Oooh Dear God give be more days to live . Today iam listening 31 -01-2023 Bless me after 8 years I will come back and worship your name here will be 31-01-2031🍎♥️♥️
Iam listening now it's 31 January 2023 . Old is gold I remember those days 1995 when gospel was real . Old songs was real derived from Bible verse . Thanks my God for this life I will praise your almighty name now and then . YOU ARE THE GOD OF GOODNESS ♥️🙏 WEWE NI MUNGU WA MIUNGU HATA UHAI HUU NI KWA REHEMA YAKO JEHOVAH
Yaani huo ubeti nimeupenda sana umenigusa moyo wangu, njoo kwake Yesu usamehewe, kwake Yesu utakasike, kwake Yesu utapona, suku moja utaingia mbinguni.
HABARI MAALUM STUDIO/PRODUCTION, Mungu awabariki sana, tena sana na MUNGU wa mbinguni awainue sana..Kazi zenu ni baraka na zitakumbukwa vizazi hata vizazi...
Hisia ninazozipata kwa nyimbo hizi za zamani hasa wana Ulyankulu, zinanifanya nikumbuke mbali sana khari inayonipelekea wakati mwingine natokwa machozi, Namkukumba pia mama yangu mzazi alizipenda sana nyimbo hizi. Mungu amrehemu. Hongereni sana watu wa MUNGU kwa kazi zenu nzuri. Hakika nabarikiwa mno na nyimbo zenu zote Kila ninaposikiliza.
Barabara 13, TAFADHALINI TOENI TENA HUU WIMBO NA PICHA ZINAZOONYESHA VIZURI MADHAMBI YA SIKU HIZI - USHERATI, GAY NA LESBIANISM, MAUAJI, DEVIL WORSHIP, MAVAZI MABAYA, KUKUFURU, WIZI WA MABAVU, ETC. WATU WATASAIDIKA ZAIDI. MUNGU AENDELEE KUWATUMIA, AMINA!
Hii ni 2023 nasililiza nyimbo zenu ulyankulu hakika msg tosha, Tena ujumbe bado unaishi , Mungu awabariki
Nani anawasikiliza 2024 tuungane, hakika nyie mlitumiwa na Mungu
Oooh Dear God give be more days to live . Today iam listening 31 -01-2023 Bless me after 8 years I will come back and worship your name here will be 31-01-2031🍎♥️♥️
Who is still here in 2018? Tears in my eyes I can’t listening to these songs. Childhood memories ! When the gospel message was still pure🙌
Adele Gatimbirizo 2019!!
Iam listening now it's 31 January 2023 . Old is gold I remember those days 1995 when gospel was real . Old songs was real derived from Bible verse . Thanks my God for this life I will praise your almighty name now and then . YOU ARE THE GOD OF GOODNESS ♥️🙏 WEWE NI MUNGU WA MIUNGU HATA UHAI HUU NI KWA REHEMA YAKO JEHOVAH
Indeed.... Powerful messages
Yaani huo ubeti nimeupenda sana umenigusa moyo wangu, njoo kwake Yesu usamehewe, kwake Yesu utakasike, kwake Yesu utapona, suku moja utaingia mbinguni.
Bwana yesu asifiwe nyimbo hiz ni za kiroho kabisa mpaka nimelia aaaaaaaa
Hizi nyimbo zitaishi Zina ujumbe mzuri kuliko nyimbo za zama hizi!!
Barabara13 nyimbo zenu zanikumbusha miaka ya zamani sana.leteni casette zote tatu
Nani anauskiliza huu wimbo 2019?
2023.God is great ❤
2023 hapa goma/D.r.congo .
HABARI MAALUM STUDIO/PRODUCTION, Mungu awabariki sana, tena sana na MUNGU wa mbinguni awainue sana..Kazi zenu ni baraka na zitakumbukwa vizazi hata vizazi...
Nabarikiwa mno
Hisia ninazozipata kwa nyimbo hizi za zamani hasa wana Ulyankulu, zinanifanya nikumbuke mbali sana khari inayonipelekea wakati mwingine natokwa machozi, Namkukumba pia mama yangu mzazi alizipenda sana nyimbo hizi. Mungu amrehemu. Hongereni sana watu wa MUNGU kwa kazi zenu nzuri. Hakika nabarikiwa mno na nyimbo zenu zote Kila ninaposikiliza.
hizi nyimbo zitaishi milele.Asante Mungu kwa watumishi wako hawa.najua wengi ni watu wazima kwa sasa.
Wengi wao wana umri wa miaka 68
Mungu awabariki,na wale walitangulia mbele ya haki mpate pumziko jema
Hizi nyimbo hazitachuja kamwe hata uimbaji wake ni mzuri sana Mungu awabariki popote mlipo
Ata Leo hii yesu kristo analililia taifa letu jaman Tanzania tuamke tumtazame muumba wetu
Asante Yesu MUNGU awabariki nyimbo nzuri sana zinagusa mioyo sana
Ya kaleee ni dhahabuu sana 2020
Bado nausikiliza mwimbo huu wenye ujumbe mkali 🙌
2021 September....mbarikiwe sana
Nawapendaga sana
Hiv hawa watu wapo kweli jamani
2023...bado nasililiza nyimbo zao
ni wimbo mzuri sanaaaa, yaan sijui kwanini hamtoi albam nyingine, mko vizuri sana
natamani nipate wimbo " muwe na nia moya, wenye ku hurumiana, wenye kupendana, kama ndugu........"(FAHARI YA VIJANA) Mungu awabariki, asante
Mambo yote yatapita lakini Neno la Mungu litadumu milele.
Hawa walitumwa na Mungu.walikuwa na unabii mkubwa kuhusu Tanzania
Adi mim nimelia sanaaa
2024 nimeuona mji wa maisha yangu nimeulilia nikisema kwanin hubadiliki unaninyima amani?
Hii ni 2023 November lakini bado ni hit
Ujumbe kama huu ndio tunahitaji siku hizi za mwisho maana dunia imelewa sana
❤❤❤ 2024 tupo hapa
nyimbo za zaman lakin zinanikonga mpaka sasa.
just love this,,in my tears listening to these
Best of the best
Deus ajude a vocês para esse lindo trabalho.
Nausikiliza 2024
Pliz make your videos to be downloaded,they are nice
Barikiwa sana
2024 bado nipo hapa nabarikiwa..
Nakumbuka enzi hizo nikiwa Kyaka Misenyi Kagera
Thanks uliankulu
Njoo kwa Yesu Kristo!
This are the songs
asante sana
Wimbo huu naupenda sana! ❤️
Amen amen amen 🙏🏻
nyombo za zamani kabisa
2021
2022still listening
2018 upto 2040
2021🇹🇿
Nipo nasikiza zote June 2022
Ujumbe A-Z

Yukowapijuvita
Hawa walitumwa na Mungu.walikuwa na unabii mkubwa kuhusu Tanzania