POLISI DAR YAANZA KUFUATILIA, ANAYEDAIWA KUPOTEA, GARI LAKUTWA BUZA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @MariaKayombo-gb8gg
    @MariaKayombo-gb8gg 2 дні тому +1

    Inasikitisha sanaaa inasikitisha jamaniii

  • @RajabuAbdi-rs7sp
    @RajabuAbdi-rs7sp День тому

    Yaraab yaarab tunusuru waja wako

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 2 дні тому

    Mungu wangu TZ IMEKUWAJE SAI DUUH HATA TUNAOGOP KURUD NYUMBAN MUNGU WANGU

  • @AnociathaChuwa-cb5nk
    @AnociathaChuwa-cb5nk 22 години тому

    Huu utawala upite tu!!
    Hali ya nchi imekuwa mbaya sana
    Hofu kila kona
    EE MUNGU BABA INGILIA KATI

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 День тому

    Ila mungu yupo waslifikiri kawasahau hao waalifu

  • @MiriamKhalid-z6o
    @MiriamKhalid-z6o День тому

    Huzuni sana wasiojulikana watatumilza

  • @AllyDaudiNgoyeji
    @AllyDaudiNgoyeji 2 дні тому +1

    "Wasiojulikana"wameifanya Tanzania kuwa ni "Himaya Yao"kabisaaaa!Kwani wanateka yeyote anaepingana au kutofautiana nao !
    Kwavile Polisi wetu wamezidiwa nguvu na hao "Wasiojulikana",Je,kwanini Serkali haitaki kuomba usaidizi wa kiupelelezi kwenye "Interpol,FBI,Scotland Yard,Canadian Mountain Police Force nk?