaphmwenda6658 7 годин тому

      Siku hizi hakuna mumeo wala mke wako kwani huyo siyo mama yako. Kwann asingewatuma wamlawiti mumewe? ambaye ndiye aliyemtaka huyo binti

    • @fridagustaphmwenda6658
      @fridagustaphmwenda6658 7 годин тому

      Kwani anavyosema mume wake. Huyo mume ana uhakika gani kuwa ni mume wake au huenda alikuwaga mume wa mtu

    • @teclamichael8126
      @teclamichael8126 59 хвилин тому

      Sio Mme wake na wewe Mme wake alishafarik waligombea bwana tu wote hajawaoa

  • @paulabelleghe451
    @paulabelleghe451 19 годин тому

    imeisha iyoooo

  • @FatumaMkandu
    @FatumaMkandu 15 годин тому +1

    tunataka picha yakee uyo afande

  • @nameno8608
    @nameno8608 14 годин тому

    Tangia mwanzo ilijionyesha wazi Muhutumiwa ni mtu wa hali duni haki zake zitazimwa kwa pesa

  • @hamidamussa-sy4fm
    @hamidamussa-sy4fm 10 годин тому

    Huyo mkubwa hawezi kufungwa

  • @kdloon2030
    @kdloon2030 20 годин тому +1

    Familia ya bint alie bakwa,wafanye Albadir yaani hapo haki itapatikana kwa uwezo wake Allah!

    • @nameno8608
      @nameno8608 14 годин тому

      Dawa ya moto ni moto huyo Afande wamubake afanyiwe kama alivyo tuma

  • @epielamu891
    @epielamu891 17 годин тому

    Sielewiiiiii

  • @JacklineNicholaus-s2c
    @JacklineNicholaus-s2c 4 години тому

    Vijana watolewe hao

  • @muuminogega1904
    @muuminogega1904 19 годин тому

    Pesa imetumika

  • @rehemamgata224
    @rehemamgata224 10 годин тому

    😢😢😢😢

  • @rosemarygeofrey7014
    @rosemarygeofrey7014 17 годин тому

    Mpaka namkumbuka magufuli usenge huu asingelazia damu

  • @SuhaylahSalim-es6qz
    @SuhaylahSalim-es6qz 10 годин тому

    wanamtetea afande hakuna serikal hapa

  • @aminaally8293
    @aminaally8293 18 годин тому

    Hii ndo Tanzania yetu sasa

  • @ThomasMayogu-z2h
    @ThomasMayogu-z2h 10 годин тому

    Hhhhhhha bongo😢😢😢😢😢

  • @rosemarygeofrey7014
    @rosemarygeofrey7014 17 годин тому

    Hi kesi Ina ujanja unanja mwingi mno haki ya mtu iko wapi

  • @epielamu891
    @epielamu891 17 годин тому

    Aki akuna apo hainiingii akilini serikali aki itendeke kosa liko waz

  • @JamesMwandoje
    @JamesMwandoje 20 годин тому +1

    Muacheni afande aendelee na maisha yke wabongo wanafiki

  • @innocentmasota500
    @innocentmasota500 19 годин тому

    Sema tu umevaa kihuni vile, kama 50 cent

  • @mohammedkhimji7505
    @mohammedkhimji7505 8 годин тому +1

    Nchi hii watu wazito hawaguswi.... Sheria ni kwaajili ya wanyonge tu... Angekua Magu hapo huyu Fatma ata asingethubutu kuwatuma wale vijana...

  • @AbinerRhuppiah
    @AbinerRhuppiah 19 годин тому

    Shida ni jeshi na mahakama vinatekeleza ilani ya ccm kifupi hiyo ndio shida, so ccm ndio tatizo tena kubwa.

  • @dianaleo6067
    @dianaleo6067 4 години тому

    Kura hatupigi! Yani mnatufanya sisi mabwege tuu. Haki hakuna na mnatuteka ovyo na kutuua kama ngedere. Wasenge nyie!

  • @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
    @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 12 годин тому

    Hilo liuaji likamaywe lifungwe au linyongwe waachen kuahirisha sas wanaharishaje wakati ushahidi hupo? Huo ni upuuz wekeni ndani huyo

  • @DariusKasitu-o4x
    @DariusKasitu-o4x 18 годин тому

    Ata akina nyundo nao watatoka tu

  • @maofficialtegeta-tx4zi
    @maofficialtegeta-tx4zi 21 годину тому +1

    Comment yangu asiguse mtu ,nilijuw nilijuw 😂

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 20 годин тому +1

      We sema tu unaomba like 😂😂😂😂😂😂

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 20 годин тому +2

    bila hata kutizama video ila hawa wanaonekana wahalifu kitu ambacho ni kweli lakin serikali yetu kunawatu wahalifu ambao nao wanauwa watu wanaiba mabilion ya pesa ila wanaachwa tuu hivo na hwashitakiwi...ni shida kweli duniani huku